Тёмный
No video :(

KWELI MAZRUI CCM..? AMEKWISHA, MBELE YA DKT MWINYI "YUPO FURAHANI KWA MAMBO HAYA HAKUNA ATAKAEKATAA" 

Riyadh Tv Online Znz
Подписаться 295 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #mzarui

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@w4058
@w4058 2 года назад
Kwani kuna kosa gani upinzani ukisifu kazi nzuri waloisimamia pamoja na ndio maana upinzani ukakubali kusamehe acha kejel hizo
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 года назад
Hao ccm maisha hawabadilikii wana roho mbaya khasaa hawajui hata nn serikali ya umoja kitaifa ujinga mtupu
@w4058
@w4058 2 года назад
@@nailamohd7693 hawajui wala hawataijuwa madhali waneshikilia mavamizi yao na kuyabadilisha jina kuyaita mapinduzi na dhulma waliofanya
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Месяц назад
Akili za ccm ukisifia ndio usuakuwa mwenzao
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
Katiba mpya
@w4058
@w4058 2 года назад
Hahongeki kwa utumbo wenu wa kichwa cha habari
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 года назад
😅😅
@w4058
@w4058 2 года назад
@@nailamohd7693 Haha shukran umeona eee ujinga wao na miroho yao mibaya hajazungumza la maana hata moja upinzani kazi yake kupinga na kupiga kelele serikali wajibu wao kusikikiza na kurekeleza na hizo sera za ACT ndio wanazifanya ili waoneakane wao ndio watejelezaji huo ni wajibu wao sio fadhila mshadaike nao 2025 kazi vile vile msije mkafanya makosa ikisha tuone kama kweli CCM wana nia njema na Zanzibar kwa kutowa ushindi kwa aluyeshinda bado tunasafari refu Wazanzibar Watanzania kwa jumla
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Hizo ndio sera za ACT Wazalendo anazofanya Mhe. Mazurui. Na angeboronga nyie nyie ccm mgesema hafai.
@w4058
@w4058 2 года назад
Yeye ni Waziri katika serikali ya umoja wa kitaiafa na protocol ndio inavyotaka wewe babu acha mara moja kuota ndoto za nyumba ya karata.
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Mwinyi kazowea kubembeleza waharibifu. Mazurui yeye ana chana tu. Ujumbe wa Mazurui unakuhusu hata weywe kama yamekushinda acha urais. Mazurui bhana
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Ndio maana Watanzania /wazanzibari wanakuja huku nje ya nchi kibaooo wanakimbia maisha magumu makodi 2 much. Hata urojo utakatiwa kodi. Tumechoka tunataka kurudi kwetu hakurudiki.
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Год назад
si kwenu huku ndo mana hurudi, wenyewe tuna ripoti
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Nyie ndio mnao mharibia Mwinyi. Mwache asikilize maoni ya wananchi kwani huo ndio ustaarabu na pia wanamzidua ili aweke sawa. Hii ni nchi yetu sote lazima aambiwe.
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Hili babu ndio walokua wakimharibia sheni na walipita. Ccm nyie ndio mnaolazimisha dhiki nchi hii. Wananchi maisha hawayawezi njaaa sio kuhesabu milango ya maduka tuu watu hawana pesa. Pumbavu weee
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 года назад
Kwanza mm simfahamu hata kdg,
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 года назад
Mazurui hana njaa kama nyie. Anakuonesheni kuwa ACT wanaweza. Mhe. Mazurui ana uchungu kwa Wazanzibari na anajua kuwa waliowengi walimchagua Maalim chini ya ACT wazalendo. Ni lazima awatumikie Walio wengi. Kaza buti Babu Cholo. Natamani siku nije Tanzania nikute una mkutano kama huo.
@ZANAMBER
@ZANAMBER Месяц назад
Tuondole ujinga wako kwanini babu katoka wapi?
@ZANAMBER
@ZANAMBER Месяц назад
Tuondole ujinga wako kwani hii mibabu imetoka wapi naona wanatuletea siasa za kijinga na kizamani tu sisi wazanzibar tunataka mamlaka yetu hatuna haja ya porojo lenu
@w4058
@w4058 2 года назад
Mjinga nini wewe babu nani atakaekuja ona kama umewakusudia wapinzani kakojoee ukalale wewe jinga la mwisho upinzani kazi yake kukosoa na penye wasi wasi waulize wacha utoto huo
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 года назад
Wewe mkereketwa babu ni mjinga sana kwani Rais huyo kazi anafanya pekee yake wacha siasa za kijinga mpumbavu wewe mtu mzima. Ovyoo kalale muuwaji mkubwa huna lolote na wewe ni wale wachumia tumbo
Далее
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 205 тыс.
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 1,7 млн
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
Просмотров 63 тыс.
ZANZIBAR RASMI KUANZA KUTENGENEZA MAGARI
6:51
Просмотров 9 тыс.
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 205 тыс.