Тёмный

LILIAN MWASHA; KWA MARA YA KWANZA AWEKA WAZI KUHUSU NDOA YAKE ILIYODUMU MIEZI 11 TU 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

4 мар 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@berthasamwel9955
@berthasamwel9955 3 года назад
Powerful, nakuelewa dada Lilly, hiyo ni huduma au karama ya MUNGU endelea kuichochea, hata mimi huwa nafanya hivyo, nimeguswa na ushuhuda huo, natamani kupata namba yako kama hutajali.
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 3 года назад
Mtangazaji nmekupenda bureee u soooo talented na umerelaxxxx love ur spirit girl
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Yuko vizuri sana💯
@winniepeter3553
@winniepeter3553 3 года назад
I love you Lilian Mwasha ,My heart touched by ur faith💕
@suesil1178
@suesil1178 2 года назад
I am Very inspired by lilian Masha's Story. She said she love Jesus, and her stories tells that. Big up big sisy Lillian. Be blessed and keep doing the work of God. Keep shining.
@ibel4lf
@ibel4lf 3 года назад
Thank you for such a spiritual interview am inspired
@paschazianestorymatunda6490
@paschazianestorymatunda6490 3 года назад
Hakuna jambo zuri kama kufanya na kuishi kusudi la Mungu... I love this interview.... kwakweli jamani a blessed is a blessed one...
@selfaakinyi7824
@selfaakinyi7824 3 года назад
You have just talk to my spirit my sister Lilian, thank you, much love from Qatar.
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 года назад
Amen Lilian mwasha my super woman 👩love you
@ayesigahiza5797
@ayesigahiza5797 3 года назад
ooh my God this is very powerful interview, My take home "Strive to surprise God" Thank you Jesus.
@Rehobothreconciliation
@Rehobothreconciliation 2 года назад
I am thinking about how u suprise God ?? Can you?
@verokasongo9717
@verokasongo9717 3 года назад
This sister is too wise love for her for UK 🇬🇧 ❤
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 3 года назад
Umeongea point dada. God bless you kwa kuishi your Purpose
@mariammwaimu4552
@mariammwaimu4552 3 года назад
I love this woman❤️
@lysalindsay2552
@lysalindsay2552 3 года назад
Watching you from uae 🇦🇪 am a Kenya i love her so much especially her 2 programs women matters and wasafi Sunday worship ❤️❤️
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад
@lysa ❤️❤️❤️❤️❤️ to hear that, i love her too, im from Tanzania too, living the same place you are.
@lysalindsay2552
@lysalindsay2552 3 года назад
Yea she makes me wake up every Sunday to listen to her with masanja
@laurarose1521
@laurarose1521 3 года назад
Uko uae upande gani..mimi pia nko uku side za Abu Dhabi
@lysalindsay2552
@lysalindsay2552 3 года назад
@@laurarose1521 mimi Niko Ajman
@lysalindsay2552
@lysalindsay2552 3 года назад
@@laurarose1521 mimi nipo Ajman
@teclakamwela1796
@teclakamwela1796 3 года назад
Aah you are the best da lily
@asaliyamahusiano7661
@asaliyamahusiano7661 2 года назад
WOOW I HEAR FROM GOD LIKE LITERALLY TALKING TO ME THERE ARE THINGS GOD SPOKE TO ME AS FAR AS 25+ YEARS AGO BUT TILL TODAY I HAVEN'T SHARED NAMUELEWA SANA LILY
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 года назад
Lilly mwasha i LOVE soooooooo very much.I don't miss ur channel super woman💪.God bless u an ur family👏👏👏🌞🙏🇰🇪@Kenya.
@xkingx8041
@xkingx8041 3 года назад
Nilitaka saaana kusikiliza hii interview but sauti iko chini saaana. Specially lily
@gracehm7274
@gracehm7274 3 года назад
Love the whole interview
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 3 года назад
I love the interview...
@Rehobothreconciliation
@Rehobothreconciliation 2 года назад
God is speaking so much to us through you.God bless your a vessel.
@alicekadzo340
@alicekadzo340 3 года назад
Lot's of love lily, God bless you
@Kidotii
@Kidotii 2 года назад
Yaani for the first time I understand this!
@tetwigismkinga7547
@tetwigismkinga7547 3 года назад
Waoooh what a wonderful women
@argentinachottah5962
@argentinachottah5962 3 года назад
Hapo Lilian nimekuelewa sana ndoa ina viashiria vyake awali ikiwa itadumu au la
@rumb5876
@rumb5876 3 года назад
Love you da Lillian
@waridalucas8871
@waridalucas8871 3 года назад
Dada Lily nakuelewa sana Mwenyezi Mungu azidi kukutunza
@joycegadi5219
@joycegadi5219 2 года назад
Ameeeen woman of God Ur blessed in Jesus name 😍😍😍
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 года назад
Dada Lilian umeniliza mno zaid ya mnooo kumbe nami Mungu ataja kunipa furaha ya kile nitachotimiza katka ndoto zangu nalia sana kila siku sijui Mwenyezi Mungu anampango gani na Mimi ninakatishwa tamaaa ya kuendelezwa aiseee sijui lakin namuachia alieko juuu
@zuhratyrico5147
@zuhratyrico5147 3 года назад
Hutakiwi kuwaza ndoa acha mungu amlete mwenyewe utajikondea bure kwavitu ambavyo muda wake haujafika tupige kazi hata wakija watukute tuko vizuri bank 😍😍😍😍
@ummymajaliwa2216
@ummymajaliwa2216 2 года назад
Mshukuru Mungu kwa pumzi
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Mashallah dada wa kihaya
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 года назад
Smart interviews,
@jacquelineniyo8177
@jacquelineniyo8177 3 года назад
Very powerful 🙌❤️🙏
@neemamwafongo5779
@neemamwafongo5779 3 года назад
Amina nabarikiwa sana na dada Lilian nampenda sana
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 3 года назад
Asante sana
@chiticollemans
@chiticollemans 3 года назад
Woooow “kuwa chumvi, yape ladha maisha ya wengine”
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 3 года назад
Nimebatikiwa sana na hongera kwa Imani kuu iliyoko ndani yako
@chany9950
@chany9950 3 года назад
Amen amen 🙏 🙌🙌🙌
@sarabless4194
@sarabless4194 3 года назад
Am blessed 🙏
@louisembuyamba7868
@louisembuyamba7868 3 года назад
God bless you mommy🙏🏽🙏🏽
@chany9950
@chany9950 3 года назад
Love you so much lily 💗 💓 ❤
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 года назад
MashaAllah umeni funza mengi😍😍😍😍😍
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 3 года назад
We waiting for part 2
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 года назад
Nakupenda sana pacha wangu❤️❤️❤️❤️🙏☝️🙏
@meleniaelikana7345
@meleniaelikana7345 3 года назад
Amina mwanangu liliany unahekima kama mwanangu
@judymkambe219
@judymkambe219 Год назад
I want to hear more please I learnt thing's n I want more please
@jenniphermujuju8209
@jenniphermujuju8209 3 года назад
Strive to surprise GOD ✍
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Dada Lilian unachoongea ni kweli mwenyew huwa naonyeshwa mambo mapema
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 3 года назад
Wow asante sana Dada Lilian
@kulthumsaif2856
@kulthumsaif2856 3 года назад
Nakukubali Lillian mwasha 👍👌😍
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Nampenda mtangazaji💟🤍lilian mwasha luv u.🥰🥰🥰sauti ndogooo
@neemamassawe4484
@neemamassawe4484 3 года назад
Dada Lilian nakupenda sana
@hellenismail4351
@hellenismail4351 3 года назад
Beautiful Suzzet...The best presenter😍😍😍😍😍
@atuganilekalinjila8385
@atuganilekalinjila8385 2 года назад
kuna cha,kujifunza hapa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Lillian nimekuelewa sana😍nimejifunza.mengi sana asante😍😍💯
@carodmtonyi2506
@carodmtonyi2506 2 года назад
I love my sister u talk true I love so much Goodness u
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Nataman huyu dada aendelee kuongea Tu kwakweli nakupenda Sana dada angu Mungu azidi kukutusimamia
@dapriccy3574
@dapriccy3574 3 года назад
Daàh Kuna vitu nimejifunza barikiwa Dada 🙏🙏🙏
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 года назад
Aisee!!
@ElizabethSichalwe
@ElizabethSichalwe 3 года назад
We dada (Lilian) Mungu akubariki. And the hostess (Suzzie) I like your vibe, tone. You guys are blessed. ❤
@bahatimmependezamwanginda5202
@bahatimmependezamwanginda5202 2 года назад
Love u so much Lilian😍
@nadiambalambala4225
@nadiambalambala4225 3 года назад
Dada lilli nakupenda sana 💕
@magecharles7158
@magecharles7158 3 года назад
Lili ni mzuri ukimuona. Live ni mzuri mno
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Ni mrembo sana😍😍
@magiehermess9949
@magiehermess9949 3 года назад
Yani nimekuelewa. Ata wangu hakumbuki kitu alafu nanuna. Kumbe si wangu tuu yuko hivyo. And that doesn't mean ur husband hakupendi. Thanks dear ur the best
@imaneduwe5886
@imaneduwe5886 3 года назад
Hata wangu my dear, wanaume hawazingatii vitu vidogo vidogo. Msamehe bure. Mshirikishe lakini usitilie maana kuwa atafuatilia kila kitu.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Mpo vizuri sana nimewapenda sana😍😍😍🙏
@msalikemedia
@msalikemedia 3 года назад
Nice Interview God bless you lilian mwasha
@prettyinpink6699
@prettyinpink6699 3 года назад
Love you Lilian
@zuhratyrico5147
@zuhratyrico5147 3 года назад
Nikweli kunawakati unahisi kabisa vitu haviko sawa hiyo imenitokea
@lilyanmongi1075
@lilyanmongi1075 3 года назад
Nakupenda sana wajina
@aminaalli2287
@aminaalli2287 3 года назад
Nakupenda liliani unapenda vitu vya asili...Mimi nauza vitu vya asili nitafute Nina vitu vizuri sanaa
@isabellamethod1842
@isabellamethod1842 3 года назад
Liliani jmni maneno yako hadi nywele zinasisimka
@gracelaban2771
@gracelaban2771 2 года назад
about information ni kweli aisee. utaziongea tu , utake usitake utashare.. i love Lilian
@aminaalli2287
@aminaalli2287 3 года назад
Nakupenda sana liliani
@didaamohsin6594
@didaamohsin6594 3 года назад
LILLIAN MWASHA LOOVE U SO MUCH 😍😘😍😍
@theresiadominic5606
@theresiadominic5606 3 года назад
perfect interview !
@jackjacklin3310
@jackjacklin3310 3 года назад
Ameen
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 года назад
Liliane mwasha nakupenda bure
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 3 года назад
Part 2 plz😢😢😢
@maggymm7302
@maggymm7302 3 года назад
I lov it when these presenters are interviewed too.. do more of these dr..
@chibitoke1163
@chibitoke1163 3 года назад
I love You mwasha
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 3 года назад
mtumishi wa mungu
@dionisiabaynit2916
@dionisiabaynit2916 2 года назад
Barikiwa dada Lily
@rumb5876
@rumb5876 3 года назад
Love you dada Lily
@leticialucas3842
@leticialucas3842 3 года назад
Lily your real
@lucyhangaya5759
@lucyhangaya5759 3 года назад
🙏😍
@lovenessibrahimu6730
@lovenessibrahimu6730 3 года назад
Ameeeeen I Catch You Mom Get Blessed
@claudinenkurunziza2137
@claudinenkurunziza2137 3 года назад
Sauti ndogo mno jamani 😩😭
@dottocharles1636
@dottocharles1636 3 года назад
Kabisa Mimi nikiota kitu huwa kinatokea kabisa .mpaka huwa napata mawazo kabisa .
@rahmawabeatus6735
@rahmawabeatus6735 3 года назад
I respect Lili
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 3 года назад
Uwiii weweeee dada lilian, umenigusaaa mnoo
@rosemgaya464
@rosemgaya464 3 года назад
mm naomba namba ya lilian ninashida nae
@estermagoiga7668
@estermagoiga7668 3 года назад
Nakupenda sana da lili una nondo za kushiba
@christinamwansele1399
@christinamwansele1399 2 года назад
Lillian nimekuelewa tujifunze kusikiliza sauti ya Mungu.
@aminaalli2287
@aminaalli2287 3 года назад
Nakuoenda liliani mwasha sanaaa..unapendeza uolewe na mzungu nakuombea
@esterkilawe8672
@esterkilawe8672 3 года назад
Ana mme wake na watoto wa nne na wanafuraha sana
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Kweli kabisaaa dada ukiwa Rohini unaona vitu ving mno kuliko mwilini kuna siku niliwahi kuonyeshwa Hadi nikawa nashangaa kabisaaa
@Panganile1
@Panganile1 3 года назад
Hii interview inafundisha na kuponya moyo kbs, thank you dada Lilian
@kanubhobalokola896
@kanubhobalokola896 3 года назад
😭🙌
@catherinesesse9462
@catherinesesse9462 3 года назад
Nice interview
@lydiamkeni7494
@lydiamkeni7494 3 года назад
Well said dada Liliy yaani Mungu akubariki sana sana
@ruthshangali5996
@ruthshangali5996 3 года назад
Hapo kwenye maturity umenigusa sanaa
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 года назад
Wonder woman but, we need paty 2 ❤️❤️❤️❤️
@matukiosafaris6508
@matukiosafaris6508 3 года назад
Hata birthday yangu mwenyewe huwa nasahau
@officialarafa6511
@officialarafa6511 3 года назад
Mbona haijamaliza
@heriethinnocent3283
@heriethinnocent3283 3 года назад
Dada Lilian umeugusa moyo wangu. Namuomba MUNGU siku moyo nionane na wewe
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 296 тыс.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 14 тыс.
LILLIAN MWASHA: USIMPE MWAUME NAFASI YA KUKUZOWEA
2:56
PBB GEN 11 | FIRST BREAKFAST | 21 July 2024
1:09:26
Просмотров 7 тыс.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 156 млн