Тёмный
No video :(

TUNDU LISSU AKIONGEA MBELE YA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CHADEMA 

Chadema Media TV
Подписаться 200 тыс.
Просмотров 85 тыс.
50% 1

TUNDU LISSU AKIONGEA MBELE YA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CHADEMA

Опубликовано:

 

2 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 года назад
Alhamdulillah Rabilallamin, Mwenyezi Mungu mkubwa, Allah azidi kukupa kila unalolitilia nia lenye heri na wewe pamoja na wananchi kwa ujumla.✌✌✌✌✌✌✌❤❤❤❤❤❤❤❤
@michaelmwaluko2882
@michaelmwaluko2882 4 года назад
Kama wajumbe mpo gonga like yako
@maxesh5135
@maxesh5135 4 года назад
Huyu Ndio Lissu sasa,,,,...., brilliant guy
@jokelimasamaki2800
@jokelimasamaki2800 4 года назад
Big up rissu rais mtarajiwa
@bonaventurasheshe961
@bonaventurasheshe961 4 года назад
Ni Yeye 2020. Lissu mbeba maono na manusura wa kifo lisasi 16 ambapo haijawah tokea na huu ni muujiza unaotembea. Ni Yeye 2020. Straight forward and brilliant Hon. Antipas Lissu.
@davidbochela1441
@davidbochela1441 4 года назад
Mzimu uliobadiri umbo
@mchunguliechibwa198
@mchunguliechibwa198 5 месяцев назад
Huyu jamaa hana akili nyingi Sanaa, jinsi alivyoanza hutuba yke ,very creative mind kuwaita viongozi instead of wajumbe chawa amewakataa ,,,The future president ..God bless u and ur family always 😊😊
@edwindezidery632
@edwindezidery632 День назад
Ila makamu hiyo hotuba ilitikisa Dunia mungu akutangulie
@MakameAly
@MakameAly 17 часов назад
Lissu upo vizuri
@danielmanyama4504
@danielmanyama4504 4 года назад
Huyu MTU anajiamini sana!
@hashimuhehwa3780
@hashimuhehwa3780 4 года назад
Mwanaume huyo
@abuufauzaanmohd447
@abuufauzaanmohd447 4 года назад
Tena sanna
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 4 дня назад
Jamaa yupo vzr sana uyu
@moseslaizer538
@moseslaizer538 4 года назад
Mungu akuongoze mheshimiwa pamoja sana
@primostemba
@primostemba 4 года назад
Lissu 2020 🔥💯
@rosemongi5273
@rosemongi5273 4 года назад
Mta tapatapa sana ,labda urud ubelijiji lakn sio tzn,Jpm hoyeeeee
@kokombwana8625
@kokombwana8625 4 года назад
@@rosemongi5273 Oyee! Lakini apewe nafasi kwenye vyombo vya habari kama anavyopewa JPM ili wananchi waamue
@johnisrael1968
@johnisrael1968 4 года назад
Mungu aliye kuokoa na wauaji wako Dodoma aatakupigania na kukutunza daima.you're the chosen person
@TanoEmanuel
@TanoEmanuel 9 дней назад
Tundurisu jamani nijembe kwerikweri. Mungu akubariki popote uripo
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 7 месяцев назад
Nakuelewa tundu lissu
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 4 года назад
Ilove u TUNDU LISU
@DulaMudi
@DulaMudi Месяц назад
rove baba tupo pamoja Yani mpaka vifo njetu mungu akituncukuwa baba mimi na wewebaba
@messageofloveandhope4249
@messageofloveandhope4249 4 года назад
"What doesn't kill you makes you stronger"...Germany Philosopher ..Fredrich.
@primostemba
@primostemba 4 года назад
Ni yeye 2020
@obeidmpombwe9951
@obeidmpombwe9951 4 года назад
Anaakili mno
@user-bq4tk6yq2q
@user-bq4tk6yq2q 5 месяцев назад
Tundu lissu namkubali
@mkalimwenziotz5696
@mkalimwenziotz5696 4 года назад
Dah! Wewe ndo Rais tunayemuhitaji
@mwinyitoreira2339
@mwinyitoreira2339 4 года назад
hakuna cha kusema zaidi! Mungu aendelee kukulinda kwa rehma zake!....!!!
@user-cx9es4yj7q
@user-cx9es4yj7q 4 года назад
Confidence💯 💕
@TanoEmanuel
@TanoEmanuel 9 дней назад
Tundurisu usikate Tama hata kidogo banana nao hao😮😅
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 Месяц назад
Pamoja😊
@jacobkajeje7920
@jacobkajeje7920 Год назад
Pamoja sana
@leonardrafaelimungunimwema5284
Unachomelea dirisha jiko la kupika eti kodi to jamani mama wetu afee na njaa kisakodi irudi Kama zamani mpo
@WakwetuWakwet
@WakwetuWakwet 19 дней назад
Aise pongez kwako lisu nazani utamshinda
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 года назад
Lissu ni chuma lazima kivunje jiwe lile
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Yeah Hon. Tundu Antipas Lissu is the greatest strongly and confidence. Of course the good leadership.
@primostemba
@primostemba 4 года назад
Wajumbe like za kijumbe
@allygregory8682
@allygregory8682 4 года назад
Nafkri anafaa kuwa rais
@eliudmahali3619
@eliudmahali3619 3 года назад
Congration to you
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 4 дня назад
😂😂😂 km mwabukusi
@user-cw4jr1jz4x
@user-cw4jr1jz4x 8 дней назад
Ww lisu ni mwiba mkar wa ccm
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 года назад
Wajumbe si watu wazuri!!!
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Mshimiwa.mbowe.kazana.usiyumbe.uwe.kama.kama.nabii.gidion.aripelika.watu.kuwa.pima.wanolamba.maji.mtoni.kam.mbwa.ndio.wapiganaji.wakipita.mto.sas.chedema.fanyeni.hivo
@joshuakimario1528
@joshuakimario1528 4 года назад
Unajiamini hivyo
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 4 года назад
Tunakuamini kaka
@Tanzaniawildcats
@Tanzaniawildcats 4 года назад
Awesome meeting
@fabianycharles3954
@fabianycharles3954 4 года назад
Asante...
@WakwetuWakwet
@WakwetuWakwet 19 дней назад
Niyeye2025
@dullawax8799
@dullawax8799 Год назад
Mh lisu unafaa uwe mgombea uraisi
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
Magu kawapoza kawarudisha !! Wananchi tutaendeleza spana kama wajumbe!!
@neemamahenge376
@neemamahenge376 4 года назад
Tunakuamini kiongozi
@richardhosea8827
@richardhosea8827 4 года назад
Nyarandu soma alama
@modestmasuba4155
@modestmasuba4155 4 года назад
Rais wetu huyo
@robertkato5868
@robertkato5868 4 года назад
Tundu wewe ni mjuzi mzuri sana wa sheria na sheria uendana na hoja hivyo kuna tofauti kubwa ya uongozi na ubobevu wa hoja na hasa nchi masikini kama tz yenye rasilimili bila teknolojia na mitaji na umasikini wa kutosha kwa watu wake nafikiri kwa sasa tunaitaji mtu imara, na mwenye akili huru,msimamo dhabiti hata kama yataigharamu nchi muhimu tu ni kutetea rasilimali zetu kwa maana ndio utajiri wetu. Kwa vita vya kiuchumi vilivyopo ikulu na hasa wenye chama chako walizaliwa siku ya ela duniani wako tayari kuuza chochote wapate ela basi uwezi kuwa rais wa nchi hii inawezekana kwa kiasi una sifa lkn kiti ulichokalia kutufikia si salama hata kidogo.
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 4 года назад
Chizi kalogwa tena hahahaha rahisi wa chadema
@leonardrafaelimungunimwema5284
Ogea baba kuliko rais wa ji ji na wilaya jipe moyo
@frankmaestro9726
@frankmaestro9726 4 года назад
Huyu hafai kuwa raisi hata kidogo
@davidbochela1441
@davidbochela1441 4 года назад
Kumbe mlitrajia mabilioni na kumbe sivyo....
@emilianpasiens7919
@emilianpasiens7919 4 года назад
Love you Tundu Lissu!
@isaackalenge8194
@isaackalenge8194 Год назад
CCM Hawawezi kukubari mabadiriko
@joshuakimario1528
@joshuakimario1528 4 года назад
Lissu unalala wap
@sonuswai7596
@sonuswai7596 4 года назад
🤣🤣
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 10 месяцев назад
Unatuletea kikao cha miaka 5iliyopita inasaidia nini
@adamkaogo1931
@adamkaogo1931 4 года назад
Mia kwa mia
@davidbochela1441
@davidbochela1441 4 года назад
Hii hotuba Nyalandu inakuhusu.
@magorimagori9264
@magorimagori9264 4 года назад
watu ni wanafiki sana..huyu kilema akiwa nje ya nchi mlikua mnambeza sana.sasa amerudi mmeanza kumsifia eti ni brolliant guy..acheni kupoteza muda..rais wa nchi hii ni Mh.DR.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI tu.sasa subirini mziki wetuuuuuuuu
@innocentcp845
@innocentcp845 4 года назад
Hakuna aliye omba kuwa mlemavu c kauli nzuri. Kumbuka wewe ni mlemavu mtarajiwa. Haitoshi bora kulemaa viugo kuliko akili.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
hata babako anaweza kuwa kilema fala we
@innocentcp845
@innocentcp845 4 года назад
Nawaomba tumieni hoja kwenye comment na sio maneno kama kilema. Neno hilo ni kutudharau na kutudhalilisha walemavu. Haitoshi nikujisahau kuwa tupo walemavu na mpo walemavu watarajiwa. Hakuna aijuae kesho yake. Siasa ni urafiki na sio uadui.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
@@innocentcp845 waambie hao mazombi ya ccm, hawajui km ujafa ujaumbika
@nessa4899
@nessa4899 4 года назад
Haya sasa ma silent killers, mmesha julikana plan zenu. tabu sana
@lugembesweya3288
@lugembesweya3288 4 года назад
Sasa nahisi unataka urais chadema sio mtz
@djaysamtzm950
@djaysamtzm950 4 года назад
Hakuna mgombea hapo/huyo atawauza MapemA sana shaur yenu
@kokombwana8625
@kokombwana8625 4 года назад
Mmh
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
@MutalemwaBiashara
@MutalemwaBiashara 2 месяца назад
Tuko na wewe tu mpaka kiwereweke
@pasikomwafongo4679
@pasikomwafongo4679 4 года назад
Mbuzi Mafia kwa muza supu
@allenmwambala6900
@allenmwambala6900 4 года назад
Toa hoja husishutumu serikari sema utakacho wafanyia watu,
@chondebabatz5477
@chondebabatz5477 4 года назад
Subir akifika kwa wananchi
@kokombwana8625
@kokombwana8625 4 года назад
Atoe hoja ya namna gani?
@allenmwambala6900
@allenmwambala6900 4 года назад
Kura ndo zitaongea ccm itashinda kwa kishindo, wajumbe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
@kokombwana8625
@kokombwana8625 4 года назад
@@allenmwambala6900 Ni kweli ccm itashinda,lakini ni vizuri uwanja wa kufanya siasa ukawa sawa ili malalamiko yasiwepo
@allenmwambala6900
@allenmwambala6900 4 года назад
Watu tunajuwa na tuliona na tunaona kinacho endelea lakini tundu lisu anaonyesha jirasi ya wazi kati yake na ccm na viongozi wake ata akipata muda wote atakuwa kwenye mvutano ,na visa tu.
@norbertkauzeni1324
@norbertkauzeni1324 4 года назад
Uchaguzi huru , wabunge waliendaje bungeni.
@asafudaudi1230
@asafudaudi1230 4 года назад
Tatizo ni uraisi matokeo ya ubunge yanahojiwa mahakamani matokeo ya uraisi hayahojiwi
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 года назад
Jamhuri ya muungano upi ? Mzee tatizo hilo.
@awadhsaleh2354
@awadhsaleh2354 4 года назад
And the rest and the other two were not in the office today and they were not able to make any changes to
@davidbochela1441
@davidbochela1441 4 года назад
Uzoefu wa Nyalandu Ni wa mashaka?
@mfaumeseif5872
@mfaumeseif5872 4 года назад
Chuma kimesima
@japhetyanania8589
@japhetyanania8589 4 года назад
Jembe jembe..
@allenmwambala6900
@allenmwambala6900 4 года назад
We uko juu ya sheria?
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 6 месяцев назад
Sasa basi
@eventelias3566
@eventelias3566 4 года назад
🤣🤣🤣🤣kuna watoto walizaliwa na ubishi mkononi 😀😀Lissu kama Lissu ni master
@saxannjo6173
@saxannjo6173 4 года назад
HATUTAKI WANAHARAKAT IKULU.... TUNATAKA WALETA MAENDELEO KM JPM... FULL STOP
@adamnasib7928
@adamnasib7928 4 года назад
Hutaki wewe tu wanaharakati ndo walioleta hata uhuru wawaafrika muangalie Marti lutherking
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 4 года назад
Maendeleo yatakuja kuliko ya ccm muda wao wa utawala wote iyo chadema nchi Zima maji safi na salaama elinu bora sio bora elimu nakuweka mifumo mizuri ya kujitawala
@suleimanrashid58
@suleimanrashid58 4 года назад
ww unafaa kuwa raisi wa nchi hii kwani una majaraha na uchungu kwa madhila na kadhya kwa ulioyapata.
@sonuswai7596
@sonuswai7596 4 года назад
Wewe uko yuma kweli!!!
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 года назад
Trying and tested nimemuelewa hivi (He not sure that why he try and test.
@kato_tz
@kato_tz 4 года назад
Umekosea kidogo ndugu mjumbe Mr. Shabani, ni tried and tested, yaani amejaribiwa na kuyapata hayo majaribu,
@piusraymond8226
@piusraymond8226 4 года назад
Sapotini tuu watuwenyewe hamna hata hela ya kula ikitokea vulugu huyo anakimbilia kwa wazunguwake nyny je mtaendawp mcklizeni tuu huyo kiaz muone
@user-cx9es4yj7q
@user-cx9es4yj7q 4 года назад
kama hau-support 🤫🤒😷
@allenmwambala6900
@allenmwambala6900 4 года назад
C lolote huwezi kuwa Rais wa tanzania
@depaolo3461
@depaolo3461 4 года назад
😂😂😂😂ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_i17eP38_tc.html.. mkitoboa sijui
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 года назад
Wewe unazungumzia siasa nilijua unazungumzia maendeleo kumbe siasa ni maslahi yako na familia yako jombaa ushachemka.*******
@davidbochela1441
@davidbochela1441 4 года назад
Siri imevija,walimchagua Lowasa kwa kutegemea mamilioni,anamsuta Mbowe.
@rosemongi5273
@rosemongi5273 4 года назад
Watanzania tunajielewa ss fala wewe usituletee imla wewe jpm ni wa kipekee hana mpinzani ccm ni no1 jpm hoyeeeeeee
@dottomkumba262
@dottomkumba262 4 года назад
Wewe fala mmoja kacheze unakoche kama huyo magu anakutosha ni wewe bwege wee
@user-cx9es4yj7q
@user-cx9es4yj7q 4 года назад
mshenzi kwel ...... you're illetrate
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 года назад
Watanzania tumuelewe vizuri point zake anachoitaji ushindi wa kisiasa.ahahahaha
Далее
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21