Тёмный

LULU DIVA : MKUU WA MKOA, MAPENZI NDANI YA GARI  

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 166 тыс.
50% 1

#TheBarTender ... Episode Number 04🍹🍸 .
.
BABA AKOO @jonijooo anakwambia Tupo Live na Maisha, Kaa kitaalamu SEX DIVA LULU DIVA Leo amekutana nae Kwenye Counter ya #TheBarTender 🍹 na Kupiga Mastory na #BabaAko @jonijooo
Big Shout Out To ..... @rhapsodys.dar 🏙
#HainaKufeli #HuuNiMwakaWako #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@cleverphd7158
@cleverphd7158 5 лет назад
Kama umeangalia episode zote 4 kama mim 1.Young Killer 2.Gigy Money 3.Country Boy 4.Lulu Diva Gonga like twende sawa
@alikahin8690
@alikahin8690 5 лет назад
First ni country boy
@cleverphd7158
@cleverphd7158 5 лет назад
Ali Kahin mkubwa Young killer ndo alianza
@mumbayeashata993
@mumbayeashata993 5 лет назад
Dah ya Gigs sijacheki bado
@tausisalum465
@tausisalum465 5 лет назад
Young killer na diva
@chrisroby2298
@chrisroby2298 5 лет назад
P1 san
@jumaswea4765
@jumaswea4765 5 лет назад
😁😁😁😁 sikuizi rahaa sana. ukipata mgeni chakwanza ni naomba uniwekee chaji smartphone yangu jamani
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 5 лет назад
😂😂😂😂 Atari sanaa
@thevibesjuicebar2578
@thevibesjuicebar2578 5 лет назад
Show lakibabee ur so talented bro i wish to see jux and diamond platnium on the bartender sessn next tym
@khalmandrojr.5537
@khalmandrojr.5537 5 лет назад
Anayeamini kuwa luludiva ni mzuri gonga like tujuane
@georgegrayson3492
@georgegrayson3492 5 лет назад
Diamond
@plantamedia
@plantamedia 5 лет назад
Wa kwanza ku comment likes tafadhali kama unamkubali jonijo babaaaako
@mumbayeashata993
@mumbayeashata993 5 лет назад
😂😂😂😂 Jonijoo kumbe wee mfupi sema ndevu zinakupush juu 😂😂😂 i like this ladie
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
jaman unaona
@Heavenvoice112
@Heavenvoice112 5 лет назад
leo nmewah lkn wahan wamewah zaid gonga like kama unaikubali show
@radhiaismail1597
@radhiaismail1597 5 лет назад
ki lulu kimefyaiiii sana
@lamarcalif
@lamarcalif 5 лет назад
wote waliokuja wamekunywa vinywaji ila gigy pekee ndio kala machips
@abdulnssir8139
@abdulnssir8139 5 лет назад
billy lamar kweli
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 лет назад
😅😅😅😅na msamaki ka wote.gigy mahela yule
@patrickfrederick6146
@patrickfrederick6146 4 года назад
Giggy ni realistic mzee kama ananjaa hawez kunyamaza
@ibrajuma8990
@ibrajuma8990 4 года назад
Sasa so alikuw ananjaa am vp?
@stevekanemelakatembotz8829
@stevekanemelakatembotz8829 5 лет назад
Jonijoo we ni baba raoo mamaakooo Nakukubali sana mhuni WANGU ww ndo Baba Lao #Nyambafu # Babaakooo
@chidyabdl8226
@chidyabdl8226 5 лет назад
Baba ako leo ndn ya dakika nipoo
@martindeogratius6547
@martindeogratius6547 5 лет назад
Napenda unavyoanza na history fupi ya kitu fulan kama neno Hello nilikuwa cjui uko poa babaako
@Kobe_254
@Kobe_254 5 лет назад
Kwani ulitoroka shule ukiwa miaka ngapi wee.. ..soma ata gazeti ukiwa juu ya bangi,
@yuzotv458
@yuzotv458 5 лет назад
😂😂😂😂😂fala sana eti juu ya bangi.😂😂😂😂
@donpablo2651
@donpablo2651 4 года назад
Jonijo kipaji adimu sana All the way from dubai ❤️
@yuzoyuzo4974
@yuzoyuzo4974 5 лет назад
ata mbili tyu like jamani najua nimechelewa
@ibrajuma8990
@ibrajuma8990 4 года назад
BabaAko nakukubali broo sna ten zaidi y jana
@masterjkhamiss4007
@masterjkhamiss4007 5 лет назад
Mnachelewesha kuweka mzigo
@YCLASSICTZ_
@YCLASSICTZ_ 5 лет назад
I love u more #Diva kumbe ww ni funny hvo hahaha nimekupenda zaid
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 5 лет назад
Wali umekolea nazi Lulu lov u
@Kobe_254
@Kobe_254 5 лет назад
Show tamu sana, am logged to every episode.. from Seattle,WA
@jacksonmishwaro7016
@jacksonmishwaro7016 5 лет назад
kwa sisi wataalam wa mapenzi...kuna hisia za mapenzi kati ya lulu na jonijo
@bhokesaid7465
@bhokesaid7465 5 лет назад
Jackson Mishwaro kama nimeona icho kitu😂😂
@antonimwanisawa7281
@antonimwanisawa7281 5 лет назад
Jackson Mishwaro babaakoo on point kuu
@crispinmushi4268
@crispinmushi4268 5 лет назад
Nimeangalia vizuri interview Jonijoo kamfia Lulu kinoma noma hadi akashindwa ficha
@jacksonmishwaro7016
@jacksonmishwaro7016 5 лет назад
@@crispinmushi4268 umeona eeh..hata confidence kaipoteza kabisa
@1gbtheslimgirl206
@1gbtheslimgirl206 5 лет назад
Truuuuuuu
@jamalkakoko5023
@jamalkakoko5023 5 лет назад
bong moj la show I like it
@gudywzgudy5513
@gudywzgudy5513 5 лет назад
Km umemuona jamaa wa pemben anavoangaika na lulu n macho like...ap
@johtv9052
@johtv9052 5 лет назад
Ongela sana lulu Diva nmependa umeongea ukweli juuu ya kuandikiwa wimbo na #FUNDIMARIOOO.
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 3 года назад
Vyema Sana uko POA luli diva
@CM-INSPIRAATIO_TV
@CM-INSPIRAATIO_TV 5 лет назад
Lulu mimi mwenyewe nnakukubali sana, aafu nnakupendaga ile mbaya.
@petermichael8211
@petermichael8211 5 лет назад
JONIJOOOO BABAAKO SHOW LAKIBABE SANAAA MZEE, MWAKA HUUU LAZIMA UBEBE TUZO YA MVP. GONGA LIKE HAPAA KAMA UNAIKUBALI SHOW.
@kakanathan8918
@kakanathan8918 5 лет назад
Baba ako we ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaa big up #JONIJOOO
@chibuukaya4610
@chibuukaya4610 5 лет назад
Jonijoo sijui nimekosea Kaka uko vizur nimekubar we zaid ya hakim
@isayamgeni2014
@isayamgeni2014 5 лет назад
Kwakweli jonijooo nakukubali Sana mzazi SEMA ... love imehusika.. ilapoa nawenimwanadamu
@mglmagala9876
@mglmagala9876 5 лет назад
Nakubari sana jonijoo
@mubakhansaid5561
@mubakhansaid5561 3 года назад
Nakupnda lulu 💕💌💕
@mattjackmillionair6145
@mattjackmillionair6145 5 лет назад
MR JONIJOOO Ningependeleya kukupongeza kwakipindi cako THE BARTENDER! inelikua vizuli kuongeza wa star wengine.Asante!
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 лет назад
L.Diva nimekukubali sana kuwa wewe ni kichwa ulipojibu kuhusu nani wa kumpa mchango kati ya Gigy na A.Lulu hapo ulikuwa mtegoni na uliweza kujinasua .
@evaristjoseph6420
@evaristjoseph6420 5 лет назад
Noma sana
@geraldkbona5595
@geraldkbona5595 5 лет назад
Kizazi sana
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 года назад
Siwezi kuhinama😂😂😂Babaako
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 лет назад
Nakubali
@aminabashir231
@aminabashir231 5 лет назад
Show ya kibabe sana naomba na mimi mniite tu jaman nipge story #the best fun of this show
@teulechristopher8937
@teulechristopher8937 4 года назад
Namkubali uyo dada
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 лет назад
love diva😘
@masterjkhamiss4007
@masterjkhamiss4007 5 лет назад
Sema mnazingua
@danielgadiye6727
@danielgadiye6727 5 лет назад
masifa kama yoteeeee
@masterjkhamiss4007
@masterjkhamiss4007 5 лет назад
@@danielgadiye6727 wengine tupo mbali na Nchi...kwa hiyo muwe fasta kdg
@jamilaomar2708
@jamilaomar2708 5 лет назад
😃😃😃😃 ayiii nivue viatu siwezi kuinama, interview imekua tamu aki
@makaotvalexzander7434
@makaotvalexzander7434 5 лет назад
Nic jonijo
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 5 лет назад
Lulu diva asee we ni mkali sana!!!! Jonijoo we ni zaid ya fundi na ni mbunifu✊
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
JONIJO! Kwangu Mimi wewe ndiyo HOST namba moja kwa sasa kati ya HOST wote wa TV online
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 5 лет назад
Lulu diva hawezi kujieleza...................!!! SomeHow...... But nimekuwa Fan Wa #TheBarTender @youngKiller EP1 @giggyMoney EP2 @country boy. EP3 @luluDiva EP4 Still @JoniJooo now Kama umepoa Sana maswali yamepungua makal
@mamalaozphilemon.8800
@mamalaozphilemon.8800 5 лет назад
Ypo vizur.
@muchiameir7416
@muchiameir7416 5 лет назад
jonijo cocktail ipo strong sana.....hahahahhahah
@alibinali_
@alibinali_ 5 лет назад
Jonijoooo The Bartender we noma sana kipendi hiki nakipenda sana #wasafimedia
@mussaismaili3717
@mussaismaili3717 5 лет назад
Nc braza
@madiankhaher545
@madiankhaher545 5 лет назад
Nimegundua wabongo wengi sana maisha yetu tunaish kinafki sana yani mtu unaulizwa et kama ya huyu au yule nani utampaka hiki unasema wote mtu wanashindwa kusema ukweli kwamba nitampa huyu kwasababu hii tusiwe wanafki sana yani wabongo wengi wanaogopa sana kuweka wazi mapungufu ya mtu na kumwambia ukweli ili ajilekebishe kuliko kujufanya unampenda harafu ukiwa pembeni unaanza kumsema kiukweli sio poa
@johnluyego9353
@johnluyego9353 4 года назад
Jonijo ur smart bro
@kezarachel8150
@kezarachel8150 5 лет назад
Love u lulu Diva
@djjomady255
@djjomady255 5 лет назад
Hii ya leo mbovu, lulu diva kachemka kabisa yaani interview imepowa sana
@ahmadmhando2525
@ahmadmhando2525 4 года назад
Jonijoo hii interview hii hamja malizana kweliii
@mimahissa1382
@mimahissa1382 5 лет назад
kipend kizuri sanaa pia kiko tofauti na navingine. hongereni sanaa jonijoo siongei kwa ubayaa ila jitahid ujifunze bar na uzijue cocktail ni kitu kizuri na unao uwezoo huoo please Fanya ivyoo
@juliusmwakarng4897
@juliusmwakarng4897 5 лет назад
Nice one jon joo
@deejaymatiangi5063
@deejaymatiangi5063 5 лет назад
Lulu diva nakuelewa sana mama jonijo bro will meet one day
@mohammednassor428
@mohammednassor428 5 лет назад
Dah umbea sunna kanimaliza. Sanna lulu
@Mrdigital.
@Mrdigital. 5 лет назад
Namwelewa sana dv
@ayubufrank
@ayubufrank 5 лет назад
Napenda sana saut ya lulu diva
@radhiaismail1597
@radhiaismail1597 5 лет назад
lulu kipo happy sana
@ramanzwallah9311
@ramanzwallah9311 5 лет назад
WA kwanza
@lakudede
@lakudede 5 лет назад
sanaaaa #The_Baetendar
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 лет назад
Ila interview ya gigy ilkua🔥😅😅😅kumbe jonijo we mfupiii. Ila umependezana na lulu.napenda hyo saut ikisema"the bartender "
@leejrtv2168
@leejrtv2168 5 лет назад
Nice
@ammyjay295
@ammyjay295 5 лет назад
Dah! nmefatilia zote ila ya leo imenikata sana mbaya kinoma Lulu diva hana anachokijua kuanzia maswali mpk interview yake dah kwel sio kila king'aacho dhahabu
@yakoubwachafu2667
@yakoubwachafu2667 5 лет назад
Lulu diva u beuty 💋
@vicentbasigaza8100
@vicentbasigaza8100 5 лет назад
Jonijooo motoooi Leo siombi like wazee
@kwelashabani8214
@kwelashabani8214 5 лет назад
Tisha sana kibabee sana
@ferdnandshija2334
@ferdnandshija2334 5 лет назад
Lulu kagere😂😂😂 oooh sorry Lulu vadi mmmh diva
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 лет назад
Hivi wewe lulu kweli hujui kujieleza yani swari la kuhusu idiris kujibu tu kuwa ni binamu yako mtoto wa baba mdogo umeshindwa mpaka ujieleze ujinga
@sikudhanimohammad4760
@sikudhanimohammad4760 5 лет назад
Valentina Mussa cyo binam yake bhana
@marymwaluko3364
@marymwaluko3364 5 лет назад
😂😂 angesema tu mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo
@venture_rafael
@venture_rafael 5 лет назад
makin sanaa
@majotv3405
@majotv3405 5 лет назад
Yaani hapo kwenye kuchanganya manyika unanikosha ile mbovu respect kwako broo
@deusngeya9909
@deusngeya9909 5 лет назад
Tisha sana mzazi
@gadsonmanchester475
@gadsonmanchester475 5 лет назад
Pamoja sana Jon njoo
@iconlyx2724
@iconlyx2724 5 лет назад
Sema kaka umefaidi ilo hug😂😂
@bojanmusic7799
@bojanmusic7799 5 лет назад
Ya Leo ipo normals
@hassanmalale299
@hassanmalale299 5 лет назад
Nakubal baba akoo
@dogobyalimasilubunga5110
@dogobyalimasilubunga5110 5 лет назад
Kama Kawa jonijoo !!!
@kambiyusufu5217
@kambiyusufu5217 5 лет назад
Babaaako Diva love
@fatumaabdallah566
@fatumaabdallah566 5 лет назад
Mi nakapenda aka kadadaa😘😘😘
@martinecharles2209
@martinecharles2209 5 лет назад
Wahuni hatupitwi na tender yeyote
@herifredrickson2040
@herifredrickson2040 5 лет назад
Nakuona mama upo ktk ubora wako# luludiva.
@denisdelarue2751
@denisdelarue2751 5 лет назад
jonijoo hqhahahaha hapo kwa maswali leo umepatikana sanaa
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 5 лет назад
Oi, fanya kumdondosha #Sammagoli #DoctorUnjubinunuq #nikkimbishi @jonijooo
@kifarusongeaolg9726
@kifarusongeaolg9726 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥jonijo💪💪💪💪
@katanicarter0568
@katanicarter0568 5 лет назад
Oiiiiiiiii...... Oiiiiiiiii...... Shoooow la KIBABEEEEEEE Oiiiiiiii.............. From WCB..........
@yussufqamus
@yussufqamus 5 лет назад
Someone was flirting 😉. #jonijo #TheBartender
@pascasiohubert2687
@pascasiohubert2687 5 лет назад
Jonijo uishi miaka mingi sana ni ndoto yangu kukutana na wewe na itatimia
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 5 лет назад
Huyu Dada mweupe sana katika kujibu maswali ya msingi
@wilsonmaduhu5610
@wilsonmaduhu5610 5 лет назад
Safi
@zizoumale300
@zizoumale300 5 лет назад
Babaaaaako
@tonnyblasty4606
@tonnyblasty4606 5 лет назад
Jonijo unatupanga sana
@hamisifuko4281
@hamisifuko4281 5 лет назад
Kumbe Diva sio mwahili 😂😂😂😂 . Basi sawa,ila sihitaji like
@tryphonefriday4130
@tryphonefriday4130 5 лет назад
Good
@shamsahussen1059
@shamsahussen1059 5 лет назад
👍👍❤️❤️❤️❤️❤️🇴🇲
@zulfaaley3803
@zulfaaley3803 5 лет назад
Cocktail inafanya yake ku-mkichwa
@zulfatothman1051
@zulfatothman1051 5 лет назад
Sana wajina 😆😆👌
@SUPER_VOCAL_2019
@SUPER_VOCAL_2019 5 лет назад
Jonijoo babaako nakukubali sana
@mgunyajunior1565
@mgunyajunior1565 5 лет назад
mnachelewa sna kuipandisha
@esemudjeambrose964
@esemudjeambrose964 5 лет назад
Hi ata sijaipenda
@amaniyusufu5102
@amaniyusufu5102 5 лет назад
jonijoo team mdee bhas vanessa or mimi mars
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Jonijoo you are funny
Далее
LULU DIVA : SIKU YAKWANZA KUVUTA BANGI
9:10
Просмотров 536 тыс.