Тёмный

LALA HIVI ILI USIKOJOLEWE NA SHETANI || USINGIZI NI KIFO KIDOGO || MAWAIDHA SH. OTHMAN MAALIM 2023 

AQ ONLINE TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Tofauti pekee iliyopo baina ya aliyelala na aliyekufa ni kupumua tuu ndiyo maana usingizi ukawa kifo kidogo na kifo chenyewe kikaitwa usingizi mkubwa.
Sheikh Othman Maalim akifundisha juu ya adabu za kulala na namna Mtume wetu alivyokuwa akilala, kwani katika kulala kuna "kulala kisha usiamke" na "kulala uamke". Kwa hali zote Mwanadamu anahitaji ulinzi na usalama awapo kwenye hali yaje hiyo na yampasa wakati wowote yeye kuaa teyari na mauti haswa wakati ule anaenda kulaka.
Fahamu: #dua_ya_kulala #namna_ya_kulala #live #mawaidha #zanzibar
Video credit: Riyadh Tv Online Znz
Original video: • INATIA HURUMA SHK.OTHM...
**Kwa mawaidha mengi na mazuri ya Sheikh Othman Maalim wafuate Riyadh Tv Online Znz.
Follow Us, AQ ONLINE TV On:
FACEBOOK:
/ aqonlinetv
INSTAGRAM:
/ aqonlinetv
TWITTER:
/ aqonlinetv
WHATSAPP:
chat.whatsapp.com/LTkso2pn287...
TIKTOK:
vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/
TELEGRAM:
t.me/aqonlinetv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2023 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.

Развлечения

Опубликовано:

 

4 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@aqonlinetv
@aqonlinetv Год назад
Msisahau kuSubscribe kwenye channel yetu.
@user-yj6bf3rr4h
@user-yj6bf3rr4h Год назад
TUKUMBUSHENI SANA MAMBO YA KIDINI
@mariamissa9405
@mariamissa9405 Год назад
Jazakallahu kheir shekhe🙏
@user-ro3pj6ps7o
@user-ro3pj6ps7o 6 месяцев назад
Mashallah Mungu atujaalie mwisho mwema. Shekh unatuwa mbali wallah Mungu atakulipa duniani naaghera inshaallah tunakipenda sana wallah❤
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Год назад
Mashallah tabarakaallah sheikh
@user-sy7pw5kx5y
@user-sy7pw5kx5y Год назад
Shukurani ustadh amiin amiin
@muznarashid6301
@muznarashid6301 Год назад
Mwenyezimungu akuhifadhi sheikh wetu
@user-to7zh2it4i
@user-to7zh2it4i 9 месяцев назад
Allah is great
@user-pj9em6tb5u
@user-pj9em6tb5u 11 месяцев назад
Mungu akubariki shehe wetu
@user-ye1eu9dh6n
@user-ye1eu9dh6n 6 месяцев назад
Subhananllah Allah atuswamehe sana makosa yetu na atupe mwisho In sha Allah
@salimmwemmm6556
@salimmwemmm6556 Год назад
Yarab tujaalie mwisho mwema.chukua roho zetu wakati umeridhia nasi.🤲🤲🤲🤲
@salimmwemmm6556
@salimmwemmm6556 Год назад
Sheikh jazzak allahu kheir insha allah kwa mawaidha ya kutukumbusha kuhusu mauti. Allah akujaze na hikma na akujaalie umri zaidi ili uzidi kuenezeza na kutangaza dini ya Allah.Deen al-islam.🤲🤲🤲
@user-gs7mw1jo2b
@user-gs7mw1jo2b 11 месяцев назад
Mungu awajalie mnatukumbusha
@user-wy7zl2vr6k
@user-wy7zl2vr6k Год назад
Takbriiiiiii
@Shemtoi-vq3fd
@Shemtoi-vq3fd 2 месяца назад
Aamina alhamdulillah nimejifunza mengi kwenye hii hadhithi Yaa Allah nakuomba unisamehe Mimi na wazazi wangu na pia wa wenzangu aamina
@abdoulamisi5179
@abdoulamisi5179 Год назад
Jazzakallahul khair
@FatumaHassan-te1ck
@FatumaHassan-te1ck Год назад
Alla atujalie kaulithabitt
@JohaUwimana-co2bu
@JohaUwimana-co2bu Год назад
Allah atujaliye mwishomwema Allahuma amin kwasot
@hafsaamani2902
@hafsaamani2902 Год назад
Allah tujaalie mwisho mwema
@yussufmaulidi9596
@yussufmaulidi9596 7 месяцев назад
Sheikh wetu Allah ampe maisha marefu inshaaAllah
@dadejamal
@dadejamal 4 месяца назад
Amim🙏🙏🙏
@Ostadhatnasma
@Ostadhatnasma 8 месяцев назад
Alhamdulillah, Shukran kwako Allah akulipe kher
@user-lw8bw2bc2r
@user-lw8bw2bc2r Год назад
Amini jazakallah kheri yaraby atupe mwisho mwema 🙏
@mariamunika6239
@mariamunika6239 Год назад
Aya Allah nijaalie mwisho mwema ya rabi taqabar dua
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 Год назад
Kbs ostazi🥰🥰🥰
@user-nb1df9zy1l
@user-nb1df9zy1l Год назад
Mashallah sheikh wetu
@user-cr5rn2yv3f
@user-cr5rn2yv3f 10 месяцев назад
Mashaalah mawaidha nimazuri sana.mwenyez.mungu atupe mwisho mwe Ma
@user-mq7gs6dn8w
@user-mq7gs6dn8w 6 месяцев назад
Emollah wangu naomba nisamehee mm na wazazi wangu wawili Amina.🎉
@mariamunika6239
@mariamunika6239 Год назад
Masha Allah
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
Kabisa
@mohamedsaidmohammed5002
@mohamedsaidmohammed5002 Год назад
Masha Allah.mawaidhaa yake maziri
@user-ku2zp8jw6w
@user-ku2zp8jw6w 6 месяцев назад
Aamina shekh mungu aakupe umri mrefu
@FakiiKiliula
@FakiiKiliula 4 месяца назад
Mungu atusamehe leo mpaka kesho kiama
@athumanadamu2550
@athumanadamu2550 Год назад
Mungu akuzidishie Maisha maref
@bojomohamed9999
@bojomohamed9999 Год назад
MashaAllah MUNGU akuzidishie
@user-ye1eu9dh6n
@user-ye1eu9dh6n 6 месяцев назад
Allah atujalie mwisho mwema
@KHALIFAMPYA-TV
@KHALIFAMPYA-TV Год назад
Shukran
@miishhassn
@miishhassn Год назад
Shukran kwa somo allahu akulipen 🙏❤❤
@ChikuMmanywa-ut8oz
@ChikuMmanywa-ut8oz Год назад
Yarabbi Tusamehe madhambi yetu,tulinde na hyu ibilisi na tujaalie mwisho mwema
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
Ameen
@user-zb4py9rl9c
@user-zb4py9rl9c 4 месяца назад
Jamani tumswalieni mtume pindi anapo tajwa ❤SAW ❤❤
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
MASHAALLAH Mashaallah shukran sana 🤲
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj Год назад
Allah Akbra ❤❤
@bestkingofpoetry9882
@bestkingofpoetry9882 Год назад
Allah atujaliye mwisho mwema
@user-gf9rz7uh7x
@user-gf9rz7uh7x Год назад
Aminaa Allah atufanyie wepes 🤲
@user-yj6bf3rr4h
@user-yj6bf3rr4h Год назад
AMINAA ALLAH ATUJALIE KU KWA BINADAAMU
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Год назад
Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola akuhifadh ust othuman
@mesalimchama1874
@mesalimchama1874 Год назад
Amina rabbil allamin
@user-wy7zl2vr6k
@user-wy7zl2vr6k Год назад
Kuna mtu amekomenti, kama vile anakashfu,, nimeziona koment zake, Bila shaka nikafiri huyo, kwa mimi nimepata faida. Sana na mawaidha hayo, shukran sana
@dadejamal
@dadejamal 4 месяца назад
Masha allha
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv Год назад
MaaShaaAllah mawaidha mazuri
@AminaAliHamad-fc8db
@AminaAliHamad-fc8db 9 месяцев назад
Kila la kheri Sheikh wetu
@user-pk3si6ku4f
@user-pk3si6ku4f Месяц назад
Mansha’Allah Jazaakum Allahu kheir Shukran Shekh ❤❤❤
@badrukhamis255
@badrukhamis255 Год назад
Kwely
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@rashidahmad-bv5wg
@rashidahmad-bv5wg Год назад
Allahuma amiin, Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Год назад
Allah humma mamiin 🤲
@FatumaMuya
@FatumaMuya Год назад
Amiin
@user-lm1wl1ht6l
@user-lm1wl1ht6l 6 месяцев назад
Mawaiza kifo
@user-hl1ws9tx8x
@user-hl1ws9tx8x 13 дней назад
ubarikiwe ❤
@munam7104
@munam7104 Год назад
Ameen yaraby
@user-pb1vq9wb6o
@user-pb1vq9wb6o Год назад
Subhanallah 🙏🙏🙏🙏
@user-ku2zp8jw6w
@user-ku2zp8jw6w 6 месяцев назад
Mashaallah
@user-nf9tx1yt2o
@user-nf9tx1yt2o 9 месяцев назад
Allah Akbar shukran shekhe wetu
@mamanabdoul4397
@mamanabdoul4397 Год назад
Allahumma Amiina
@ibnseyf5724
@ibnseyf5724 Год назад
Masha Allah alhamdulillah
@ntirampebafatuma7817
@ntirampebafatuma7817 11 месяцев назад
asate;chehe
@asiaogle5832
@asiaogle5832 Месяц назад
Masha AllAh ❤❤❤🎉🎉😭😭😭
@hitilajwali9846
@hitilajwali9846 2 месяца назад
Allahumaa amiiin
@dickikahese9681
@dickikahese9681 Год назад
mashaaaaaalwah
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Год назад
احسنت
@agiraali7693
@agiraali7693 Год назад
Sub'hana Allah
@zulachama1067
@zulachama1067 Год назад
Mashallah mawaidha mazuri sana, hila wandishi kueni makini sana mnapo andika headlines # usingizi ni kifo kidogo sio ( kidigo)😂😂.
@blessingblessing9641
@blessingblessing9641 Год назад
😂😂😂😂amepitiwa
@ElivinaBayah-be8or
@ElivinaBayah-be8or Год назад
Umewakumbusha but I see they're righting good
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
Shukran 😢🤲🤲
@user-gh7nm6sf2b
@user-gh7nm6sf2b 10 месяцев назад
Shekhe Othaman mm nashid naww baba angu
@UmmyMketo
@UmmyMketo 7 месяцев назад
Yarabi tujaalie mwish mwem ss na wazee wetu
@vickdaniel1883
@vickdaniel1883 10 месяцев назад
Shehe asalamu alikum
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Год назад
Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo mizito NAMI nitawapimzisha. Mt 28:11 " Shetani aliwahi kuonekana wapi na mwaka Gani.haya na mengine mengi mliyonayo Yesu anaiita mizigo"
@salimmohamud5390
@salimmohamud5390 Год назад
Confused
@fabianmkimbu880
@fabianmkimbu880 Год назад
Tuwaombee Hawa wenzetu Mungu awafungue macho manake mambo wanayoyahubiri si ya kufika mbinguni,badala ya kuwafundisha watu watubu dhambi na kuziacha wanahubiri mambo ya kukojolewa na shetani.
@ahmedbashash3672
@ahmedbashash3672 10 месяцев назад
Wewe mwizi nyinyi dini yenu ni ya ujambazi mtupu na utapeli mnawatia wajinga hao dawa za kulala na kudondoka mijizi mikubwa pumbaaaaff
@AraphaHussein
@AraphaHussein 7 месяцев назад
Co lazma kuandika ujinga wko
@user-ft9xf3fe5v
@user-ft9xf3fe5v 2 месяца назад
Mizigo gni ya kuni au ktk watu wasio na akilini ni wakristo mm mkristo hata awe kiongoz namuona hana akili tu
@RashidAbdallah-qv5qb
@RashidAbdallah-qv5qb 9 месяцев назад
Mazur san huwa tunafaidika na mawaiza yake
@MwajabuHasani-fq7nr
@MwajabuHasani-fq7nr 9 месяцев назад
Du natamani mume wangu angenipa maiza hay waraf ningefurah
@user-zu6vm2uv1z
@user-zu6vm2uv1z Год назад
Vipi kujiginga n'a majini n'a masheta za makafiri
@user-ie8jz1tw9s
@user-ie8jz1tw9s 5 месяцев назад
💖💖💖❤❤❤💞💞💓💓💓💝💝💝
@user-gh7nm6sf2b
@user-gh7nm6sf2b 10 месяцев назад
Yani mimi nakutafut kweli nanafatilia sn mawaiz yako
@khamismussa6258
@khamismussa6258 Год назад
Assalam Alaiykum Warahmatullahi Wabarakatu,mm naomba kufahamu zaidi kwa waliofam zaidi yangu je hizi sura unasoma kila kimoja mara tatu au nimaramoja tu?
@abdimshana9002
@abdimshana9002 Год назад
Kila moja unairudia mara 3
@nasraebrahim6300
@nasraebrahim6300 Год назад
Mara tatu Kila sura Moja nnavyofahamu mimi
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Год назад
Eti usikojolewe na shetani, funny stories of the Quran 🤣🤣🤣
@salimmohamud5390
@salimmohamud5390 Год назад
Wewe unaalala kama maiti
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Год назад
We kafiri unataft nin uku
@RashidAbdallah-qv5qb
@RashidAbdallah-qv5qb 9 месяцев назад
Hakika wewe ni kafir mkubwa huna hekima kabsa
@AraphaHussein
@AraphaHussein 7 месяцев назад
Kwan ni lazma ukoment
@sumayyahally3199
@sumayyahally3199 Год назад
Subhananllah Allah atuswamehe makosa yetu na atupe mwisho mwema ln sha Allah
@JohaynaKhamiss-kr1bw
@JohaynaKhamiss-kr1bw 4 месяца назад
Amiin
@user-jc5gf1is2r
@user-jc5gf1is2r 4 месяца назад
Mashallah twaomba na sisi watu wa kakuyuni ututembele sheikh tuko Kenya malindi kakuyuni
@Zamu-ud4zl
@Zamu-ud4zl Год назад
Masha Allah
Далее
KISA CHA KUHUDHUNISHA CANADA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:07
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Othaman Maalim - Ninani Mtu Bora. Part1  & 2
2:35:40
Просмотров 313 тыс.
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
Просмотров 3,1 млн