Тёмный

Leonardo alivyotisha ktk fainali ya cheka tu 

Sky revolution
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 1,2 млн
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 354   
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 Год назад
Zembwela anajiona yeye ni legendary kwamba Hakuna jipya kwake huu ni unafik wa Hali ya juu kifupi ni kwamba Dogo anajua zaid yake tena sana, kanuna Kama bundiii
@KhojaNasri
@KhojaNasri 8 месяцев назад
Roho Zaifu tuu na Hana Cha kuchekesha zembel
@supertal2943
@supertal2943 6 месяцев назад
Hata japo ange smile tu!
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 4 месяца назад
Zembwela anachekea tumboni
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 3 месяца назад
Msenge tu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Mshamba tu
@CharlesRutandula
@CharlesRutandula 3 месяца назад
Wangapiiiiiii tumemuona Tx dullah apo nyuma ya zembweee Wakati wa mungu ndo wakati sahihii😊
@willykikwete3176
@willykikwete3176 2 года назад
Dogo yupo vizuri kiukweli. Nakutakia kila lililo jema kwako!
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 2 года назад
Zembela anazingua Mpelekeni kwenye bondi za korosho huyo make ni mgumu hachekagi huyo 😂😂
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 4 месяца назад
Anachekea tumboni
@AsumanAbubakar
@AsumanAbubakar Месяц назад
Atakuwa ana bandama 😂😂😂
@georgedamas7097
@georgedamas7097 2 года назад
Zembwela umeongeza mzuka kwa Dogo big up.
@mackzedon6611
@mackzedon6611 2 года назад
Anaweza sana huyuu jamaa
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 2 года назад
Zembwela anadhani u jaji ni kuwa kauzu......aangalie British Talent show ajifunze ujaji anamuondoa mtu kwenye reli anadhani anakosea
@gladnessmrosso2990
@gladnessmrosso2990 2 года назад
Huyo jaji mwingine amekaa Kama bodyguard 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kennyamen628
@kennyamen628 2 года назад
Zembwela uyo
@Lee-ng5wh
@Lee-ng5wh 2 года назад
Mpk anaboa
@michaelibrahim3746
@michaelibrahim3746 Год назад
Very nice
@OfficialKajenga
@OfficialKajenga 2 месяца назад
Jaji ni atary huyo
@OfficialKajenga
@OfficialKajenga 2 месяца назад
Jaji ni atary huyo
@3kings63
@3kings63 2 года назад
We need comedy like this one wengine wao wanajua wanawake tuu hakati tuna maisha ya zaman ambayo ni zaid ya kichekesho
@OrecyOwden
@OrecyOwden 2 года назад
Yah point
@newgeneration9524
@newgeneration9524 2 года назад
Wanaongelea kuhusu ngono tuu
@josephkioko1809
@josephkioko1809 9 месяцев назад
That guy In suit Ako serious sana.
@langemwepesi
@langemwepesi 2 месяца назад
Haawezi enjoy hii show anajifanya amevaa uhusika wa kijinga kweli,jiachie jienjoy😂😂😂
@amimuabdul9023
@amimuabdul9023 2 года назад
Nataman saan kuona bato ya huyu mwamba pamoja na Mr. Romantic
@edwardjosephchacha7167
@edwardjosephchacha7167 Год назад
Yani watu wengine walikuwa wanacheka zembwera maana alikuwa amekaza sana
@janesmbuzi3935
@janesmbuzi3935 Год назад
Kwani zembwela nini jamani 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Год назад
Zembwela hacheki kakunja kweli ,😂😂😂😂😂
@jamesmachiwa3679
@jamesmachiwa3679 9 месяцев назад
Kiukweli Nashidwa Kujua Kwa nn Sijawahi Ona Comedian Anaeweza Nikuta kuchekesha. Naombeni Siku Moja Tanzania itakwe nda kunitambua na Mm nitaipeperusha Bendera kote mbali
@fadybeatz
@fadybeatz 2 года назад
😅😅😅mamae iyo ya daladala ilishanitokea
@MagrethAlly-wd5sx
@MagrethAlly-wd5sx Год назад
I favorite the song ❤❤❤❤rose and fenny the qn of power
@jomwenomkal
@jomwenomkal Год назад
Sky revolution tishaaa saaaanaaaa mwamba orecy in the beat
@user-kw8bo1ut8s
@user-kw8bo1ut8s 5 месяцев назад
Ulistahili ushindi kaka angu love u
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 2 года назад
Kweli utabiri wangu ulitimia
@oscarmarandu7621
@oscarmarandu7621 2 года назад
Alafu hatuna time na zebwela si tunacheka tuu.
@user-cp9fb3hd6k
@user-cp9fb3hd6k 6 месяцев назад
Unaweza Sana
@amantz6508
@amantz6508 Год назад
Mkali wa misimu yote ndaro OG🎉🎉🎉❤
@user-pt9wu7ff1p
@user-pt9wu7ff1p 4 месяца назад
Leonaldo we hufai nakutakia matawi kaka fumba mbali mana huzuirik tu wewe Mungu awe nawe blood mmasai shabik yako apa,,❤
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 8 месяцев назад
Congratulations ♥️
@AbednegoMashukra-sm4uf
@AbednegoMashukra-sm4uf Год назад
Blessed kjana
@user-nj9wy5be2t
@user-nj9wy5be2t 9 месяцев назад
Noma sana Ila zembwela acha izo sapot vijana bsna
@user-nb1pn9qh4e
@user-nb1pn9qh4e 6 месяцев назад
Blo wewe ni fundi nakubali lakini Nina option Moja utunge Story "make msomi na Mme ambae hajasoma Kwamba sasa ikatakiwa wote wawepo kwenye mkutano make na Mme sa mkutano huo unfanyika Kwa kingereza mume hajasoma sasa itakuaje Ili wasiumbuke wakakubaliana Kwamba ikitokea habali yakucheka make atashika pua Ili mMewe nae acheke asije kuonekana tofauti sasa make kasahau Yale makubaliano kashikwa namafua kashika pua Mme kama sikacheka watu wakaandamana wakasema jamaa chi bonge lastory wewe fundiutajua unafanyaje
@chimdamianvi752
@chimdamianvi752 2 года назад
Dah yani mim sichoki kutazama hii
@user-fb2pi4kt7f
@user-fb2pi4kt7f 6 месяцев назад
Umeuwa mwanangu 👏👏
@davidjosehp6566
@davidjosehp6566 2 года назад
Good boy kazi nzuri
@robbysonpeter8575
@robbysonpeter8575 2 года назад
Niaje
@user-gc8bx8zh3n
@user-gc8bx8zh3n 9 месяцев назад
Mmm hicho kibaba kipo Kama bodigadi sura ngum hatakiwi kabisa kuwa sehem hiyo
@peterkyebwe2089
@peterkyebwe2089 19 дней назад
Dogo Leonard upo vzr mie kaka yko npo kama shabiki wko geita karibu my name peter or raster upo vzr nakufatilia toka final yko na eliud upo njema Sana..
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Huyu leonardo anajw mpk anakera😂😂😂
@bumbuli4170
@bumbuli4170 2 года назад
Zembwela mshamba sana
@user-rs4ft6ig7v
@user-rs4ft6ig7v 7 месяцев назад
Wew Ni Mwamba💪
@Jamilahjm-l3c
@Jamilahjm-l3c 12 дней назад
❤️❤️❤️nakukubali sana
@user-vd8du8fo8r
@user-vd8du8fo8r Год назад
Zembwela jaman😂😂😂😂😂
@adammanyendi7577
@adammanyendi7577 Год назад
Uko sawa kaka
@adamrajabu231
@adamrajabu231 Месяц назад
KAMA UMEMUONA TX DULLAH GONGA LIKE HAPA😂😂
@hasnajuma5567
@hasnajuma5567 2 года назад
Hapo kwakuludi kwa wenzako nimecheka mpaka bas🤣🤣😆
@joakimukenedy3582
@joakimukenedy3582 2 года назад
Zebwela mnamwejaga wa nini narisura lake kama tako
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 4 месяца назад
😂😂😂😂
@AishaAthumanimohamedi
@AishaAthumanimohamedi 4 месяца назад
😂😂😂😂wewe
@AishaAthumanimohamedi
@AishaAthumanimohamedi 4 месяца назад
Yako Tena nimechoka Kwa saunti. Mnooo
@glifehack5997
@glifehack5997 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@AsumanAbubakar
@AsumanAbubakar Месяц назад
Daah uyu ndo no one comedy tanzania nanianabisha nihatali sana 😂
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 2 года назад
Huyo mwenye miwani sasa
@kalistkalisa5825
@kalistkalisa5825 Год назад
Nakubar kaka
@victorosong132
@victorosong132 2 месяца назад
Kiongozi awe na akili timamu😂😂😂
@user-en6kd4yy6m
@user-en6kd4yy6m Год назад
Ametisha mwamba 😂😂😂😂,ila zembwela mb!!
@kondoatown8765
@kondoatown8765 2 года назад
Majaji wamejaji kihalali kbsaa
@HahaRichard
@HahaRichard 19 дней назад
😂😂😂😂😂 unaweza ukakaxlika alafu unacheka bila kutaka
@AthumanYuda
@AthumanYuda 13 дней назад
This guy is amazing
@user-qs7jb4fu4h
@user-qs7jb4fu4h 3 месяца назад
Zembwela ana madeni vikoba adda yaan
@mariamally8548
@mariamally8548 2 месяца назад
Hapo hapa mchekeshaji hata mmoja hao wote vicheko vyao vipo karibu
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 2 месяца назад
Kwa kweli
@Rarpha
@Rarpha 21 день назад
Tx dullah alikuwepo hapoo
@jovinjames6130
@jovinjames6130 Год назад
Wanng kuna mjomb aliyevaa miwan achek cjuh ana bandama
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 4 месяца назад
Anachekea tumboni
@GivenMwatebela-hi3tr
@GivenMwatebela-hi3tr Месяц назад
May God keep you longer
@medardboniphace2477
@medardboniphace2477 Год назад
Nakukubal bro 😂
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 года назад
Kaliiiiiii
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 года назад
Zembwela Kama FBI agent
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Год назад
Ana sifa tu
@user-ih7zp7kc2u
@user-ih7zp7kc2u 2 месяца назад
Kazi ya bibi inaonekana Leonard
@happynkya9770
@happynkya9770 11 месяцев назад
umetisha lakini naomba kuuliza huyo zembwela hapo amekuja kufanya nn
@OrecyOwden
@OrecyOwden 11 месяцев назад
Ahahahaa hahahaha
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 месяца назад
This guy is talented surely.
@phillydepay2790
@phillydepay2790 2 года назад
So good
@josephiligo5855
@josephiligo5855 2 года назад
Baba Levo kanunu Sana
@user-rr5wq6sg6c
@user-rr5wq6sg6c 3 месяца назад
Sio baba levo ni zembwela
@NaphyMacmillan-jh3vc
@NaphyMacmillan-jh3vc Год назад
Tulia kwa kutulia msanii wngu apa Naphy sky sky revolution njoo dom tufanye kaz
@fatmakhamis9982
@fatmakhamis9982 2 года назад
Haishi hamu hii comed hasa yahuyu jamaa nampenda
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI 2 года назад
".. kata ushanga hamna namna"🤣🤣🤣
@rashidimakanjila
@rashidimakanjila Год назад
Tktk
@Benkimelock
@Benkimelock 10 месяцев назад
Uyo jamaa wa macho nne anajilazimisha asicheke kbx yaan😂😂😂
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 4 месяца назад
Anachekea tumboni
@rashidkipingu7358
@rashidkipingu7358 2 месяца назад
Umetisha sana
@jarukhan_tz1326
@jarukhan_tz1326 2 года назад
Bofya hapo juu usikie Diamond alichokisema juu ya huyu dogo, "Leonardo lazima nimtimue"
@ElkanaPetro
@ElkanaPetro Год назад
Noma
@SamwelEmanuel-ib2yp
@SamwelEmanuel-ib2yp Месяц назад
Kusema kweli nimecheka had nikahis utumbo umekatika
@davianofficial6972
@davianofficial6972 2 года назад
Zembwela mjinga kwamba ndo kujitofautisha au nn ushamba tu
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 4 месяца назад
Anachekea tumboni
@NurhathSalumu
@NurhathSalumu Год назад
Kinacho mfanya baba level asicheke nn❓❓❓❓❓❓❓
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 года назад
Zembwela umeeenda kufanya Nini mbona hucheki
@Edumastermind01
@Edumastermind01 2 месяца назад
I dont know what language he is speaking lakini jamaa anajua sana
@user-nb1pn9qh4e
@user-nb1pn9qh4e 6 месяцев назад
Bana kunA story fulani hiv mke na mme mke msomi mme hajasoma sasa yule mke akawa nimwajiliwa kwenye kampuni ikatokea mkutano kila mtu aende namwenzake sasa mkutano unafanyika kwa kingereza mme hajasoma wakakubaliana ili wasiumbuke kwamba ikitokea story ya kuchekesha mke kwakua yeye atakua ameelewa atashika pua ili mmewe acheke wakaingia mkutanoni story ya kwanza ikawa inachekesha akshika pua wakacheka jamaa alikuwa makini ili asimuaibishe mkewe sas mke kashikwa namafua gafla sunajua chafya mala pu kasahau makubaliano akashika pua mume wacha aangushekicheko wakamtimua
@MohamedMohammedmarco
@MohamedMohammedmarco 2 месяца назад
Hahahahaha Kuna wazee sijui wakat ana zaliw alipew kitabu Cha kununa
@shefaceboys2698
@shefaceboys2698 2 года назад
Noma huyu
@yflon
@yflon 2 года назад
Hhhhhh nilikuaga sijui eti utaniua unachekesha sana
@ArnoldJackson-zg6wz
@ArnoldJackson-zg6wz Месяц назад
Anaweza San huyu jam
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 Месяц назад
Nikuongezee nguvu Au inatosha dini yako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@jacksonmathayo7988
@jacksonmathayo7988 Год назад
Best one
@GoodluckMwakibuja
@GoodluckMwakibuja Месяц назад
Kama unamkubali Tia like
@masatumalima5367
@masatumalima5367 Месяц назад
Kuna jitu hapo lina roho mbaya limekunja sura tu
@TwaibuSimba
@TwaibuSimba 2 месяца назад
Namkubaliii sana❤❤❤
@saidkanji9882
@saidkanji9882 2 года назад
Zembwela unajifanya kauzu sna
@MsanjalaAlex
@MsanjalaAlex 4 месяца назад
Braza umekaza sana hata kutabasam😂
@amooh_tz
@amooh_tz 2 года назад
Kaz nzur
@yusuphmaginya5859
@yusuphmaginya5859 2 месяца назад
Kwa kifupi huyu jamaa ana akili sana ktk ucheshi wake
@joshuamwanaharakari9849
@joshuamwanaharakari9849 Месяц назад
Huyu kenge zembwe nani kamuweka pale
@JonathanMakadi-td9jm
@JonathanMakadi-td9jm Месяц назад
🎉🎉🎉🎉 hahahahahaha 😅😅😅😅😂😂😂😂🎉 kaka Zang
@maxmilianimwakaniki2671
@maxmilianimwakaniki2671 2 года назад
Nakukubali Sana leonaldo
@FORTUNATUSZACHARIA-wz3nl
@FORTUNATUSZACHARIA-wz3nl 24 дня назад
Uyu bibi uyu😂😂😂💔
@user-do5vd5uu2e
@user-do5vd5uu2e 10 месяцев назад
Achekeshi ndo mana zembwela kabinyau safi sana
@antazypoka3752
@antazypoka3752 2 месяца назад
Chekesha ww
@kingkaka4592
@kingkaka4592 2 года назад
Sawaa kiongozi
@FrankJohn-ij2uh
@FrankJohn-ij2uh Год назад
nakukbrii..Sana'a
@YahayaShabani-px1sh
@YahayaShabani-px1sh 8 месяцев назад
Zembela unanini umenuna mwanzo mwisho na tinted yako usoni🤣😂🤣😂🤣
@johnzakayo114
@johnzakayo114 3 месяца назад
Ana masifa tu na yeye,au roho ya kukunja
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Kama jambazi
@MagdalenaHoja-jh9qg
@MagdalenaHoja-jh9qg 3 месяца назад
Katajwa na dymondi kwenye nyimbo anavimbaaaa kashakua maarufu anajikuta
@yonenedady996
@yonenedady996 2 года назад
Darr uyo mwana fund xana
@JoyceAdamukisagati-hy7gr
@JoyceAdamukisagati-hy7gr Месяц назад
Jaman hapo nisehemu ya kucheka sasa mtu kama unajua hutaki kucheka sasa umeenda kufanyanini?? unatisha wenzako bana
@officialtbrizzy8643
@officialtbrizzy8643 2 года назад
😅😅😅nampt huu mwamb
@veryniceswai4469
@veryniceswai4469 2 года назад
Yuko good sanaaa
Далее
ROASTING (NDARO VS LEONARDO)
15:34
Просмотров 856 тыс.
Beautiful sport😍
00:20
Просмотров 134 тыс.
Победитель евровидения
00:18
Просмотров 20 тыс.
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
DAKIKA 7 ZA ELIUD MLIMANI CITY
7:16
Просмотров 110 тыс.
LEONARDO ALIVYO CHUANA NA JOLMASTER
9:00
Просмотров 613 тыс.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Leonardo amwaga vicheko kwa wafanyakazi wa CRDB BANK
17:48
Beautiful sport😍
00:20
Просмотров 134 тыс.