Тёмный
No video :(

Mwabukusi: Kuna Spika Amefukuzwa Kama Muuza Bamia, 'Spika Sio Mali ya Chama' 

The Chanzo
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

7 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@samwelmohonge4573
@samwelmohonge4573 9 дней назад
this is the turning point, viva MWABUKUSI THE HEROE
@user-jb3zp9uo7o
@user-jb3zp9uo7o 7 месяцев назад
Haya ni Maneno adiimu sana kuyasikia. Mwabukusi piga kazi, una watu wengi sana nyuma yako.
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 7 месяцев назад
Hongera ndugu Mwabukusi kwa ufafanuzi mzuri hakika bunge la sasa hakuna lolote kila kitu ni ndiyooo
@mesharothuman2443
@mesharothuman2443 7 месяцев назад
Brother unachoongea ndio uhalisia,mungu akubariki sana you are truly and honestly.Watanzania tunaumizana wenyewe kwa ubinafsi wetu hatuna umoja.
@eliassumila8173
@eliassumila8173 9 дней назад
Uko vizuri sana wewe.Nimekuelewa haswaaaaa.
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 7 месяцев назад
Ooh my God. I love this speech. It's exactly what we experience with these elections. Imefika wakati mgombea akihujumiwa apige kelele sana. Syo ku kaa kimya kama mazezeta. Enzi za uzombi na uzezeta zimeisha.
@pueblo148
@pueblo148 7 месяцев назад
Brain,smart,highness intelligent💕
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 7 месяцев назад
Mimi nakuelewa Sana mzalendo namba moja Tanzania nakuelewa mnooooo.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 7 месяцев назад
MUNGU WANGU KWANINI USITULETEE WATU WAWILI WATATU KAMA HAWA? WASIOJALI VYAMA?❤❤❤❤❤ I LOVE THIS MAN OF GOD.❤❤❤❤
@illomowerner7690
@illomowerner7690 4 месяца назад
Great speech hon.Mwabukusi, Viva kaka Thomas
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 7 месяцев назад
Tunahitaji watu kama hawa katika taifa letu
@adenmayala9298
@adenmayala9298 7 месяцев назад
That's true
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 7 месяцев назад
Brain Smart, our Speaker🎉🎉🎉
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 7 месяцев назад
Siku zote ninaamini amani ya taifa hili imeshikiliwa na wapinzani, maana wanafanyiwa vitendo vya kikatili ambavyo laiti kama wasingekuwa wazalendo watu wangekuwa wanauana hovyo kwa kulipiza kisasi..na mambo hayo wangekuwa wanafanyiwa sisiemu kusingekuwa na amani.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 7 месяцев назад
Uko sahihi ndugu CCM NI HATARI SANA!!!! Kiss TU MADARAKA NA MALI!!! WAMESAHAU KABISA KUWA YAKO MAISHA BAADA YA HAYA TENA NI YA MIKELE.
@bicorugina1452
@bicorugina1452 7 месяцев назад
Big up
@hilujuma4869
@hilujuma4869 7 месяцев назад
Mwabukusi akiungana na LISSU unaweza kuilata Tanzania ya amani ya kweli na siyo hii ya mchongo.
@omarali797
@omarali797 7 месяцев назад
Hata hujui unacho andika. Yeye hapo anapingana na akina Lissu na wanasiasa wote kisa wanashiriki chaguzi
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 13 дней назад
Lisu ni maneno mengine kaka hata mwambukusi anamkubali lisu na mbowe,huu ujasiri kajifunza kwa hiyo miamba,lisu na mbowe ni magreda yaliyotengeza barabara ya lami sasa magari ya akina mwambukusi yanatereza tu😂😂😂
@renomori4255
@renomori4255 7 месяцев назад
Asante sana kamanda
@aphonceedward6784
@aphonceedward6784 6 месяцев назад
Nakuelewa sana kaka uko sawa kabisa
@JohnPallangyo-k9n
@JohnPallangyo-k9n 6 дней назад
Kaka mwabukusi Mungu wngu akusaidie usibadili kwenye misimamo yko na usimame kwenye kweli na kweli hiyo itakuinua zaidi, mm niko pamoja nawewe
@mesharothuman2443
@mesharothuman2443 7 месяцев назад
A truly and honestly.Wow whaya speach
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 7 месяцев назад
Watu wenye akili timamu kama awa uwa awacheki wala kuimbiwa nyimbo wala kusifiwa wakute wajinga mapambio sifa za kijinga mpaka wanakuwa na frash cd mfukoni za mchiliku anawajua wasanii wate wa singeri watashinda mungu yuko nanyi nasisi wachache tutaamasisha wezetu tulikomboe taifa
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 7 месяцев назад
Mwanadamu atakuchelewesha lakini mungu kwake akuna kuwai wala kuchelewa, wewe ni mbunge jimbo atakalokupa mungu mtetezi
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 6 месяцев назад
mwambukusi big brain
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 7 месяцев назад
Jimbo la kawe kwa gwajima police walikamatwa na kura kibara za ubunge na urais zimepiwa tiki za ccm walikamatwa lakini hawakufanywa chochote
@jesaminzo
@jesaminzo 7 месяцев назад
Ni kweli hata majambazi yamekimbilia bungeni kwa sababu yamegundua bungeni kunalipa!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
Mwabukusi wakili msomi kuishinda Ccm ni kazi sanaaaa hyo mpaka Katiba mpya tu
@user-ct1qp3th5f
@user-ct1qp3th5f 7 месяцев назад
Unaongea vema, kundi kubwa la wasomi wa Tanzania ndio wanaouymiza nchi hii.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 7 месяцев назад
Yaani Ndugai alifukuzwa kama kibaka kisa kakosoa matendo ya serikali na rais wake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
George sasa limebumbuluka alichosema kuwa nchi imeuzwa jubu ni kweli Bandari zote Mbuga za wanyama zote loliondo nk sasa ni aibu tupu
@illomowerner7690
@illomowerner7690 4 месяца назад
Pia naye alilipwa mshahara wa dhambi yake kushirikiana kwa hila kuumiza upinzani contrally kabisa na taratibu za kibunge. Mara ku-approve wabunge fake
@sampaconnector2845
@sampaconnector2845 7 месяцев назад
Nchi ipo gizani sana na sababu ni hawa CCM.
@daudisalum9574
@daudisalum9574 7 месяцев назад
Uyu jamaa kwanini asiunganishe nguvu na lisau
@JustineYohanes
@JustineYohanes 7 месяцев назад
Huyu jamaa yupo vnzr lakini na shindwa kuelewa ni chama gani kwaa wakati huu Ccm chadema
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 7 месяцев назад
Sauti ya watanzania..
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 месяцев назад
@@user-jc8el6je5eSAUTI YA TEC 😢😢😢😢😢
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 месяцев назад
COMRADE MWABUKUSI.....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.....WATANZANIA KWA MAMILIONI TUNAKUELEWA SANA.
@EMANUELMUSHI-kk4df
@EMANUELMUSHI-kk4df 11 дней назад
Aisee naomba nirudie kuiangalia, huyu janaa wa moto mbaya🔥🔥🔥🔥🔥
@V24hrs
@V24hrs 7 месяцев назад
Huyu jamaa akiungana na ZITTO KABWE watakuwa wamefanya Bonge la Kolabo.
@mesharothuman2443
@mesharothuman2443 7 месяцев назад
Zito Kabwe yupi huyo mwenye price tag no please.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 месяцев назад
@@mesharothuman2443SABABU SIO MGALATIA 🥳🥳🥳🥳🥳💯💯💯💯💯
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 7 месяцев назад
Zitto kabwe hamna kitu acha kumkosea heshima Mwabukusi
@simbahmsini
@simbahmsini 7 месяцев назад
Zitto ni tunu ya Siasa za Tz,hakurupuki,anafanya tafiti na hata anayefikiria kupinga hoja zake anajiuliza mara mbili mbili ni mtu smart sana Kinachoponza na kumponza Zitto ni kuwa na akili nyingi kuliko wanaomchukia
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 7 месяцев назад
@@simbahmsini Zitto kabwe siyo mtu wa msimamo ndo haaminiki siyo kwamba anachukiwa
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 7 месяцев назад
Well don bro a very slow lanner can also know the concerpt
@wallacemngoma794
@wallacemngoma794 7 месяцев назад
Mhe. Mwabukuzi aungane na Mhe. Lissu waongeze nguvu kupapambania haki ipatikane Tanzania na kuiondoa CCM madarakani.
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn 10 дней назад
Fomu za wagombea chama tawala huelekezwa na kusahihisha na maafisa wakishirikiana na wakala. Halafu wapinzani hutumika hayo makosa kuengua wagombeya.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 7 месяцев назад
Unafaa kuwa speaker wa bunge tz
@jamesmfinanga1717
@jamesmfinanga1717 6 месяцев назад
Jipange tena bra ela utapata kwa wananchi ... katukamatie hawa ... na hapo katiba itapatikana ...
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 7 месяцев назад
Kwa kweli wizi wa kura ni ushenzi sana. Watu tunaachashuguli zetu , tunapanga foleni halafu ni juani na njaa,, halafu MIPUMBAVU inatudhihaki.
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 7 месяцев назад
Jiamini kwanza unaweza kupambana na CCM.Akina fulani hatunao sababu ya red carpet Mang'ula mungu bado anaye.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 7 месяцев назад
Hadhi ya haipo.Imekwisha kabisa
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 7 месяцев назад
Spika ulishika muhimili wa kumtetea wanyonge toka uondoke au kuachia ngazi umeshuhudia jinsi nchi inavyoliwa na wajanja ,KwaSasaMaoni yako ni yapi.
@jumaally2469
@jumaally2469 7 месяцев назад
Mm nawashangaa sana hawa CCM wao wanajinadi kua ni chama pendwa kwann wanaogopa katiba mpya
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 13 дней назад
Mwambukusi kachukue katibu mkuu chadema,mnyika awe naibu katibu mkuu,pale mbowe,kule Tundu Lisu,hapa mwambukusi,ukaongeza kina Heche,Lema,John mrema,kina kigaila n.k😂😂😂😂 utapenda hii safu hata kama hutaki
@smarty1064
@smarty1064 7 месяцев назад
Duh! hakuna haki kbs
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 5 месяцев назад
Yaani safari hii watu wa tume wajiangalie watakufa wakileta ujinga na shangwe la kutosha.. kifo chake..
@user-up5lb4lp4v
@user-up5lb4lp4v 7 месяцев назад
Vibaraka WA ccm utawaona tu kwenye comment zao kama huyu mayallays wewe ni malaya
@DatyuuMudy
@DatyuuMudy 12 дней назад
Sasa we umekuwa raise ili uwombe kurudishiwa hela yako ya uchaguz du mawakili mmefly
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu 10 дней назад
Nakuunga mkono kaka %100.
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 7 месяцев назад
kaka mwabukusi kwani comenti zangu uwa auzisomi kilasiku nakushauli kama elimu unayo kaanao ccm muyajenge wakupe kitengo ule keki ya taifa kwa sababu dalasa unalo fundisha wanafunzi wako hawakuelewi wote wapo kwenye kombe la mapinduzi zanziba pigania masilai yako watanzania vigeugeu wanao kusifu leo ndio watao kutukana kesho
@EliyaMwangobe
@EliyaMwangobe 9 дней назад
KAkA WEWE NI MKOMBOZI WA NCHI HII ! NAOMBA KAZA KAMBA HADI ZIBANE !
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn 10 дней назад
Mkuu alisema yeye ni chura kiziwi. Lakini mawaziri na waandamizi waliokuwepo pale walipiga makofi. Sasa kama ni hivyo nani arasikiliza maoni yetu? Ajabu.
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 9 дней назад
Maneno mazito Sana niyakuyatafakali si kukimbilia amani
@bonabonala5559
@bonabonala5559 7 месяцев назад
mahakama aipo huru hata kwa mvuta bangi au kibaka tume hii ni majizi wote
@StephenLetta
@StephenLetta 7 месяцев назад
Wewe ni mtu uliyejaliwa akili na ambaye unaonea fahari kufikiri kwa kutumia ubongo.
@matiredms917
@matiredms917 7 месяцев назад
CCM inafanya uharamia ktk uchaguzi. Ni kazi bure kukubali Sheria na Katiba mbovu ambazo zinamweka juu ya Vyombo ambavyo vinapaswa kufanya kazi kwa uhuru na haki.
@OlemegiroriPalasalau
@OlemegiroriPalasalau 7 месяцев назад
Sawaaa
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 2 месяца назад
Mwabukus ongea machache wasije wakakigeuka😂😂
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 12 дней назад
😂😂😂
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 7 дней назад
Wabunge mnasikia?
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 7 месяцев назад
Mwabukus lisu mudude wakili musomi mbatia muugeni mukono lisu mulete ukombozi
@fidelishasia4799
@fidelishasia4799 7 месяцев назад
Nimekuelewa
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 9 дней назад
Justin meabukusi ni C hadema
@Werema3760
@Werema3760 7 месяцев назад
2025 Mungu saidia. Maama sipati picha.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 месяцев назад
Haki huinua taifa. Tuiombee nchi yetu sana
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 3 месяца назад
Upo sahihi KAMANDA pigs kazi
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 12 дней назад
Aya mwamba leo raisi
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 5 месяцев назад
Ningependa kila atakapogombea tulikuwa na wewe ugombeee papoose hapo ili tumnyoshee nyang'au huyu
@bakariiddy5387
@bakariiddy5387 14 дней назад
Watu wanamnahiii walindwe
@isaliisu3408
@isaliisu3408 7 месяцев назад
Kufukuzwa hajaaza spika zanzibar tulichaguwa Rais jumbe bara mkamfuka mkamuweka kigamboni mpk kafa tukaenda kuzika zanziba
@bakariiddy5387
@bakariiddy5387 14 дней назад
Watu wenye akili timamu ndohawa sasa
@mustaphabussinescenter4127
@mustaphabussinescenter4127 6 месяцев назад
😂😂😂 spika kafukuzwa kama muuza bamia nani uyo
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 13 дней назад
Jobu Ndugai
@user-le2zm1yj9o
@user-le2zm1yj9o 7 месяцев назад
Nimekuelewa na nimekubali ndio ukweli na uhalisia
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 5 месяцев назад
Sijui tufanye nini binadamu hawa waingie bungeni target ni ngumu Sana
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 5 месяцев назад
Katuni wa serikali et Tulia jamani ..kwa sura ile roho itakuwaje sasa..hamna kitu pale
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 месяца назад
Sura ndiyo inafanya kazi,mbona magufuli hakuwa handsome kama jakaya lakini kazi yake hakuna mtanzania hakumuelewa
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 12 дней назад
Acha kutukana. Pamoja na sura mbaya kichwani yuko vizuri.
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 7 месяцев назад
watanzania tumesha anza kuamka ss,ushindi wala hauko mbali
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 месяцев назад
SISI WATU WA MBEYA UKWELI TUNAUJUA USHINDE UBUNGE KWA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI BUSEKELO 😂😂 LABDA LAKINI TUSIZARAU HUENDA UKAPATA. YAANI HUKO BUSEKELO NA RUNGWE YOTE HUPATI NG'OOO LABDA KAGOMBEE KWA CHAMA KINGINE SIO NCCR MAGEUZI.
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 3 месяца назад
Hakika mwabukusi ni madin
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 месяцев назад
HIL JAMA LINAPOINT SEMA LINANIKELE LINAVYOONGEA KWA KUFOKA FOKA HALIJUI KUONGEA KISTARAB HAPO NDIPO LINAPO FEL EM JIFUNZE KUONGEA NA WATU VIZUR USITIFOKEE
@Ambwene
@Ambwene 7 месяцев назад
Unataka aongeaje broo
@Haruna-dd5iq
@Haruna-dd5iq 7 месяцев назад
Haongei na ww anongea na wakora
@neemajames7814
@neemajames7814 7 месяцев назад
Yan ww nikikuona nakutaftia pozi nakubenjua mayai viza
@JosephChacha-kk1it
@JosephChacha-kk1it 6 месяцев назад
Tupiganie kaka
@user-sp7qc1kl1f
@user-sp7qc1kl1f 7 месяцев назад
Kwaiyo. Sisi wauza bamia umetuzarau Sana Sana sio? Wacha kauli chafu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 7 месяцев назад
😂😂
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 6 месяцев назад
Aliewazalau sio mwabukusi Bali ni huyo anaewapelekea migambo na kuwafulumsha mtaa Kwa mtaa Kwa vilungu
@c.l.g.mchurch6426
@c.l.g.mchurch6426 8 дней назад
Dawa imepitaa😂😂
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 7 месяцев назад
mwambukusu Ni mzarendo
@knight6757
@knight6757 7 месяцев назад
👀😩
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 6 месяцев назад
ttumekuchoka kalale
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 3 месяца назад
Mwambie akalale mama ako anae uza Uchi punguan wew
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 12 дней назад
Du! 😂😂😂
@mayaally2512
@mayaally2512 7 месяцев назад
KUMBE NIA YAKO NI UBUNGE KUROPOKA HIVYO KILA SIKU.UBUNGE BWANA HUUPATI😂😂😂
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 7 месяцев назад
Nimecheki jina lako, hapa hapakuhusu🎉🎉🎉
@mesharothuman2443
@mesharothuman2443 7 месяцев назад
Ni moja kati ya Manyumbu majaza Tumbo ndio uhalisia wako mbulula wewe
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 месяцев назад
@@mosesmacha1080kweli yako🎉TUNAJUA Ni WAGALATIA SIKU NYINGI 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@Dd-mu4fj
@Dd-mu4fj 7 месяцев назад
Kwani hastahili ? We vipi
@JustineYohanes
@JustineYohanes 7 месяцев назад
😮😮😮😮😮😮u
@christopherpaulo9490
@christopherpaulo9490 7 месяцев назад
Omba msamaha kwa wauza bamia
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 7 месяцев назад
Umeanza kuimba taarabu?
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 7 месяцев назад
Unapoteza muda Rudi Mahakamani CCM ni chama Pendwa kwa Watanzania 12:48
@user-kw6pg7nb1w
@user-kw6pg7nb1w 7 месяцев назад
Wewe acha uongo
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 3 месяца назад
Iv unaakiri timam
@user-kw6pg7nb1w
@user-kw6pg7nb1w 7 месяцев назад
Huna sera mzee,ww hata chadema tu wanakushangaa
@bonabonala5559
@bonabonala5559 7 месяцев назад
tundu lissu wa pili huyu mwambukuzi sio mbowe muuza democracia ya tz
@maspro6294
@maspro6294 7 месяцев назад
Mtabaki kubwaka kama mbwa koko hakuna atakae wapa nchi hii vibaraka wa mabeberu ukimaliza kubwaka ukapige mswaki domo lako lina nuka
@saidmabanga388
@saidmabanga388 7 месяцев назад
Kuma ww
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 7 месяцев назад
Katika watu wasiokuwa na akili wewe yani kiongozi anaongelea ili inchi ibaki kuwa salama wewe unasema anaropoka nyie ndo majizi wauza Bandari nyie hovyo kabisa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 7 месяцев назад
WATANZANIA HAWAWEZI KUWACHAGUA HAWA NI WAHUNI NJAA INAWASUMBUA
Далее
🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU...
1:18:21