Mh. Lema niko makini sana kusikiliza madini unayoyatoa, mimi kama mimi naamini viumbe walioko bungeni wangekuwa na akili hata robo ya uliyo nayo naamini Tz tungepiga hatua kubwa sana, wewe una kitu kizur ndani ya kichwa chako ambacho kingeweza kuisaidia hii nchi, wewe ni lulu ktk nchi yetu, asante brother Lema.
Mungu awatetee ndugu zangu wamasai kwa kutoonekana Umuhimu wenu katika nchi aliyowapa Mungu. Baba wa Taifa angekuwepo sidhani kama angependezwa kuona vipande vya fedha vinathaminiwa kuliko utu wenu.
Sawa kamanda wetu Lema tunawafatilia sana wasaidien Masai ngorongoro wanaish kama wakimbizi makamanda wetu mawakili wasomi mtaliweza kunusuru mambo haya yanayo endelea kwenye taifa holi
Nionavyo nguvu itatumika kuwasambaratisha wamasai, hii kutokana na kwamba ccm wameshajua wamasai hawatawapa kura kwa namna yoyote, kwa kiburi cha watawala hawatajali hata wafe watu elfu kumi, ili mradi lengo la watawala lipite. Lakini, lakini, lakini, ole itakayofuata haitakaa isahaulike maana itakua endelevu kwa vizazi 3 hadi 4 vya watawala.
Uwekezaji mkubwa mjini magharibi utokee chukua maeneo yote ya kwelekwe Hadi fuoni watafutie maeneo wakazi wake chake chake wajengee kota nyumba wote je yupo atakaye kwenda pemba?