Тёмный

Kwanini watu wengi USA wanahamia MIDWEST? Majimbo ya katikati ya Marekani? 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.locals.com/
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com/paypalme/EBMSC...
2. CASH APP cash.app/$EBMSCHOLARS

Опубликовано:

 

23 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 5 месяцев назад
Twenztu marekani..🎉🎉🎉 Pamoja sana mkuu 5/5 From Congo 🇨🇩
@binabeid3980
@binabeid3980 5 месяцев назад
Kaka EBM kwanza Hongera sn then Ubaki salama Kiukweli kwa maisha tulinayo Kamati za Roho mbaya siku hizi wapo wengi, ila wewe hauchoki kutulisha maadini na nondo km hizi kila ck mkuu Ubarikiwe
@berthatz
@berthatz 5 месяцев назад
Kwa hiyo tuko sehemu sahihi kaka EBM..karibuni OH
@YohanaYoramu-nl6bw
@YohanaYoramu-nl6bw 4 месяца назад
Hongera sana kaka
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 5 месяцев назад
Very enlightening video. Asante sana Ebm!
@lexmondniyukuri8617
@lexmondniyukuri8617 5 месяцев назад
Asath sana kak kuna wenye tulikuwa hatujuwi 😢😢😢 ubalikuwe sana tena sanaaa 🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 5 месяцев назад
Kaka bm kama utauona huu ujumbe . natamani sana na napenda sana nifanye kazi uko us naomba msaada wako please brother.
@Doris801
@Doris801 4 месяца назад
Please try green card ikifika mwezi wa 10_11 hiyo ndio njia rahisi sana kuenda marekani
@user-zj6xn8dr4u
@user-zj6xn8dr4u 5 месяцев назад
Habali yako Kaka ningeomba unisaidie Nili apply kupitia PNP ya Canada Kwa hio sasa hivo wanatuma message kupitia email yangu KO nimeshindwa kuelewa nifanyej asante Sana kama inawezekana uniunganishe na mtu anae weza kunisaidia Ili nipate kujua kwamba nivyaukweli au matapeli tu
@user-gv8pf6if9m
@user-gv8pf6if9m 4 месяца назад
Kakaa huenda ni lugha tu ndo imekupiga chenga naomba unishirikishe website uliyoombea
@Neema182
@Neema182 4 месяца назад
Mimi na Boston tu
@HaribHamdoun-ok4kx
@HaribHamdoun-ok4kx 5 месяцев назад
Hizo price km za dar kumbe duh😊
@joasitz9559
@joasitz9559 5 месяцев назад
Asante sana EBM, your video is very educative and important especially for us who were planning to migrate.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 5 месяцев назад
Glad it was helpful!
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 5 месяцев назад
Kwa kweli Mheshimiwa Ernest Makulilo ubarikiwe saaana Alafu nikiibahatiwa kufika uko Marekani natamani nije kuuishi kansas City
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 5 месяцев назад
Kaka yetu Ubarikiwe unatupea ilmu yamanufaaa
@htx1873
@htx1873 5 месяцев назад
Midwest Hakuna hela , Point blank Period. ,
@joeGee44
@joeGee44 3 месяца назад
Hi so whats the minimum wage in Midwest especially if you are a new comer. Hrly/Monthly .
@protasfidel
@protasfidel 5 месяцев назад
Ndio ndio kak mkubwa nakukubari nom
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 5 месяцев назад
BBQ ya Memphis bwana Kansas wapi na wapi hahaha, nasikia texas BBQ pia kibokooooo ❤
@alijumamohamed
@alijumamohamed 5 месяцев назад
Kwakweli mkuu unajitahidi kutupa elimu ubarikiwe sana
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 5 месяцев назад
MWENYEZI MUNGU atusaidie uyu mwaka kujaguliwa kwa Green card tumecheza pamoja na familia yaaangu
@genophevagasper5006
@genophevagasper5006 5 месяцев назад
Andaa nauli maana kwa familia sio mchezo
@Neema182
@Neema182 4 месяца назад
Ukitaka kutengeneza pesa za maana njoo Boston ingawa ni mji wa gharama sana.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 4 месяца назад
Huko kwenu ni ghali japo kuna dili kibao sana
@WeirdPuppy
@WeirdPuppy 4 месяца назад
Madam napataje boston address kama first time immigrant toka tanzania,given NMESHINda green card lottery, nisaidie hapo
@mulidaniel7367
@mulidaniel7367 5 месяцев назад
Ni kweli mtu akiwa Marekani anaweza nifanyia visiting visa application ni kiwa Kenya ?
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 4 месяца назад
Baki kenya huko huko please .huku ni shidaaa
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 5 месяцев назад
hongera sana kaka kwakutu funguwa akili zaid ❤🎖🫡
Далее
GREEN CARD BY MARRIAGE v GREEN CARD BY OTHER MEANS
10:01