Tunakupenda sana kicheche ila kumbuka na madili ya nchi🇹🇿 yetu nijukumu letu watanzania kuyalinda ukiwemo na ww kicheche hivyo katka kazi zako zingatia na maadili hayo ndo, maoni yangu kwako kicheche
Content kama hii sio nzuri kicheche kwa sababu watoto tunaozaa na kulea wanaangalia na inakuwa picha au mafunzo mabaya kwao .Tafadhali jaribu utengeneze content ambayo haitaharibu maadili na desturi zetu na hata dini
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 unatuchukuliaje washabiki wako au ndoo tayari ushaona unatumudu?? m nakufatilia sana sema huwa siyo mpenzi wa comment ila kwa hii movie umenikwaza
Jamani! Watu wamekazania màadili maadili!, sahihi lakini Sio kila muvi lazima uitazama pia ishu ya watoto kuitazama, si kosa la kicheche bali we mzazi / mlezi! Kwanini umwachie mwanao aangalie