Тёмный

LEO WAANDAMANAJI WALIFIKA IKULU KENYA RUTO HAJALI KAWAPELEKEA JESHI 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Wizi wa kura ni mbaya sana. Haya ndo matokeo yake
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo 3 месяца назад
kenya welcom tz i love you all😅
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 3 месяца назад
Genz 2013 and 2017 iwas with you hapa kwa hapa😂❤ sasa mume niambia nitulie home nimezeeka wanangu🙋🏼‍♀️🇰🇪💃🎤🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼 mnipiganie vile niliwapigania 2013,and😂 2017 nimezama kwa maombi nikiwaombea🙋🏼‍♀️🇰🇪💃🎤🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼👪🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓🤝keep fighting 👍👊🤝🤝🤝🧑‍🎓🙋🏼‍♀️🇰🇪⭐Genz
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Ruto aondoke tukimuacha atauwa vijana wengi wakenya huko haiti na Yemeni,marekani wapeleke jeshi lao wenyewe
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 3 месяца назад
True🙋🏼‍♀️🇰🇪⭐🤝
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 месяца назад
Ruto kanyanga inje. Tumekushiba na tumekuchoka mkora muromgo.. Watu wangapi watakufa ndiyo urudi nyumbani. Ruto.must go
@chindemasoftware
@chindemasoftware 3 месяца назад
From Mozambique🇲🇿
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 3 месяца назад
Nishidakweli kbs
@ngaruradavid555
@ngaruradavid555 2 месяца назад
Ruto must go
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Watu hawakutaki ondoka ndo uungwana
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 3 месяца назад
Mungu ibariki African 😢naipenda Afrika yangu ❤ila wachumia mitumbo yao awatujali 😢wananchi
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 месяца назад
Safi mwalimu 💚
@YusriAllyMuhammadahmad
@YusriAllyMuhammadahmad 3 месяца назад
Ruto must go,hii ni mwisho wa vibaraka wa wamerekani na wazungu wa ulaya hapa afrika
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 3 месяца назад
it's because leaders of Africa they are layers from independence the price of food is increasing when we will look better life
@joycewafula935
@joycewafula935 3 месяца назад
Ruto must resign immediately
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 месяца назад
Ifike wakati wanasiasa wa afrika wabadilike wasome alama za nyakati kizazi cha sasa sio cha wakati wao,watu wamechoka na maisha mabovu
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 месяца назад
Nimepata elimu kwenye suala la kujipendekeza kwa viongozi wa serikali, eti tunaishukuru Waziri kwa kutuletea maji.....natozwa kodi, ushuru, tozo ili huduma za jamii zifanyike ikiwa ni pamoja na kumlipa waziri mshahara.
@SamweliMwazembe
@SamweliMwazembe 3 месяца назад
Wakenya wameelimika
@SamweliMwazembe
@SamweliMwazembe 3 месяца назад
Kiongozi mzuri yule anaesikiliza watu wake
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 3 месяца назад
Umenena vyema, na sijui kwanini unakuta jitu linasema kiongozi Fulani amejenga barabara wakati aliyejenga barabara ni wananchi . Kiongozi yeye amesimamia tu, ambao ndio wajibu wake, eti Asante kwa kutuletea hospital, shame on us Tzs
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 3 месяца назад
Kwani wewe baba yako akikupa chakula ukala humshukuru? Kwa huwaahukuru wazazi wako kukuzaa na kukulea hadi umefikia umri huo? Kwani wazazi wako sio jukumu lao kukulea na kukupa chakula? Sasa unataka Serikali ikitenda jema wananchi wasishukuru bal waitukane? Wacha ujinga wewe una Nia ovu na Serikali yako!!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 месяца назад
@@wazirisaid8326 Waziri hanipi chakula, wala maji, wala elimu, wala
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 месяца назад
Wakenya kweli hawatumii akili wana tamaa, vigeugeu na ujuaji. Wakimtoa Ruto wakamuweka Odinga wafuasi wa Ruto nao watatafuta sababu waanze kuandamana, nchi itagawanyika .
@rosemary6339
@rosemary6339 3 месяца назад
Yes hajari nawenye wanakufa ako kwa nyumba na familia yake
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Wakimalizana na ruto wanaanza na mapastor😮
@ThembaCindi-yy7yo
@ThembaCindi-yy7yo 3 месяца назад
The People.Yes I say The People.Amen.
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 3 месяца назад
Russia time to intervene save Kenya
@SamweliMwazembe
@SamweliMwazembe 3 месяца назад
Safi sana viongozi wote wamshuru wote mtu wachini
@RichardBwire-z1j
@RichardBwire-z1j 3 месяца назад
Mzimu wa putin unavyo utawala dunia hata bolivia marekani kashindwa
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 месяца назад
SISI Watanganyika KWASABABU YA UJINGA WETU TULIZANI MAANDAMANO YAMEISHA ILA WENZETU KENYA WANAJITAMBUA HAWATAKI UJINGA.WAPO TIYARI KWA LOLOTE KENYA HAWATAKI USHENZI WA MANENO MATAMU na MALAINI ALAF HAWAONI VITENDO HAWATAKI USHENZI HUO KENYA"
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 месяца назад
Mjinga Pekee Yako Nawakenya Tunawaombea MUNGU Wawe Naakili Zaidi.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Sie tumerogwa wenzio
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 3 месяца назад
Tanzania ipo siku inakuja,,km sio mzalendo halisi,,ulie tayari kufa kwaajili ya ardhi yetu,kutumika rasilimali zetu kwaajili ya maendeleo yetu na kuthamini utu na desturi halisi za kiafrika,,na haki kwa Kila mwananchi,,ikulu utatupisha,,sisi msituite wajinga hapana,,Bali siku yaja
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 3 месяца назад
Wahuni hawa viogozi wanatuaribia nchi zetu na tamaa zao@@DottoMussa-ro6rw
@Esendi564
@Esendi564 3 месяца назад
Rutto anasacrificed wakenya
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Dini zenyewe zimechuja watu hawazielewi kabisa sasaivi
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 месяца назад
Waandishi wa habari jitahidini kuwa Kati badala ya kuegemea upande mmoja na kumshambulia kwa matusi.
@shiracque8524
@shiracque8524 3 месяца назад
Ruto anaakili
@KhadijaAli-j7r
@KhadijaAli-j7r 3 месяца назад
Mo faya so nice mwakiembe
@PastoryMallya
@PastoryMallya 3 месяца назад
2:06 2:07
@Maryc2G
@Maryc2G 3 месяца назад
Kenyan wanasema Ruto muongo sana, alichosema ukweli ni jina lake tu, kwasababu liko kwenye passport ili aweze kusafiria 😅😅😊😊
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 месяца назад
Viongozi wa dini ni kama makapi maviiii
@YusriAllyMuhammadahmad
@YusriAllyMuhammadahmad 3 месяца назад
Next next hata hapa kwetu mozambique hitatokeya
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 3 месяца назад
😂😂😂unanichekeshaga vile unasema
@ggfghh6220
@ggfghh6220 3 месяца назад
Nimekuja kundua ya kwamba huu ruto ako ndani ya illuminate coz anapo safari lazima ajali ifanyike sai ametulia aende mahali barabara zimetuli kiasi aki mungu tuondole haya machanga ya viongozi wasio kuwa na dhamana kwa mwananchi wa kawaida jamani
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 3 месяца назад
Kweli mpenda damu huyu
@Anastasios1819
@Anastasios1819 3 месяца назад
Wakenya hawadanganywi aisee!!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад
IMF WATAVURUGA BARA LA AFRICA 😢😢😢😢KUMBUKENI ARAB SPRING MPAKA LEO UCHUMI UMEDORORA
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Bongo ukiandamana unaitwa gaidi
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Kashawatia makovu wakenya hawamtaki tena kawatia hasira
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 месяца назад
Hii ngoma bado mbichi bongo tutulie zetu tule ugali na mchunga tutulie
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 3 месяца назад
Bongo kwenyewe kitawaka
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Dona is mashonanguo na kisanvu tamu hilo,usnishaur nikavunjwe taya zangu zakutafuna na kunywa supu ya ngoz na na matako ya ng'ombe
@samjm7330
@samjm7330 3 месяца назад
KUNA UJINGA MWINGI HUKU
@Saada-g4j
@Saada-g4j 3 месяца назад
TANZANIA ni shida kama mimi nina banda langu nimepata alfu kumi nikarabati naambiwa uwezi kukarabati mpaka nikakate kibali sasa ela hiyo ninaigawa vipi pia serikali yetu iyangalie tatizo hilo nasivyo tutaandamana
@hbdina
@hbdina 3 месяца назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Hivi viongozi wa Africa kweli wengi wao wako madarakani kwaajili ya matumbo yao.Sasa Ruto anasubiri nini hawamtaki si ajiuzulu kuna Wakenya wengi wa kuongoza sio yeye tu
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 3 месяца назад
Tatizo mihemko wakenya walitahadharishwa sana juu ya ruto hawakuelewa sasa ili kujikomboa lazima watoe kafara ngumu kumeza
@oatriciahkiio5148
@oatriciahkiio5148 3 месяца назад
Uhuru Kenyatta maskini alituonya ata mzee moi lakini mwishowe ameingia kwenye hio kiti na lazima 😢😢😢sasa hii shida sio Kidogo
@jerrymcbride2230
@jerrymcbride2230 3 месяца назад
Haha 😂 - lazima kieleweke!
@joshuamugala265
@joshuamugala265 3 месяца назад
Wa kenya wanakili timamu mfanyaka wako kama hafaniviri KAZI mfukuze akatafute kwingine 😡😡😡😡😡
@ndayizeyeconsolatte
@ndayizeyeconsolatte 3 месяца назад
Niko America please Ruto sutoke damu ziace kumwangika jifikiriye wew mwenyewe
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 3 месяца назад
uko America sioo au uko.yemen wee ?
@AthumaniMikindo
@AthumaniMikindo 3 месяца назад
Kuandamana wara Sio dhambi kinachotokea Nikwamba mmengia bungeni Mmechoma ndege Kwani Euro ndio Alien tengeneza mswada jamani Mpaka mumuandame rutoruto way mNawabunge Mnawakuu WA mikoa kunawakuu wawilaya fujo za nini
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 3 месяца назад
Very good guys this message at least speak English for the voice to reach in America we love you one africa
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 3 месяца назад
Kwani mwakilembe na huyo ndugu yako hamjui vita ya Ruto Niya kiroho zaidi?? Ndo maana aliwaita viongozi wa dini, acheni ushabiki usio na maana. Wakenya wanapenda sana nchi ya Kenya iongonzwe na shetani
@Janemwangi-zc7rl
@Janemwangi-zc7rl 3 месяца назад
Mbona serikali yetu ikapelekwa Haiti? Twaomba Mungu walundi wote salama
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Ila kuwa muumgwana kaka jiuzuru tu watu wafanye maamuzi Yao jeshi chukua nchi
@AbuuNoah
@AbuuNoah 3 месяца назад
Sasa mpaka dam imwagike ndo atoķe madarakani Ruto 😢😢😢 atoke tu kwa aman
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 месяца назад
Ukiona mtu anasema wakenya awana akili ujue yeye baba ake au mama yake ni kiongozi ktk taifa fulani hapa afrika hivyo yeye na wazazi wake ndiyo awana akili kwa sababu unapo mcheka mtu akitetea ugali wake usimwagike alafu unasema anayejitetea Hana akili basi anaye sababisha umwagike ni wewe unaye mcheka na kumsema ana akili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Esendi564
@Esendi564 3 месяца назад
😢😢😢
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 3 месяца назад
Nifundisho kwa watawala wa Afrika??? Ilavita vyapanzi nifurahayakunguru. Chukueni hilowake nya.
@mainabenson5173
@mainabenson5173 3 месяца назад
Kunja nne...maanake gani
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 3 месяца назад
Kuweka mgu juu ya ungine
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 месяца назад
Umekaa unaweka mguu juu ya mguu mwingine
@ShaabanAbubakar-nx4vk
@ShaabanAbubakar-nx4vk 3 месяца назад
Namna ya kukaa binaadam ukikuja nne katika kipindi kama hiki Cha vurugu unaonyesha dharau
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 месяца назад
Tuka sikia viongozi wa dini waka pewa na bahasha zina pesa
@crazytala1185
@crazytala1185 3 месяца назад
Uliseni ma babu fita si uji niko nyuma yenu bt msiimbe ama mchome gari za watu tafuteni za wambunge wenu
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 месяца назад
Wakenya walitengeneza katiba kijuaji kwa kujifanya wasomi, wakatanua sana utawala huku wakijua bajeti ya utawala huwa kubwa kuliko ya maendeleo,hata akija Rais mwingine itakuwa hivyohivyo tu. mambo mengine yanataka busara.
@deusNjimba
@deusNjimba 3 месяца назад
NYINYI VIONGOZI KENYA WAPENI ARDHI WANANCHI KUPUNGUZA. UKALI WA MAISHA
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 3 месяца назад
Mpoki buyah mwandagasya
@SaidiMohammed-ge5ot
@SaidiMohammed-ge5ot 3 месяца назад
Kabisa
@TumbaMbayo
@TumbaMbayo 3 месяца назад
Ruto una ona sasa ku fatana na Kagame una fika mwicho Tshisekedi Ali ku ambia tu saidiane wewe uka musaliti
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 3 месяца назад
duu hii atali sana
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 3 месяца назад
Maskini Afrika! nani kawafrika 😂😂😂 leadership Africa style
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 3 месяца назад
Tukue kisiasa kama ndugu zetu
@AllyJuma-d6f
@AllyJuma-d6f 3 месяца назад
Hapa kuna watu wanalipa hela sio buree😂
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 месяца назад
Kwisha Kwa maandamano stoke madalakan
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 3 месяца назад
Ruto ajiuzuru tu
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 3 месяца назад
Shuka sakayo😂😂😂😂
@THOMASKAZUNGU-f9c
@THOMASKAZUNGU-f9c 3 месяца назад
Tuna taka ruto abadilshe hio bill
@isaackmchelsea67
@isaackmchelsea67 3 месяца назад
Roto ni munjinga sana akatee musaraara ya watu kama mtu anapata 1m sasa tutasaindika aje
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 3 месяца назад
Uyo kwenye gari sii yule alipiga video kwa spika wa bunge tuliambiwa kafa
@lazaroayoyohana5920
@lazaroayoyohana5920 3 месяца назад
duuuu
@barackbrysonramsey
@barackbrysonramsey 3 месяца назад
Ikulu hawajafika...ila maandamano yapo makubwa acheni kupotosha
@mwijage348
@mwijage348 3 месяца назад
Sawa mwelevu
@NostusMchilo-vz7rz
@NostusMchilo-vz7rz 3 месяца назад
Sasa sheria imefutwa wanataka nini tena
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 месяца назад
Wanataka serikali iondokeyoote
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 месяца назад
Aondoke kwann asubirie watu wafe ndo aamue?
@aftapat5365
@aftapat5365 3 месяца назад
wakenya mnawaonea kinachowaponza nikwamba wenyewe hawafungamani na siasa za africa mashariki maana wanajua watu wa africa mashariki kwao ni washamba bandar ilivyouzwa mlitaka kuandamana kilichotokea mnakijua ila sikuona mkenya akiingilia mambo yenu ila kwa sasa utakapo pita kote tanzania wamechachama
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 месяца назад
Unamaanisha ni kuseme wamechachama wa Tanzania 🇹🇿
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 3 месяца назад
Muache chuki Bandari haija uzwa wala haita uzwa
@DaudJofrey-yr2fn
@DaudJofrey-yr2fn 3 месяца назад
Unakataa nn kwamb haijauzwa nan anamilik ss hv mpuzii ww
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 3 месяца назад
Bandari haikuuzwa acha uzushi na mihemko watanzania tunajitambua mambo mazuri tunayaona
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 3 месяца назад
Wanadhani watanzania Wote ni wajinga tunajitambua wanafanya makusudi kumchafua tu Mh Rais. Ni Gati Namba 1 hadi Namba 7 na tulichelewa Sana kufanya uwekezaji huu Viva Rais Samia 🙌
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 3 месяца назад
Banda kweli imeuzwaa bhana mbna mama aliweka wazi
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 3 месяца назад
@@frankmahenge5943 aliwekaje wazi embu utweleze alichokisema mama
Далее
Ruto's choice for Gachagua replacement
21:42
Просмотров 41 тыс.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Просмотров 118 тыс.