Hp Probook 450 G5 ni laptop yenye uwezo mkubwa sana na pia inapatikana kwa bei rahisi ukilinganisha na laptop nyingine zenye uwezo sawa kama hiyo. Pia ni laptop ambayo ni nzuri sana hasa kwa wanafunzi wa vyuo.
Laptop hio inakuja na specifications zifuatazo:
8GB Ram
1TB HDD/ 256GB SSD
Intel Core i7, 8th Gen
2 USB Ports 3.0
1 USB Type C Port
VGA Port
HDMI Port
Ethernet Cable Port
SD Card Slot
Microphone/ Headphone Jack
7-8 Hrs Battery Life.
Kwa Ushauri zaidi kuhusu simu pamoja na laptops unaweza kutupata kwenye account zetu za instagram pamoja na Facebook (vedasto makota)
Video Courtesy Content of:
Dove Computer Solutions Ltd:
• HP ProBook 450 G5 Revi...
Music used:
Envato: elements.envato.com/audio/roy...
Email: vfmakota@gmail.com
Instagram: vedasto_makota
Facebook: Vedasto Makota
15 сен 2020