Тёмный

Hivi ndivyo unaweza kwenda kuishi Marekani kihalali, yafahamu majimbo ghali na nafuu kimaisha 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Mahojiano na Ernest Boniface Makulilo anayeishi nchini Marekani
EBM ENGLISH
/ ebmscholars
EBM SWAHILI
/ ebmswahili
INSTAGRAM
/ ebmsignature

Опубликовано:

 

7 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 307   
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 2 года назад
brother uko smart sana wangekua wasanii wetu apa zingepigwa mixa za kingereza kiswahili hapa asee msomi ni msomi tu congratulations 🙏
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 года назад
Walah bro sky Walker i real love sns leo umetuletea mtu mwenye moyo wake Mungu awabariki. Hii ndio interview sasa jamani i love this.❤️❤️
@mwajumakiza385
@mwajumakiza385 2 года назад
Ñn
@mwajumakiza385
@mwajumakiza385 2 года назад
Hvvhb
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 года назад
Interview my dear is good
@sarariwaodhiambo2029
@sarariwaodhiambo2029 2 года назад
No l. Mmmn ñ Not ñmm Mmmm Ur email bro
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 2 года назад
Fintan mkesha
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 2 года назад
Jamaa smart Sana full respect ❤️
@deuskazimil8721
@deuskazimil8721 2 года назад
Huyu mshikaji Yuko fresh kwenye kuongea big up kwake angekuwa mwngne sambusa ya lugha tungekoma
@OmmysniperTV3839
@OmmysniperTV3839 2 года назад
Hii interview muhimusana kwa watanzania safi sana Mr EMB nakufwatilia sana
@owlbig
@owlbig 2 года назад
Voice tuu nimefika namjua 🤣🤣🤣welcome brotha kwenye channel yetu
@saidmohamed4619
@saidmohamed4619 2 года назад
Shukran brother Sns, great content brother,hizi ndo content ambazo zina faida kwa vijana..keep em coming sio kila siku kufatilia mastaa..
@Mariot130
@Mariot130 2 года назад
Huyu jama ameongea kweli sana hayo ndio maisha ya 🇺🇸
@trillionthamani
@trillionthamani 2 года назад
Kiukweli nikiisikia sauti hii nayaona maisha yangu ya utotoni.bro ulikuaga mbele ya muda sana.big up
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 2 года назад
Kweli kabisaaaa watu wengi wakifanikiwa hawapendi kuwajulisha wenzao fursa kama hizo ahsante sana EBM
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 года назад
Profesor unamoyo wa pekeee kabisaaa...Unatuelewesha vizur kwenye DV
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 Год назад
Mmi ni mrundi niliweza nina diplômé A3 cheti cha mapishi
@pipencarry7906
@pipencarry7906 2 года назад
Kwa kwel Uyu brother mung ambariki kbx anatowa mwanga kwa sisi tunaopenda kwenda kule ku tafuta pesa ao maisha ki u jumla kbs Uyu ni mtuu mihimu Sanaa thx Sanaa sns
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 года назад
🤲🤲 inshallah nahitaji ishi huko jamani 😔,hata kuosha vyombo najua,kufagia uwanja,Kulea watoto hivyoo Yani🙈mnipe connection
@tourismandtraveltips4358
@tourismandtraveltips4358 2 года назад
Yupo Smart sana kaka..Thanks for this Interview🙏🙏
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 года назад
Hii interview niliiona miezi kadhaa iliyopita hapa hapa kwa sns lkn sikuielewa km nilivyoielewa hivi sasa baada ya kuanza mfatlia huko kwa youtube chanel yake Mr ebm. Kiukweli toka nianze mfatlia huyu ndugu yetu nimetambua na kujifunza vitu vingi mno hasa kuhusiana na maisha halisi ya ughaibuni. Mungu amlipe kwa ukarimu huu wakujitolea kuelimisha watu.
@salehamissi2635
@salehamissi2635 2 года назад
Yani leo nimefurahishwa sana na hii interview na ni natumaini nitakapo maliza chuo huku Burundi ni tajaribu kuomba masters huko Marekani inshaallah ndugu mtangazaji Nimefurahi sana kwa interview nzuri ulio tuletea na Mungu akubariki sana 🙌🙌🙌🙌 ila ingelikua bora zaidi ikiwa tutapata adresse ya tweet ao Instagram vya huyo jamaa ili tukihitaji basi kama kutakuwepo na mazungumzo baina yetu na yeye yafanyike ila mambo yaende sawa 🙌 sisi warundi hua fursa zekwenda 🇺🇸 ima 🇨🇦zinapatikana sana huku kwetu
@janejoel7798
@janejoel7798 Год назад
Mungu akubariki sana muha mwenzangu. Nimekufurahia kwa kusema ukweli.
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 2 года назад
EBM ni mtu sahihi kwa wakati sahihi..👍
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Very informative and educative
@boosternet8785
@boosternet8785 2 года назад
Kaka uko na sauti yakipekee na utalatibu wa kuongea keep it up from Nrb Kenya
@hamisjingu90
@hamisjingu90 2 года назад
Kiongozi thanks for this speech...
@shukuruilomo768
@shukuruilomo768 2 года назад
Namuelea sana bwana Ebm pia namfatilia ahsante kwa elimu hiyo.
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 месяцев назад
Mkuu kweli hii interview imenifunza vingi sana,Mungu akubari na akujaalie ume na moyo mzuri huohuo,usiwe katika ya watu wa kamati ya roho mbaya
@abdallazakaria6953
@abdallazakaria6953 2 года назад
Great content Skywalker 🔥🔥🔥....very informative and educative
@Serge123
@Serge123 2 года назад
Kwanini uwende ugenini???ni utumwa mtupu,jamaa asiwadangaye,niko apa 🇬🇧
@rashidialiuwali939
@rashidialiuwali939 2 года назад
huyu jamaa mtu mzuri Sana hana jealous
@careencareen1502
@careencareen1502 Год назад
@@Serge123 kwanini Ni utumwa
@careencareen1502
@careencareen1502 Год назад
@@Serge123 nahitaji kweli kweli
@jamesmakim
@jamesmakim Год назад
Ja kwa mimi kijana ambaye bado na ndoto ya kuja huko nifanye nini
@yussufrabba2282
@yussufrabba2282 2 года назад
I like the way you interview #skywalker
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 2 года назад
Thanks for the interview
@abdulsheketo556
@abdulsheketo556 2 года назад
Thanks brothers
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Nchi zipo nyingi tu na nzuri tu nasi marekani tu , nchi hizo ukipata documents za kuishi na ni lahisi kwenda huko America tofauti na kutokea Africa , wanageria wanajua na wajanjawajanja sana.
@hildapaul5422
@hildapaul5422 2 года назад
Zitaje basi tuzijue
@jemedarikalimasi5754
@jemedarikalimasi5754 Год назад
Interview nzuri sana ndugu zetu
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 года назад
Mbarikiwe 🙏
@celifpower4993
@celifpower4993 2 года назад
Ndoto yangu ilikua nikifika USA nisomey usimamizi wa movie ila nilipo fika nikaanza kushika mikwanja kila nikipokea nauliza doller nyumbani inabadilishwa kwa ngapi apo ndipo ndoto ilikua mwisho wandoto yangu ya kusoma ivi na pambana na kazi nakuuliza nyumbani doller inavunjwa kwangapi masomo siku Mungu atanirudhuku mtoto atasoma yeye jamani Marekani ni inchii ya kutimiza ndoto kwa mtu anae jielewa Mungu ibariki 🇺🇸
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
Kaka nisaidie jmn nije na mim 🙏
@bakarifatherb4180
@bakarifatherb4180 2 года назад
Tupe michongo kaka
@ruuh5149
@ruuh5149 2 года назад
We kaka we hb na ss tutoe bx jmn tuna ndot za kuish hk
@ruuh5149
@ruuh5149 2 года назад
@@lucyjeremia1381 yn nikajua np peke yng tupo mweng kumbe 😂😂😂😂😂😂
@kirobotoamiri5265
@kirobotoamiri5265 2 года назад
Ndugu yang mm Nina elimu ya darasa la saba Nina ndoto za kufika huko nawezaje kufika huko?
@swalehadinan7264
@swalehadinan7264 2 года назад
Kwa wenye ndoto za kwenda ughaibuni Kama mimi tuunge group WhatsApp
@jumazubeir5787
@jumazubeir5787 2 года назад
Kama upo seriously Nitafute nikupe mchongo lakin hakikisha upo seriously Mm npo Germany
@madetetv6576
@madetetv6576 2 года назад
@@jumazubeir5787 toa namba ya simu
@bestlevelservicesltd2396
@bestlevelservicesltd2396 2 года назад
@@jumazubeir5787 weka namba
@sumaiyamartin5482
@sumaiyamartin5482 2 года назад
@@jumazubeir5787 Nina ndiyo za kwenda Germany any leads brother.
@tamespaul467
@tamespaul467 2 года назад
@@jumazubeir5787 Iam serious
@alexkabazo5388
@alexkabazo5388 2 года назад
Ilove that the way you speak I'm alex from congo moba tanganyika iliving in America Charlotte. Is no easier life America be strong as well studying school. Okay
@focuserick6162
@focuserick6162 2 года назад
Awa kina makuriro ni mapacha kuna mmoja ni professor chuo kikuu, ni ma genius sana sana hawa niwatu wakigoma.,mmoja yupo udsm ni prof.
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 года назад
i like SKY interviews ...
@yusuphmpenja3288
@yusuphmpenja3288 2 года назад
Hawa ndio watu wa kuwa hoji ametoa elimu ya kujitambua nami nitaifanyia kazi moja
@twofivefive906
@twofivefive906 2 года назад
Kweli kamu kubwa uko sawa Mungu akupe maisha malefu sana
@tinaminja5500
@tinaminja5500 10 месяцев назад
I have learned alot dah mamtoniiiiiiiiiiii one day yes
@carolyneogall8967
@carolyneogall8967 2 года назад
Kaka sky ujamaa nimuhaa uyu ni wakigoma kiswahii
@visentmushi801
@visentmushi801 2 года назад
Nyc EBM
@dn.n4983
@dn.n4983 2 года назад
Mungu hakubariki sana kwa kuwasaidia damu yako africa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
Mungu akubariki na sio “Hakubariki”matumizi sahihi ya Lugha
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
@@kassimrajabu7805 😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
@@lucyjeremia1381 😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Mbona haongelei kama Tanzania ilikua banned kwenye green card Lottery enzi za Trump na haelezei ilifunguliwa mda gani ili watu wawe open minded.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 года назад
Joe Biden alibatilisha ndani ya wiki ya kwanza ikulu,,,we jiandae kucheza kuanzia taree Moja mwezi ujao
@IdrisaMussa-sm6tb
@IdrisaMussa-sm6tb Год назад
Nilikuwa nnandoto za kumuona sky kiukwel navutiwa sana na sauty yako kk napenda hii voice
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 года назад
🤔Kwanza weka kando anasa, piga kazi hata kama kipato ni kidogo lakini wakati huohuo ukijifunza njia mbali mbali za kutafuta njia ya kujitegemea. Nchi za Ulaya na Marekani kujitegemea ni njia pekee ya kupata kipato kizuri zaidi kuliko kuajiriwa. Asanteni kwa elimu ya maisha ya Marekani🤔.
@mosamossile9113
@mosamossile9113 2 года назад
Uko nitafika kwa Uwezo wa Mungu Dua mikazo na mitonyo
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 2 года назад
Jamaa anafoka kuliko hata mwene radio 📻 duuh 😄😄
@abdulazizimohamed3093
@abdulazizimohamed3093 2 года назад
Kweli jamaa yupo vizuri analezea kitu unamsoma
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Hahahahaha
@buyoyasubira9444
@buyoyasubira9444 2 года назад
Asante Kaka ebu twambie unachagua ipi kaka
@annaowens8630
@annaowens8630 2 года назад
Ahsante kwa kutuelimisha Wantanzania jaribuni hiyo bahati Mwenge Vinyago jaribuni bahati nasibu mkuhe Marekani
@tadeosaidiandrew6486
@tadeosaidiandrew6486 2 года назад
Treeoflife
@wilsonembete2041
@wilsonembete2041 2 года назад
@@tadeosaidiandrew6486 ♿
@kirobotoamiri5265
@kirobotoamiri5265 2 года назад
Ndugu vp
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 2 года назад
BONGE LA INTERVIEW KALI SANA
@monicahovda4524
@monicahovda4524 2 года назад
Wabongo watafute na njia za kutembea Duniani ni kujifunza Mambo Mengi, Sio kukaaa seheemu Moja tu Bongo bongo Pekee yake, Binadam anazunguka Duniani Sio kukaaa sehemu Moja akili inakuwa mgandamizo haipanuki na kujua ulimwengu Unaendaje
@ruuh5149
@ruuh5149 2 года назад
@@monicahovda4524 yn ulichoongea ukweli mtup dear me natamn sn kutembea dunia mzm yn we upo nchi gn ?
@masabatv2743
@masabatv2743 2 года назад
Mshikaji anavoingea kuhusu kupata kazi nje utadhani ni rahisi kama kulamba lolo😍😆😆😆
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
Lolo tena
@kenbertkikonde-yx2dj
@kenbertkikonde-yx2dj 5 месяцев назад
Ahsante
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Год назад
Hongera big up
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 2 года назад
Safi saana Mheshimiwa
@centralboytz4240
@centralboytz4240 2 года назад
Mwamba yuko vzur katufumbua macho👏👏👏
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 года назад
🤔EBM una moyo mzuri, una nia nzuri na watu, una imani nzuri na zaidi ya yote una mapenzi mazuri na watu hasa Watanzania. Wewe ni mfano mzuri sana. Wapo watu wachache kama wewe🤔.
@linalusheke2820
@linalusheke2820 Год назад
May God Bless Him
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Год назад
@@linalusheke2820 Yes indeed amin 🤲
@martinboss6099
@martinboss6099 2 года назад
Nikweli kabisa
@kibokibosho7476
@kibokibosho7476 2 года назад
Kwel wa Tanzania hatupendani uwez amina me na mama Mdogo Wang na kaolewa na askari wa huko lkn a nakwambia hana uwezo kwamb a maisha n MAgum hahahahah noma sana
@bettygeorge4161
@bettygeorge4161 Год назад
Jamanii naitajii kazii hata ya kuosha vyombo jamani
@seremaboubakar8981
@seremaboubakar8981 2 года назад
Ebane tunashukuru sana
@laurahomine714
@laurahomine714 2 года назад
Well spoken
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Kwakwel ukipamba nyumba yako vzuri kila mtu anaitamn akae ndo marekani, China, Canada ivyo kwahyo wnztu wamekitahid sanaaa wnztu kimaisha ndo Mana kila mtu anataka. Akaish mie binafs napenda Atlanta Georgia
@imanikiza
@imanikiza 28 дней назад
Very good
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 года назад
Sauti yake kali sana hiiii !
@msemasungura5651
@msemasungura5651 2 года назад
Mjomba tunaomba namba pasport tunayo
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 2 года назад
Muha anaongea kuliko mtangazaji😄😄😄😄😄😄😄😄
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 2 года назад
Jamaa ana uzoefu sana
@kisalaTV
@kisalaTV 2 года назад
Hapo kwenye kamati ya roho mbaya wa tz wanaongonza
@ruuh5149
@ruuh5149 2 года назад
Yn wana roho mby sn wng tofaut na nchi nyengin zt
@romanstephen4101
@romanstephen4101 2 года назад
One love brother
@abedmzungu9057
@abedmzungu9057 2 года назад
real broo
@neemah6517
@neemah6517 2 года назад
Mm naomba kweda kufanya kazi zadani nisaidie kwahiro kaka
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Год назад
Asante kaka tunaomba namba yako
@jobmaeda7917
@jobmaeda7917 Год назад
Salute
@PAKA100STUDIOS.
@PAKA100STUDIOS. 2 года назад
🎥
@jbm6309
@jbm6309 2 года назад
Sijui kwa nini content kama hizi hazitrend ila mambo ya kipumbavu yanatrend
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Zipo nyingi sana sema wabongo hawezi kufuatilia mambo
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 месяцев назад
Huyu jamaa bana yupo vizuri tuacheni masihara,yaani mimi ningelimjuwa mapema basi dah ningekuwa mbali sana
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 2 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️
@swalehadinan7264
@swalehadinan7264 2 года назад
Bro makulilo nakuelewa sana
@marcelinojunior6340
@marcelinojunior6340 2 года назад
Mr sky nakukubali
@xmaramoja362
@xmaramoja362 2 года назад
Bro sky kumbe hiyo Air Jordan 1 ndiyo ndula ya Brother Hamza wa dar.
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 года назад
Me nataka kwenda marekeni
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 года назад
Jamaa ni mrundi au unatokea kigoma,anafoka kama Mwijaku
@licious3456
@licious3456 2 года назад
Hahahahahaa
@kelsamtv5529
@kelsamtv5529 Год назад
Good
@amiriiddy8640
@amiriiddy8640 2 года назад
sky uko vizur sana kaka
@jrlamar8925
@jrlamar8925 2 года назад
JAMAA ANAMADINI MENGI ADI ANAJIKUTA ANATAKA AYATEME YOTE KWA WAKATI MMOJA
@upendolema9809
@upendolema9809 2 года назад
Sana Yani😂
@athumaniramadhani4975
@athumaniramadhani4975 2 года назад
Si kila mtanzania anaishi USA anajua mambo yote hayo jamaa .jamaa anajua hivyo kwa sababu katumia njia hiyo kuingia USA so 🤷‍♂️ kuna watu wameingia njia tofauti then wanajikita kwenye maisha yao.Plus mchizi kapitia njia nyingi na anafanya kama mambo hayo kama moja ya kazi kwake
@samwelibky_eze2571
@samwelibky_eze2571 2 года назад
Wanangu wa USA hii inatuhusu
@JourneyBook
@JourneyBook 2 года назад
@@elvisoscar9912 🤭😃
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
@@elvisoscar9912 😂😂😂😂Tena kwa Mparange
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@twalibusikilinde6255
@twalibusikilinde6255 Год назад
Naomba niunga Nishe na uyu kaka
@cadzabibu9871
@cadzabibu9871 2 года назад
Unaongeya kweli
@daltonmariki2485
@daltonmariki2485 2 года назад
Canada 🇨🇦 n muda gan ama n anytime kwenye application
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 2 года назад
Kama umesikiliza hii interview na hauja ondoka na madini yakulala nayo jifikirie sana na iyoo kichwa yako🥶
@Ankali455
@Ankali455 2 года назад
Ivi hawa watu walio dislike ni Bahati mbaya au ni Upopoma wao tu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Sky nahitaj kujuw hiy green card nachezj pls utujuz ama namb Zak ili tumuuliz
@tynoblack5996
@tynoblack5996 2 года назад
Nimejifunza vitu ving saan katka hii interview
@JumaMtoo-gg7zc
@JumaMtoo-gg7zc Год назад
Je kwa sisi tulip ishia kidato Cha nne inakuaje uko kupata ajira jeshi la USA
@MahmoudShaaban-li3uf
@MahmoudShaaban-li3uf 8 месяцев назад
Kaka vp kuhusu waloishia from three
@shebe2573
@shebe2573 2 года назад
Sky mbona mnafanana mko wandugu
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 2 года назад
Ni raia wa marekani lakini sijasikia the the the yes yes yes no no no no, lakini wangekuwa wamakonde hapa ingekuwa hatari
@tadeosaidiandrew6486
@tadeosaidiandrew6486 2 года назад
Treeoflife..
@mrembowakisukuma1447
@mrembowakisukuma1447 2 года назад
😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Nitabia tu ya mtu na wala si kabila fulani
@johnjoseph763
@johnjoseph763 2 года назад
Hahahaha jamaa full conshaz sn anaongea vzr sio hawa makalio wetu uzungu mwili hlf hamna kitu
@sharafikuliyocha3853
@sharafikuliyocha3853 2 года назад
Ndio maana nimesubscribe hii channel coz inavitu real no longo longo Tena vyenye manufaa
@AshiruHamis-eq7qb
@AshiruHamis-eq7qb 3 месяца назад
Work experience inakuaje nieleweshwe tafadhali
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 года назад
hapo kwenye kumtongoza demu alf nisiendelee kumfatilia hacha nibaki tu bongo..
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Bora wangewaacha wakoloni tungekuwa SAwa na USA
@johnjoseph763
@johnjoseph763 2 года назад
Wakoloni sio ndugu bibi zetu na babu zetu walikuwa wanapitia wakati mgumu sn ndugu ww umeikuta nchi ipo sawa lkn maumivu walio yapitia mungu ndio anajua
@mussamalugu1793
@mussamalugu1793 2 года назад
Mbona unaongea kama mkuliya slow down please
Далее
Best exercises to lose weight ! 😱
00:19
Просмотров 7 млн
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
Просмотров 20 тыс.
Njia rahisi ya kuingia marekani
2:35
Просмотров 19 тыс.