Mwenzako vevo anaanzisha anamalizia anaanzisha tena hivo ndo tunapenda❤ lifanyie kazi hili tunaitaji kujua mwisho wa shot ya lambalamba na hand sam wa kijiji penzi la jini latifa ndo tumezipenda sana
Huyu dada mke wakicheche ni mpakano kwakweli pastor kicheche eeeeeh anatoa mapepo eeeeeh anponya magonjwa eeeeeh anahokowa wapakani imeheenda ya ni leo mpaka msemee 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😊
Hii kazi ni sehemu ya majibu ya maswali ya wengi Miongoni mwetu, Mungu ana majaribu mengi ssana kiasi kwamba unaezakukufuru kama huyu mke wa kicheche, Hongera ssana bro 👏, I hope next episodes zitakua zamoto zaidi😊, kazi nzuri ssana👏👏