Тёмный

"Kwanini LAKINI NYINYI CCM" M/KITI CHADEMA KYELA AMVAA SPIKA TULIA |KUKAMATWA NA POLISI KWAMUANGUKIA 

Baharia TV
Подписаться 83 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 26 дней назад
Hawa watumishi wa umma wamekosea wananchi wote wa nchi hii.Kiongozi mkuu wa watumishi hawa atuombe radhi kwa unyenyekevu na upole unaostahili kwa kutukosea.Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Mmemkosea Mungu.Epukeni laana ya Mungu.Pili,bila heshima kwa Mungu,baraka zenu kazini hazitastawi.Tatu,raia wa Zanzibar hawastahili kuongoza kila shughuli za serkali ya Tanganyika zisizo za Muungano na za Muungano.Wizara za mambo ya ndani,mambo ya nje,hazina,n.k.zinaongozwa na wageni wa Tanganyika.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 25 дней назад
Mams kama mm samia ajasikia unachosema basi mungu amesikia ,utapata majibu
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 27 дней назад
Wana mbeya huyo anaye tuma polisi kupiga watu mbeya alaaniwe kabisa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 27 дней назад
Tulia hata kukaa bungeni hakumfai kabisa. Ninyi mnao sema Mungu anatoa hukumu. Anatutesa kwa sababu nadhani ni mzanzibari anampigania Samia ili waweze kutengeneze Zanzibar ili na kutuacha Tanganyika the poorest. Ili muanze kuomba Zanzibar. Huyo Awadhi kuna siku atakiona kutoka kwa Mungu Sugu Mungu atakupa uzima na atakuongeza na hao waovyu watapungua.
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 25 дней назад
Tulia ,uhame mbeya ,akifa sugu utafanya sherehe ,Tulia hivi Sugu alikukosea nn?
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 26 дней назад
Dola sio utawala ni ubabe,wanaegemewa na ccm vinginevyo hawajiwezi wafanye sias wasiogope. Danganya toto wananchi wanaendelea kupata uelewa hatimaye watachoka.
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 25 дней назад
Ww ndiyo mjinga kwani wamekosea nn,siku ya vijana mnapinga mbona vijina wa CCM walifanya mkutano Wao Zanzibar polisi hawakuwakamata?
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 27 дней назад
Hiyo ni sauti yamugu
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 26 дней назад
Walitumwa kumua Sugu.hawa.
@user-uo2ld3hl5g
@user-uo2ld3hl5g 26 дней назад
Chala wabhoshi!!!
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz 26 дней назад
Huyo Awadhi Haji na wenzako (mnaojiita au kuitwa polisi) mnaibia raia simu,pesa na vinginevyo kwa kutumia silaha za Kavita, mnapiga,kuteka na kuua raia; wahalifu sugu ni nani? Ninyi ni nani? Boko haramu ,alqaeda n.k.wanawazidi kwa lipi?--mtavuna muda si mrefu.
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 27 дней назад
Kwanini tusimfukuze huyu mbeya tumfukuze
@MudyAnania-r5k
@MudyAnania-r5k 23 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania
@josephlorri431
@josephlorri431 27 дней назад
11:00 ni ubakaji dhahiri.. nimelia hakika 😢😭
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 27 дней назад
Kwanini tuteseke kwenye nchi yetu IPO siku tuta amuwa
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 27 дней назад
Serekali yawajinga inaongozwa kijinga ccm niwajinga
@josephlorri431
@josephlorri431 27 дней назад
Huyu amechukia hakika.. yuko tayari kwa lolote
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 27 дней назад
Ujinga wenu chadema mnakosa hoja mpaka unamsema spika yupo mbeya nakyela wapi? Viongozi wa Chadema mmesahau kauli ya Mwaipaya mnaelekeza lawama kwa viongozi wa polisi na CCM .Mnasema kwakuwa hamkupingwa kabisa.Tulia Chadema hamuwezi kumshinda kabisa wala hawezi hata kuwatuma polisi
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 27 дней назад
Wananchi wamewachoka chadema ninyi nikulalamika tu hamtoi sela msipigwe nyie nani trump kapigwa chuma
@yokoi3970
@yokoi3970 27 дней назад
Karibuni yatakufika
@MosesSiwiti
@MosesSiwiti 26 дней назад
Wewe ni mjiga huna akili mbwa weweeerrrer
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 26 дней назад
@@MosesSiwiti chadema kwa matusi tunawaelewa 🤣🤣🤣🤣
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 26 дней назад
Hujielewi huo ni uchawa,una watoto wewe Leo unalewa na kudanganywa,njaa hiyo.​@@jamesjahasa3348
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 26 дней назад
Hujielewi unalinganisha na Trump,sembuse Tz mnahaki gani
Далее
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32