Loui - Mwaisa (freestyle)
Mkataa kwao siku zote hawa mtumwa, Tanzania tumebarikiwa kua na miji mizuri na yenye mandhari za kuvutia, Ikiwemo MBEYA (Songwe)..
Mimi kama mzawa na kijana kutoka mbeya, najivunia kutoa wimbo huu kwaajili ya Watafutaji wote wa kila kona ya nchi.
Wimbo huu unaitwa (MWAISA), ukimaanisha kijana mtafutaji.
#Loui, #tanzania #hiphop #afrobeats #afropop
Diamond Platnumz ft Zuchu - Mtasubiri (Lyric Video)
9 мар 2022