Hii sio akili, kwahiyo Leo Ali kina arudie rudie wimbo eti ksa kisa Kuna ambao hawakuusikia alivotoa mwanzo.? We unaona ni akili hiyo.? Ehee, wengine hawajasikia, na sisi wengine ambao tulisikia alafu tunasikia kitu kile kile mara ya 8 saivi, na ni shabiki zake tufanye nini.
Anatumia akili, audience kama hiyo sio watu ambao wanafuatilia contents zake kila siku so why waste all the good new jokes wakati hata za zamani hawajazisikia. Akiwa kwenye stage kubwa kama ya Cheka tu hutosikia akirudia contents.
Kwahiyo Diamond alitoa wimbo, wasiposikiliza watu kadhaa huo wimbo ndo anatakiwa kuuimba tena.? Hizo ni akili.? Sikia,sisi wengine ni fans wa Leonardo toka siku ya kwanza tu akiwa kwenye usajili wa cheka tu. Lakini hii kurudia rudia contents ni ujinga na sioni mnatetea nini. Yani imagine mimi naingia RU-vid kuangalia Cheka tu au kwenye platform yoyote Leonardo kaja na joke ipi, nakuta joke nafurahi. Kufungua nakuta 90% ni vitu vile vile.! Alafu unatetea, sjui unatetea nini hapo. Anahitaji kubadilika, walau anaweza rudia joke moja out of 12 kila baada hata ya miezi mitatu. Sasa we unasema wengine hawakuona, so what.?
Leonardo Mimi ni shabiki yako saana siku Moja nataman nije nikuone the way unavyotoa izo context zako ata kama ni repetition but still watu Wana enjoy apo ndo utajua unaweza na unajua let's go brooh am benard chegere @leonardo you are first comedian in tz
Staff wanatoa fungu lake ndio wanampa,,na nahic katumia marudio kutokana na audience kwa muonekano hawana muda wa kumfatilia sana hivyo ni vitu vipya kwao ..
Ameanza na mpya fresh ila akacheki muda bado upo wa kutosha ikabid aweke zile za moto zingine lazima ujue kujiongeza kwenye maisha dogo anaijua kazi yeke vizuri na usisahau kuchekesha audience kama hyo sio mchezo, watu na phd zao unarudia tu
Aisee hata kama ameludia ila ila tambua kuwa kuchekesha kazi Tena woote ni wasomi humo! So kwa kiasi jamaa kajiatahidi sana bcos huwa wengine huwa wanashindwa hata kustaimili mbele hapo!
writing jokes for stand up comedy is hard it is not easy, no wonder if you go in developed countries comedian don't allow people to record with there phones nor take videos for fear of people getting hold of the materials.
Daaaha mnisamehe wadau hata ilo neno Sina ila typing error herufi n na m zipo karibu San ,nashukuruni Kwa kureply msingesema neno nisingerudi kurekebisha ...be blessed Sana