Тёмный

LIVE: Hussein Jumbe, Kisuma Pub, Jumamosi 05-Nov-2022, Wimbo wa 'Pombe Nimeikosea Heshima" 

Mlimani Park Orchestra SIKINDE NGOMA YA UKAE
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

LIVE: Hussein Jumbe alivyokinukisha ndani ya Kisuma Pub Jumamosi 05-Nov-2022 na wimbo wa 'Pombe Nimeikosea Heshima"

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@leonardsimkoko6656
@leonardsimkoko6656 Год назад
Pumzika kwa amani mwana temeke mwanamusic bora Tanzania hakika talented musical tutakukumbuka sana
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Год назад
Mziki wa dance kweli mashairi, uimbaji, upigaji vyote vinafanya burudani. Pongezi kwenu, nimependa vyombo vinasikika vizuri na mziki taratibuu.
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Год назад
Mungu akupumzishe rafiki yangu jumbeeeeeeeeeeee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@hassanissa5570
@hassanissa5570 Год назад
RIP, jumbe daima mziki wako utaishi
@mudathirifalifali6774
@mudathirifalifali6774 Год назад
Inalilah wainalilah rajion mungu akusameh makosa yko mbele yko nyumavyetu
@Kabeya410
@Kabeya410 Год назад
Daa jumbe maskini hapa alikua hata sauti inakwama kwama kumbe maskini safari ilikua njiani RIP jumbe utakukumbwa daima
@dullaone6757
@dullaone6757 Год назад
Hasanteni Sana kazi mzuri Sana namnakwenda na wakati was kisasa kabisa
@DANIELROBERTKINABO-rr3gy
@DANIELROBERTKINABO-rr3gy Год назад
Pumzika kwa amani mzee wetu
@leonardmanyanza5121
@leonardmanyanza5121 5 месяцев назад
Kila nikiangalia hii show nakuwa kwenye majonzi fundi wa muziki wa dance ilibaki ww tu wadau wa muziki walishindwa kutunza hiki kipaji na kukiendeleza saiv hatunacho Tena endelea kupumzika Kwa aman
@godlistenwangiled9045
@godlistenwangiled9045 Год назад
Tutakukumbuka mno Hussein Jumbe!Pumzika kwa amani mzee
@saimonjohnsumley9198
@saimonjohnsumley9198 Год назад
Nilimshauri aache bia,akaamia kwenye kvant,labda ndo imechukua maisha ya kipenzi nguli wa dansi Africa
@saimonjohnsumley9198
@saimonjohnsumley9198 Год назад
Pombe sio chai
@salambafrancis6840
@salambafrancis6840 Год назад
Husen jumbe mashine sna
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Год назад
Allha huma firahu warahamahu maskana fil janat
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 7 месяцев назад
Rest in peace jumbe
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
😭😭😭😭
@mosesmulashani5124
@mosesmulashani5124 Год назад
RIP Hussein Jumbe
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Год назад
Yaelekea wapenzi kindakindaki wa mziki wa dance wapo trle, shida wanamziki vipaji vimepotea!
@danymsengi4958
@danymsengi4958 Год назад
Kumbe aliizeeka hv
@MalaikaFurniture-qh9vd
@MalaikaFurniture-qh9vd 10 месяцев назад
Mwamba
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Baba hapa kama amezofi mno
@rojakichwa202
@rojakichwa202 Год назад
Watu hakaa kitako kwanza wakatulia ndio wakatunga nyimbo sio wasani wasaiv wanakurupuka tu studio
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 Год назад
😂😂😂
@jumuiyamadola6874
@jumuiyamadola6874 Год назад
Kisuma ipi??
@lutheramani8078
@lutheramani8078 Год назад
JUMBE NI HATARI SANAAAA! Anaonekana kama anaumwa au pengine amechoka lakini SAUTI ni ya MOTOOO tena ni ile ileeee: Wimbo huu naufahamu lakini alivyotokelezea leo na kuutendea haki basi ni HATARI sana nimeburudika!!!
@davidlukumay2226
@davidlukumay2226 Год назад
😢😢😢😢
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Nikweli amezofu huyu hasani jembe
Далее
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 13 млн
Hussein jumbe & Talent band Pombe
7:32
Просмотров 59 тыс.
NIMEBADILIKA NINI KARAMA LEGESU LIVE
10:51
Просмотров 938
Mlimani Park on stage
11:09
Просмотров 137 тыс.