Basi kumbe Diamond hakuwa na makosa.... i wonder how Wema got courage to tell you eti naenda kulala mahali pengine leo.. duuuuh.. it hurts for sure.. pole.. that was the best decision anyone could take..
hi Abdul nakukubali sana na kasi zako ila tu wazo langu kwako jaribu kuwa msiri wa baadhi ya mambo hasa kwa mpenzi wako kama hayi video ulivyojieleza juu ya wema. ok nakutakia kila la kheri by some one from Tz and now i am in Canada. if you are intresting to come down here let me know
Nyie mna madharau sana ss mbona muweke nusu mtupe tamaa kisha hamweki the other part..if you want to develop digitally like sporah this are the things you should do, I am from London buh I wanted to see it n niliwategemea you will upload mzima mzima you are letting me n ppl from Tanzania that r in other countries down. ....
Jitahidi kujua kuongea wakati unapoojiwa na waandishi wa habari.Acha kuchanganya maneno ya kiingereza hasa cha kimarekani/slang kwani hata kiingereza chenyewe huwezi hata kuongea kwa dk tano mfururizo..Jitahidi kuongea kiusomi na majibu yawe ya kuonyesha unajua mambo na unajibu kiusomi kidogo na sio kiuswahili kama unavyofanya sasa kwa hatua uliyopo.Ningekushauru angalia video za baadhi ya wanamuziki wakiojiwa inaweza kukusaidia.