Тёмный

Lissu na Mbowe WATIKISA NCHI, Wapinga MUUNGANO Live BILA UOGAAAA!!! 

MALAVIDAVI Kenya
Подписаться 482 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 297   
@MakameMufadhil-n8d
@MakameMufadhil-n8d 4 месяца назад
Tumewakopesha Lakin sio mulisema zanzibar sio nchi leo imekua nchi
@EDWARDMashelee-w1b
@EDWARDMashelee-w1b 2 месяца назад
😢😊
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 4 дня назад
Kwasababu imeanza tanganyika imeanza kupeleka mafao yake 😂
@Gaynor1234
@Gaynor1234 2 дня назад
GOOOD IDEA! Tuwe na serikali ya TANGANYIKA.
@GeoffreySumbwe-cq6kk
@GeoffreySumbwe-cq6kk 4 месяца назад
Very true. Let us not be cheated. The truth shall set us free
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 4 месяца назад
Allah ujaalie huu Muungano wa Zanzibar na Tanganyika uvunjike. Maana unaanza sintofaham za kibaguzi.
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 4 месяца назад
Hapa mbowe na list mmenena yaaani akili ni kuntwi
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 3 месяца назад
Mungu akujalie upate urais uuuvunje mungano kwasababu sisi wenyewe hukuzanzibar hatutaki uwo mungano wenu tushawachokaaaaa
@HezroniJonh
@HezroniJonh 4 месяца назад
Kweli kabisa tumefanywa mazezeta tumekuwa machawa kila sehemu
@KangaMaluguru
@KangaMaluguru 4 месяца назад
Kwa points hizi,Mbowe kura yangu CHADEMA 2025.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 месяца назад
Baba mko juu pokeeni mauwa yenu baba nawapenda sana daima kura yangu halafu yenu
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 23 дня назад
Mbona na huku Zanzibar kuna Mtanganyika mbona hamusemi kuweni na Imani maana Zanzibar imetawaliwa na Watanganyika toka Mapinduzi mpaka leo hamusemi
@Yassinseleman
@Yassinseleman 2 месяца назад
Safi sana lazima Tanganyika itajwe
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 4 месяца назад
CCM isilazimishe tuchague Mzanzibari Hapo hatutaki kabisa
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 4 месяца назад
Watanganyika mumechelewa kweli😂cc tunataka hata kesho asubuhi saa1huu muungano usiwepo kabisa mwisho chumbe kama mnayaweza vunjeni bas cc tumechoka Zanzibar oyeee Tanganyika bay bay😂
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 месяца назад
Ndio mana Kila kukicha michangi na hatuna maendeleo Kodi za watanganyikika zinaendesha inchi nyingine
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 месяца назад
WAZANZIBARI hawautaki huu MUUNGANO, WATANGANYIKA ndio wanaulazimisha ukizungumeia jambo lolote la Muungano unaitwa mhaini, mashehe wa Zanzibar walifungwa miaka minane jela na Kikwete kwa kuzungumzia mambo ya Muungano.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 6 дней назад
Sio Wa Tanganyika,ni kikundi cha wa Tanganyika ndio wanaoshikilia .
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 4 месяца назад
U-Tanganyika umerudi.
@RobertshijaMakumi
@RobertshijaMakumi 9 дней назад
Kuna nchi mbili zilizounda Muungano nazo ni NN?
@petroyohana1126
@petroyohana1126 4 месяца назад
Well said mheshimiwa Mbowe
@FortunataNguma
@FortunataNguma 4 месяца назад
Inauma kwa kweli
@GeoffreySumbwe-cq6kk
@GeoffreySumbwe-cq6kk 4 месяца назад
Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Ila mimi sitaki umtaje Magufuli ktk mambo hayo. Vinginevyo tungekelikuwa na magu haya yote hayakuwepo
@augustinonkundambale8107
@augustinonkundambale8107 3 месяца назад
Chimbeni mpaka kieleweke wajumbe Wetu na Mungu waongize makamanda
@suleimanathumani5358
@suleimanathumani5358 6 дней назад
Iko hv.... idadi ya watu sio kigezo .... Zanzibar ni nchi ... kuna nchi zina watu laki nane but still sovernigty is there.. ongelea maendeleo ... na nakubali mabadiliko ya muundo... ila wananchi wengi hawaelewi
@stunningtv8426
@stunningtv8426 3 месяца назад
Facts
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 3 дня назад
Nimewaalewa sana hatuna wasomi
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 2 месяца назад
Kweli kabisa huu sio mngano fedha zinakopwa kupitiya jina ratanganyika zinaelekea Zanzibar huu sio mungano
@feliciankavishe6792
@feliciankavishe6792 4 месяца назад
Sema baba,mkinyamaza tumekwisha....
@johnboscomasumbuko1073
@johnboscomasumbuko1073 4 месяца назад
Haha michongo ming sana inapelekwa kimyakimya cc tupo busy n akina dai na king
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 месяца назад
CCM nayo wameifanya masultani wa kufanya watumwa. Badala ya kufaidi uhuru wa Tanganyika tunakuwa watumwa Inchini kwetu.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 4 месяца назад
Zanzibar bidhaa bei nafuu watumishi wameongezewa mishahara kusafisha Figo bure ila huku bara dah #KunaLaKutafakari
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 4 месяца назад
Umeenda haaswaa
@zephreinsuleimanpriciselyu5223
@zephreinsuleimanpriciselyu5223 4 месяца назад
Sisi Raisi wetu mwenye huruma na Wananchi wake John p magufuli Alifariki Haya mauzauza sijui yalitoka wapi Leo hii tunauziwa bandari zetu na Wananchi kufukuzwa kwenye makazi Yao ,
@yassirelrasady1802
@yassirelrasady1802 4 месяца назад
Jamani kifo ni siri ya Mungu anajua nani atakufa lini ila Kwa mfano Tundu lissu angeshinda uchaguzi 2020 halafu Mungu akamchukua akiwa kwenye madaraka je nani angeongoza nchi? Bila shaka ni mgombea mwenza ambaye ni Salum mwalimu je Salum ni nani? Mtanganyika au mzanzibar?
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 4 месяца назад
Walisha kwambia wanabadirisha katiba wakisha ingia Madarakani kwaiyo kua rais sio hoja angemalizia2 iyo mitano aliyoiacha lisu akaenda kugombea zanzibar
@FelixOberlin
@FelixOberlin Месяц назад
Yes mbowe waujue ukweli ubatili wauache tumechoka uongo
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 2 месяца назад
Sio chuki yup sawa kbs
@EmmanuelBisinda
@EmmanuelBisinda 3 дня назад
Ninyi ni wachafuzi, kwà siasa hiyo hamuwezi kuwa viongozi wetu,
@KittoTereva
@KittoTereva 11 дней назад
Yeh! It comes a time turn kids will get exhausted and raid whatever is ahead of them.
@Gaynor1234
@Gaynor1234 2 дня назад
Ni kweli hatutaki muungano.
@SultanAli-p2v9l
@SultanAli-p2v9l День назад
Mboe mbaguzi lissu mbaguzi chama cha wabuguzi
@ZahranUbavu
@ZahranUbavu 4 месяца назад
Wakosawa tunataka serikali tatu
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 4 месяца назад
sio tatu zanzibar iachwe tumechoka sana watanganyika hatujitambui kabisa
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 месяца назад
Muungano huu sio wa wananchi wa pande mbili bali ni wa viongozi wenye maslahu yao
@InnocentPetermasonyi
@InnocentPetermasonyi 6 дней назад
Tuelezeni yanayo husband nchi yet na si kauri za kibaguzi hapo mnafeli viongozi mngano ni mhim sana acheni ubaguzi
@RemmySinkala
@RemmySinkala 2 месяца назад
Kweli sisi watanzania ni wagum vichwa labda wazambia ni waelewa
@KondaChilua
@KondaChilua 3 месяца назад
Kiukweli inauma sana😂😂
@talents7934
@talents7934 4 месяца назад
Jamani eee mkono wa kulia ukigoma tujaribuni na wakushoto jamani Naona CCM wamelemewaaa😢😢😢😢😢
@talibsaid8096
@talibsaid8096 3 месяца назад
Hamna mpya kazi kelele tu
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 4 месяца назад
asanteni sana Chadema mbowe na LiSU waaambieni wakome tuwafyagie mbali watoto wetu awapewi kazi Samia kazi yake ni kuajiri wazanzibari wake uku Tanganyika wakiumia na. Kuwanyanganya mashamba yao tuwakomeshe mafisadi kinana Samia kikwete waache watanganyika wakae kwa amani wenu ni simba sauti ya wanyonge
@alimau7939
@alimau7939 4 месяца назад
Watanganyika ni vileo hawajielewi kabisa lkn kama nyie chadema munasema kweli mujiandae kwa mtutu wa bunduki muandae waasi apo ndio ccm wataelewa lkn maneno yenu yametuchosha
@jacksonlumuliko8721
@jacksonlumuliko8721 3 месяца назад
Lissu Mungu akutie nguvu wewe ndiye❤️❤️wa Nchi unaye sema ukweli🙏
@KhaliluRahman-rc4te
@KhaliluRahman-rc4te 4 месяца назад
Dah!!! Uyo demuuu tuu katoka zanzibar sijui ingekuwaje tungewaleteya mwanamme mama kaza butiuiii ALAFU KAZI IENDELEEEEEEEW😂😂😂😂😂
@user-dk8ln5jb6s
@user-dk8ln5jb6s 4 месяца назад
Kazi iendeleee mama samia oyeeee❤
@barakaleseyio
@barakaleseyio 4 месяца назад
we ujitambui
@hamisgagala4891
@hamisgagala4891 3 месяца назад
Great leader!, completely true!
@LingisonMwampashi
@LingisonMwampashi 15 дней назад
Safi sana
@morisemanase2290
@morisemanase2290 2 месяца назад
Mungu aitazame Tanzania, nazani katiba ya kipindi hiki cha vyama vingi vya siasa ikiwa imesukwa vzuri tutashare Ttanzania ilonjema
@NeemaSamueli
@NeemaSamueli 3 дня назад
Kenya walishatupa jibu kwamba ss watanzania ni maiti
@abdirizaksheikh9699
@abdirizaksheikh9699 3 месяца назад
Kutegana mwisho vita .
@Yassinseleman
@Yassinseleman 2 месяца назад
Ukweli sio mgao kaka acha kweli izungumzwe
@EagerBirthdayCake-zh8xb
@EagerBirthdayCake-zh8xb 4 месяца назад
Kushindwa bwaan... Ndio shida zetu hizo... Ayaa after kumkana Mzanzibar... Sura zenu kama Vijusi..(Viboboro). Njooni na hilo Uchaguzi huu... Mtatukoma Wabongo.
@philibertmpinzile.6090
@philibertmpinzile.6090 7 дней назад
Na sisi tunataka serikali ya tanganyika, hali hii ndio itaendana na wakati uliopo!!!!!understood
@ClarenceHilaly
@ClarenceHilaly 9 дней назад
Ni kweri kabisa huyu mama hatumtaki kabisa hata kisikia sauti yake chura
@dulatizo2970
@dulatizo2970 3 месяца назад
Mnakumbuka shuka wakati kumeshakucha acheni usenge vichogo tulizeni vitenesi mama hakutaka uraisi bali uraisi umemtaka mama wa kizimkazi badala y magufuli kuanguka mulikuwa hamuchuiii kama atarisi iyo ndo namba ya zanzibari njema atakae aje kwa paspot
@fatmasaid1021
@fatmasaid1021 4 месяца назад
Watanganyika sasa mmeamka kutoka usingizini sisi zamani tulilipigia kelele suala la Muungano na wenzetu walikiona cha moto kwa kuugusa Muungano. Sasa watanganyika musirudi nyuma mpaka kieleweke.
@yassirelrasady1802
@yassirelrasady1802 4 месяца назад
Yaani kila wakipigania u tanganyika na sisi tunafurahi zaidi wallah maana na sisi tushaipigania Zanzibar muda mrefu hatujaipata
@KijibaHaji
@KijibaHaji 4 месяца назад
Wacha mvua inyesha tuone wap kunavujisha,maana wazanzibar tukidai haki zetu kwenye Mungano hawatuelew Rais wa Zanzibar wanatuchagulia wanaemtaka wao,pass port yetu wamefuta,Leo Samia kuwa Rais wa Tanzania wanapiga kelele ni mzazibar, je wao wanasahau Aboud jumbe aliwahi kuwa Rais Zanzibar na ni huyo huyo ndio alisimamia zoez zima kuweka CCM madarakani,watanganyika hao hao ndio waliuwa chama Afro Shiraz,Mungu mkubwa kweli malipo ni hapa Duniani ,wameamka kutoka usingizn kisa kutawaliwa na Mzazibar
@willymdeka6034
@willymdeka6034 23 часа назад
Daahh huyu bwege ni mnafki sana
@hajjseif5737
@hajjseif5737 4 месяца назад
tukiangalia vzr tokea 1964 mpk zanzibar ndio ilioathirika sn na muungano hio iitwayo tanzanzia kiukweli ni tanganyika yenye mipaka mipya ikijumuisha zanzibar,serikali ya zanzibar ni danganya toto haina meno na hayo yoote yamefanywa na watawala wa tanganyika sio zanzibar hvyo lawama zote jibebesheni wnyw,isitoshe watu wa znz miaka mng wamekuwa wakiupinga muungano huu ulivyo watawala wenu walipinga na kuwanyamazisha kwa staili tofauti,kumbukeni mashehe wa uamsho kilichowakuta.mbowe na lisu kazi yenu nzr sn chocheeni ubaguzi ili watanganyika na wazanzibari mazwazwa waamke na kudai chao,tatizo kubwa ni ccm tuikatae ccm ili tuamue mashirikiano ya haki au tubaki majirani wema.hongera lissu hongera mbowe,zanzibar kwanza shengesha badae tanganyika oyeeeeeeeeee
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 6 дней назад
Ukweli unaanza kudhihiri
@janeshija6638
@janeshija6638 3 месяца назад
Kwa sasa tusikubali TANGANYIKA YETU IRUDI. Kwanza wanatusheka Sisi WABARA. jamani hivi nyie wabunge mliokuwabingeni mnaona ni sawa wenzetu walivyotuzunguka? Kwa kuandaa Sheria zao za kuwalinda na hapo hapo kutufhulumu Sisi WABARA..Wananchi AMKENI tudai TANGANYIKA YETU maana hata kwa sasa vizazi vyetu vinakosa Ajira nyingi zimechukuliwa na watu wa Zanzibar mpaka na uchumi wetu. Kazeni sauti kwa nguvu. Tudiwaachie Wariyoba na Tundu Lissu.
@DeodatusLyambika
@DeodatusLyambika 8 дней назад
Sio uko tu mzee morogoro yotee ni ivyo ivyo kirombero malinyi na mlimba yaani rais aache kugombea tena hana faida kwa Tanganyika hii
@fatmasaid1021
@fatmasaid1021 4 месяца назад
Hata Wazanzibar hawataki Rais wa kupandikizwa kutoka bara. Miaka yote wazanzibar wanachaguliwa Rais kutoka bara imetosha sasa. Wazanzibar tuwachiwe tupumue. Kama inavyowauma kuwa na mzanzibar Rais wa Tanzania na sisi tumepata kelele miaka tumechoshwa na Muungano huu. Pigeni kelele watanganyika sasa ni zamu yenu nasisi tunawaunga mkono.
@RashidAli-rn3ro
@RashidAli-rn3ro 4 месяца назад
Mh upo m'mke ngangari
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 4 месяца назад
Wewe ni Mzanzibari mwenye akili,mimi ni Mtanganyika lakini nataka wote tuwe huru.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Muungano tuuvunje tu.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 месяца назад
Mungu ibariki mama tanzania wabariki na viongozi wake
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 3 месяца назад
Wazanzibar wenyewe hawanashida ya mungano eti na maalim seif alitaka serikali 3 mukamuona mjinga munataka mututawale sasa zamu yetu 😅
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 месяца назад
Mimi ni Mzanzibar lakini nataman iwepo serikali ya Tanganyika, ili na sisi wazanzibar tuwe huru na nchi yetu ya Zanzibar
@jacksonndiu1070
@jacksonndiu1070 3 месяца назад
jaman lisu anaongea si kwa maslah yake Bali kwa tanganyika nyinyi wa bara pazeni sauti zenu muungano ni kwaajili ya familia ya viongozi wa selekali ngazi za juu hatutaki kabisa muhungano wa mchongo
@LeoBurra
@LeoBurra 2 месяца назад
Nchi niya chadema wananchi niwachadema ccm inatosha
@salimhamad-ms6qo
@salimhamad-ms6qo Месяц назад
Mbona husemi makufuli aliuwa watu Zanzibar kwa sababu ya muungano ? Una yasema ya Samia tuu na m barawa ?
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 4 месяца назад
Mmechelewa sana ss Zbar tunataka ikiwezekana kesho saa 2 asubui Muungano uvunjike kila mtu awe na nchi yake ,endeleeni CHADEMA kudai utanganyika wenu ss kwetu rahaaaa
@AgreyAmon
@AgreyAmon 8 дней назад
True
@FungaMpiga
@FungaMpiga 18 дней назад
Endelea kutuelimisha watanzania tuelewe.
@GudGudgud-w6q
@GudGudgud-w6q 3 месяца назад
KUTESA KWA ZAMU ZAMU YETU WALAUROJOOO MAMA ONGOZAA SISI WAZANZIBARI TUNAKUUNGA MKONO MAMA AWO MATAPELII TU
@user-wv5is5ky9b
@user-wv5is5ky9b 3 месяца назад
Kwani raisi wa zanzibar si ni mtanganyika mbona huongei na anayoyafanya huku zanziba wee unayajua
@kassim1262
@kassim1262 4 месяца назад
Tatizo hizi kauli zinaonekana nizakawaida lkn mbeleni zitakujakuchukua nafac rasimu yktiba isipuuzwe wsikilizwe wnanchi nini wnataka
@fatmasaid1021
@fatmasaid1021 4 месяца назад
Aluta continue 👍👍💪💪💪
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 4 месяца назад
Na bado
@ConfusedWrench-wy7xy
@ConfusedWrench-wy7xy 3 месяца назад
Sahihi
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 месяца назад
Rais uamuzi wowote anaufanya anapewa uamuzi na washauri wake na mawaziri wake.
@boneyme9433
@boneyme9433 4 месяца назад
Choma Muuangano..nyoko..utaona nani wa kwanza....jijue vizuri... Uta dakwa na "PUMBAZO ZAKO"..TANANZANIA FIRST.
@OskaMwanjoka
@OskaMwanjoka 2 дня назад
Selikeli angalieni hili huu ndo ukweli
@ustawiwetu
@ustawiwetu 3 месяца назад
Ila mama msimtukane, yeye hakuwa na ndoto kabisa ya kuwa raisi. Uraisi umemwangukia tu bil hata kujipanga. Tumwache mama wa kizimkazi
@camilomassao8971
@camilomassao8971 4 месяца назад
CCM wanapuuza hoja za CHADEMA lakini kiukweli: CHADEMA WANA HOJA ZA MSINGI
@user-dz2lv6en3z
@user-dz2lv6en3z 4 месяца назад
Kwanini tunatawaliwa na mzanzibar? tumefanywa kuwa machawa kwanini? watanganyika tuamke
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 6 дней назад
Sasa nyinyi hamtaki muungano au hamu Taki Samia?
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 5 дней назад
KAMA MUUNGANO UKIVUNJIKA MIKOA YENYE BAHARI YAANI PWANI TUTAJITENGA TUONE HUO UBAGUZI WENU NA UDINI MTAUZUNGUMZIA WAPI
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 4 месяца назад
Samia hatumtaki
@sharifhamad6495
@sharifhamad6495 4 месяца назад
Mbowe na Tundu Lisu mumeshindwa na siasa, sasa mnakuja na uchochezi. Lisu ni mwanasheria, lakini anashindwa kuelewa kuelewa kuwa wazanzibar na watanganyika wote ni Watanzania.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Muungano tuuvunjeni tu ikiwa kizazi cha sasa HATUUTAKI. Mbona husemi Rais wa Tanzania anaweza kuchaguliwa bila ya kura hata moja kutoka Zanzibar.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 4 месяца назад
huyu kenge nae anakoseaaa piga vita ccm sio samia samia anamiaka 10 ya kutawala ccm ikonpale pale
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile 4 месяца назад
Yaani wanyama wanathamani kuliko binadamu du!Samia ni wivu wa nvho yetu kubwa
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 4 месяца назад
Inauma sana.
@matatamatatatours3237
@matatamatatatours3237 4 месяца назад
Mmtanzania gani Leo umwambie hakuna mungaano Hamna takwimu Wliozaliwa ndani ya mundane no zaidi ya MILIONI 6 Wale wazee wa miaka ya mapindduzi na kizazi Chao wako 700. Nyinyi sio viongozi ni njaa zinawasumbua Waiting wa ruzuku Kelele zenu ni ruzuku Kupewa nhe Msahau Nyinyyi mazezeta Watanzanil wana hisia kali.
@gelardanyasi919
@gelardanyasi919 3 месяца назад
Kamanda lisu waambieni ukweli waujue juu ya muungano
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Tuataka huo muungano uvunjike kesho asubuhi. Kwani muungano una maruweruwe makubwa sana. Waha CCM wametudanganya muda mrefu. Nadhani Nyerere sijui alinyweshwa dawa au alikuwa na wazo gani kichwani mwake. Jamani huyu Samia aondoke na warabu wake siku hiyo aende akawape Pemba yote.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 месяца назад
Hata sisi zanzibar tunamalalamiko yetu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 месяца назад
Waongo nyie mna malalamiko gani nyie wazanzibar wafaidika wakubwa wa muungano huko kwenu mnaserikali yenu lkn bado na huku kwetu tanganyika mnaviongozi wanatuongoza sisi watanganyika haturuhusiwi kumiliki ardhi uko kwenu zanzibar lkn nyie naruhusiwa kumiliki ardhi tanganyika
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 4 месяца назад
​@@ramadhanmahongole9293Vunjeni Muungano kama inakuumeni Nyie TFF shirikisho la Tanzania Bara ndio linatuwakilisha Wazanzibari FIFA na CAF yaani tuna yetu mengi tu
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 4 месяца назад
Pelekeni kuzimu
@victorrobert7797
@victorrobert7797 3 месяца назад
Hatuhitaji Zanzibar,wametufanya Mazezeta ,hayo yote yameletwa na CCM
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 месяца назад
Tunataka serikali ya wananchi, iliochaguliwa na wananchi.
@paulojohn9608
@paulojohn9608 4 месяца назад
inchi hii kesi nyingi niya ardhi ukitaka kujua fwatilia mkuu wa mkoa anavyo hangaika kusuluhisha namuombea makonda Mungu amulinde ningetamani awe rais waichi hii
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 4 месяца назад
Jamani leta katiba mpya samia ili tatizo liishe.maana yatasemwa mengi na ccm mbeleni watachanganyikiwa.
@hamidmussa838
@hamidmussa838 4 месяца назад
Makwaapa yanatoka majasho.
@asajilemwaipasi1869
@asajilemwaipasi1869 4 месяца назад
Huo ndio ubaguzi na uchichezi leteni sera Kwa wananchi tunataka maisha mazuri, tutibiwe Bure, watoto wasome Bure, Barbara, umeme na maji hizo ndio kero zetu. Mnaenda kuongerea Muungano ili iweje? HAMNA SERA MNATAKIWA MKAMATWE HUO NI UCHOCHEZI. MTAMBUE HILO MNAVITUMIA VIBAYA VYAMA VYENU NA MAJUKWAA HAYO.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 месяца назад
Pingeni kwa kutumia hoja za wapinzani
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 4 месяца назад
Kwani sera ni nini?
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 месяца назад
Zanzibar ni nchi sio mkoa mbowe? Kwa hivyo Tuna haki ya kuwa na wabunge wengi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 месяца назад
Kweli kabisa kabisa wao CCM wanafaida wanayoipata inawanya kuwawezesha kuiba kura na pili wanafaida ya kuandaa raisi kwa ajili ya Zanzibar.
Далее
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 673 тыс.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02