Тёмный

#Live 

MWAMPOSA LIVE
Подписаться 161 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#arisendshinetanzania #2024mwakawambinguzilizofunguka #mwamposalive
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@NajmaNajma-rn5pe
@NajmaNajma-rn5pe Месяц назад
Watoto wangu wafaulu kwenye masomo Yao na maisha Yao wampate kazi kirahisi tu mungu nifanikishe Mimi kesi zangu zikaishe Leo wasio nipenda warudi kua wema Kwangu mungu naamini yametimia ♥️🇰🇪🙏🙏
@ModesterRock
@ModesterRock Месяц назад
Kupitia madhabau yako naomba mawasiliano yangu na mwenza wangu stephano yakarejee in jesus name ameen
@FurahaHasani
@FurahaHasani Месяц назад
Mungu niunganishe na watu wasiniseme vibaya
@frost4life30
@frost4life30 Месяц назад
Mungu naomba faraja yako na uniondolee roho wa kukataliwa , nipe wateja hadi wanizidi mtoto wangu akaajirie katika umri mdogo katika Rugy ,nijenge nyumba kwa urahisi na ninunue Gari kirahisi
@mberwasevelian7406
@mberwasevelian7406 Месяц назад
Kesho asbh nipewe mashine nyingne nzuri niwazayo niyapate kweli kupitia madhabau ya rise and shine nitendee namm bariki Ombi langu likubalike
@ChusseMchina
@ChusseMchina Месяц назад
Naomba nifunguliwe Kila kifungo Kaz nipate bila vikwazo vyovyote Kila nitakalo liende sawa ameen
@FurahaHasani
@FurahaHasani Месяц назад
Mungu tupe ulinzi katika nyumba yetu nauwakinge watoto wangu na mabaya
@AnnaMndee
@AnnaMndee Месяц назад
Mungu naomba unitoe kwenye nguvu za Giza na nizidiwe na wateja
@KaisonTenesi
@KaisonTenesi Месяц назад
Ninamshukuru mungu kwakunipatiya uhai wa reo
@MtundaMaswa
@MtundaMaswa Месяц назад
Mungu nAomba kupitia madhabao ya mwamposa naomba dastan mbuko haje Leo nyumban mausiano yetu yarudi aniudumie mimba hii
@NajmaNajma-rn5pe
@NajmaNajma-rn5pe Месяц назад
Najiuganisha na Ibada Baba naomba mungu aniguse nipone magojwa yote niwe na kibale kila pahali nigiapo niwe na jina kumbwa la heshima nisaidie mungu
@KaisonTenesi
@KaisonTenesi Месяц назад
Mungu naomba musaidie mtoto wangu
@NajmaNajma-rn5pe
@NajmaNajma-rn5pe Месяц назад
Nataka plot yangu nyinunuliwe kirahisi tu na nimpate plot yegine ukunda kirahisi tu na nijege yumba yangu Dani ya mwaka ujao mwezi kama huu niwe nimiliki yumba na vitu vegine❤
@ObedMligo-k6h
@ObedMligo-k6h Месяц назад
Mungu naomba unifungue vifungo vyangu vyote
@AnnieAhoka-vn5xw
@AnnieAhoka-vn5xw Месяц назад
Jamani na wasalimu kwa jina la yesu mimi niko Congo naitaji kujuwa fasi gani mwamposa.anaishi ili na mimi nmfikiye
@ObedMligo-k6h
@ObedMligo-k6h Месяц назад
Arise and shine
@teclaelias7707
@teclaelias7707 Месяц назад
Jaman mnisaidie nataka kujiungamanisha saivi naibada inayo endelea kanisani
@AishaJuma-my8ed
@AishaJuma-my8ed Месяц назад
ee mungu nisaidie niweze kufungua biashala yangu kilaisi
@EmmyMsigala-t1r
@EmmyMsigala-t1r Месяц назад
MUNGU nisaidie nipate nguvu na afya pia
@FurahaHasani
@FurahaHasani Месяц назад
Mungu niunganishe na watu wasiniseme vibaya
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Просмотров 17 тыс.
FUATILIA MAOMBI HAYA AMINI UTAPOKEA .
14:10
Просмотров 72 тыс.