Ni kweli ukiwa na marafiki weng unajisababishia matatizo maana sisi wenyewe kwa wenyewe ni watu wa baya Sana me Sina rafik na hainisumbui arafu unakuwa na amani sana kuish kwa kila mtu kumpa hii inapendez sana
Big up for raising precious children who are also very protected. Many of us do not know your children. Well behaved children. You must be proud of this madam
Hongera madam Rita faida ya mtu akiwa hai ni kumsaidia mwingine afike mahali fulani pa mafanikio Mungu AKUBARIKI SANA SANA endelea mbele kila kazi ina ujira mbele za Mungu
Nimempenda sana madam hasa kwenye comment yake,anachokipenda ni kugusa maisha ya mtu,tena mtu huyo afanikiwe kwa upande ambao yeye anapenda sio lazima uwe mziki,yaan yeye wala hampangii ,GOD BLESS YOU DEAR❤️❤️❤️
Pete ya mamiliona afu ukaachwa🥵.wanaume c watu.madame namsoma ktk harakati zake za maisha ya mapenzi so sad maskn.BUT ,she is cute, bright,matured,humble....💟🙌utapata tu wako..ila unaongea ka zarithebossylady.yes wanawake hatupendani na ndo manA wanaume wanatuonea.nmekuelewa madam.uko ka mimi mtu akinikera nakuharishiaa hapo hapo afu yameishaaa🤣🤣🤣🤗
Ni kweli Mamie. Wanawake tuna roho mbaya sana kwenye upande wa kazi. Tena mie huwa kabisa sipendi kufanya kazi na maboss ya kike. Damu zinatutoka nyingi mno kila mwezi.
Nani kakwambia alikua na ela… alikua Binti tuu mdogo mwnye tupesa tu twa kutk kwa wazazi etc kawaida tuu…. Sio kusema ni pesa nyng… sema ana nyota tuu yakupendwa na wanaume wenye ela tena wenye nia yakum support… Basi tuu labda hakua interested nakuolewa Au pengn alitaka mwanaume kdg ambao watalingana lkn mwny mafanikio pia kitu ambacho sio rahisi….