Leo #MariaSpaces tunajadili: Utekaji washamiri, viongozi kimya
USHIRIKA gani huu wa CCM na Polisi?
Wanaotekwa vijana ni wakosoaji na huwa wanachukuliwa na watu wanaojitambulisha ni polisi na hutoweka! Viongozi kuanzia Rais wako kimya!
Ushirika huu tunamalizaje?
25 авг 2024