Hizo nyumba watakaouziwa wajiandae kuja kunyang'anywa maana wwngi wao hawatakua wazanzibari na sheria hairuhusu. Wazanzibari wengi uwezo wakununua nyumba hizo hawana lengo maalum la kujaza wageni Zanzibar
Nyumba mshauziana zote mimi nimepiga simu nimeambiwa zimeshauzwa wabunge na mawaziri ndio wameuziwa na wafanya biashara kama tuna bisha tufanye uhakika