Тёмный

#LIVE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@fatmayusuf7122
@fatmayusuf7122 Год назад
Kama unampenda hamisa usipite bila kugonga like I say Tanzania finest
@MakuruChata
@MakuruChata Год назад
Nampenda sana ❤
@annamosha968
@annamosha968 Год назад
Nampenda saaana
@AsiaOmar-mr7bk
@AsiaOmar-mr7bk 27 дней назад
Nampenda kushinda unavo mpenda ww
@OmaryJumanne-l4q
@OmaryJumanne-l4q Год назад
Ukiachana na mungu na mama yangu hakuna mwingine ninae mpenda duniani Kama hamisa mobeto mwanamke ananidham sana hata Kama anamapungufu yake sio Kama ya masta wengine tulia mdogo wangu na mpenzi wako tu acha tamaa na mambo mengine ya kidunia 🎉
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Год назад
Hamisa ni mmoja tu......So humble
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Kazuri,mashaAllah 🎉🎉🎉🎉🎉
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 Год назад
Very matured Misa, keep moving 💕
@fatumaomari7742
@fatumaomari7742 Год назад
Jmn huyu dada anajibu maswal vizur uwiiiii🙌🙌🙌❤❤❤❤
@harodphilipo8228
@harodphilipo8228 Год назад
Nampenda sana huyu dada napenda pia kuona akiwa na furaha
@ThomasChristopher-k4o
@ThomasChristopher-k4o Год назад
Hamisa kiukweri nakupenda sana Tena sana mungu akuzidishiye kirakitu mm ni mboniyangu ❤❤❤
@everlyne8595
@everlyne8595 Год назад
Nmpenda huyu dada jmn haringi wish cku moja nmuone live ❤
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Год назад
Hamisa dada yangu ukiona watu wanakuchukia bila sababu ujue una kitu ambacho umewazidi maneno ya watu yasikunyime raha mwanya wewe ni mrembo, mchapakazi na unajielewa endelea kuwarusha roho KIVUTIO CHA TAIFA 🥰😂😂💃💃
@remiomar7154
@remiomar7154 Год назад
Adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake naona wengi muna wivu na hamisamobetto kila unapo mchukia mtu basi mungu huzidi kumpandisha daraja wengi walitamani afeli kimiaisha lakini mungu nani maana wengi walitarajia nyota yake itazima ila ndio kwanza inazidi kung'aa
@JulianaCharlez-uq9xi
@JulianaCharlez-uq9xi Год назад
Hamisa mobetto Nakupenda Sana'a a as a
@kendytz7288
@kendytz7288 Год назад
Hamisa nampenda sana. Namsemo wake kuna wanaume na kuna huyu wa kwangu😅😅😅
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Год назад
Hamisa mremboo sana wanaomsema mbaya cwashangai kilamtu na mtazamo wake
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Wamuumbe wao basi aaka😂😂
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Год назад
Hapo sasa
@seifyangawakosawakombo6605
@seifyangawakosawakombo6605 Год назад
Uko vizuri sana kujibu maswali
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Hamisa Ni mmoja okota maokoto dada kila mtu ana maisha yake
@irenedaniel8702
@irenedaniel8702 Год назад
Star mwenye aibu mbele ya camera ni missa ❤❤❤❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Год назад
Binti yuko vizuri sn, Safi sana, Wenye wivu wanaumia eti anaiga eti kafata pesa sasa Afate nini! Wa Tz acheni Umbea. Penye sifa Sifuu.
@AzaShamba
@AzaShamba Год назад
HAMISA WANGUUUUUU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Год назад
Wanawake Tunatamani kumfikia huyu dada Tunaishia kumchukia tu
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Год назад
Kabisa hasa mastar wenzie siku izi hata hwa comment zaid ya Muna love na rushaina
@GermanaNovatus
@GermanaNovatus Год назад
Songa Mbele ulpotoka ni mbali❤
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 Год назад
Keep your personal life private achana na wambeya mara nyingi ni kuvuruga somebody's life, you are a strong woman so keep it up.❤
@mdta8161
@mdta8161 Год назад
Hamisa nakupenda wewe mdada acha tu
@fatmayusuf7122
@fatmayusuf7122 Год назад
Nampenda yaani jinsi anavyojua kuhandle wa2 wa media🤣🤣🤣🤣🙈
@akishamwende8515
@akishamwende8515 Год назад
Hamisa karemboooo😋🔥
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Mtihani hakuna waume skuiz😢😢mrembo kam huyu ndo wakuzalishwa halaf bwana wake akatae mtoto?? ilhali anaweza kumpa mahitaji yote mtoto wake😢😢😢mungu tusaidie wanawake woote duniani hakuna waume skuizi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Wapo wema ila ni wachache ila Allah atufanyie wepesi
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
@@ashminaabdulla8946 Aamina inshallah
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Год назад
Wanaume nimtihani 😭😭😭
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
​@@joycenicodemus.2232saana my😢ila mung atupe wanaume wema amina
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Kev ndo atamuoa kwa uwezo wa mungu
@AsiaOmar-mr7bk
@AsiaOmar-mr7bk 27 дней назад
Ht mm nilipata mtihani nikakata tamaa ya mafanikio lkn nilipo mkumbuka hamisa alipo toka na mpk alipo fikia nikapata nguvu ya kupambana hongera misa
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
Kanajitambua haka Kabinti♥️
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 Год назад
Mungu akutunze wewe na uzao wako
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 Год назад
Hamisa nimzuri harafu nimole sana nampenda sana huyu dada ❤
@alicewangechimbatia7350
@alicewangechimbatia7350 Год назад
Shes wise
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Год назад
Hamisa wangu mimi ❤❤❤
@Shatfa-ec8td
@Shatfa-ec8td Год назад
Your amazing more ❤
@neemamalakilevi2661
@neemamalakilevi2661 Год назад
Hekima kubwa napenda anavyojibu
@vickykapama8386
@vickykapama8386 Год назад
Misa❤❤❤❤❤❤❤👑
@LuciaVenance-nd2kd
@LuciaVenance-nd2kd Год назад
Watu mnaroho mbaya ety hamisa ametoa mkundu acheni zambi mnataka watu waishi maisha ya kuteseka mungu akimbariki mnasema ametoa mkundu hii nchii mhh🤔
@nassirramadhankara
@nassirramadhankara Год назад
Anoonaa katona mundy na yy akatowee spare ganache pasta Hamisa
@banguha
@banguha Год назад
Hamisa nakupenda sana
@AzaShamba
@AzaShamba Год назад
Hamisa eeeh, hamisaaa eeh hamisaaa eeh❤❤❤❤😂nyimbo ya Dr remmy ilkua inamsifia hamisa, hamisa mwenyewe ndio hyu sasa😂😂
@josephinekanaiza2945
@josephinekanaiza2945 Год назад
Khamisa kangu mie🎉🎉
@ericacharles8710
@ericacharles8710 Год назад
Hamisa nakupenda sana mama
@عبداللهالعازمي-ع3ش
Bas utulie uwolewe
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
❤❤❤Hamisa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah nakupenda Hamisa.
@AsiamohammedHema
@AsiamohammedHema Год назад
Nakupenda Sana hamisa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Год назад
Mahusiano nina imani nayo alhamdulillah? 😢😢😢😢 kwanini usiolewe unaziniwa mpaka unazeeka Umekubali kua mchepuko sugu😢😢😢,,.........
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 Год назад
Unateseka pole sana
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Год назад
@@sabinashabani1165 kama unajua thamani ya ndoa usingeropoka niteseke uchi wangu ndii unaotumika hapo jamaa kama ana mguu yeye ndie analiwa unaifurahia zinaa? Ana sema mahusiano alhamdulillah... Jambo haram vipi liwe alhamdulillah? Dunia pambo usishabikie ujinga
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Год назад
Huna hela acha wivu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Год назад
@@hellendaniel3809 unajuaje kama sina hahaha
@aminaabdullah9193
@aminaabdullah9193 Год назад
​@@rukiaiddyyahaya9506Acha nao my wanapenda zinaa hao
@rossettesworld
@rossettesworld Год назад
Muooooongo kucopy tu maisha ya zari
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
Halafu leo hadi anaonekana ana makengeza.
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
Maringo mpka anaboa mfyuuuu 😏😏😏Sasa iyo shingo vpi
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
Pole saaana...wivu utakukaba ukuuue
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Poleeeee😂😂wivu mbaya,kunywa diclopa ulale
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Год назад
Acha makasiriko hamisa❤❤
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
Mmh na wewe si uiweke jamani kwani kuna shida??
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Год назад
Sasa maringo yapo wapi hapo fuuu
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Год назад
Bakiza Maneno Dada! Usije ukapata aibu kesho!!
@jacquelinejeff1249
@jacquelinejeff1249 Год назад
♥️♥️♥️
@David-s6y8k
@David-s6y8k Год назад
Vina muda Basi
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
❤Missa
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 Год назад
Duniani Omba bahati sio uzuri!! sura hata mbuzi anayo😂😂
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Kweli maana sisi wengine duh 🙄 tungekaa pande ipi
@AshaAkimana-b1y
@AshaAkimana-b1y Год назад
❤ amisa
@tinalucas6284
@tinalucas6284 Год назад
Afu mtu anatoka anasema wanawake wazur wanamakomwe na uyu je mbna hana komwe na ni mzuri balaa🔥🔥🤣🤣
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Hamisa mzuri I wenye makomwe nikwel wanaongoza kwa uzur
@victoriapendo1730
@victoriapendo1730 Год назад
Hamisa❤❤❤❤❤❤❤
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 Год назад
Yule mwenye Mandevu yupo wapi jamani sijui anaitwa ice cube au😂
@anthony_genge
@anthony_genge Год назад
Tuendelee kusubir atakuja huyo mr mandevuu😂😂😂😂
@dianasago9214
@dianasago9214 Год назад
Huyu kumpenda mm ndicho najua
@rossettesworld
@rossettesworld Год назад
Mtu muongo hua haangalii direct kwa uso
@rosewabiwa5628
@rosewabiwa5628 Год назад
Wewe mukweli
@rossettesworld
@rossettesworld Год назад
@@rosewabiwa5628 awache kulipa mange kimambi kutukana watu she should face them herself shetwani pretender
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Sasa uongo wake mm hapa jamani
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
​@@rossettesworldnakuhurumia,pole sana,diclopa inaweza saidia maumivu haya kweli😂😂😂qu tumia ibuprofen
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Kwendraaaa 😂😂😂unajikuta nani sasa??professor wa saikolojia. Kunywa panodol ulale,wivu ni ugonjwa
@hillahally5018
@hillahally5018 Год назад
Mrembo njo Nikusaidiye kifedha
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
Baadhi ya wabongo wanapenda kuwaiga wamarekani eti kila wakati akiulizwa swali ni anaanza na kusema am am am 😏😏😏
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Wivuuuu😂😂😂😂😂pole sana,Meza panadol ulale
@khadijaomary5537
@khadijaomary5537 Год назад
Na ww iga bas naonaunateseka ndg yang
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
😂😂😂😂😂😂
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
@@khadijaomary5537 wewe Ndiyo utakuwa mtumwa daima kwa kuiga vya wenzako usiyopenda uhalisia wako na utamaduni wako, bogus kabisa.
@anthony_genge
@anthony_genge Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@happymarwa4517
@happymarwa4517 Год назад
Kuwa comfortable tu, unajishongondoa sana
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 Год назад
Nyieee Kwan kujishongondoa maana yake nn😂😂😂😂
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
😂😂Anaboa bhana
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd Год назад
Mmh lakin kama hakajiamin mweh
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
We unayejiamini mbona hatukujui??
@TanishaManiky-kp9xc
@TanishaManiky-kp9xc Год назад
jaman Ali kamwe je!
@muftimikuli3223
@muftimikuli3223 Год назад
Acha uzinifu
@alsam4881
@alsam4881 Год назад
Ameshazowea kuzini na Ndiyo maana alizaa Watoto wake wote kwa Zinaa, na bado anaendelea kuzini bila ya kuwa na hofu kwa Mungu, badala ya kufanya toba na kujirudi kwa Mungu wake, amesahau kuwa hapa duniani tunapita tu.
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Год назад
Allah amekupa itaji la moyo wako fungeni nfoa
@ssaa7495
@ssaa7495 Год назад
Uzee huu uwapa 😅😅😅🤣🤣🤣
@johariiddy2128
@johariiddy2128 Год назад
Mbona anaongea kama mkenya
@dora3340
@dora3340 Год назад
Dada natafuta pesa kinguvu sijui kweli kama hajatoa mkundu Safari hii 😂alafu Hamisa siyo mzuri kabisa ma editor ndiyo zinawasitiri😂
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 Год назад
Acha wivuu kkama ww umeshazoea kutoa mkundu ucfikili nawenzio wote kama mkundu dili katoe na ww upate anavyopata
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Mwambie na mama Yako atoe mkundu apate pesa
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
😂😂😂😂true ni filters halafu anafinya sauti why 🤔💔
@missqueen3769
@missqueen3769 Год назад
Mmmh wivu
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
@@missqueen3769 wivu gani mwenzangu Wacha ukweli usemwe🤣🤣
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Wewe umefuata pesa tu hauna lolote
@nassirramadhankara
@nassirramadhankara Год назад
Na we karate hiyo pesaa
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 Год назад
Wewe ambaye hufuatagi pesa umefika wapi labda!
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@dhinatsimbano8854 Wewe pia ni miongoni mwa hao wanaotumia papa kupata pesa
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
@@nassirramadhankara Wewe pia ni mama muuza tu na ndio maana unatetea
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj Год назад
Washamba tu hamna chochotea cha kufanya ili kuleta mabadiliko
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Ebu tuone ulichofanya mpaka sasa😂
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA Год назад
Unajikamua Sana kuongea 😂Hadi unaboaa...mmh makubwaa 😂unajichekesha chekeshaa kama kidemu cha mizingaa😂😂
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Год назад
Pole dada .
@iamjanemapozi2079
@iamjanemapozi2079 Год назад
Wa kawaida tu
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
Ila kakuzidi au sio😂😂
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Год назад
Huyu fedha ndio zinamsumbua, hatujasahau ya Rick Ross teyari umenasa chambo kingine!, yote hayo ni pesa ndo inakuperekesha,!😮Angalia dada fedha fedheha, kwa tamaa ulonayo waweza wabadilisha dini mpaka na watoto!
@FatmaaFatoom
@FatmaaFatoom Год назад
Kwanini shida ipo wapi punguza k....... M
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Hii Stori Kama R. Madevu 🤣😂🤣kikiiiii Bado Anampenda Simbaaa 😂🤣😂😏
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Sura za Filta hakuna leoooo😂🤣😂
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
Huyu ni Malaya tuu wa kawaida ni wakutumiwa tuu na wanaume na kuwachwa Hana jipya huyu 😂😂😂😂
@priscaalphonce1662
@priscaalphonce1662 Год назад
Acheni makasiriko jamani Mungu hapendi kama mtu anaonyesha bidii mpongeze ndio namna na Mungu na yeye atakupa. Sio kumtamkia mabaya mwenzio. Nilikuwa napita ti mikakutana na hii interview nikacheki ila kusoma comment ndio nikachoka. mnaandika vibaya mtakuta maisha yenu yamejaa maovu mpka shetani anawashangaa ila ni vile hayako public na pia ni Siri ya mioyo yenu. Jifunzeni kumtamkia watu baraka, madhambi yake acheni kwa Mungu ndio hakimu wa haki
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Tunatafuta pesa ya watoto 🤔Tuliyaona ya Bwana Madevu 🤣😂Humuumizi Simba Waumia weweeee😂🤣😏
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
Mbona Ricky rose alimtia na kumwacha😂😂😂huyu hana nyota ya kupendwa nyota yake ni ya kitumiwa tuu na wanaume nothing else💔💔💔💔🤣🤣🤣🤣so hana jipya
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Umekua mungu Sasa auu
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
@@nahlahassan-fd6le na wewe umekua shetani au??🤔🤔😏
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Год назад
so what? wewe umetiwa na kutia wangapi na ume achwa? kafe mbele nyani wewe
@baibe...rino..
@baibe...rino.. Год назад
@@sleeprelaxation8431 unajua nyani haoni mkundu wake so wewe ndio kafie mbali mshenzi sana haujui LA kusema fala wewe 😏😏
@ericacharles8710
@ericacharles8710 Год назад
Wewe nyau tu kama manyau mengine kupendwa wee unaona dili kwanza katafute pesa wee mwenyewe Fala tu huna hata mpenzi nyama wewe
@ThomasChristopher-k4o
@ThomasChristopher-k4o Год назад
Hamisa kiukweri nakupenda sana Tena sana mungu akuzidishiye kirakitu mm ni mboniyangu ❤❤❤
@rukiyahussein2738
@rukiyahussein2738 Год назад
❤❤❤❤
Далее
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
HAMISA MOBETTO ASHINDA BALOZI BORA AFRICA
2:07
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16