Тёмный
No video :(

Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha 

The Chanzo
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 247 тыс.
50% 1

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo kinaongoza maandamano ya amani jijini Arusha yakilenga kuishinikiza Serikali kutoipitisha miswada ya sheria za uchaguzi.
Mpaka sasa chama hicho cha upinzani nchini kimeweza kufanya maandamano ya amani katika majiji makubwa manne nchini yakijumuisha Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na sasa Arusha.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 396   
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 6 месяцев назад
President republic of Tanzania TUNDU LISU 2025
@marlopharle9199
@marlopharle9199 5 месяцев назад
Msema kwel na mshauri mzur aisee Lissu mungu akutenze popote ulipo
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 6 месяцев назад
True story Dunia Nzima magari yatapita njia nyingine sio njia Moja na waandamanaji.Salute waeleweshe Hao wamelala
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 6 месяцев назад
Mungu akutunze baba na akupe maisha marefu ili watanzania waendelee kuchota hazina ambayo Mungu ameweka ndani yako.
@BazilTemu
@BazilTemu 5 месяцев назад
5⁵⁵⁵5⁵55⁵⁵⁵5⁵5⁵⁵⁵⁵⁵t5⁵55⁵⁵⁵⁵5⁵⁵⁵5⁵⁵⁵5😢😢
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 6 месяцев назад
Shikamoo baba pokea mauwa yako bab🙏🙏🙏
@emmanuelthomas554
@emmanuelthomas554 6 месяцев назад
Uko poa Sana. Mungu akupe afya njema
@user-nd8mc6mz1s
@user-nd8mc6mz1s 5 месяцев назад
Mungu akupe maisha marefu
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 6 месяцев назад
Hongera sana lisu kaka yangu
@user-cw7xw9cu6m
@user-cw7xw9cu6m 6 месяцев назад
oyaaa humu asiyehusika na shoo ashuke napata hasira nikiona mtu anayemsema vbaya huyu dingii mungu akulinde sana oneday yes
@DulaMudi
@DulaMudi Месяц назад
risu saruti uyu Mzee saruti jeshi Ra mtu m Moja Yani waungane mi naona awa mfikii uyu kiyumo ana mambo yakipeke yake AA ana wasanini rakini ao watu a saritu mwana tundurisu baba
@Dik770
@Dik770 6 месяцев назад
❤❤❤ lisu pamoja
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 6 месяцев назад
Pamba inalimwa Mwanza Mongera Halafu Mongera yuko Arusha na ni mjumbe wa Bodi ya Pamba eti nini 😂😂😂😂😂😂😂
@user-td9rq5vl1v
@user-td9rq5vl1v 6 месяцев назад
😂😂😂
@erickabel6201
@erickabel6201 6 месяцев назад
😅😅😅
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 6 месяцев назад
Inaumiza sana mkuu, mimi nimekosa nguvu ya kucheka nimejisikia kulia.
@marakidtz9454
@marakidtz9454 6 месяцев назад
Upuuziii😂
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 6 месяцев назад
Big up bro nakukubali sana maisha marefu na ubaki na uzalendo wako
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 месяцев назад
Hivi anayempinga huyu anaakili sawa sawa!!
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 5 месяцев назад
Hata mm nitashangaa
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 5 месяцев назад
Ukiona mtu ana mpinga lissu na hayupo kwenye system jua hana akili timamu.
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 6 месяцев назад
Kwa kweli leo Tundu Lisu nimekuelewa na umeleweka vizuri hotuba yako imetufungua na kuelewa mambo mengine ambayo binafsi nilikuwa siyajui hongera sana kwa hotuba nzuri hakika tunaliwa na watu wachache pambana wananchi tupo pamoja nanyi watatuelewa 2025
@edwinrevocatus
@edwinrevocatus 6 месяцев назад
Nilikuwepo apo live ✌️✌️
@jofreyjohn6796
@jofreyjohn6796 6 месяцев назад
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 6 месяцев назад
Lisu you are a hero of Tz and Africa against Dictors of Tz, who serves their own greediness.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 месяцев назад
Pamoja sana.
@michaelnsangallo7967
@michaelnsangallo7967 5 месяцев назад
Ķ,ìl
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 6 месяцев назад
Tunashukuru mzee kwa kuwa mtetezi wa haki
@belinabaya6977
@belinabaya6977 6 месяцев назад
Big up nakuelewa sana Uchongewe sanamu
@talents7934
@talents7934 6 месяцев назад
Huyo jamaa aliyesimama nyuma ya bodgadi wa lissu aliyevaa kofia nyekundu kafanana na Magu atari😂😂
@muhidinsultan2049
@muhidinsultan2049 5 месяцев назад
Ebana kweli kabisa🙏
@user-uy2ot2so9l
@user-uy2ot2so9l 6 месяцев назад
Chuma hiki unaweza ukakosea ukakiita Mungu.
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 6 месяцев назад
Hongeren. Makamanda wetu mnatusemea tuko pamoja
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 6 месяцев назад
The geneous guy in this country, may God reward you more years.
@rogersiddy
@rogersiddy 6 месяцев назад
Yaan huyu mtu hatari sana tena sanaaaa alichokiongea ni ukweli mtupu chaguzi zinakalibia sasa wamepewa watu kazi ya kuleta mzigo huo ili wapate nguo za mabango ya uchaguzi sisi tunashangilia tu kwa kupewa jezi ujinga umetujaa sana vichwani
@MohamedMkota
@MohamedMkota 6 месяцев назад
😂😂😂 mapolisiiiií angalia wasikugeuke lisu hao
@siamollel9725
@siamollel9725 6 месяцев назад
Mbeba Maono afi hadi kusudinlitimie,walishindwa kumuuwa ,hawataweza tena ,Kwajina La Mungu alie hai
@MohamedMkota
@MohamedMkota 6 месяцев назад
@@siamollel9725 ameeeeniii
@NyangusilazarolaizaLaiza
@NyangusilazarolaizaLaiza 4 дня назад
Tutapata lazima mungu akubariki lisu
@danielmalale2615
@danielmalale2615 4 месяца назад
Fact tunu ya mungu KwA watanzania mungu akulinde
@frenktarimo4703
@frenktarimo4703 6 месяцев назад
Good
@user-bz6ck8tz2z
@user-bz6ck8tz2z 6 месяцев назад
Unatufungua sana tusiyejuwa maujingq ya watawala
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 5 месяцев назад
Mungu akubariki akupe maisha marefu ni rais wa wanainchi. Watawala na machawa hawawezi kukupenda kaza boot kesho ya watanzania iko karibu.
@YonahMalaki-xx4pf
@YonahMalaki-xx4pf 5 месяцев назад
Mungu akulinde mh tundu lissu
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 6 месяцев назад
I wish Mzee Magu angekuwepo!!😂😂😂😂🤣😂
@viviandule8171
@viviandule8171 6 месяцев назад
Saa mbona unamwita mjinga ,lisu ipo cku watanzania wasipokuelewa cku ukifa watasema lisu alisema bora yeye,jitu kama huwezi toa maon kaa kimya kuliko kutukana
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 6 месяцев назад
Nakubali sana mwanaharakat,
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 6 месяцев назад
Lisu tunakuelewa sana ndiyo maana Mungu kakuokoa kwenye jaribio ulilopitia
@user-lx7ez3rq4c
@user-lx7ez3rq4c 6 месяцев назад
Wewe ni noma san
@user-bl3go5yr8u
@user-bl3go5yr8u 6 месяцев назад
Mama anapiga kazi sawa ila hoja zisikilizeni vizuri jamani msitubeze chadema
@MakarangaJohn-wi7yk
@MakarangaJohn-wi7yk 4 месяца назад
Pamoja sana
@RoiamajoFashion
@RoiamajoFashion 3 месяца назад
Baba lisu ubarikiwe... Kwa kutufungua macho ila kazana upite nchi nzima mpaka vijiji usichoke WEWE NI MKOMBOZI WETU.,.
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 5 месяцев назад
Hotuba zako nazikubali ni zaidi ya hotuba za Nyerere na maneno yako siku zote ni kweli ni fisadi na chama tu anaweza kuyakebehi Mungu akubariki kazi inayojengwa ni kazi ya Mungu . Tunakuunga mkono tumechoka na upuuzi wa watawala. wetu
@user-xk1bx2gp6e
@user-xk1bx2gp6e 5 месяцев назад
Mzee Mungu akupe maisha marefu siku moja jua litachomoza magarib na kuzama mashariki ipo siku
@leonardngulo8809
@leonardngulo8809 5 месяцев назад
Huyu ndiye wazembe wanamwita shoga ? Mungu amlinde sana tuendelee kuelimishwa
@monicamwita7865
@monicamwita7865 5 месяцев назад
Nimekuelewa lisu. Asante kwa kutoka somo
@oscarmnyawami6667
@oscarmnyawami6667 6 месяцев назад
Hongera sana Lissu kwa kuongea ukweli tunaunga mkono hotuba ya kihistoria.
@user-de8ly6ck8x
@user-de8ly6ck8x 6 месяцев назад
Nimekuelewa mkuu ❤
@JohnBunzali-ni2zq
@JohnBunzali-ni2zq 4 месяца назад
Mungu amlinde sana huyu bwana
@SebastianSteven-pt8kh
@SebastianSteven-pt8kh 3 месяца назад
Lisu ongera Sana broo mungu akulinde sana
@user-ru1st2yc9z
@user-ru1st2yc9z 5 месяцев назад
❤chadema hoyee ungea baba polisi wa arusha malaya hao watolewe wote wsekeza wasomi
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 месяцев назад
HATUTAKI HISTORIA.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 5 месяцев назад
Hutaki wewe sisi tu nataka. Tumia sindano ikuingie.
@user-pz2kp2ej5e
@user-pz2kp2ej5e 6 месяцев назад
Bro asante
@lekunatimoreto35
@lekunatimoreto35 6 месяцев назад
Sawa sawa sisi tulisumiwa Sana na serikali yetu na tunaonewa sisi wahanga wa nchi ya Tanzania na bado tunaonewa na serikali yetu Asante Sana
@user-lt8oj3ui4q
@user-lt8oj3ui4q 5 месяцев назад
My mentor i wish i met you in anyway corner of this world 🌍🌍🌍
@miriamamiri641
@miriamamiri641 6 месяцев назад
Ni kweli babaa
@siamollel9725
@siamollel9725 6 месяцев назад
ukweli sisi huku chini tunaosota ndotunajua mengi,jengeni mazingira ya kupokea kero zetu mziseme majukwaani
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 6 месяцев назад
You're a lion of Africa
@muhidinsultan2049
@muhidinsultan2049 5 месяцев назад
Upuuzi kabisa,Tena haswaaaaa Peeople 💪💪💪
@abelmghana2843
@abelmghana2843 6 месяцев назад
Mungu akulide sana lisu hakupe siku nyingi zakutosho Amina
@DottoMagesa
@DottoMagesa 18 дней назад
Tuna kukubari sana jembe unajitoa kwa ajili ya taifa lako
@user-zh1py1fz1l
@user-zh1py1fz1l 5 месяцев назад
Mungu atulinde tunatabika sana maisha yamekuwa magumu sana
@user-rr7kj2sb7s
@user-rr7kj2sb7s 6 месяцев назад
tupo pamoja tutaandamana mpaka kieleweke
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 месяцев назад
BRAVO MH. LISSU. ...WATANZANIA TUNAKUELEWA WEWE BINAFSI NA CHADEMA MNAVYOPIGANIA NA KUPINGA NJIA KUU ZA UCHUMI NA RASILIMALI ZA NCHI YETU 'KUUZWA' NA 'KUMILIKIWA' NA WAGENI NA MAKUWADI NA MADALALI WAO WA NDANI WAKIWEMO WAFANYABIASHARA NA VIONGOZI WETU NA FAMILIA ZAO!
@SamweliLekibenge
@SamweliLekibenge 6 месяцев назад
Usifananishe mwandam na Mungu
@gangan4618
@gangan4618 6 месяцев назад
Kenge we WA kijani, tunazungumzia katiba mbovu inayompa rais wa nchi hii kuchukua nafasi ya Mungu kama sio mungu.
@ChachaMariba
@ChachaMariba 3 месяца назад
Ubarikiwe sana
@user-wl6zs4sf5p
@user-wl6zs4sf5p 3 месяца назад
Lissu ni msema kweli ya kweli nakukubali sana Mwamba nimekuelewa sana Mungu akulinde
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 6 месяцев назад
Wee jiulize tu,angalia magari ya kubebea wagonjwa mengi yamechoka sana,ukilinganisha na magari viongozi wa ccm na serikali 😢😢
@illomowerner7690
@illomowerner7690 6 месяцев назад
Hoja ya msingi
@evaemil856
@evaemil856 6 месяцев назад
Camera man, umetisha. Good job.
@eltonbosha2141
@eltonbosha2141 5 месяцев назад
Huyu anafaa kuidimamia hii nchi maana Jana upuuzi na anaonekana ana uchungu na wananchi Barikiwa sana
@YOUTHPOLITICALFORUM
@YOUTHPOLITICALFORUM 5 месяцев назад
My timely role-model in politics, vive Lisu
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 6 месяцев назад
Now I get why Lowasa was denied to be the head of State 😮 my God
@user-jb4tw6mc3t
@user-jb4tw6mc3t 11 дней назад
Kamauschoka🎉kukaa nchini hama anayekutaka Nina fisadi mkubwa nani anawataka chadema
@issaowden4400
@issaowden4400 6 месяцев назад
Huyu ndio mtume sasa😂😂😂
@DulaMudi
@DulaMudi Месяц назад
aaa baba mungu akurinde baba sisi badi tupu pamoja na wewe baba karibu kirwa baba tume kumisi baba
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 6 месяцев назад
THANK YOU MARTINE LUTHER KING JR WETU RAIS WA MIOYO YA WATANZANI RAIS TULIYEKUCHAGUA WAKAPORA UCHAGUZI WW NDIYO RAIS WA TANZANIA AJAYE INSHALLAH
@AdamuDossa
@AdamuDossa 6 месяцев назад
❤pl
@devisshirima6780
@devisshirima6780 6 месяцев назад
Dah !! Mmiliki wa saa ndiye atakuambia muda !! 😂😂😂
@illomowerner7690
@illomowerner7690 6 месяцев назад
.. daaa
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 6 месяцев назад
Hao miungu wa kuchonga mungu wa kweli anawaona! Na malipo ni hapahapa duniani....!!!! Wacha watuulie familia zetu za kwao zinawiri...
@michaelboniface7003
@michaelboniface7003 6 месяцев назад
Peoples power
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 6 месяцев назад
Uhusiano wakatiba nikipata viongozi Bora sio Bora viongoz
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 6 месяцев назад
Na kukubali sana kaka achane vibaka hao
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 месяцев назад
Burund madereva wakigoma mishahara matajiri wakaongeza.wabongo walipo karibu kugoma wakasaini kazinmadereva wengine siku ile ile mda ule ule.tumuumgeni mko tu mama dah
@sudiomari5881
@sudiomari5881 6 месяцев назад
Safi sana endeleeni kutuletea taalifa mzurmzuri km hizi zachadema
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 12 дней назад
Ni ajabu kwa mtukamahuyu lisu yeye alitangaza waziwazi yakuwa yeye anaunga mkono mashoga leobado wanamsikiliza mtuhuyu inamana chama hichi chachadema nichama kinachounga mkono ushoga
@user-ee4sf5hi6g
@user-ee4sf5hi6g 5 месяцев назад
Most of the rulling part in Africa do silence opposition parties in many ways
@patrickkalimoja5478
@patrickkalimoja5478 4 месяца назад
Huyu ndiyo President Tundu Lissu, mwanasheria nguli wa Tanzania.
@salomemahenge7935
@salomemahenge7935 6 месяцев назад
namkubari sana uyu mwamba
@StellaMakata
@StellaMakata Месяц назад
Sema mwamba wetu
@jofreyjohn6796
@jofreyjohn6796 6 месяцев назад
mungu tusaidie tupate rais kama huyu
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw 4 месяца назад
Hakika kila kitu kina mwisho hakika mungu anawaona walichokifanya na wanalopanga kukifanya na kuendelea kuonea watu.
@SALOMECHARLES-pv6up
@SALOMECHARLES-pv6up 4 месяца назад
Mungu ibariki Tanzania
@WakwetuWakwet
@WakwetuWakwet 26 дней назад
2025 rais ajaye Mr tundu lisu Alie pona kwalisas mungu alikua nakusud lak
@user-dq5xt8ed7w
@user-dq5xt8ed7w 6 месяцев назад
Mwl.kasema watu wa gome kuulipa kodi sii kufanya kaz erewaniiii masege sent
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 6 месяцев назад
MAJIZI,MANAFKI,MACCM HAYO..
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 6 месяцев назад
Lissu uko vizuri sana. Ndiyo maana Mwinyi na mdogo wake wameuza aridhi hii
@NyokaaWise
@NyokaaWise 6 месяцев назад
What kind of 🚨 😁😁😁
@alittlemoretime
@alittlemoretime 3 месяца назад
Mimi nimekuelewa kiongozi
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s 5 месяцев назад
good
@user-vq8mi4xf7d
@user-vq8mi4xf7d 6 месяцев назад
Sema baba
@zhaozlyoung
@zhaozlyoung 6 месяцев назад
Mm nakukubali mpaka kufaa kamanda lissu
@OmaryGumbo-ei8wx
@OmaryGumbo-ei8wx 6 месяцев назад
KAMANDA TUNDU ANTIPHAS LISSU SIJAWAHI KUKUPINGA MUNGU NI SHAHIDI🤏🙌🙌🙌🙌
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 6 месяцев назад
Sio wamasai tu sehem nyingi wamenyang'anya maeneo yalikuwa yakuchungia yote wamegawana mtusaidie kutusemea sahiz hakuna hata maeneo yakuchungia mifugo
@user-pw4bc7sr5y
@user-pw4bc7sr5y 6 месяцев назад
Ikulu ya Rais Mama Samia mkiwa na tatizo au shida ndio mnamuita RAIS SAMIA
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 3 месяца назад
Safi
Далее
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
Просмотров 768 тыс.