Safi sana she is always happy smiling kpe it up.usisikikize watu.wasikurudishe nyuma. Endelea waonyeshe your talent. Akili na busara hekma ndio maana wanachoyo na wewe wanaokusema kwa ubaya.
I can watch ur interviews over n over coz u r smart n intelligent, maswali unayoulizwa na namna unavojibu tena kwa haraka proves it, blessings HAMISA ...... Makopa kama yote 😍😍😍😍😍😍😍❤❤❤❤❤❤❤
Ila hamisa bhn ni mwanamke na nusu ukwel na usemwe ....She's a real queen she carries herself hana drama za kipumbavu....Yaan had raha kuanzia ameanza maisha yake had hapo alipo hajabebwa na mtu na kwa yote anayopitia cha kumshauri asiogope she's very strong ndo maana Mungu anampa majaribu haya anaamini anaweza kuyashinda💪💪 Keep going babe We a proud of U😍 baada ya kumsikiliza kwenye hii interview mimi kama mwanamke nimeanza kukuelewa upya zaid ya nilivyokuwa nikukuelewa mwanzo I love u Madam Hero
Hamisa nilivyomsikiliza ninaamini bado anampenda sana Diamond plutnum, so Dai amfikilie huyu mtto halafu ni mzuri kwelikweli dah lakini BIG wew ngoja tukuache tu ktk mambo ya mahusiano ss tuendelee kukusapoti ktk mziki BIG 🦁.
If Diamond is smart he would snag this beauty...., he would wife her right away. She is a queen, just royalty. She is a true definition of a smart lady🇰🇪🇰🇪🤗🤗🤗🤗
Hamisa anajuwa ku vaa sijaona muimbaji Tanzania ana vaa vizuri kama mobetto tena yuko poa sana hasara kwa diamond mwanamke mzuri intelligence hiyo ni zhahab utajuta simba
Kwa Leo umeongea point sana hamisa, ila ukumbuke hiyo family hiyo mwanao anakuwa kama mtoto wa house girl maana ulikuwa mchepuko kipindi hicho omba Mungu siku yataisha tu ila wewe ndio wakupigania maisha ya mwanao maana hata diamond kalelewa na mama yake,
Yani hamisa mm nakupenda sn kwakweli.Afu m nilikua naamini MTT hy ni wa chibu sio rahisi umzingizie mtt baba asie usika sema watu wamitandao Wanakuag wanapenda kelele tu
Anajisifu sana,oooh mimi na roho nzuri,majizo anampenda sana binti yake sijawahi ona ,mi naongea sana na Diamond, mimi mpole mkimya,mimi mtoto peke yangu kwetu,mimi mimi mimi mimi,yan kama Trump
Really which thing makes You to know she is bright upstairs being a sidechick to humanize another woman or being confused in publick she was a side chick duuuh woman
@@gracealvins2141 no wonder may ur dating a man who lives with other woman thus why u clap for dis an if its OK for u ..ur also Mister ss darling ...marriage law ya Tz zari was A wife dear
Hamisa is simply nice, This means Tanasha our beloved girl snitched on dating So called Diamond, I mean every girl would go mad if there friend or someone close to them suddenly dates their x n even gets a baby wow hehe ...Anyways forgiveness is what matters . Actually Hamisa did same thing to Zari by getting with diamond so she has not reason to be mad, it's what goes around comes around ...
Mahusiano ya tanasha na diamond did not bother kwa sababu alikuwa mtu mzuri. Ina maana mahusiano mengine yamewahi kumbother. This woman....alafu washenzi wengine wanasapot.
Sasa ni kipi amesema kibaya alafu kama angekua mbaya angekua anapeana mtoto aende kuona baba tanasha akiwa mbona mnapenda kuchukua kitu kidogo kukiweka too much positivity
That story of mimba tatu kutoka u would have kept it as ur private matter it has spoiled ur interview because from here most people are going to stick there 😂😂😂😂
Wanasema mtoto wake Mama sio bibi bhna ,kwaiyo usililie kwamba mtoto wako hapostiwi cjuwu na bibi ake na familia that doesnt cost a thing , ww endelea na maisha ako usililie attention ya mtu bhna
Siku zote ukila starehe mafichoni lazima maumivu yaje yakupate machoni mwa watu,no matter how sad and painfull it is but that is the truth..huwezi kudandia tren kwa mbele halafu utegemee kuwa salama.tatizo huwa tunadhani yule aliyenae si bora Ila mimi ndiyo nafaa zaidi,kumbe tamaa kwa mwanaume ni kitu cha kawaida na akija kukutongoza ataongea uongo wote ili akupate.mama dangote mwacheni hao wote ni wajukuu zake anawapokea na kuwaongeleaje hiyo so kazi yetu.kuna familia zetu ngapi hata watoto wanapendwa kwa mafungu sembuse wajuukuu??
@@aictz2138 hamna cha fashion wala nini kwa hiyo role model wako ni Zuchu may be? Nafuatilia sn mitindo lkn HAWAPENDEZI NA HII MIBEGA YAO na mara nyingi ukiamua kuendana na fashion flan hakikisha una nguo nzur na za maana