Тёмный
No video :(

LULU afungua DUKA lake la Kifahari, afunguka makubwa kuhusu biashara hii mpya, Tazama alivyopendeza 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 79 тыс.
50% 1

#Lulu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 года назад
Jiachie mtoto mzuri tumbo lisikupe hofu wenzio tuna vitambi huku tumevipakata🤣🤣hongera sana mamitoo😘😘😘
@misscoast3174
@misscoast3174 2 года назад
Vitambi km vyoteeeee🤣
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
@@misscoast3174 mbavu zangu mie akipona tu litaisha atalipunguza
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 года назад
😅😅😅😅 ajiachie jamani umama aukubali tuu
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Duh hilo tumbo
@misscoast3174
@misscoast3174 2 года назад
@@annamwakibinga527 ajabu???
@scholaredwardo6383
@scholaredwardo6383 2 года назад
Hongera sana lulu hata usifiche tumbo lako yaan uko vizur napia waitwa mama jivunie hilo mengine yatakuwa sawa mbele yasafar
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 года назад
Honger Sana Lulu mungu akutangulie haunaga fek maisha
@laulachami6394
@laulachami6394 2 года назад
wapatikan wap mamy
@munirashee8932
@munirashee8932 2 года назад
Hasidi hana sababu. Anaongea kuhusu biashara ya nguo sio biashara ya mwili. Endaneni na point. Congratulation Lulu mungu akuogoze na azidi kukufungulia milango
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
NPendaga sana interview za lulu.kadogo lkn akili kubwa.jiachie love kuitwa mama kuna raha yke.lulu najuaga KUKUPENDA TU UR VERY VERY SMART💟@kipndi umefungwa nilkua nakuwazia sana silali
@margarethenry1906
@margarethenry1906 2 года назад
Congratulations lulu mama G 💖 very humble lady
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 года назад
Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, presentation yake, nguo na duka in general ndivyo vinapaswa kuwa topic of discussion lakini wako busy na tumbo tu wakati ametoka kujifungua na tumbo haipaswi kulishangaa. Pathetic.
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
Umesema Kweli,Tumbo lake sio lililomleta pale, Wabongo tuna tabia ya kuvunja wenzetu mioyo, Hii Ni roho mbaya,,,,
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 2 года назад
@@rahmarajab3688 kabisa dear
@mgenisalim6947
@mgenisalim6947 2 года назад
Tena kajifungua kwa operation wanafaa watu waelewe
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 2 года назад
Kwanza hana tumbo kubwa, wanaomsema unakuta wanaviriba tumbo na vigimbi juu😂😂😂
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
@@beatricepallangyo2821 Wabongo bhana,wakitaka lao,hata rangi watabadili nyeupe wataita nyeusi,kijani wataita bluu, Hao ndo Wabongo.,,,,,
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 года назад
Tumbo usijali ww ni mzazi pia umejifungu na Oparation sio tatizo hata mtu akilikna anaelewa..
@vennyrichard6700
@vennyrichard6700 2 года назад
Na anaon aibu jm
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 года назад
Alikuwa anatangaza mikanda ya bana tumbo hana tumbo sasa wewe iga msanii umie maana nina oparetion tumepishana kidogo na Lulu nikawa nashangaa anavaaje huo mkanda oparetion inauma
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
@@julianaharrison4356 kwakwer mm ningevaa . Gaun. Sio nakubana lakidizain tu
@arleneakimana9681
@arleneakimana9681 2 года назад
Kabis unajua bakikukata huwezi kubana tuno
@ashmatvanga6246
@ashmatvanga6246 2 года назад
@@vennyrichard6700 t
@leilahmohamed2225
@leilahmohamed2225 2 года назад
Waaaaaaaoh uzuri wa sura hadi kazi hongera endelea kupambana tu dear unatuwakilisha vzr big up.....
@susannmoses4773
@susannmoses4773 2 года назад
Dada ✨✨✨✨✨🔥🔥🔥 I love that outfit I must get one👌💯💯💯💖 Congratulations n may God always go before you 🙏🏿
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 года назад
Hongera lulu kwa mafanikio mungu azidi kukuongoza
@ab3ab313
@ab3ab313 2 года назад
Mungu akujarie kwakirajabo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Sijui ni nguo au umepoteza confidence your not yourself as we are used to seeing you mama G.
@millymack1370
@millymack1370 2 года назад
Anajaribu sanaaa kuficha potty...but tuna elewa analea so potty ni sawa for now...she looks great for someone who has just had a baby.
@hildascorner2327
@hildascorner2327 2 года назад
Anaficha kitambi maskini
@wigsbyrhoda7334
@wigsbyrhoda7334 2 года назад
Tumbo la uzazi ajiamini
@farish2899
@farish2899 2 года назад
You are a mum your stomach is ok feel confident and free yourself.
@millymack1370
@millymack1370 2 года назад
Yeah she's busy hiding it with the purse..and she's not confident but she just had a baby n we all understand it..the tummy will go away with time..but all in all she looks great.
@joleenmasha
@joleenmasha 2 года назад
Yes anaziba tumbo na kipochi saa yote amepata mtoto tu juzi after miezi ya kuhesabu utakuwa sawa baby gal
@millymack1370
@millymack1370 2 года назад
@@joleenmasha amependeza sana kwa mtu aliye zaa hivi juzi tu...utumbo ni kitu cha kawaida sanaa kwa mama aliyetoka kuzaa...angeonyesha tu huo utumbo..mbona tungeeleea tu...
@joleenmasha
@joleenmasha 2 года назад
@@millymack1370 yes mimi mwenyewe ni mama na watoto wawili nimepitia hapo its normal after miezi mitano ndiyo nilirudi kawaida nakusema kweli amependeza
@zamzamkabogota7510
@zamzamkabogota7510 2 года назад
Yah its real oky, feel free bby girl @ lulu
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 2 года назад
I love you Lulu ( Elizabeth). Katika mastaa wa Bongo wewe ni wa Kipekee sana. Nakuombea sana mdogo wangu ufike mbali!!!!
@eppiemodest
@eppiemodest 2 года назад
Hongera mtani wangu. Wewe ni wa pekee sana. Hujivuni kama wengine. Una mwonekano mzuri kama binti wa miaka 16. Uko atractive sana. Hata biashaea yako ni nzuri. Mama G. (Mwanzo). Jina la mwanao ni la Kibiblia zaidi. Mungu amkuze aje kuwa humble kama wewe. Nakutakia mema kwenye biashara yako.
@susannmoses4773
@susannmoses4773 2 года назад
Je hio ni kitenge👌🔥🔥🔥✨🔥🔥💯au material gani Da Lulu.. Naomba kujua
@zainabuyohanabishee2886
@zainabuyohanabishee2886 2 года назад
Lipo dukani kwake
@vickywilfred2222
@vickywilfred2222 2 года назад
Nakupendaga bure mdogo wangu,una hekima sana💖💖💖
@magrethndambo7684
@magrethndambo7684 2 года назад
Mungu aisimamie biashara yako
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
Congratulations but unaficha saana kitambiii mpka we can noticed😂😂😂🚶‍♀️🚶‍♀️
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 2 года назад
Yaani na yuko sawa.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Dah hongera sn lulu umefanya kitu kizur mno❤❤👌👌
@angelmbuya123
@angelmbuya123 2 года назад
Hongera sana dia ..Mungu azidi kukupigania
@amidazubeda1320
@amidazubeda1320 2 года назад
Kwanini uvae nguo ukose confidence kama tumbo bado kurudi mbona Nguo zakuficha kitambi nyingi tu why uhangaike All the time kurificha na mabegi👜🤷‍♀️
@demycratia2567
@demycratia2567 2 года назад
EXACTLY
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Ajabu yenyewe
@azizamtoi3468
@azizamtoi3468 2 года назад
Yaan wew umeongea point sana na mim nilikuwa nawaz ivyo ivyo.ata sis wengin uko tunawatot wachanga.tunavaa nguo za kumwaga na tunapendez tu.
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 2 года назад
Acheni wivu, hapa anaongelea business hayo ya tumbo yanatoka wapi????
@roseliku531
@roseliku531 2 года назад
Hongera sana Elizaberti
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 2 года назад
Hongera mamy, wewe ndo mwanamke bora !!! 🙌🙌❤️
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec Год назад
Nakupenda sanaaa jamaniiii dear wangu
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 года назад
Hayupo comfortable sababu y tumbo...usijali bana lulu kuwa na amani kawaida sana kwa mzazi mchanga kama wewe jiachie tu...by the way hongera sana
@zou7470
@zou7470 2 года назад
Ongera lulu mwanamke kujituma 💪💪
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 года назад
Masha Allah honger san lulu ❤️❤️❤️
@marymonjemghalu9362
@marymonjemghalu9362 2 года назад
Mbona kama yuwaficha tumbo
@lucymtuka6393
@lucymtuka6393 2 года назад
Waoooo mama g ❤️
@esterdoriye4780
@esterdoriye4780 2 года назад
Luku my kuwa free tumbo ni kawaida kwa mwanamke aliyejifungua ,itafika time litaisha
@aoman5214
@aoman5214 2 года назад
Bora ulivyo sema sio lako Peke ako ni kuwa mmechanga na mwingine hapo mama kanumba atajua kuwa sio pesa yako tuu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
😁😁😁 kwnn mama kanumba na sy ww
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 2 года назад
🤣🤣🤣 duuu haya bhana
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 года назад
Muache Mama wa watu apumzike,ivi tumia ubongo wako kufikiria,hata kwa sekunde! "Ingekuwa ni mama yangu" ningejisikiaje? Sijui hukupelekwa shule ukawa na ufikirivu mzuri!
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
Mama kanumba anahaki sana .
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@joharishabani2893 haki ipi sasa
@janeelias4779
@janeelias4779 2 года назад
Aliyegundua Lulu anaficha tumbo bado kubwa gonga like
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
😁😁
@emilian7781
@emilian7781 2 года назад
Onyesha lako dogo🚮
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 года назад
Mm pia nimemuona anaziba tumbo
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 2 года назад
kweli
@amour5535
@amour5535 2 года назад
Kitambi
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 года назад
Hawa wasanii wasitudanganye na mionekano yao lulu kitumbo kikubwa wakati Instagram hana tumbo tena sio yeye wasanii tele wanatudanganya
@jeannetambwe6962
@jeannetambwe6962 2 года назад
Na kwambia nimeshagaa jmn duh 🙄 Mbona Instagram tumbo aionekani lkn apo duh yani kama naona zile nipicha zazamani kbs
@gracengunga348
@gracengunga348 2 года назад
Una hekima sana afu ni mrembo sanaaaa nakukubali miaka milioni
@josephineezra6718
@josephineezra6718 2 года назад
Yaan nakupenda sana lulu unatuwakilisha watu wa umri wako
@marthamkilema4924
@marthamkilema4924 2 года назад
Congrats keep it up! Mrembo
@florameza9529
@florameza9529 2 года назад
Lulu hongera una akili saana umenifurahisha unaona mbali huna maisha ya kuigiza
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
Love you Lulu
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 года назад
Congratulations mama j Mungu akuzidishiye
@Chingagirl123
@Chingagirl123 2 года назад
Congratulation sana..but wacha kificha tumbo tunaelewa mtu akizaa mwili hupanuka.na pia huna tumbo kubwa la kutisha.jiachie mamaa
@happycarloss6726
@happycarloss6726 2 года назад
Wewe Dogo una akili sanaa kuanzia unavyojieleza unavyojibu uko smart
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
Waooo hongera sana lulu ❤️👌
@josephineezra6718
@josephineezra6718 2 года назад
Jaman naomba ajira best
@shamilauledi4465
@shamilauledi4465 2 года назад
Hongera sana lulu mungu akusimamie
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 года назад
Nakuona lulu unavyo agaika kulificha tumbo😜
@janetshingira1165
@janetshingira1165 2 года назад
Unajaribu kuficha tumbo na nikawaida kwa mzazi
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 года назад
Hongera Mama G❤️❤️
@halimaleila2323
@halimaleila2323 2 года назад
Ongera. Mm. G
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 года назад
Lulu barikiwa sana
@tumainimapoma5329
@tumainimapoma5329 2 года назад
Una hekima sana lulu
@rosetasuleiman6799
@rosetasuleiman6799 2 года назад
Lulu wewe ni mkweli, big up
@gracenizigama8728
@gracenizigama8728 2 года назад
Wow ❤️❤️❤️❤️
@esterdoriye4780
@esterdoriye4780 2 года назад
Dada Lulu naomba namba zako unipe idea nzur ninampango wa kufungua duka la nguo
@heriethchristiankoni1441
@heriethchristiankoni1441 2 года назад
Hongera sana Lulu
@mwaibolaiman2763
@mwaibolaiman2763 2 года назад
Duka lipo maeneo gani
@swaumukadidi7124
@swaumukadidi7124 2 года назад
Hongera mamy
@venerandakalupale7703
@venerandakalupale7703 2 года назад
Hongera sana
@jointjoint4507
@jointjoint4507 2 года назад
Huyu anajielewa sana nampenda
@elizabethkesi6043
@elizabethkesi6043 2 года назад
Nice talk
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 2 года назад
Pole binti hukujifunz maarifa so, usitegemee duka hilo kudumu. Dah! Naona uchungu
@gracenizigama8728
@gracenizigama8728 2 года назад
Congratulations 🎉
@smilejojo6824
@smilejojo6824 2 года назад
Hongera lulu ❤️❤️❤️
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 года назад
Hongera my wng nakupenda ww💕💕💕
@marinamooh4055
@marinamooh4055 2 года назад
Hongera Lulu
@pendopendo7427
@pendopendo7427 2 года назад
Agalien biashar yk jaman tumbo lake linawahusu na nin khaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@demycratia2567
@demycratia2567 2 года назад
Tumeona tumbo kama party ya biashara vile vile maana AME concentrate nalo sana
@sharontabitha8861
@sharontabitha8861 2 года назад
Nampenda lulu ❤️❤️❤️❤️
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 2 года назад
Kweli Liz kapendeza 💕💕💕🙌🏾
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
Lulu usifiche tumbo my eee ni mama hata likizid hapo wal usiogombe ila duhhh tumbo lako hapan kwan ukuvaa Mknda wakati ulikuwa watangaza .
@fatmaali3554
@fatmaali3554 2 года назад
Hawez kuvaa mkanda kajifungua kwa upereshen na ukizaa kwa upereshen ndo maana tumbo linakuwa kubwa
@iktharsalum1623
@iktharsalum1623 2 года назад
@@fatmaali3554 mbna anavaa na anaitangaza mikanda kuhusu tumbo na anasema kapunguza asilimia kubwa
@fatmaali3554
@fatmaali3554 2 года назад
@@iktharsalum1623 pengine anafanya biashara tu na anavaa kwa mda mfupi mpaka ipite miez sita ndo unaruhusiwa kuvaa tumbo linakaa sawa ila sijui uko tz maana uku kwetu huruhusiwi
@emilianajoshua2391
@emilianajoshua2391 2 года назад
Nice
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Onger Sana Mam G 🌹😍😍😍
@teresiamatius2492
@teresiamatius2492 2 года назад
Hapo ana mkanda tumboni
@anitajumwa3192
@anitajumwa3192 2 года назад
Beautiful gal
@queenmilan2024
@queenmilan2024 2 года назад
Mbona unaficha tumbo?
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
Unaficha sana tumbo jamani
@vennyrichard6700
@vennyrichard6700 2 года назад
Anaon aibu jmn
@reeehjonhs8692
@reeehjonhs8692 2 года назад
Kumbe na wew umeona km mom yn hajiamin kbsa na hlo tumbo nawaza kwa kpnd him ambacho hdo mzaz mbich angekuwa anavaa magaun mapana
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
@@reeehjonhs8692 kabisaa dear
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
@@vennyrichard6700 kweli
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 2 года назад
Anajitaidi kuficha kitambii
@shakiralasway8821
@shakiralasway8821 2 года назад
Mambo yanahusiana nanguo lakin kunamijitu iliyokosa afya yaakili yamekomalia kuliona tumbo tu...
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 2 года назад
Mkizaa muwe mnafunga matumbo na khanga jmni sio belt ona sasa unavo kosa uhuru
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 года назад
Hongera mwaya
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 года назад
🌹❤️❤️
@dinahmathamani3976
@dinahmathamani3976 2 года назад
Duka lipo wapi?nataka kuja leo kupata nguo
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 года назад
Lulu naomba no.yako.niko na shida nawe.pse.
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 2 года назад
❤❤❤❤❤
@lulually5209
@lulually5209 2 года назад
Mm nakupenda ni mkweli na hufake life
@agnessmsacky6657
@agnessmsacky6657 2 года назад
Jitahidi usilibane saana tumbo lako kwasababu umefanyiwa operesheni bana polepole litakaa vizuri utafurahiya mwenyewe
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 года назад
LULU SHEPUNOMA MUOGEZESI BONAHAJAOGEZAIKOSAWA MAJIZO NALuLu good
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 2 года назад
Feel free na tumbo dia..Umependeza sana
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Ni vile tu anyonyesha angekuw hanyonyeshi tungesema ana mimba walah kitumbo ndi ndi
@agriparose3942
@agriparose3942 2 года назад
Why unaficha tumbo mama
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 года назад
Mbona tumbo linafichwa Lulu jiachie tuu ww umezaa tena kwa upasuaji tumbo litarudi taratibu naona unapata shida
@gloriamkude7172
@gloriamkude7172 2 года назад
Haaas
@stellamwakatulile3202
@stellamwakatulile3202 2 года назад
Nakupenda wewe ni mkweli
@gracekaniki789
@gracekaniki789 2 года назад
Unaficha kitambi cha uzazi jiachie tu kila mtu anajua nini maana ya uzazi mdg wangu
@zalhaabdala7387
@zalhaabdala7387 2 года назад
Nataka kujaku nunuani wapi
@wemafatma5210
@wemafatma5210 2 года назад
Tumbu wallcha kwanini boratu nikawaida litakwisha polepole
@fotunatamakusi7073
@fotunatamakusi7073 2 года назад
Lulu anaficha kitambi na mkoba wake😂😂😂
@childofgod4412
@childofgod4412 2 года назад
Mbona maneno mengi huonyeshi duka acha porojo
@helenampondi2715
@helenampondi2715 2 года назад
😍😍😍😍😍😍
@kupelakupelaa2580
@kupelakupelaa2580 2 года назад
hawa wasani siyo wafanya biashara wanaiga kufanya biashara na kuuza sura tu
@hgcbj635
@hgcbj635 2 года назад
Lulu ongera san
@hamisimuna125
@hamisimuna125 2 года назад
Muuwaji wa Kanumba
@monicamollel1689
@monicamollel1689 2 года назад
Acha roho mbaya mtu kafanya kitu kizuri mpongeze uwezi pita tuu
Далее
Turkish Actors and Actresses speaking English
8:26
Просмотров 6 тыс.
Muslim TikTok you need to watch
15:33
Просмотров 15 тыс.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 51 тыс.