Тёмный

LOUI ATUMBUA UKWELI KILICHOFANYA VESI YAKE KUFUTWA Kwenye LONELY ya MARIOO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

LOUI ATUMBUA UKWELI KILICHOFANYA VESI YAKE KUFUTWA Kwenye LONELY ya MARIOO
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper Год назад
Loui n zaidi ya Marioo na sio Marioo ni zaidi ya singers wote hapa TZ NAMUONA MBALI SANA MUCH RESPECT MWAISA MTU MBAD LUIIIIIII 🔥🔥🔥
@kimodomsafitz
@kimodomsafitz Год назад
Pamoja loui unajua sana
@philemonambilikile
@philemonambilikile Год назад
Pole Sana kijana Mario juuu
@astroworld2021
@astroworld2021 Год назад
Mwamba kanyook sana big up.
@N69001
@N69001 Год назад
Ingekua kali sana...
@MugishaChampion-rt1st
@MugishaChampion-rt1st Год назад
Ya loui ndo ilikuwa kaliii
@officialsamireal2216
@officialsamireal2216 Год назад
Still bado ngoma kali na ngoma zote mbili tunazo na tumeujuwa ukweli🎶🎶 Loui👊
@fizzozimba
@fizzozimba Год назад
Still Bado Asante🤣
@festovenas502
@festovenas502 Год назад
@@fizzozimba 😂😂😂😂
@officialsamireal2216
@officialsamireal2216 Год назад
@@fizzozimba ok sawa😂😂
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
Jamaa namkubari san huyu❤
@mruntouchable-ol3hh
@mruntouchable-ol3hh Год назад
Ngoma ilikuwa kali walivyopita wote ila verse ya loui ilivyofutwa ngoma imepoteza ladha
@chrisviva81
@chrisviva81 Год назад
loui sio msani kawaida namkubali Sana ✊
@Raytonsun680
@Raytonsun680 Год назад
Vile hawa TZ wanajibu maswali ,,kuwanasa uwezi. Itakua wanaenda shule ya kujibu maswali. Utauliza mtu swali and they alway say ''aah kwanza tunamshkuru Mungu'' Afu ikiwa ni beef utaskia mh sina noma naye
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Год назад
😂😂😂😂
@masanjamoses493
@masanjamoses493 Год назад
That's the meaning of bongo
@claudyjrjunior8610
@claudyjrjunior8610 Год назад
😂😂
@Swahili14
@Swahili14 Год назад
We're bongo people y'all 🤓 🧠
@kelvindrt2477
@kelvindrt2477 Год назад
mtoto msenge ety ametumiwa umeme wake
@kimodomsafitz
@kimodomsafitz Год назад
💥💥💥
@itNeza
@itNeza Год назад
Eti leo Marioo Wakuita watu Wadogo zake 😂😂😂😂
@aranikiss6841
@aranikiss6841 Год назад
Mwenzangu ongea wew 😁
@zafarmohamedy3013
@zafarmohamedy3013 Год назад
Huyu bwana sauti mbaya sawa sawa kutolewa
@sprmusician
@sprmusician Год назад
Nakubal
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper Год назад
Nyimbo au wimbo????
@jukwaalatech
@jukwaalatech Год назад
Loui ndo nani kwanza mbon anajulikan kupitia Mario 😂😂
@mathiasshayo6348
@mathiasshayo6348 Год назад
Andika Henessy by loui au ndo vile unajizima data😁
@mruntouchable-ol3hh
@mruntouchable-ol3hh Год назад
We ndo humjui kwa sabab hujui mziki kw iyo unaishia2 kuwajua kina mond kiba na harmo kw sbab nd unawaskia kila cku
@yusuphsanga7194
@yusuphsanga7194 Год назад
Loui anajua mziki kuliko hata Marioo ana balaa sna embu cheki ngoma zake
@jukwaalatech
@jukwaalatech Год назад
@@mruntouchable-ol3hh mi Siwezi kupotez mda kumuangalia loui 😂😂 mi naangalia wasanii wakubwa duniani
@masanjamoses493
@masanjamoses493 Год назад
Yaani ushamtaja ndo unauliza ni nani
@stephenemganga3604
@stephenemganga3604 Год назад
Watngzaj msanii anafunguka wanamkatisha wanaleta swali 🤣
@novanyuki730
@novanyuki730 Год назад
Yan hapo hao watangazaj lengo lao ni loui aongee ionekane marioo anamakosa Ila kawakata main kinoma
@othmanmusilm
@othmanmusilm Год назад
​@@novanyuki730 huyu mnyamwezi sana loui
@leadflavour_tz
@leadflavour_tz Год назад
Yaani siku akihojiwa na #SnS #SkyWalker , #SalamaNa au #Millard #Ayo ndiyo atafunguka ila siyo kwa hao wachonganishi wengine..
@elishamgaya6305
@elishamgaya6305 Год назад
Nd wagushi vyeti hao😂😂
@othmanmusilm
@othmanmusilm Год назад
Tatizo hapo kwenye interview zenu hembu muwe mnapeana nafasi ya kumuuliza maswali msanii na siyo hivi mnafanya
@PiaKotini-dj1zt
@PiaKotini-dj1zt Год назад
Mnataka kumuharibu marioo hamuezi
@jumahassan273
@jumahassan273 Год назад
Ila watu wakiitwa wasafi kuojiwa unalazimishwa kuongea ubaya mambo ya watu wanaoshirikiana nao
@mgishapapa5649
@mgishapapa5649 Год назад
Nani mwizi xaxa apo 😂😂
@masanjamoses493
@masanjamoses493 Год назад
Hakuna mwizi BIASHARA ilienda kombo kisa mawinga wanaojiita mameneja
@drbenonline9338
@drbenonline9338 Год назад
Yuko label gani huyu
@Vinei
@Vinei Год назад
Legacy
@alphadreammedia
@alphadreammedia Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-wG0_jthxm5M.html Timbwiri la Brazil hili hap
@luciaaleixo-rx2qq
@luciaaleixo-rx2qq Год назад
Kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 870 тыс.
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
Слушали бы такое на повторе?
01:00
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25