Тёмный

LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 4 месяца назад
Dunia inasubiri kuona mambo makubwa kutoka kwangu, Nitakuja kuwa na Online TV kubwa ya kutoa habari za Injili duniani na nimeshaanza ❤🎉
@VeronikaSangawe
@VeronikaSangawe 13 часов назад
Mungu naomba nisamehe sana nilitaka kukuangusha ila natubu nitaanza upya, ubrkw kaka
@user-lj4pz4pv8o
@user-lj4pz4pv8o Месяц назад
Ubarikiwe sana mkuu
@FELISTERPETER-jf9jv
@FELISTERPETER-jf9jv 4 месяца назад
Kuna kipindi nilichoka sana kibiashara nilikata tamaa, mtaji uliyumba sana. Ckua na msaada tena ila nilivoanza kumfatilia Joel maisha yangu yalibadilika Kwa kias kikubwa sana. Barikiwa sana mtu wa Mungu
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 5 месяцев назад
Mi nauza mikate tuu ya mia mia napigwa vita hatari lakini napambana na sitoacha kujituma, Asante sana kiongozi wangu 🎉🎉🎉
@macmillanmakawia1542
@macmillanmakawia1542 Месяц назад
Salaam,hongera sana sana,pls keep it up.
@magretlaurent8717
@magretlaurent8717 2 месяца назад
Aiseh you really made my day , i know the world is waiting for my manifestation, lord direct me open my ways so that i can seee my capabilitiea
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Месяц назад
Asante sana nimejifunza kitu
@alexlucas1571
@alexlucas1571 6 месяцев назад
Shukrani sana ndugu kwa darasa, YEHOVA MUNGU azidi kukupa afya njema wew na familiar yako 🙏
@marianalwiva8823
@marianalwiva8823 6 месяцев назад
Hii ni chai ya kila siku asubuh kumsikiliza kaka Joel ameniambia nn leo kisha niendelee na kutimiza wajibu wangu....
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Ameen Songa mbele 👏🏻👏🏻👏🏻
@marianalwiva8823
@marianalwiva8823 6 месяцев назад
@@joelnanauka 🤝🙏
@aliyukagambo
@aliyukagambo 6 месяцев назад
Kweli kaka Joel niliwahi kukwambia Mimi ni chef by professional sasa hivi nipo Romania Europe nipo Bucharest mji mkuu wa Romania nafanya Kazi capricciosa restaurant
@aliyukagambo
@aliyukagambo 6 месяцев назад
Nimepandia ndege Jomo Kenyatta international airport nyumbani Tanzania kaka zangu hawakuamini dada zangu hawaamini mpaka wafanyakazi wenzangu Mwanza hawaamini lakini ndo hivo
@SuleimanMasumbuko-ol1yp
@SuleimanMasumbuko-ol1yp 4 месяца назад
Mkoa wetu wa mtwara umekua mkoa maarufu sana Mungu kutubariki watu wa kipekee na faida kwa jamii kama Joel. Respect sana kaka
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 6 месяцев назад
From south Africa Durban sijachelewa sana mwalimu wangu
@Sanga_jr_24
@Sanga_jr_24 6 месяцев назад
Nibarikiwe na like Yako kaka @Joel
@magretlaurent8717
@magretlaurent8717 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 be blesssed nanauka
@AbuuSalha
@AbuuSalha День назад
Hiyo courser naipataje
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 6 месяцев назад
Can't wait for this session 🥹🙌
@ChantalNdayizeye-ol1re
@ChantalNdayizeye-ol1re 6 месяцев назад
Mimi nishajua potentiel yangu na sasa nipo kazini,
@user-fk7ju3cy8n
@user-fk7ju3cy8n 6 месяцев назад
ur the best Mr Joel. mafundisho yako ni taa ya maisha yangu.
@alexlucas1571
@alexlucas1571 6 месяцев назад
I'm waiting it my mentor JOEL NANAUKA
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Naamini umesikiliza na umejifunza🙏🙏
@user-xt4yc9zc4l
@user-xt4yc9zc4l 6 месяцев назад
Nimejifunza na kuwa kumbe ninapo shindwa kutumia uwezo nilionao nakuwa na mwangusha Mungu wangu🙏🙏 Hakika Joel Nanauka kunasiku tutajiuliza Wewe ninani??? Mungu akubariki sana hakika.💪💪💪
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 6 месяцев назад
Shukran kaka🙏🏽🙏🏽. " Hakika kka kifo siyo hasara kubwa hasara kubwa ni vile vitu vinavyokufa ndani yetu tukiwa bado tunaishi" Nimejifunza kitu kaka shukrani 🙏🏽🙏🏽
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 3 месяца назад
Ahsantee sanaaa kaka angu ,,Yazidi kuonga mbelee Munguu akubariki sanaaa 🙏🙏🙏🙏
@EveryinaJosephat
@EveryinaJosephat 2 месяца назад
Nakupenda sana Joel nanauka naamini utanibadilisha 0:00
@KalabaKlb
@KalabaKlb 6 месяцев назад
kaka Joël nami niko tayari kudjiunga, please
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 месяцев назад
Hallelujah, namtukuza Mungu kwaajili yako kaka nimepata kitu kipya asubuhi yaleo ❤❤
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Amen tuendelee kujifunza. Nisaidie kushare na wengine🙏
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 месяцев назад
@@joelnanauka Amina kaka nina fanya hivyo kabisa nawaba furahi sana
@polycarpmfoy6594
@polycarpmfoy6594 6 месяцев назад
Mr sijutii kukufahamu..God bless you wewe ni hazina kubwa kwenye taifa hili🏆
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 5 месяцев назад
Joel upo vizuri sana pamoja na age yangu kubwa naona kama naanza sasa
@emmytarimo390
@emmytarimo390 6 месяцев назад
Tokea nimeanza kukufatilia naona mabadiliko ndani yangu na maisha yangu pia..... Your the best bro Mungu akutunze mnoo
@wadauwasizoni
@wadauwasizoni 6 месяцев назад
Nilishangaa namuota Joel nanauka ananipa kitabu hapo ndipo nilianza kumfuatilia.
@REMMYGASPAR
@REMMYGASPAR 6 месяцев назад
Nimepata kitu kikubwa sana hii asubuh through this video,, Thankyuu much @ bro joel
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Ahsante sana, tuendelee kujifunza🙏🙏
@petermunuo1657
@petermunuo1657 5 месяцев назад
Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana
@MarryJulius-wq3eg
@MarryJulius-wq3eg 6 месяцев назад
Kiukweli nabalikiwa na kaka Joel maisha marefu kaka
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 6 месяцев назад
Asante sana professor kupitia video zako umenihamasisha ninunue vitabu vyako yani kiskia mtu anakuja dubai sina cha kuagiza ila vitabu vyako nimemaliza juzi kusoma kitabu cha siku 30 za kuishi ndoto yako nataman ningekisoma zaman mika 8 nyuma nahisi ningekuwa mbali sana ila naamini sijachelewa kila nikiosma kitabu kimoja naona nahitaji kusoma na kitabu kingine shukrani sana kaka Joel Allah akupe umri mrefu na afya njema Inshaallah ❤
@user-hm5lt3rc8x
@user-hm5lt3rc8x 6 месяцев назад
Mungu akubariki mnoo kaka kwanza umenisogeza karibu sana Mungu
@Iman_Seleman01
@Iman_Seleman01 6 месяцев назад
Good job Joel, keep up a good work and stay blessed
@OmanOman-c9d
@OmanOman-c9d 6 месяцев назад
Ahsante sana kaka joel mungu akubariki
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 6 месяцев назад
Safi kaka hazina ya Tanzania Kasi zaadi
@estermathias8354
@estermathias8354 6 месяцев назад
Kwa jina la YESU naikemea roho ya uoga iliyopo ndani yangu.naamini nimeweza #matokeo badae mimi ni mshindi
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Kabisa pambana nayo
@lucympelembwa7836
@lucympelembwa7836 6 месяцев назад
Nakutia moyo roho ya uoga ni Shetani ,pambana Kwa kuomba na kuamua kuanza,mimi namshukuru sana Kaka Joel Mungu amlinde kila siku ,alinifanya nianze,siku nasitasita kuanza nikakutana na somo lake hapa linasema USISUBIRI KUANZA ANZA KUANZIA SASA,hauwezi amini baada ya wiki mbili nilianza kwahiyo nikutie moyo tu Anza tafadhali usiwe mwoga sawa
@richardMwita-qy2jq
@richardMwita-qy2jq 5 месяцев назад
Mwalimu unakuelewa sana
@Keyjop
@Keyjop 6 месяцев назад
Nakujaje you tube bila kukusikiliza kaka #Joel ...nimeanza kukusikiliza November mwaka Jana hakika umenibadilisha Kwa kiasi kikibwa saana Yesu akuatamie zaid bro...
@Yasiniabjadi
@Yasiniabjadi 6 месяцев назад
Mungu akubaliki Joel nanauka 🤲
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 6 месяцев назад
God bless yuo mwalimu
@user-re2nx3kd3o
@user-re2nx3kd3o 6 месяцев назад
MUNGU akubark san kakaangu 🙏🙏
@user-lt7dv9ei4l
@user-lt7dv9ei4l 6 месяцев назад
Asante ndugu umefungua akili
@IbrahimDaudi-bo7ke
@IbrahimDaudi-bo7ke 4 месяца назад
Asante Sana Kaka Joel Nakufatilia Sana
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 6 месяцев назад
Shukran sana kwa somo Coach 🏆,,,barikiwa mno🌠
@janetmbwana553
@janetmbwana553 6 месяцев назад
Kiukweli Nina kila sababu ya kutafuta potential yangu😢 sipaswi kabisa kubaki hivi nilivyo
@rustiqrustiq6337
@rustiqrustiq6337 6 месяцев назад
Hadi nmelia
@KalabaKlb
@KalabaKlb 6 месяцев назад
Kabisa ubarikiwe kk Joël
@Princeraphael10
@Princeraphael10 6 месяцев назад
Always I feel so proud to listen you brother because always I do gain more knowledge and my life has been changed....
@AmosBunzari
@AmosBunzari 4 месяца назад
Hongera Sana mtumishi wamngu natamani nije ofisini tuzungumze
@AmosBunzari
@AmosBunzari 4 месяца назад
Samahani Mimi natoka mkoa wa katavi
@AyubuKorio
@AyubuKorio 6 месяцев назад
Mungu akunze sana mtumishi
@African511
@African511 6 месяцев назад
Prof Nanauka ❤
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 6 месяцев назад
Asante Joel nitakutafuta baba ,,,ubarikiwe
@gilbertbaya1546
@gilbertbaya1546 6 месяцев назад
From Kenya...be blessed bro.
@erickathanas
@erickathanas 6 месяцев назад
Kaka nilikuwa nimekata tamaa lkn somo lako limenirudisha kwenye tumain Tena
@djramsoyusuph9661
@djramsoyusuph9661 6 месяцев назад
Najiungaje
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 6 месяцев назад
Shukurani sana
@philipomwazyunga4572
@philipomwazyunga4572 6 месяцев назад
Asante nimejifunza kitu.
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 6 месяцев назад
Asante
@eliasmugume254
@eliasmugume254 6 месяцев назад
Asante Sana kwaushauri Mkubwa
@Dulla_kite
@Dulla_kite 6 месяцев назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤸🏾🏃🏾
@vanessasalema6087
@vanessasalema6087 6 месяцев назад
Noted .
@monicakilatu5780
@monicakilatu5780 6 месяцев назад
Gharama ni kiasi gani
@nashonsibye
@nashonsibye 6 месяцев назад
Be blessed
@julianalaly2095
@julianalaly2095 6 месяцев назад
Asante sana
@RICHARDWAUSA-ep4xe
@RICHARDWAUSA-ep4xe 6 месяцев назад
@user-jb5tb7qq5f
@user-jb5tb7qq5f 6 месяцев назад
Shukrani ubarikiwe joel
@Coachsamwel
@Coachsamwel 5 месяцев назад
You're talking with me here....
@NSCCLORUVANI-TAG
@NSCCLORUVANI-TAG 4 месяца назад
Naitaji hiyo kozi, please
@user-ly2rv3xf5g
@user-ly2rv3xf5g 6 месяцев назад
Thanks
@magdalenafidelis3877
@magdalenafidelis3877 6 месяцев назад
Thank you Sir,
@WilliamSospeter
@WilliamSospeter 5 месяцев назад
Absolutely 💯
@tumainselestine3398
@tumainselestine3398 6 месяцев назад
Kwa yeyote ambaye anatamani kujoin lakini kwanjia ya Online utaratibu umekaaje Mwalimu.
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 6 месяцев назад
🎉🎉🎉
@ruvinaanold5983
@ruvinaanold5983 4 месяца назад
Nakukubal boc
@EmmanuelKavumbu
@EmmanuelKavumbu 6 месяцев назад
Asante Kwa kunipa hii chai, Mimi nimegundua ni mvivu nimeridhika ujinga
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Ongeza bidii songa mbele
@user-mz7df5sc3h
@user-mz7df5sc3h 6 месяцев назад
Mungu akulinde
@joelnanauka
@joelnanauka 6 месяцев назад
Ameen Ameen🙏🙏
@kadoluxclassic5634
@kadoluxclassic5634 6 месяцев назад
Chai yangu kila siku nikupata mafunzo kutoka kwako
@IsmailRamadhani-ul9wc
@IsmailRamadhani-ul9wc 6 месяцев назад
Visit Vizur
@JamesIzra
@JamesIzra 6 месяцев назад
Unapatikana wp kaka
@bongatv25
@bongatv25 6 месяцев назад
Kwenye kukitafuta ukijue nahisi uwezi kukitafuta unacho kitafuta ndo wewe
@israelfumbo2093
@israelfumbo2093 6 месяцев назад
Asante sana kaka Joel unanisaidia sana
@user-mz7df5sc3h
@user-mz7df5sc3h 6 месяцев назад
Be blessed
@saidkhalfan8207
@saidkhalfan8207 6 месяцев назад
Thanks
@hildamanda6810
@hildamanda6810 6 месяцев назад
Be blessed
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 509 тыс.
LIFE WISDOM : PRESHA ZA MAISHA - JOEL NANAUKA
16:39
Просмотров 10 тыс.
LIFE WISDOM : THE POWER OF FOCUS
17:43
Просмотров 12 тыс.
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIISHIWE   JOEL NANAUKA
15:54
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Просмотров 10 тыс.
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 509 тыс.