Тёмный

#live 

BENTV MEDIA
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 69 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 2 месяца назад
Tulioludia hapa baada ya mwez mmoja kwa tarifa ya Aziz k
@SaidiMbegu
@SaidiMbegu 3 месяца назад
Mi nilijua anaondoka Eng Hers...kumbe Azizi K,muache akatafute maisha, ila taabu bado iko palepale Kolo ww,kinaondk chuma kitaingia chuma....daima mbele.....💪💪💪
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 4 месяца назад
Kweli wewe ni frini bovu kweli! Azizi ki alishasema yeye bado yupo sana! Misheni yake haijakamilika!
@GiresseMukwemulereGirelo
@GiresseMukwemulereGirelo 4 месяца назад
iyo ni maneno tu, hata mayele ka sema ha ondoke mwishoni ka ondoka
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 3 месяца назад
Kwani Mayele alisemaje?,kauli za wachezaji sio za kweli, wanachokifuata ni hela
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 3 месяца назад
Nakukubari sana friji bovu🎉🎉
@AnjelaPhilipo
@AnjelaPhilipo 3 месяца назад
Azizki Mungu amlete unyamani ❤❤❤
@rahemakapara1073
@rahemakapara1073 2 месяца назад
Sasa hivi mimi nikiingia hapa utube habari kama haijaandikwa friji bovu basi hata siziamini naamini za friji bovu tu
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 3 месяца назад
Achana kitu kinacho itwa pesa yanga wako kalibu kumtumia majini aziz ndo zao pesa hawana wanabaki kuwatumia watu mashetwani
@castorymatamwa
@castorymatamwa 3 месяца назад
Wamwache aendeakatafute mashaisha pengine
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut 2 месяца назад
MAKOLO MBONA MNATESEKA NA AZIZ K
@AnjelaPhilipo
@AnjelaPhilipo 3 месяца назад
❤❤❤❤
@ElvinMwombeki-pu3em
@ElvinMwombeki-pu3em 3 месяца назад
Mimi yanga lakini frigi bovu Kuna muda huwa ninakuelewa
@DaudiKipingu
@DaudiKipingu 2 месяца назад
We atukuelewi mbona frij lilituambia ameshasain
@JohnBunuma
@JohnBunuma 3 месяца назад
We kweli dishi limeyumba nani amekwambia azizi ki anaondoka?
@IbrahimLwitakubi
@IbrahimLwitakubi 3 месяца назад
Pamoja sana
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 2 месяца назад
Hawa watu wa yanga lazima ni Wagonjwa kii amemaliza mkataba hawakumbuki eng Haris nimwoga hawezi kusema kii amewashinda mayere ilikuwa hivihivi
@davidmtoi4704
@davidmtoi4704 2 месяца назад
Huyo azizi ki anaogopa Simba ijayo
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 2 месяца назад
Uto wanamzuia azizi asiondeke mwacheni mtu akataft pesa sehemu nyingine
@EliyaOnnesphory
@EliyaOnnesphory 2 месяца назад
Aaaaa!! Ivi nyie upande wa pili, mnafikiri sisi tunatishiwa na nyau? Simba ni kubwa kuliko Azizi ki wenu huyo!
@LazaroIjinji
@LazaroIjinji 2 месяца назад
Huyo anaaga nawapapole wananchi
@masalu.shineneko.nwashi
@masalu.shineneko.nwashi 3 месяца назад
Mamba kweli
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 3 месяца назад
Hawezi kuondoka yanga kwani mumemkodi huyo mchezaji
@shabanimtunguja5396
@shabanimtunguja5396 3 месяца назад
Kama Aziz k alikuja Yanga kwa kuitwa,basi hata akiondoka aondoke tu,walikuja wengi na waliondoka na Yanga yetu bado iko palepale.Aondoke tu.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 3 месяца назад
Hueleweke unazungumzia aziz kuondoka au kuhama kwa fei au kafunga penati ya fa? Huelewki, Yanga hawana tabia hiyo unayo force wakufanyie, yanga wanataka football litembee.
@martinsokoi397
@martinsokoi397 3 месяца назад
Kula 6 umechambuwa vizuri.
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 4 месяца назад
Aziz k hawezi kuondoka Yanga Kwa sasa!
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 3 месяца назад
😂😂😂😂 kunann haondk bad hujasem
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 3 месяца назад
@@VeronicaAdam-lx8yd utasubili sana kama ndio mawazo yako na maombi yako,tayar anamkataba wa miaka miwili alisaini Zanzibar juzi
@omanbarka1588
@omanbarka1588 3 месяца назад
Azizi ki ni lazima acheze team anayo ipenda demu wake
@saimonntani6831
@saimonntani6831 3 месяца назад
Yanga wanadhani mchezaji akicheza kwao, anaipenda timuyao.😅 watu wako kimaslahi zaidi.Azizi kii anafamily yake inamtegemeapiya ndiyo maana Hajasaini mkataba mpya😅😅😅
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 3 месяца назад
Azizi ki Anaondoka yanga hawana pesa
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 месяца назад
Kwani asante katoa yeye tu mbona wametoa wengi ahsante msimu huu kafanya vizuri kwa mashirikiano na uongozi na wachezaji
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 4 месяца назад
MASHABIKI WA TANZANIA NI WAJINGA TENA WACHAWI KABISA
@alisalmin512
@alisalmin512 3 месяца назад
Fei toto the sky the limit , FEITOTO ndio maji utakunwa au uogee. Yanga bado wanamtaka fei hawajaamini kaa angeondoka
@AshrafuJuma-l3l
@AshrafuJuma-l3l 4 месяца назад
Mchambuzi mwaduke ndo big mchambuzi
@martinsokoi397
@martinsokoi397 3 месяца назад
Mchambuzi Bora
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 3 месяца назад
Yani hayo mawazo yakozamani sana na ni fikra mbovu na potofu uzamani sana huo
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 3 месяца назад
Watu wamekasilika huku we f. Bovu hawataki kusikia
@rosejoely4518
@rosejoely4518 3 месяца назад
Nyinyi yanga niwapumbavu hawezi kuondoka kwani hiyo timu ni ya babaake au?
@deokibona2835
@deokibona2835 3 месяца назад
Hivi zambro kaanza kumsimamia Aziz ki baada ya kuja Yanga? Mbona kama Sasa hivi inaonekana kama Aziz hana maamuzi wakati mwanzoni akiwa asec mimosas maamuzi yalifanywa na Aziz na mama yake.
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
😂😂taasisi yanga to mtibwa shuga season iliyopita na walioshuka daraja wameshukuru aucho kaaga job kaag na kushukur coach gamond alishukuru na kuaga ila Ako dar kisa Aziz ki kaaga kwenda kimataifa ety oooh uuh acha maneno akienda atakuja wengine mm ilo Sina shaka
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 2 месяца назад
Aziz ki aondoke hao hawana Hela
@IbrahimMmalugu-gw8jl
@IbrahimMmalugu-gw8jl 3 месяца назад
Serkali IPO itawalipia usajii wa Azz k
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 месяца назад
Friji bovu ni kolo, tunajua hilo😂
@MOHAMEDIABDURAHMANI-hu2gi
@MOHAMEDIABDURAHMANI-hu2gi 3 месяца назад
Usiwe kama choko hizo pesa unatoa wewe? au familiya yako? wewe hakuna anaekusapoti ila mambumbu kama wewe, subiri asajiliwe halafu uangaliye sura yako utaiweka wapi,
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 4 месяца назад
We ni chawa na unakula makombo ya vilabu,huna lolote na huna ujanja wa kuishi bila uchawa, Bangaradeshi weeee😂
@BibeLunangela
@BibeLunangela 4 месяца назад
Muwe mnatafuta abari za kweli TV mbovu
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 2 месяца назад
Kweli nakunya maji ili nifulai
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 2 месяца назад
Aende yanga wamenunu mrithi chama waache wapambane
@HalfaniYusuph
@HalfaniYusuph 4 месяца назад
Natamani uwe msemaji wa yanga we ni mkali
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 4 месяца назад
Kwahiyo wewe niya yako Aziz asepe😂😂😂
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 месяца назад
Yaaani mimi hawa jamaaa siwasikilizi hawana mambo ya uhakika
@davidmtoi4704
@davidmtoi4704 2 месяца назад
Huyo jamaa ni muona mbali amesha ona mzikiki wa mnyama ujao Bora aanze kuond......
@OmaryBuberwa-j2e
@OmaryBuberwa-j2e 4 месяца назад
Abduli Aziz issah mashine hii we acha tu
@JoelryKiswaga
@JoelryKiswaga 3 месяца назад
Heko bro
@selemanmoses1310
@selemanmoses1310 4 месяца назад
Sasa hofu yako kuhusu Pacome kwani Yanga watabaki kuwa hivyo miaka yote...? Acha hizo kumbe wanaokutukana wana haki
@mamastan4497
@mamastan4497 4 месяца назад
Wewe mchambuzi unapotosha fei Kuna mechi alicheza na wachezaji nane ndipo alipochukua goli nyingi je friji bovu unakumbuka ? Acheni kumpamba kwa sifa za ulimbukeni
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 3 месяца назад
Wewe friji bovu na wenzako nyie wafiki na washambenga kwa uongo, wasenge
@KadriAbedi
@KadriAbedi 2 месяца назад
achani kumgombniya mtu ambay han maan kwenu
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 4 месяца назад
Kwahiyo wewe Hilo filiji lako bovu linatowa kwa hansi afu ndo nawewe unatuletea Sisi huku 😂😂😂😂 kiufupi wewe nimchumbuzi chawa WA Hans
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 3 месяца назад
🎉🎉😂
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 месяца назад
Mnataka tuone mna habari, hakuna
@StevenLevenson-g3d
@StevenLevenson-g3d 3 месяца назад
Hauna ishu mropojaji tu
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 месяца назад
Tumuuze tu Aziz tupate pesa mpira biashara,tutafute mtu wa kucover hiyo nafas yake ,na huo ndio mpira ,uza upate faida nunua wachezaj wengine kwa utulivu
@dsgroup6093
@dsgroup6093 3 месяца назад
Kwahy umuuze mchezaji aliebakiza siku tisa mkataba uishe hiv unajielewa kwel?
@goldmansun5859
@goldmansun5859 3 месяца назад
@@dsgroup6093 auzwe hata kama kabakisha siku mbili mkataba uishe, sasa aende free
@marcobulili4341
@marcobulili4341 3 месяца назад
Hv mara Aziz KI amebaki Yanga, uso wako utauweka wapi?
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 3 месяца назад
Huyu jamaa nilikuwa namuamini saaana ila kumbe ni kolo , halafu ni muongo saaana
@ElvinMwombeki-pu3em
@ElvinMwombeki-pu3em 3 месяца назад
Ukimsikiliza kiushabikishabiki ni vigumu kumuelewa ila Kuna vijipoint kavigusia binafsi vinanifikirisha sana
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 4 месяца назад
Hapo uchambuzi hamna kitu.
@ELIACHOMOLA
@ELIACHOMOLA 2 месяца назад
Wakati utaongea tuu
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 месяца назад
HUYO MUONGO UNASIKIA JINALAKE ANAJITA FIRIJI BOVU MANAYAKE NIMUOGO MWAMBIENI KWAZA AKASAFISHE MENOYAKE MCHAFU MUONGO MKUBWA
@omanbarka1588
@omanbarka1588 3 месяца назад
Acha zarau wewe friji HB wewe kajitasimini Kwanza we mwenyewe chupi yako savii nyau we Acha kumsema hensam boy friji zuri hilo
@AshrafuJuma-l3l
@AshrafuJuma-l3l 4 месяца назад
Apo akuna mchambuzi
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 4 месяца назад
Na wwe kibonzo wachangie
Далее
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 2 млн
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
Просмотров 2,6 млн
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 405 тыс.
БАГ ЕЩЕ РАБОТАЕТ?
00:26
Просмотров 123 тыс.
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 2 млн