Тёмный

LIVE: Mdahalo Juu ya Utendaji wa Mahakama na Matamko ya Kisiasa 

WAKILI TV
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Hakuna haki mahakamani na mawakili wamekuwa madalali
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 3 месяца назад
Hongera sana ndugu madereka kwa kujitowa kwa wengine Allah awe na aipe afya mzuli familia yako ili nawe imara kwa kusimamia khaki
@revjoshualugendo8344
@revjoshualugendo8344 3 месяца назад
Mungu akubariki Sana. Nimependa msimamo wako wa kusimama kweli na haki, watu wa Mungu wapate haki bila kuonewa.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 3 месяца назад
Madeleka Mwenyenzi Mungu akupe maisha marefu na yenye Baraka uendelee kuwasaidia watanzania. Ninapinga mbinu zote ovu zinazopangwa kumdhuru mtu huyu. Wenye kutengeneza mbinu hizi namwomba Mungu apite nao, wasiendelee kuishi!!!
@georgemahenge
@georgemahenge 3 месяца назад
Madereka.mungu akurinde.huwa tunaona juhudi zako.kira Kona.
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 3 месяца назад
Kweli wewe ndugu Madeleka ni shujaa na mtetezi wa wanyonge; hongera sana: Mungu akubariki.
@Paradisomwagala
@Paradisomwagala 3 месяца назад
Nimependa sana mdahalohuu. Natamani sana kuijua sheria
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 3 месяца назад
Madeleka Mungu akupe maisha marefu na akulinde
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 3 месяца назад
Safi sana mawakili.Ila TLS wanatuangusha.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 3 месяца назад
Ni mbaya sana mawakili wengine wamekuwa machawa wa ccm ovyo sana
@MichaelKibona-p9m
@MichaelKibona-p9m 2 месяца назад
Mawakili wengi wamekuwa machawa ,ndio rais wa mawakili ,asilimia 70 ,utakuta chawa, wa watawala,❤❤❤❤
@nereisyara5056
@nereisyara5056 3 месяца назад
Please msikilize Madeleka vizuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
✌️👊👍.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
Watu wa mahakama hamta nwona Mungu
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 2 месяца назад
Hio yakuvuliwa nguo nimekutana nayoo mkuu nilitaka kuzimia duu mungu alinisaidia unapiga kichuraa ukiwa mtupuuuu mita70au mia watu wanakutizamaa matesoo matupuu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Kwa kweli sasa tunaona juhudi za chama cha mawakili wasomi TLS,tunafarijika sana tunapofuatilia mabaraza yenu haya katika midahalo ya kukosoana wenyewe,na kuifunua mfumo wa utawala unaopindisha sheria kwa kukanyaga katiba katika maamuzi yao ya kudhulumu wananchi kwa faida yao binafsi.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Wakili msomi Madeleka usikate tamaa wakati mapambazuko yamekaribia pambania haki Mungu hataacha kukulipa juhudi zako,na atakulinda popote kwa mkono wake wenye nguvu kuliko hawa wanaovuta pumzi yake ya bure kutumia nguvu kuwaumiza wengi wala hawajui ni lini BWANA atatwaa uhai wao na kuacha vyote wanavyojikusanyia!
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 3 месяца назад
Namkubali mno huyu Mwamba Madeleka
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa 3 месяца назад
Watanzania kwa ujumla wao kwenye sanduku la kura mwakani ndio watakao ondoa mfumo huu mbovu wa katiba ya 1977 Mungu yupo pamoja na wapenda haki, watanzania lazima watafanikiwa kupata haki zao.
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
Kweli hiyo Mahakama ipo nimeshawahi kwenda kumlipia mtu faini ya uzembe na uzururaji .Kitu ambacho alikutwa barabarani akienda Bilcanas usiku saa nne .Dar kuna mambo ambayo huwezi kuamini yanafanywa kwa uonevu tu .
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 месяца назад
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 3 месяца назад
Tatizo ni ulevi tu , ukiwa madarakani unajizima data kwamba hautakuwa madarakani milele, lakini pia siyo ukoo wenu nyoote mpo madarakani Mnachokipanda mtavuna tu hata kupitia wajukuu zenu , WATAUMIZWA NA WAKANDAMIZAJI WENZENU NA MTAPIGA KELELE
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 месяца назад
Ndiyo,ni deal ya mfumo wa katiba hii ya 1977 inaendelezwa na aliyeingia sasa! Heko wakili msomi Fatma...
@bmdele5816
@bmdele5816 3 месяца назад
Hongereni sana Mawakili na mawakala wa sheria, Kwa sisi wapenda haki na mifumo tunafurahia sana mijadala hii. Tunamuunga mkono Wakili Mwabuksi, Haki haiombwi, haki inapiganiwa🫡
@EdgarLuhimbo
@EdgarLuhimbo 3 месяца назад
Fatuma fatuma punguza kiingereza dada daaaa hatukuelewi
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 3 месяца назад
TLS ni tawi la ccm
@leokamil6284
@leokamil6284 3 месяца назад
Tatizo ni mfumo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 месяца назад
Ufumbuzi wa kimkakati ni KATIBA. Hii iliyopo ndiyo mkoroganyo uliopo!
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 3 месяца назад
Ccm inaharibu nchi na watanganyika halafu wanaogopwa ujinga mtupu ccm kitu gani ktk nchi hii?
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 3 месяца назад
Kwani Kuna Mahakama Tanzania? Mahakama , Binge,. Serikali si ni MTU MMOJA TU? Katina, Katina, Katiba!!
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 3 месяца назад
Tls ni MAJI TAKA IMEJAA MACHAWA TUPU, ISIPOKUWA MADELEKA, FATMA, LISSU NA MWABUKUSI PEKEE!
@EdgarLuhimbo
@EdgarLuhimbo 3 месяца назад
Fatima punguza kingereza wengi hatukusoma hatukuelewi mara nyingi inatumia sana kiingereza unaboa
@esuthoby7865
@esuthoby7865 3 месяца назад
Hata nyie mawakili mnayomatatizo.mbona maamuzi ya kesi yanatolewa kwa lugha ya kizungu? Hamuwatendei haki watanzania.hamtaki kuandika sheria kwa Kiswahili, Kweli mnaruhusu mahakama iwahukumu watanzania kwa lugha wasioielewa,mna jambo lenu ninyi mawakili ambayo sitaji. Hamjali watanzania dhambi inawarudia.Hivyo tesekeni mpaka mwisho.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 3 месяца назад
Tatizo la Shangazi huwa anapenda sana kuogea kizungu, sasa si watu wote wanaojua kizungu. Hebu naomba uwasaidie watu hawa manake ni wengi wanaofuatilia midahalo kama hii.
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 3 месяца назад
Kwanini kuna edit za kijinga kutokutaka watu wasikie kila kinachochagiwa???
Далее
Best of MCA Tricky
1:01:11
Просмотров 9 млн