Тёмный

LISSU AACHIWA KWA DHAMANA USIKU HUU, AELEZA KOSA ALILOTUHUMIWA NALO 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@reginaldtemu6305
@reginaldtemu6305 Год назад
Kamanda Lissu usiachie kamba, endelea kuvuta mpaka tupate ukombozi na Mwenyezi Mungu akulinde
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
Watanzania wenzetu amkeni fungueni macho 4,CCM YA SASA SIYO YA NYERERE, KWA SASA TUNA CCM GENGE LA WAHUNI, MAJIZI, WAUWAJI CCM FEKI
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Stories
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
Na hao vp Chama chako kimejamilika wapi. Kafanye uchunguzi uje utujuze wapi tuelekee.
@amanmalima940
@amanmalima940 Год назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@jubeckmkoma3732
@jubeckmkoma3732 Год назад
Mganga hajigangi, much appreciation ever
@madhuru2554
@madhuru2554 Год назад
Huna mpango na huna jipya
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s Год назад
Asante mungu uliyemtetezi wa wanyonge.unayempinia mwamba wetu. Tunaimani kabisa huyu ni muwakilishi wako.
@jumaally2469
@jumaally2469 Год назад
Ipo siku
@rajah9328
@rajah9328 Год назад
Sio uko tu Kenya pia lazima ue na kibali cha police wajue nia yko na mkutano wako utkua sehemu gani pia
@MsuyaMsemo
@MsuyaMsemo Год назад
Pole Sana munguakupenguvu usikatetamaa tukopamoja
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Год назад
Lisu mweeeee! Si utulieeee
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
Akitulia hatupati katiba mpya si akiongea tunataka katiba mpya hawatuelewi acha kinuke sas ipatikane kwa nguvu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Mama piga kazi tuko nyuma yako na bandari wape watu wa kazi cc tumechoka kupotezewa mda na vimashine vichache vya bandari
@Muganyizi
@Muganyizi Год назад
Wew utakuja gongewa mke wako
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
Lissu chapa kazi sis tupo nyuma yako usikubali wabinafishishe hizo bandali zetu watatokea viongozi wenye akili kama magufuli wataziendesha vema. Mungu saidia tupate kiongozi mzuri mwenye maono na akili l love tz
@damianmassawe7516
@damianmassawe7516 Год назад
Huna watoto wewe ndo maana unaongea maneno ya kijinga kuhusu bandari angekuwa wa Kwanza nyerere kuibinafsha lakini aliona mbali huo Ni urith wetu sio wa mwarabu
@emanuelmaya4667
@emanuelmaya4667 Год назад
fala wewe
@rashidyusuphwewenimtotowam1761
@@emanuelmaya4667 😁😁😁😁😁
@user-le3oc2xz1f
@user-le3oc2xz1f Год назад
Pole Sana kiongozi wetu pambana baba
@alisaid9024
@alisaid9024 Год назад
Lissu acha fedhuli zako na na uwe na nidhamu na kufuata sheria za nchi usijifanye wewe ndio nchi nzima fuata sheria kama wengine acha jeuri zako wala wewe sio mtu una thamani kuliko watanzania wengine ,,,kama huwezi kufuata sheria unagombania nini haki kama wewe hutaki kufuata haki ..jeuri itakuangamiza na hutopata lolote ,,kama wataka umaarufu hausaidii kitu ,,huwezi kufuata sheria za nchi rudi huko Belgium ukaishi utakavyo wewe japo huko pia utakua na adabu kufuata sheria za huko ...acha jeuri uishi vizuri ama jeuri yako haikukusaidia mwanzoni haitokusaidia milele ,,,kaa kwa adbu kama wengine
@charlesjoseph1081
@charlesjoseph1081 Год назад
Imejaa polish bila hata kufinywa,huyu msenge ana kampeni ovyo kamateni huyu nwendawazimu weka ndani mpumbavuu
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
Kazi iendeleee, mwenyewe Alisha Sema polisi waandae magereza, yt Macho na masikio.
@AlfredMassoud-kw7jm
@AlfredMassoud-kw7jm Год назад
Kiki za kisiasa tu .kaona haongelewi sana so ameandaa tukio huku akijua kuwa polisi watafata Sheria kuwakamata...ni watanzania wachache Sasa wasio elewa mchezo wenu
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 Год назад
Safi kabisa
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Год назад
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipo ishia
@palhmavoice7716
@palhmavoice7716 Год назад
Thinking capacity yako ni ndogo Sana japo ww unajiona una akili
@katokimera4463
@katokimera4463 Год назад
Huyu watakuwa wanamrafii nakama nimtoto wa kiumee atakuwa nishogaaa
@JustinMwanawima-yi3ey
@JustinMwanawima-yi3ey Год назад
Unajua Nini wewe?
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Год назад
Kwa upinzani huu , bora CCM iendelee tu
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
Kabisa kaka
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
MIAKA 1000❤❤❤KAMA WAPINZANI WENYEWE NI WAHUNI TU
@innocentkalumuna9664
@innocentkalumuna9664 Год назад
Pole sana ka ka
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
Tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Nchini. Viongozi wa Vyama vya Upinzani mmekosa na kuishiwa Sera za kutueleza Wananchi sababu Serikali ya Awamu ya 6 inatekeleza Maendeleo kwa kasi kubwa kulingana na Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa Vitendo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee.🇹🇿🇹🇿
@Stanley.kapumbira
@Stanley.kapumbira Год назад
Ivi wewe uko Sawa kichwani? 🤔🤔
@timotheontibayaga-lq2xx
@timotheontibayaga-lq2xx Год назад
Mmmmmmmh tumia 😢
@gideonkasese9244
@gideonkasese9244 Год назад
Endelea kumuunga mkono ww binafsi usitushawishi wengne
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
MTAUFYATA TU WACHAFUZI WA HALI YA HEWA
@VeNoM-hx4sj
@VeNoM-hx4sj Год назад
Wewe lazma fuse za kichwa haziko sawa mungee wewe peke yako
@kadmc9124
@kadmc9124 Год назад
Tumevaa kaptula😁😁
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Год назад
Eti leo ,wasaf na millard ayo wamekuposit unafiktu
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Hujaguswa mwenyewe umeshangaa punguza uongo mtupu majibu wesha pewa jana. Punguza uongo na fatani utakaa sawa tu
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Год назад
Huu ni upinzani dhaifu sana na hakuna kitu hapa,chama kinatembea na mtu na walinzi wake tu ambao inaonekana anawalipa yeye tu kwa pesa alizopewa na mabepari huko nje,hapa hakuna kitu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Год назад
Naanza kumuelewa Magu kwa nini alipiga marufuku siasa baada ya uchaguzi.
@samahamed2418
@samahamed2418 Год назад
Angekuwepo magu walausingerudi kufanya ujinga
@samniza1763
@samniza1763 Год назад
Asingeuza nchi kwa waarabu.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 angerisaailika kabisa mbwa mimi
@davidjohn5977
@davidjohn5977 Год назад
Ila umezidi Kaka,Tanzania ni ya Watanzania.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Kwahyo wamasai wao sio watanzania bro?😢😢
@siasporttv7823
@siasporttv7823 Год назад
Kwani yeye ni mburundi respect for the movement
@user-yq5or7de9d
@user-yq5or7de9d Год назад
We jinga kabisa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Wamasai ni ma mbwa kumbe hawana haki ya kuishi kwenye ardhi walio rithishwa na mababu zao😢
@petergirago9408
@petergirago9408 Год назад
Ila watu wa ccm mnajkitaka mungu mtu 😅😅😅
@EliyaMwaipopo-hf6nq
@EliyaMwaipopo-hf6nq Год назад
Ohoo kumbe viatu vya magufuli vina mtosha tz tuna malahisi waajabusana
@allytv1714
@allytv1714 Год назад
Yaan kuna watanzania etii wanaona huyu mwamba mwanaharakati anakosea amfunguki akili ccm inavyotesa raia wanaotetea haki za raia wengine police wanaua watu wasio na hatia kila mara wanawasingizia kesi za uongo bado tyuu amfunguki akili wabongo na waandishi wa habari wanafki waoga kusema ukweli wananyamaza tyuu mara zote
@aswilasaif2455
@aswilasaif2455 Год назад
Acha mdomo utafungwa peleka ujinga wako unajifanya unajuwa sheriya mjiga ww f
@peternelsonP.N.M
@peternelsonP.N.M Год назад
Dah pole sana mkuu risu 🇹🇿
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo Год назад
Mimi sio mwanasheria wala sijasoma ila najua huwez fanya mkutano au hata shereh yoyote mpaka kibali cha polis
@user-so2pe5zj6y
@user-so2pe5zj6y Год назад
Wananchi wanahitaji mabadiliko kwani wameona C C M haiwasadii. Wanayoyazungumza wakiwa kwenye jukwaa la kisiasa ni tofauti na matendo yao. Magufuli alitengeneza na kuiweka C C M pazuri lakini naona warisi wake wameanzisha dira yao ambayo ni chungu kwa wananchi.
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k Год назад
Yaani lisu huna shukrani leo unamfanyia maama firigisu wakati yeye ndio aliekufanya urudi kwenu kutoka uhamishoni au ndio leo umesahau kama ilikiwa husubutu hata kutia pua tz wakati wa magu ebu kuwa na fazila au ndio tuseme akili zimekuruka kwa zile risasi za magu
@abellutonja4589
@abellutonja4589 Год назад
Kwahyo ukitaka apande jukwaani amsifie MAMA KIMBO wenu
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k Год назад
@@abellutonja4589 ukitaka usitake mama ni raisi wako tu
@suleimankindy6465
@suleimankindy6465 Год назад
Wanaonekana wapinzani wapo dhaifu.. hata hao waliojikusanya ni kama wapo KANISANI tu CCM Watashinda kiulaini sana Mama yupo juu..kiwango chake kiko juu Yaani CCM kweli Dume
@NassorSalumMengi-jj1nf
@NassorSalumMengi-jj1nf Год назад
Lisu wewe naz unataka kushindana na jiwe lengo lako kuvuluga amani ya nchi wewe unako kwa kukimbilia sasa hao kina bile watakimbilli wap?
@siasporttv7823
@siasporttv7823 Год назад
Hata wakati wa daudi na goliati kama daudi angejiona ni nazi na goliati ni jiwe asingeweza kumshinda goliati time will tell
@issandule1750
@issandule1750 Год назад
Bonge la jb
@festokaboge3141
@festokaboge3141 Год назад
Huyu kibaraka hatutampatia nafasi yeyote atajisumbua bureee
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Год назад
Daaa shida n kwani
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 Год назад
Kashakojolewa Sasa hivi atatulia kwanza
@samniza1763
@samniza1763 Год назад
Really is that what your gov. know and do to you the people?
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Wapuuzi wakubwa simlikuwa mnamsema Raisi wetuwaheshima JPM sasahayuponani anawakamata MwishowaUbaya Aibu
@Zakarialembuzel-fc6nm
@Zakarialembuzel-fc6nm Год назад
✌️✌️✌️✌️
@BahatiYenzela-kj6jq
@BahatiYenzela-kj6jq Год назад
Wavuluga amani ni maficm wenyewe
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 Год назад
sio lazima lkn yeye ni kiongozi wa watu na pia Lissu ni 'International figure' media inafaidika na taarifa zake yaani media ina interest zaidi na matukio ya Lissu. siku zote viongozi wa upinzani duniani kote wanapata umaarufu kutokana na mateso ya watawala hasa waliokaa madaraka kwa muda mrefu kama CCM, watawala wanakuwa na hofu ndio sababu wanatumia vitisho na nguvu kuuwa upinzani. umenipata?
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Год назад
Duuu
@dustanmassawe6249
@dustanmassawe6249 Год назад
Ccm na uongozi wao ni uchafu watuachie nchi yetu Go Lissu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Maneno ya kushiba mlikaa kmya leo mama kafungua nchi mnapiga kelele
@NKUBASENI
@NKUBASENI Год назад
Lakini sababu hasa ni nini mbona kukamatana tena jamani
@maryamtan682
@maryamtan682 Год назад
Ttz eneo alilo fanya mikutano alikatazwa,
@isaka_omary
@isaka_omary Год назад
Nilijua Banda la Video bana
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 Год назад
Polisi kama hamwelewi nachukia sana na ninaumia kuwa mnafanya makosa makubwa sana kukamata hao watu wapuuzi thn mnawaachia kwa dhaman mnawapa sifa sana mnavyoaachia bila kesi kuendelea kama mnaona bado hamjaona kosa msiwakate maana mnawapa sifa sana.
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Mamako kesha kkujibu wacha kupotosha na uongo wako. Baba mzima unavaa kaptura fatan mkubwa
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v Год назад
Mr Lisu jaribu kuwa mstaaribu kwa nini kila kukicha matatizo debe kama mwanamke mjazimto? kila kukicha yanaibuka matatizo mapya je wewe ndo unategemea kuwa Rais wa nchi kweli wa Tanzania tuwe hange na huyu bomu Rais mtarajiwa maana matatizo yamemzidi kwa nini usiombe kibali wakati unajua ndo sheria 😢
@user-jz6ok7bu4k
@user-jz6ok7bu4k Год назад
Kwa hyo bado unaendelea na mkutano
@KhalidiSamata-gv8gq
@KhalidiSamata-gv8gq Год назад
Upumbavu mtupu na ha2wakubal kwa taarifa yenu mnajisumbua2
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Fatan mkubwa rudi kwenu Ubeligiji. Fata kanuni wacha uhuni wako Fatan mkubwa wee
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
Mama samia umemsaliti JPM, tunajuwa umehonga jeshi ili watanzania wateseke ,na WAARABU wako watawale ,big nooo, Mama samia umefeli big time. Hayupo wa kuwapa kura tena 2025.PERIOD hata tone.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Unajidanganya ccm watatawala mpk hii dunia inaisha labda waamue kuuacha naandika nikiwa hapo city of gold Johannesburg. Chama tawala cha hapa ni km ccm watatawala mpk mwisho
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 Год назад
Mshenzi mkubwa kabisa ,unatutoa kwenye Agenda ya bandari unatuingiaza kwenye ipumbavu wako Kaa kimya watetezi wa mali asili za TZ wazipiganie Kama hujahongwa na Samia kaa kimya na chadema yako, acha kizazi kipya kipigani haki zetu usitafute kiki
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
Mama samia, delila, iacheni tanganyika kwa amani, haiwezekani watanzania kuwa watumwa na wakimbizi ndani ya nchi yao.
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 Год назад
Huyu Mama ni Delila kweli,ni Tatizo kubwa kwa Taifa letu hasa Tanganyika,hata afanyeje mwaka huu ataisoma
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
​@@ezekielkandonga9238mmechemsha
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Год назад
Mama kafungua nchi akae maisha
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
@@hajjiomary2383 husda zitawauwa.
@ismailhaji6471
@ismailhaji6471 Год назад
Tundu Lisu ni yuleyule wa kipindi cha Magufuli... huyu ni kibaraka wa Wabelgiji... na walelgiji ni watu hatari sana kwa kuvuruga amani za nnchi za Africa. Poteza huyu mtu kabla hajaleta maafa nnchini mwetu
@talibsaid8096
@talibsaid8096 Год назад
Huyu jamaa hana maono tena kaamua kutafuta kiki unapoteza dira bro matope matupu
@courtesyHealthservices-bg8we
Lissu You Are Too Combatant Probably to Draw Sympathy , But no. Do not incite people. Who is Your Sponsor? Tanzania has been one, but you are sowing ethnicity. Yes there's laxity in leadership eroding all the gains of Magufuli, but don't take a dvantage to bring in Uranium looters.
@jubeckmkoma3732
@jubeckmkoma3732 Год назад
Vijana wengi Bado uelewa wao ni finyu ndio maana kwenye comment Huwa Hawa akisi ualisia na kusadiki madini ya wanaharakati wanaoleta changes , magu mwenyewe alitufanyia Yale tuliyoyataka kama sehemu ya majibu ya kile upinzani unachokihubili
@festokaboge3141
@festokaboge3141 Год назад
Huyu siyo mwanaharakati ni kibaraka tu
@seifmbembe95
@seifmbembe95 Год назад
Kwani ukikamatwa na kuwekwa ndani nakuachiwa kwa dhamana lazima uwaite waandishi wa habari?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Kwa wewe sio lazima ila kwa mtu Kama lisu lazima.
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 Год назад
Wewe.ni.mjinga mtu.anaesapot ushoga Hua hatumskilizi nae ni.hivyohivyo mjinga tu.wewe
@danielalmas6595
@danielalmas6595 Год назад
Uyu nd kamanda sas achan na hao wengne wanaongea uku wanajijali wenyew wakiw madarakani
@richardburundi3090
@richardburundi3090 Год назад
Watakuwuwa mzeehe acaana na ccm wakupinduwa ccm niwananchi nawanajeshitu
@Veni584
@Veni584 Год назад
Dereva wa zamani yuko wapi?
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Год назад
Polisi wamegeuka jeshi usu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Год назад
CHAMA CHA WAHUNI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿CHADEMA
@davidmuyenjwa-nl5ul
@davidmuyenjwa-nl5ul Год назад
Wasafi hatutaki unafiki, ww unapost hi hz zingine hupost
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Год назад
Mungu tusaidie na Tanganyika yetu tunachoka na manyaso haya .....tumeuona mkono wako tunaomba Tanganyika yetu
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Год назад
Sasa mikutanonta ninini siasubiri campaign?? Hizonpesa xakuhongwa chakutaka kuchafua NCHI.siawape wakaxi vijijini,akianza nak8jiji chake???
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Wee ni fatani mkubwa na muongo mkubwa kazi uchochozi tu na ufatani kesho kutwa utakimbia kwenda kwenu Ubelgiji
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 Год назад
Nilichogundua katika nchi hii hakuna upinzani
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 Год назад
kwa nini hakuna upinzani tupe umegundua kitu gani, tuelimishe my friend please..
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 Год назад
Mengine mnakatwa kwasababu ,mnakosa sera ,mnaanza uchonganishi ,sisi watanzania wa leo tunataka chama chenye mtanzamo chanya ,tukiridhika tu,TUNAMALIZA kazi yenu 2025 .sasa ninyi bandari,mara Loriondo ,yaani ni kujipachika kwenye nyufa tuu ,TANZANIA is a biggest country .Lete seraaa !!😢
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Год назад
Rip JPM Miss you daddy
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Wamasai wana onekana kama mbwa kumbe hawana haki ya kuishi kwenye ardhi walio rithishwa na mababu zao😢 hili jambo sio jema na litakuwa laana kwa viongozi wetu walafi wa pesa
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Год назад
Mwamba huyu hapa rais
@ezekiaadam509
@ezekiaadam509 Год назад
Lisu mtetez wa wanyonge
@bukuruetienne3726
@bukuruetienne3726 Год назад
Polesana mkuu
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Год назад
Kwa hiyo WASAFI kwao hii ndio habari?Katiba mpya,mikutano ya CHADEMA,Tume huru ya uchaguzi n.k mbona hatuoni habari zake😢😢
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Год назад
Watajuta akina Samia we ngoja
@juma2979
@juma2979 Год назад
Lisu tulia ww usituletee fujo nchi ytu saiv imetulia
@henrylugongo632
@henrylugongo632 Год назад
Nshii imetulia .hali ngumu ya maisha sasa imetulia nini mnafumbwa macho kwa amani
@juma2979
@juma2979 Год назад
Lisu anatafuta kiki
@seifNsokolo
@seifNsokolo Год назад
Hivi kwa hali hii bado Kuna mtz ajielewi Kama hawa wanaotoa koment za kijinga labda Kama wao wako kwenye sstime au wazazi wao wako kwenye sstime
@timotheontibayaga-lq2xx
@timotheontibayaga-lq2xx Год назад
Tatizo wanasiasa wa tanzania wanaongea tu uku tunaendelea kuteswa kama watumwa hawafanyi action haki kwa maneno tu haiwezi leta fraha ya watanzania et police ndo wanatunyanyasa sibora tungeteswa na mgambo kuliko police
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
MTAUFYATA TU
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 Год назад
C ungeenda kuongeza nguvu kaka
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
Umekula umeshiba nawe.
@Levinsky25
@Levinsky25 Год назад
No freedom in Tanzania 🙌💯learn from Kenya enslaved in your own country meeehhn
@2003hintay
@2003hintay Год назад
Acha ujinga na kiingereza chako Cha ovyo nenda kwa wenye lugha hiyo sio kwako huku
@Levinsky25
@Levinsky25 Год назад
@@2003hintay Sounding like a class three drop out
Далее
Tundu Lissu arejea Tanzania
3:25
Просмотров 13 тыс.
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
Просмотров 7 тыс.
Mbowe na  Lissu Watema Cheche Kuhusu Sheria za Uchaguzi
12:43