😂😂😁niangalie mimi.. Wow mzee yusuf Masha'Allah Allah akizidishie uongofu huo ..nmependa vle umesema kwamba unashusha macho (kwa ajili ya Allah) ..those are the most pleasing words to hear from a man masha'Allah... Allah akuongoze mzee yusuf
Mashaallah Mzee Yusuph Allah atujalie na atuongoze njia iliyonyooka,ila nakushauri ukienda kwenye midia jitaidi kuwaambia wanawake wajistiri ipasavyo ndo uweze kufanya nao interview.
hamna adabu asaalam alaykum kichwa wazi mwanamke anashindwa kujisitiri mwezi huu wa ramadhani hata mzee yusuf anashindwa kuwatizama umbea acheni interview mbovu.
ALLAH akujaalie umejibu vizuri tena kwa mifano hai kwa wenye kuelewa kwamba kashindwa mtume NUHU pia RUTI ila wajinga wataendelea kuuliza mbona LEILA anaimba taarabu
mi ndo ningekuwa namuhoji mzeevyusuph kitendo Tu cha kusema nipo vibaya, ningeweka burudani yani poz afu ningeenda kysaka khanga kwa wafanyakazi wenzangubthen nikajitanda ushungu, hivyo ndivyo ilivyo MTU akisemwa kiutu uzima bhs Mara Moja inabidi ubadilike papo hapo!
huyu mtangazaji angekuwa anajielewa aengeangalia leo nafanya interview ya aina gani maana mazingira yakubadilika na tabia lazima zibadilike ndio maana ameambiwa kijitukizima kwamba hakuvaa vizur kwa muktadha husika
Binadam bana sasa nyie mnamjaji dida anasura hiv anahivi Nyie zenu nzuri Zaliwa nyama..Kuweni Wastarabu wote mmeumbwa naMungu..Ucheni Uhasidi..Kumanina zenu
Sarah Gaula Hajakose ni sawa Sawa mfalme ni Yule alieko mbinguni na ni Allah peke yake mana yeye ndio anae miliki kila kitu hawa wadunia hawana kitu mana wenye wao wana mtegemea alie juu
MZEE JIEPUSHE KUHOJIWA MASUALA YA KIDUNIA. ALAFU JITAHIDI KUWA NA MKAO KTK KITI KAMA HAJJ SIYO KUZUNGUSHA KITI KM WAHUNI. NAKUSHAURI UPENDELEE KUHOJIWA NA TV ZA DINI. WEWE YUSUFU BADO UNA MAMBO YA KIDUNIA . CHUNGA SANA MUNGU ABIPIWI! ATAKUPIGIA! UTALIA NA DUNIA SHAURI YAKO.