Тёмный

INASIKITISHA! Tazama Mazishi ya Mke wa Mzee Yusuf na Alichokisema Makaburini 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Mke wa mzee Yusuf, Marehemu Chiku Hamisi, hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, shughuli ambayo imehudhuriwa na mamia ya waombolezaji.
Chiku alifariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya Amana wakati akijifungua ambapo kichanga kilichokuwa tumboni mwake nacho kilifariki.
Chiku alipoteza maisha akisaidiwa na wauguzi kujifungua kwa njia ya upasuaji ambapo mwanaye aliyekuwa tumboni alifariki pia.
Shughuli za msiba na mazishi zilianzia nyumbani hapo Kariakoo Mtaa wa Amani na Livingstone ambapo mwili ulitolewa nyumbani hapo na kwenda kuswaliwa kwenye msikiti wa Manyema.
Baada ya sala mwili ulipelekwa makaburi ya Kisutu jijini hapa.
Katika mazishi hayo Mzee Yusuf aliishiwa nguvu ambapo aliondolewa makaburini hapo kwa msaada wa waombolezaji.
Mzee Yusuf alikuwa Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern taarab kabla ya baadaye kuamua kuachana na muziki wa kidunia na kumgeukia Mungu wake.
Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Опубликовано:

 

17 июн 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 589   
@stellahmutheu9249
@stellahmutheu9249 7 лет назад
Pole sana Mzee yusuf kwa yote yaliokuvika kwa kweli nayatambua maumivu unayopitia dakika hii kwa kweli si jambo jepesi ila nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe faraja yake na akutie nguvu kabisa katika kipindi hiki kigumu.kwa niaba ya wakenya wenzangu Nasema Pole sana kwa wakati ngumu unaona kwa sasa.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pake pema peponi
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Allah ATAKUFANYIA wepesi mzee Yusuf, pole sana my bro mzee Yusuf.
@fatmakhamis1018
@fatmakhamis1018 7 лет назад
kwani yeye alisha tangulia na sisi mtwamfuatia inna lilah wainnna ilaih rajiuun
@jasminiseifusefu5183
@jasminiseifusefu5183 6 лет назад
Ewe mola wetu msa mee madhambi yake
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 лет назад
Dah...! Mimi ni Mkristo. Na mawaidha ya baba na kaka waliyoyaongea nimeyakubali kwa moyo wangu na akili yangu. Ndugu zangu tuombe, tuombe, tuombe bila kuchoka. Mungu awarehemu marehemu wote. Amina. Pole sana mzee Yusuph.
@laythatoman3945
@laythatoman3945 7 лет назад
Sweet Mama nivuzuri kufunguka kiakil njoo kwenye kwenye dini ya kislam hatuna makubwa unatakiwa utoe shaha na uswali swala tano kwa kila siku na unatakiwa ufate maelekezo ya kitabu cha kur-ani allah amesema hataingia kafiri kwenye pepo mpaka ngamia apipe kwenye tundu ya sindano Je.? jiuli inawezekana ngamia akapita kwenye tundu ya sindano jibu haiwezeka ni kwaiyo milele na mimi ni katika moto innalillah turudi kwa mola wetu ni mwingi wa kusamehe
@westonrashid1128
@westonrashid1128 7 лет назад
LAYTHAT OMAN mwache mwenzio Na imani wewe Una uhakika gani Na dini yako we vipi
@laythatoman3945
@laythatoman3945 7 лет назад
Weston Rashid Mi sina uhakika na nafsi yangu unanambia dini mimi nimeambiwa nitende tu uhakika allah yaalam rasul( anaejuwa ni mungu tu) kiukweli sina uhakika bro mimi natekeleza wajibu na namuonba mungu anitakabalie tu na pia atupe mwisho mwema
@hamedaabdultaleb713
@hamedaabdultaleb713 7 лет назад
Sweet Mama Amiin Allah awape kauli thabit huko walipo kila nafsi itaonja umauti
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 7 лет назад
Sweet Mama njoo kwenye dini ambayo haina mashaka ndani yake na Muhammad s.w ni mtume Wa mwisho in shaa Allah Allah akufanyie wepes uzinduke mapema🙏🙏🙏🙏
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 7 лет назад
Qulu man alaihafan....Kila kitu kitakwisha ..kwa mujibu wa Allha s.w..Nakuombea mzee Yusf na familia yako MwenyezMung akujaalie na akupandishe daraja kwa kuwa na subra ktk mtihan huu
@canwatrahuma1569
@canwatrahuma1569 4 года назад
Aameen ya rab
@jasminkinga7684
@jasminkinga7684 7 лет назад
Allah akupe subra Mzee Yusuf, huyo mtoto nidhamana Allah akutunzie iwe wakukuombeeni shifaa kesho akhera
@augostinermercy1542
@augostinermercy1542 7 лет назад
Poleni sana..mungu awape nguvu na azidi na kukufungulia njia...hii ni njia ya kila mtu...twashukuru mungu pia kwa uwamuzi wake..hakuna wa kupinga..akasha amua mwenyewe🙏🙏🙏
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 лет назад
Innalilahi wainnailaihi rajiuni yarabi msamehe dhambi zake kifo alichokufa na mwezi aliokufa yarabi minnalfaidhina msamehe dhambi zake yeye namaiti wetu wote poleni wafiwa ndio hatma ya mwanaadamu tumo ndani yafoleni hatujui kama ni mda huu nisiku gani yarabi tupe bihusnilhatma
@kibibimwambire4516
@kibibimwambire4516 7 лет назад
Ummu Samira amiin yaarabbi
@TheChidonline
@TheChidonline 7 лет назад
Ummu Samira Ameen
@zuraiqbintameir7322
@zuraiqbintameir7322 7 лет назад
Amin
@dudytgufht6156
@dudytgufht6156 7 лет назад
Amiin
@anunur5200
@anunur5200 7 лет назад
Tunamshukuru mwenyezi mungu Alhamdulillah ramadhani inakwenda vizuri sana pia nasikitika kwa ramadhani inakwisha
@fatimasaid4193
@fatimasaid4193 7 лет назад
Pole sana my brother Mzee Yusuf😭 hapo umesema mngu akujalie ufaulu kila mitihani wallahy tena sahi ilobaki ni subra
@halimaothmann2352
@halimaothmann2352 4 года назад
Pole sana kaka Allah akupe subra ww na sisi kifo kimeumwa hakikimbilikii SubhanaAllah 😭😭😭😭
@nawalsultan339
@nawalsultan339 7 лет назад
ALHAMDULILAH mwezetu amestirika nasi tumuombe Allah tustirike ishallah 😢😢😢😢
@RidhwanAmar
@RidhwanAmar 7 лет назад
Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Rajiuun. Poleni sana Allah awape subra. Baqi Allah
@araarambo5414
@araarambo5414 7 лет назад
Allahumma ghfirlaha warhamha.... Allah akupe Subra in Shaa Allah brother Yussuf
@ameenaameena8279
@ameenaameena8279 7 лет назад
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAIHIR RAAJIUUN.ALLAAHUMMA AJIRNIY FIY MUSIYBATIY WA AKHLIF LIY KHAYRAN MINHAA.HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA EWE MOLLA WANGU MPE UJIRA KATIKA MSIBA WAKE HUU ULIOMPTA NA UMPE LILILO BORA KULIKO HILI.ALLAH UKUPE SUBRA KWA MTIHNI HUU .
@josephpiusmtanke5194
@josephpiusmtanke5194 7 лет назад
Dah inasikitisha Sana ,nimependa mawaidha ya huyu shekh yamenigusa japo mi mkiristo,Pole mzee Yusuf na familia kwa ujumla
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад
inauma jamani mpaka machozi yamenitoka,alhamdulilah kaondoka mwezi mtukufu milango ya motoni imefungwa imefunguliwa milango ya kheri mashaalah kaondoka na damu zake za uzazi ni maghafirà tosha hayo mengine Allah amsamehe
@mariamwaziri5691
@mariamwaziri5691 7 лет назад
innalilah,wainailayh rajiun
@sagamambi2480
@sagamambi2480 7 лет назад
Shuweha Haruna Omari Ikwena m
@gibsonmanyaga5242
@gibsonmanyaga5242 7 лет назад
Sagama Mbi
@zennaelsabry2539
@zennaelsabry2539 7 лет назад
Allah akufanyie wepesi mzee Yuusuph na akupe subra pia pole kwa wote walioguswa na msiba huu Allah atujaalie kutokana na hili tuwe tumepata mawaidha na tujiandae na sie kuikabili safari hii ya lazima tena isiyo na shaka ndani yake
@dubabaxakazoom.5530
@dubabaxakazoom.5530 7 лет назад
innalilahi wainailehi rajeooun..ALLAH mfanyie mzee yusuf mtihani huu uwe rahisi kwake na subra ,vlevle subra kwa familia wote ..ALLAH mjalie janatul firdaus.ameen
@hassansalum8496
@hassansalum8496 7 лет назад
Subhan'Allah sote Ni wa m/mungu na kwake tutalejea
@mwanahawasaid4726
@mwanahawasaid4726 7 лет назад
pole sana al hajii mzee yusuph ya allah akupe nguvu na moyo wa ujasil katka kipindi hichi kigumu amiin inshallah na marehem pia amuepushe na adhab za kabri ampe kaul thabiti na kitabu chakr kwa mkono wa kulia inshallah amiiin
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 лет назад
pole sana mzee yusufu m/mungu akupe moyo wa subra na mungu awaondolee adhabu ya qaburi kwa baraka za mwezi huu mtukufu wa ramadhani allahumma amin
@muchirapauline6711
@muchirapauline6711 7 лет назад
pole kwa mzee Yusuph na jamaa zake mungu awape subra.
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 4 года назад
Sasa
@Waridimaria
@Waridimaria 7 лет назад
pole sana Mzee Yusuph Mungu akufanyie wepesi dah! inauma sana Mungu ndie tumain pekee
@khalidvova6601
@khalidvova6601 7 лет назад
pole ndg yang ktk iman" pole kaka yangu' pole alhabib" pole sheakh wangu" pole maalim wangu" pole mzee yusuph" Allah akupe hekma maarifa na subra inshaallah "
@wemakalam9415
@wemakalam9415 7 лет назад
mwenyeezi mungu akupe moyo wa subra katika hili mzee yusuf pole sana mwenyeezi mungu amjaalie pepo yenye neema inshaallah.
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 7 лет назад
umenitoa machoz mzee Yusuf. .mungu amsamehe dhambi xake marehem kwa mwez huu mtukufu waramadhan
@NoorNoor-ru7st
@NoorNoor-ru7st 6 лет назад
Inna lillahi wa inna illaihi rajiuun..pole sana kaka Yusuf yy mbele sisi nyuma ni njia yetu sote...take heart..Allah akupe subira thabiti In Shaa Allah
@halimasmarthalimasmart5681
@halimasmarthalimasmart5681 7 лет назад
pole sana mzee Allah akupe subra zaidi. ..kawaida mtu akiamua kurudia Allah uwa lazma akumbune Na mitihani ya kila aina
@abdiabdalla5219
@abdiabdalla5219 6 лет назад
mungu amjaliye safar njema mke wako mzee yussuf pamoja na ww, Allah akujaliye subra na allah atamueka pahala pema mtoto wako pamoja na mke wako"" Allah waweke pahala pema peponi mauti hawa. Ameen
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 7 лет назад
Inalillah wainailaih rajiun kazi ya mola haina makosa sote tutarejeshwa Alhaji mzee yusufu huo ni mtihani mola wako amekupa hakika uchamungu unaendana na mitihani Allah akupe subra ktk kipindi hiki kigumu n a akubadilishie walio bora zaida Ameen😢😢
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 7 лет назад
innalillah wainnalillah rajiun pole sana mzee hiyo ni kadar yake Allah sote tuko njiani na safari ni hiyohiyo cha msingi nikujikurubisha kwa Allah kwa sote kwake tutarejea na kutenda madhambi ni kuzidhurumu nafsi zetu wenyewe, tumuombe Allah atuongoze ktk kuyaendea mambo ya kheri InshaAllah.
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 лет назад
Mungu amlaze mahala pema pepon amina. pole sana mzee Yusuph Mungu akutie nguvu
@estherwangare9759
@estherwangare9759 7 лет назад
I found myself crying ...cant believe Allah ampe nguvu mzee Yusuf na familia nzima may her soul rest in peace
@hamadinashua2634
@hamadinashua2634 7 лет назад
Pole sana mzee yussufu mungu akupesubra namweke marehemu pahali pema peponi inshalla
@eddyeddy6071
@eddyeddy6071 7 лет назад
inalilahi wainailahi rajuun Allah akuzidishie subra ishallah
@salmasleyman4070
@salmasleyman4070 5 лет назад
yaarab wasameh mja wako na ss tunaofuatiaa ameen yarab
@mohamediyusuph4290
@mohamediyusuph4290 7 лет назад
innalilah wainnailah rajiuuun!!!!ni mtihani mkubwa ila Allah akufanzie wepesi na akupe moyo wa subira,inshaaallah
@bintyhermeshermesyembe8771
@bintyhermeshermesyembe8771 7 лет назад
pole sana mzee Yusuf.. mungu akupe wepesi na subra ktk hili..pole saaana kaka
@mwamierogie3807
@mwamierogie3807 7 лет назад
innalillah wainna ilaihi rajiun...pole sana mzee Yusuf tunakuombea sana dua Allah akutie subra na ujasiri
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
innalillah wainaillah rajiun
@shaabaniabdillahomar6439
@shaabaniabdillahomar6439 4 года назад
Inna llilahi Waainnah Illehi Raajiunn poleni sana.......
@nawalsultan339
@nawalsultan339 7 лет назад
Allah awape subra wafiwa yarabi msamahe makosa yake na mjalie kiumbe huyu aingie peponi ishallah akutane na mke mweziwe mkubwa na mumewe na watoto wao ishallah
@vailethmoses3550
@vailethmoses3550 7 лет назад
pole mzee yusuph mungu akujaalie moyo wenye subra jikaze baba dunia mapito yauma sana.
@fareda1847
@fareda1847 7 лет назад
innalillah wainnalillah rajiuun Allah akupe subra kkng Yusuph
@asiasaidhussein9619
@asiasaidhussein9619 7 лет назад
Allah akutie nguvu mzee inshaallah
@mercyken9710
@mercyken9710 7 лет назад
pole sana Mzee Yusuph..Mungu akupe nguvu
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 лет назад
innalillah wainaillayh raj'oun Allah akutie nguvu wewe na familia yako jea ujumla
@lifestylechannel1322
@lifestylechannel1322 7 лет назад
pole sana m.mungu akisaidie inshallah
@abdulrazakahmed9095
@abdulrazakahmed9095 3 года назад
Mitahani haya kayasahau na karudi tena mjini subhanallah,ALLLAH awarehemu maiti zetu.
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 лет назад
Wallah laadhim nimejikuta nalia pole sana alhaj yusuph allah akutie nguv ktk kipnd hik kigum unachopitia hakika kifo hakina mwnyw yatupasa tufanye matayarisho allah amsameh marehemu amfanyie wepes ktk maisha yaje mapya inshaallah
@mariamwazir1125
@mariamwazir1125 7 лет назад
pole mzee Yuosuphافلح السريرس
@ibumnyaki2765
@ibumnyaki2765 6 лет назад
افلح السريرس iy4yyr5
@mauwamaduwa5514
@mauwamaduwa5514 6 лет назад
افلح السريرس tanzaniya
@mariamukimboi6610
@mariamukimboi6610 6 лет назад
Allah akupe ujasiri
@polakalume321
@polakalume321 6 лет назад
افلح السري
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 7 лет назад
Mungu amlaze pema peponi kwa rehema zake. Tukumbukeni mauti na tusameheyane kwani dunia ni mitihani mitupu hii atupe husni khatma kwa wote inshaallah Amin.
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 лет назад
innalilai wainnalye rajiunn poleni wana familia mungu awape shubra zilale roho zao peponi waondolewe na adhabu za kabri wawe mlango wa mbele kesho khahera inshaallah sheik yusufu tuko nawe kwa kipindi hicho kingumu tutakuombea xna katika ucku huu wa lailatuli qadr
@jaafaremoru4391
@jaafaremoru4391 5 лет назад
Mola akupe subra
@ramlakadesa4417
@ramlakadesa4417 6 лет назад
Inna lillahi wa inna ilehyi rajiun. Allah akusamehe dhambi zako na akupe jannah fidrous insha Allah
@swaxboychanel2345
@swaxboychanel2345 7 лет назад
Pole sana Mungu akupe wepesi Mzee yusuph
@lorrysleepy4003
@lorrysleepy4003 7 лет назад
poleni wafiwa wote mbele yake nyuma yetu mungu akupe subra mzee yusuph
@mariamkassim4251
@mariamkassim4251 7 лет назад
Inna lillah wa inna illahy rajiun.....mwenyezi mungu akupe subra hakika huu n mtiani mkubwa tutakuombea dua mzee yusuph upate amani na utulivu wa nafsi
@ismailramole1700
@ismailramole1700 7 лет назад
Pole rafiki yangu Yusuph...Allah akupe nguvu inshaalah.
@saudamsusa3974
@saudamsusa3974 7 лет назад
Innahllillah wahinnah llillah rajun!!! pole Sana bab,!! ALLAH ailaze roho yake mahal pema pepon
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 лет назад
Allahumma Aaminy umm samira
@djmeza411a58
@djmeza411a58 7 лет назад
poleni sana mzee yusufu na msiba mungu akupe nguvu
@kipunga_thedon_tz8279
@kipunga_thedon_tz8279 7 лет назад
innalillah wainnaillayh raj'un
@diyaosman8992
@diyaosman8992 7 лет назад
انا لله وانا اليه راجعون اللهم اغفر لها وادخلها فى الجنة امين يا رب العالمين
@yusuphmadebari2030
@yusuphmadebari2030 7 лет назад
aisee mzee yusuph umeongea kwa machungu, pole sana sana sana na mungu akutulie wepec
@mwakabonheur2204
@mwakabonheur2204 6 лет назад
Pole sana kk kupoteza mzee, mungu amulaze pema peboni
@reychapo9402
@reychapo9402 7 лет назад
pole sana mzee mwenye Zimungu akupe Subra amin yarab
@mishyganga9710
@mishyganga9710 7 лет назад
pole sana mzee yusuph allah azidi kukupa subra
@athumaningeshere5373
@athumaningeshere5373 7 лет назад
Hakika ni uchungu usioelezeka; pole sana mzee Yusuf amin duniani tunapita tu hakika kila nafsi itaonja umauti
@salimalaraini4017
@salimalaraini4017 7 лет назад
Pole sana mzee yusuf. Mungu akupe subira.
@mrsdully1613
@mrsdully1613 7 лет назад
pole sana mzee yusuph jua mungu anakupenda ndomaana kakupa mtihani mzito hivo huenda ikawa nikheri juu yako mung akupe subra hakika inauma sana inalillahi wainailayhi rajiun
@zaituniiddi8615
@zaituniiddi8615 7 лет назад
pole sana Mwenye zimungu akutie nguvu katika huu mtihani hakika site njia yetu moja
@alialbusaidi9130
@alialbusaidi9130 7 лет назад
Allah amuondolee mchanga mzito ampe kauli sabiti mwanzo wake mwisho wetu
@maryamsinganomaryamsingano7938
poleni sana wafiwa wote mungu awape subra sote njia moja
@allyhassan3580
@allyhassan3580 7 лет назад
pole sana mze yussuf yupo nawe
@allyhassan3580
@allyhassan3580 7 лет назад
ALLAH yupo na we inshaAllah
@softymoha5484
@softymoha5484 7 лет назад
pole kwa msiba mzee yussuf mwenyezi mungu azidi kukupa nguvu
@maryamathman8917
@maryamathman8917 7 лет назад
Inshaallah kk mungu atakupa subra kwa wakati huu mgumu,pole sana mzee yusuf aki hatakama huna machozi yanatoka yenyewe..😢😢
@milkamugomo8604
@milkamugomo8604 7 лет назад
pole sana kwa familia mzee yusuf jipe moyo mwenyezi mungu yuko pamoja na wewe ujipe moyo
@judithjulius108
@judithjulius108 7 лет назад
pole sana mzee yusuf kwa kuondokewa na usingizi wako
@happymlowe9686
@happymlowe9686 3 года назад
Polesana Mungu kawapenda said jaman
@saidibrahim2022
@saidibrahim2022 7 лет назад
allahh akufunyie wepes Kirundi hichikigum ndugu yangu katika iman
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 7 лет назад
Innalilah waiinailah rajuun,ee mwenyezi Mungu mpe mzee Yusuf subra katika kipindi.inshalla.18.06.17.
@fijiboy3859
@fijiboy3859 7 лет назад
innalillahi wainna ilaihi raajiun.. In shaa Allah Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema Yarraby yeye mwanae na wengine walio tutangulia,kwani sote njia ni hio hio,Allah tujaalie Khusnulhaatimah Yarraby.
@mimihapa9200
@mimihapa9200 4 года назад
Inasikitisha sana mungu ailaze rohoyamarehemu mahali pema pepon amen
@imnathe1299
@imnathe1299 7 лет назад
pole mzee yusuf kwan wote tutarejea jikaze bb mshukur mung
@magangashija136
@magangashija136 7 лет назад
inalilah wanailah rajiun mzee Yusuf mungu akupe nguvu ishaalaa
@mwanahamisimasudi7378
@mwanahamisimasudi7378 7 лет назад
pole sana mungu ni mwingi rehema akia mungu nimeliaa
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 7 лет назад
subra Mzee yussuf ..mola akupe subra.
@janethomas7852
@janethomas7852 5 лет назад
Mungu akufanyie wepes WA dhambi zake
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Innalilah wainnailah rajiun, ALLAH msamee maiti wetu na muepushie adhabu ya kabri yarabb tupe mwisho mwema waislam wote,Ameen yarab.
@asyahuseni7749
@asyahuseni7749 7 лет назад
Saumu Hassan Amiina thumma Amiina Ya Allah
@husnaabdullah3009
@husnaabdullah3009 7 лет назад
innalillah wainna ilaihi rajiun pole sana kaka yusph Allah akupe moyo wa sbra kwa hili nimsiba wet sote
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
kifo hakina huruma polesana Sana mfungo huu mungu ailaze rohoyake mahalipema peponi.
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 года назад
Allah Akbar sheikh alihatim nampenda kwaajili ya Allah nahao ni waisilam wote kwapamoja
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 7 лет назад
inauma sana! hakika kila nafs itaonja mauti! Ee Mungu msamehe na umpunguzie adhab ya kaburi! R.I.P Chiku
@samitabduli4956
@samitabduli4956 4 года назад
Thanks,
@zulfasuleiman2943
@zulfasuleiman2943 7 лет назад
innalillah wainha ileyhi rajiuna Allah akupe subra Mzee Yusuf kw mtihan ulokufika kw hakika kila nfs itaonja umauti
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 7 лет назад
Tumetoka kwa udogo tunarejea Allhamdullilah Mungu awalaze pema woote walio tutangulia mbele ya haki. amin
@hassannabhani8780
@hassannabhani8780 7 лет назад
inballilahi wainailahi rajiun.pole sana mzee yusuf
@supumoto6819
@supumoto6819 7 лет назад
اللهم ثبتها بلقول الثابت
@balkismohamed2968
@balkismohamed2968 3 года назад
Allah ifanye kaburi lake liwe bustani ..umfutie madhambi ...ameen🤲
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 лет назад
pole sana mzee ndo safari yetu sote mungu akupe subra
@khamissifaki8810
@khamissifaki8810 7 лет назад
Mungu mrehemu bichiku bila shaka amekufa shahidi amin.
@niaanthony9588
@niaanthony9588 7 лет назад
pole sana wafiwa mipango ya mungu haina makosa mbele yake nyuma yetu
@sullepeter4722
@sullepeter4722 7 лет назад
mzee yusuf pole sans mungu akutie nguvu kwa hikikipindi kigumu unachopitia
Далее
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 99 тыс.
Он тоже из IKEA 🙀
00:10
Просмотров 408 тыс.
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
02:48
Просмотров 34 млн
Barry Policeman And His Son Vs Prisoners
00:26
Просмотров 991 тыс.
HII NDIO NYUMBA YA MZEE MAJUTO ILIYOPO TANGA MJINI
1:55
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
Просмотров 166 тыс.
Он тоже из IKEA 🙀
00:10
Просмотров 408 тыс.