Kweli nakumbuka mume wangu aliniambie alisoma na baba levo la 7 na apa sasa nimembkubali mume wangu kweli mungu mwema maisha yanatoka mbali sana mungu akubariki baba levo
Zamaradi mashallah we kazi umeisomea kabisa professional kabisa unamuacha kabisa mtu ajiekezeeee hii nimependa sana hutumii nguvu huchapiii maneno huingikii kati ebana weee hongera sana dada anguu
Yaaan kuna interview zingine ukiona sura ya anaenda tu kuojiwa unaenda kununua bundle haraka 🙌🙌🙌😁😁😁 Baba level I salute you yaan wewe nicomedian by nature 😁😁😁🙌🙌🙌
yaan zama katika watu wote uliowaoji huyu ni kiboko. Aujapata nafasi hata ya kuuliza swali istoshe unajizuia hata kucheka baba levo kiboko,jamaa ana anafurahisha sana.