Meeen tangu nianza kumskiza huyu jamaaa nafatilia kil a interview open minded.. charming...educating....fanny he is actually everything ma meeeeeeeen!!!!!!!!
Namkubali sana babalevo aina za siasa zake anasifu pahala penye kusitahiki sifa na atakosoa penyekustahiki kukosolewa vizuri sana mfipa mwenye mafungamano na waha heshima kwako