Тёмный

EXCLUSIVE: WHOZU AFUNGUKA SAKATA LA KUMPIGA WEMA, AMPA ONYO TUNDA “SIKUPENDI, UNAONGEA UONGO” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 153 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 346   
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 3 месяца назад
Nawapenda Sana wema na whozu mungu awabariki awape watoto fom Kenya ❤❤❤❤
@FlorenceUmutesi
@FlorenceUmutesi 3 месяца назад
Whozu oyeee ❤❤unaongea vyizuli xana tunapenda ww n wema changa mto lazima lkn maisha inaenderea
@jawbraker4723
@jawbraker4723 3 месяца назад
Whozu niskilize kama unampenda wema kweli fungeni ndoa la si ivo utakuja kumpoteza wema wema nimzuri ana roho nzuri haringi hana majivuno funga ndowa na wema please ukate watu midomo umfurahishe Allah na mama ake wema piya na wananchi kwa ujumla please nawapenda sana na nawatakiya kila la kheri halafu nendeni nchi za nnje mkafanye dizain ya kupata mtoto lakini mpaka mfunge ndoa kwanza Allah atawaajaaliya kila kheri
@lucaswilliams5761
@lucaswilliams5761 3 месяца назад
Like za Chimama ziwe hapa ❤
@sonyboyofficial
@sonyboyofficial 3 месяца назад
😂ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-4CNy22B65TE.htmlsi=Ta05k_NJFXuvlshc
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 3 месяца назад
tuko pamoja kaka nimekupa like nampenda sana chimama ❤
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 3 месяца назад
Dume zima bomboklaat 😏
@AnnaMeshack-fu9vs
@AnnaMeshack-fu9vs 3 месяца назад
Uko vzr kaka.zidisheni upendo akose pozi.
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 3 месяца назад
​@@mancholotrasco8350😂😂😂😂aki mwanaume hamna apo
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 3 месяца назад
Kudate na msanii au super star, inakuhitaji akili sana, uvumilivu na kutodeal saana na mambo ya mitandao.... pongezi saana kwa Couple ya Navy Kenzo... hii Couple ina zaidi ya miaka 10 bila skendo zozote za kijinga.. wame win kwenye namna ya kusolve ugomvi wao bila kuhusisha mitandao..
@aminajuma1156
@aminajuma1156 3 месяца назад
Kabisa kaka ujakosea 🎉
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 месяца назад
Very true
@ramladhire
@ramladhire 3 месяца назад
Kabisa
@KhadijaAbdala-vy8tw
@KhadijaAbdala-vy8tw 3 месяца назад
Hakika🎉🎉❤
@thomasnelson8261
@thomasnelson8261 3 месяца назад
😊😊
@FrancoiseSabuni
@FrancoiseSabuni 3 месяца назад
Jongers sana Hozo kwakumuheshimisha mpenzinwako Wema I say you are good man I wish you all the best together with Wema big up
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 месяца назад
Hozo tena?
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
​@@sikudhanimohammad7692😂😂😂
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 3 месяца назад
Mungu awajalie mpate mtoto na wema
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 месяца назад
Tunda anajua Whozu anampenda mtoto wake na Dawa ya Tunda ili aache kukunyima kumuona mtoto ni Whozu kutokumuomba mtoto. Haiwezekani bibi yake ambaye ni mama yake na whozu amuombe mjukuu wake halafu ananyimwa. Mimi iliwahi kunitokea kwa mtoto wangu dawa ni kunyamaza kimya kabisa mpaka wao wenyewe watakupa mtoto.
@zakiangumbe6739
@zakiangumbe6739 3 месяца назад
Miye jamani acha niteme nyongo yangu kwa tanzania hii mimi nampenda saaaaana wema na nandy❤ chibaba umechagua Archana na vidudu mtu.
@stacykemunto4513
@stacykemunto4513 3 месяца назад
I love wema❤❤❤❤❤
@JeniferNgolanya-gt5xx
@JeniferNgolanya-gt5xx 3 месяца назад
I really love you..whodunit and chimama mungu awabariki awape mtoto..from Kenya 🇰🇪
@JeniferNgolanya-gt5xx
@JeniferNgolanya-gt5xx 3 месяца назад
Whozu and chimama..big love ❤
@hopefully7090
@hopefully7090 3 месяца назад
Nampenda chibaba na wema
@mariamkinzajamanimuviinaku5724
@mariamkinzajamanimuviinaku5724 3 месяца назад
kiukwe mm nampenda xn wema kuliko wasanii wote kwanza hajisikii hana dharau anawapenda watu wote piy ni mzr xn nawaombeya mfunge doa nitafurahi xn na insha Allah wema atapat mtt ktk ndoa yke ilove wema❤
@simbaboe8350
@simbaboe8350 3 месяца назад
😂
@Official83640
@Official83640 3 месяца назад
Mshauri atafute mume wa maana sio kulea vitoto hivi vinavyomdharau hd mama yake hajifunzi tu km kashakua yy bado anajiona mtoto hd lini
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 3 месяца назад
Wafunge ndoa nanan?
@hopefully7090
@hopefully7090 3 месяца назад
​@@Official83640acheni uchonganishi na familia za watu maana wameshaelewana
@Official83640
@Official83640 3 месяца назад
@@hopefully7090 wameelewana wp ww huyo yupo kuomba samahani sasa Tunda kaharibu kila kitu km hujui wala hawajasameheana
@user-yx3ic8zy9e
@user-yx3ic8zy9e 3 месяца назад
Yaani katika style ya kujifanya mnagombana kisa ramadhani mjifanye hamzini ila zinaa imekujaaeni hapa watu wengi hawajui kama wamepigwa za uso subirini Eid hao wapuuzi mtawaona pamoja ni wanafkiri wanamdanganya Mungu kumbe wanajidanganya wenyewe at tusizini mpaka ramadhani iishe wapuuzi wakubwa
@emmylizzo8220
@emmylizzo8220 3 месяца назад
Kama kweli nimeic kitu hpo
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 3 месяца назад
Kumbe kufanya mapenzi ni dhambi?
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z 3 месяца назад
@@valentinernestkavishe7297mbona unapunguza ukali wa maneno ili ionekane ni halali na sio dhambi! Sema kufanya zinaa na zinaa isiohalali ni dhambi kwa dini zote unapunguza ukali kwa kusema kufanya mapenzi hio ni zinaa
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 3 месяца назад
​@@valentinernestkavishe7297😅😅😅kwanza nicheke
@user-pp3ej1po5g
@user-pp3ej1po5g 3 месяца назад
Team chimama tujuane❤
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 3 месяца назад
Safi chibaba tengeneza mausiano yako nawapenda sana wewe nawema
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 3 месяца назад
Vido ameguna kwa kuitikia mara million 2 lak 1 elfu 62 Mia moja na sabini na tatu kwenye hii interview
@musajackson3289
@musajackson3289 3 месяца назад
😂😂
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@JosephinaAmisi
@JosephinaAmisi 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 3 месяца назад
😂😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 3 месяца назад
😂😂😂😂jamani nilidhani nimekosea kusoma
@JeniferNgolanya-gt5xx
@JeniferNgolanya-gt5xx 3 месяца назад
Big love ❤️ whozu and chimama
@user-yt2fb7um7k
@user-yt2fb7um7k 3 месяца назад
Jaman whozu na wema msiachane tunaipenda sana covple yenu jaman❤❤❤❤❤❤
@taswiramedia
@taswiramedia 3 месяца назад
USTADH EP 2 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6hac5GNBqzg.htmlsi=ohYC6xCtxindyZbx
@NiyonsabaEmelyne-nl6mp
@NiyonsabaEmelyne-nl6mp 3 месяца назад
Wema nakupenda sana cimama ebu muishi pamoja na cibaba wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-up2ef7dc6k
@user-up2ef7dc6k 3 месяца назад
Uwozi nimekupenda bure kwa maelezo yk ila jmn nawaombea dua na chimama yapite naitaji kuwaona tena na upendo wenu mpisheni sheta ni apite maisha mengine yaendelee uyo tunda wivu tu unamsumbua ❤🫶 chimama na chibaba
@kavuthamuthengi6043
@kavuthamuthengi6043 3 месяца назад
Nampenda wema, whozu ni Ngombe tu kasoro mkia, whozu wema umekutendea makuu, saa hii wala jina la wema
@mylovejosecharles4362
@mylovejosecharles4362 3 месяца назад
apa wema anapangwa
@btylove1870
@btylove1870 3 месяца назад
Kabisa
@gresramadhan
@gresramadhan 3 месяца назад
Shikilia hapohapo,huwez kumpata mwanamke kama wema, usidanganyike wezako wanatamani hayo maisha.
@salamakassim2775
@salamakassim2775 3 месяца назад
From Kenya whozu umeongea point Sana
@TumaBaby-bs3mu
@TumaBaby-bs3mu 3 месяца назад
Mungu akujalie mtt aunty wem
@user-nr1ld3fc1h
@user-nr1ld3fc1h 3 месяца назад
Ila jamani whozu kweli kampenda wema kakiri pongez sovun hayo maisha yaendelee
@greenermichael2057
@greenermichael2057 3 месяца назад
Sisi tunampenda wema na yeyote atakaye kuwa naye tutampenda pia
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 3 месяца назад
Mtoto kasura ka baba rangi ya mama❤..nawapendaa ❤
@paulynmulerndy6259
@paulynmulerndy6259 3 месяца назад
Whozu Ovyooo sanaa kumbe nlimbukeni anatafuta Laana tu uyu anawezaje kumpiga Wema😢uyu kichaa tangee.....kama ni Uvivu apingane na Wanaume sio kumpiga Mwanamke........
@meryamreally2768
@meryamreally2768 3 месяца назад
Nakubali sana kaka 👏👏👏❤️❤️
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 3 месяца назад
Love 🤦‍♀️
@user-nr1ld3fc1h
@user-nr1ld3fc1h 3 месяца назад
❤whozu and chimama❤
@samiamuomba7564
@samiamuomba7564 3 месяца назад
nice
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 месяца назад
Tunda jifunze kuwa na hekima muheshim mzazi mwenzio
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 3 месяца назад
Nawapenda sana whozu na wema
@jovinessleonard6518
@jovinessleonard6518 3 месяца назад
❤❤sepengaaa
@user-ip9tn7ny9c
@user-ip9tn7ny9c 3 месяца назад
Mungu awape moyo wa subir❤
@gloriamwalongo3661
@gloriamwalongo3661 3 месяца назад
Amen
@ChikuRashid-yg3jp
@ChikuRashid-yg3jp 3 месяца назад
Nampenda saana wema
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 3 месяца назад
Jamanii Ni Ramadhan Af Basii SI Muoanee
@judithnyenga7327
@judithnyenga7327 3 месяца назад
Mungu awajalie mzidi kuwa pamoja chibaba na chimama❤❤❤
@Mumewangu
@Mumewangu 3 месяца назад
Ili waendelee kuzini au sio
@judithnyenga7327
@judithnyenga7327 3 месяца назад
Kama wamepangiwa kuwa p1 na mungu watakuwa tu na wataoana kwa mapenzi ya mungu 😏😏roho mbaya tu kupenda watu wagombane
@user-fj8qb8qq6f
@user-fj8qb8qq6f 3 месяца назад
Hapana hilo nao
@HaneOG-rw3vg
@HaneOG-rw3vg 3 месяца назад
Nimapito2 mungu atawabaliki mtayamaliza nawapenda sana
@valerieshinia8526
@valerieshinia8526 3 месяца назад
Mapenzi yakizidi mnapigana😭😭😭😭hapo pa kupigana Aiseee😢😢
@user-yt2fb7um7k
@user-yt2fb7um7k 3 месяца назад
Owaneni tu ili atulie na awaache jaman,please owaneni😊😊😊😊
@hopefully7090
@hopefully7090 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@claudineali3561
@claudineali3561 3 месяца назад
Asante mwambiye uyo tunda ukweli huyo
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 3 месяца назад
Ataona wivu Hana ht shukrani mtt wk analelewa na wema kakaribishwa kapokewa na wema Kwa upendo tu yy na mtt wk tuna anaroho mbaya na wivu
@SIMPLE.STREET
@SIMPLE.STREET 3 месяца назад
😮
@Nasmaabdala-oz2su
@Nasmaabdala-oz2su 3 месяца назад
Wewe chibaba muowe wema nampenda sana sana anakupenda pamoja na mwanaoo ila abadili dini awe mkristo ndio mfunge ndoa kama ataki achana nae usije kuwa kama kaka yangu barnaba mwanamke ndioo inatakiwe afwate dini ya mwanaume sawa mdogo wangu kuwa makini sana
@serianjamal8254
@serianjamal8254 3 месяца назад
Whozu hivi unajua maana ya kutokumuongelea mtu, naona hapa umemaliza ukurasa . Ishi maisha yako na chimama yule ni mzazi mwenzako. By the way nawapenda sana wewe na wema.
@lulumarthandumbaro1539
@lulumarthandumbaro1539 3 месяца назад
Kaongea sababu tunda ndio kaanza kumuongelea vibaya Ivo anajibu Yale aliyoyaongea tunda , bt asingeongelewa asingejibu dear
@agriparose3942
@agriparose3942 3 месяца назад
Tunda mwongooooooooooooooooo tena sana
@yuwellsham-fv7fn
@yuwellsham-fv7fn 3 месяца назад
Da tunda Aibu😢😢
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 3 месяца назад
Ayeyee
@YusuphKalli-ds5sy
@YusuphKalli-ds5sy 3 месяца назад
Ila nakupenda sna ww mtangazaji unajua kuhoji sana
@veronicasteven1731
@veronicasteven1731 3 месяца назад
Interview nzima ni ya whozu kumsuta tunda mmenibore Kwa kweli
@user-hp7tk3pf3p
@user-hp7tk3pf3p 3 месяца назад
❤❤🎉
@josephinerajabu8657
@josephinerajabu8657 3 месяца назад
Wema akiwa na mpenz anatulia na anakuwa hur kumtambulisha ila Sasa wanaume wake wakisha toboa wanazarau wema
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 3 месяца назад
NENO WATAACHANA HUWA HALIFANYI KAZI KAMA KUNA UPENDO WA KWELI
@MariamSepetu
@MariamSepetu 3 месяца назад
Jamani kila mtu akae kivyake imetosha
@ZenasefuAlly
@ZenasefuAlly 3 месяца назад
Mi pia nawependa Sana wahendelehe Kwan ugomvi co kuvunja mahusiano
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 3 месяца назад
Pole whozu
@user-up5oy6wp5e
@user-up5oy6wp5e 3 месяца назад
Kwel huzo nawema❤❤❤❤
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 3 месяца назад
Well done Whozu kwakufanya hii interview 👍🫠🎉@MangeKimambi ni mtu mbaya tena sana 😢Alimpa Tunda interview kisa vita yako na Wema iwe kali kuzidi kuliko ilipo😢Wewe na wivu wako sasa unapashwa kwenda Councelling huwezi kupiga mwana mke😢 Hatokulinda uje kumuuwa badilisha hayo makasiliko yako makali😒😢
@Braika4
@Braika4 3 месяца назад
18:33 😮😮😮
@MarystellaSalumu
@MarystellaSalumu 3 месяца назад
Kumbenanyie hamlei watt duh
@user-zv7ev8pd7c
@user-zv7ev8pd7c 3 месяца назад
N kweliii watu mkiachwa s muachikee ,,,, acha wema na whozu wapaee
@rhodamundo5363
@rhodamundo5363 3 месяца назад
Bora whozu usimuache wema kabisa for life jmn msiachanane hata wema take usikubari ng'ng'ana siku hasira zikitulia ataona utu wako just cheel with her body
@FettyMetta
@FettyMetta 3 месяца назад
Mungu awazishie kila lakher mzidi kupendana!!!nawapenda❤❤❤❤
@ABDULQALIMMAUTANGA
@ABDULQALIMMAUTANGA 3 месяца назад
Ifike wakati nasisi wasanii tubadilike tunapenda mahusiano yakiki sana nahii inafanya hata mkipishana kidogo basi Kila mtu atajua embu tujitambue
@ibrahimisack3375
@ibrahimisack3375 3 месяца назад
The thing is that message ipo kwenye T-Shirt yake "clowns do anything for clout"
@rizobabe2082
@rizobabe2082 3 месяца назад
Literally 😂😂😂😂😂😂😂 the way he sounds is just delusional. It seems like they not good but he wants it to seem like they good😂😂😂
@ibrahimisack3375
@ibrahimisack3375 3 месяца назад
😂😂😂 Exactly @@rizobabe2082
@Bashitetako
@Bashitetako 3 месяца назад
😂😂😂
@monicahachola4374
@monicahachola4374 3 месяца назад
Sharp eyes😂😂😂😂😂
@user-zt2op1dk3s
@user-zt2op1dk3s 3 месяца назад
Umemzalisha eti mahusiano yalisha Isha wewe whoz mungu anawaona
@Nasmaabdala-oz2su
@Nasmaabdala-oz2su 3 месяца назад
Sitakiii kusikia umebadiliiu dini Kwa sababuuu ya kupenda wozuuu uwo niudhalilishajiiiiiiiii😮😮😮😊
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 3 месяца назад
Camera man😢
@Chingagirl123
@Chingagirl123 3 месяца назад
Millard Sasa mnakosea aki. Em tuleteeni vitu za maana please 😊
@letsloveandshare7487
@letsloveandshare7487 3 месяца назад
Watanzania wengi hawapendi vitu vya maana umbea kama hivi ndio Wana click na views zinalipa na hawa wanatafuta hela kwa view...I hope tubadilike tunapenda sana kufatilia udaku kuliko vitu vya maana
@MoviesAde
@MoviesAde 3 месяца назад
Mbona kuna vitu vya maana vingi Millard ana upload kwenye hii platform si ukaangalie vengine sio lazima kumuangalia whozu tuache tunao taka kuangalia tuangalie, kujikuta ww ndio wa maanaaaaaa😏😏😏halaaaaa
@letsloveandshare7487
@letsloveandshare7487 3 месяца назад
@@MoviesAde kwani nimesema hapost vitu vya maana...I meant now they mix contents more udaku plus vitu vya maana ili kuongeza view kupata views za pande zote mbili kwa watu wanaopenda udaku and watu wanaopenda mambo ya kawaida ila udaku haujengi chochote na wabongo wengi tunapenda udaku zaidi ....you can be angry lakini huo ndio ukweli hatuendelei maana bidii tunaoitumia kutafuta na kusikiliza udaku tungeiweka kwenye kazi,ubunifu na mambo ya kimsingi ya maendeleo tungekuwa mbali sana
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 3 месяца назад
Wema ni kujidhalilisha 'kwa age "kwa ukubwa wake kwa chef chake.kua na aina hii ya watu
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
True!!!! Wema sio mtoto
@giressentumwa6906
@giressentumwa6906 3 месяца назад
Kwani whozu ni mtu wa aina gani???
@svt3
@svt3 3 месяца назад
​@@giressentumwa6906sasa wewe huyu kijana mdogo ndio wa kuvuwa wema chupi kweli? Wema amejishushia hadhi, ona wenzake kama Faraja, Jacqueline.... wameolewa na kama boyfriend wanachukuwa boyfriend wenye heshima zao
@zuenakhassim
@zuenakhassim 3 месяца назад
Jamani eee mapenzi hayaangaliii umri
@prezgal8869
@prezgal8869 3 месяца назад
Anavyoongea tu anaonesha kweli hajamove on kwa Tunda
@janethjonas1700
@janethjonas1700 3 месяца назад
Haupaswi kumpigia mwanamke...ushetani
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 3 месяца назад
Like za jibibi dingi Daru zije hapa jp 00*
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 3 месяца назад
Hata mkirudiana Kuna shida gani bwana ulishazaa nae
@user-bi3ky7vy2q
@user-bi3ky7vy2q 3 месяца назад
True.
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 3 месяца назад
na wana pendana sana tu ndiomaana wana baki wana zozana kila mtu jeuru😅
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 месяца назад
Ex usimpe nafasi mkarudiana utajuta😂😂
@irinekadzo6579
@irinekadzo6579 3 месяца назад
Sawa
@donatandayisaba7258
@donatandayisaba7258 3 месяца назад
Tunataka na Intervew ya Tunda pia !
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад
Mtangazaji Una bore! Uliza maswali bwana!!!! Hii interview ni ya tunda tuu!!
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 3 месяца назад
Chibaba mbembeleze wema mrudiane jaman Mimi napenda kuwaona mkiwa pamoja
@user-ns4oj9cw1j
@user-ns4oj9cw1j 3 месяца назад
Tunda mnzuri sana
@abdimalikabdulaziz4954
@abdimalikabdulaziz4954 3 месяца назад
Chibaba mi nakupenda na chimama namenda lakn mahusiano yenu siyapendi wema mzee atakubemenda bwana😅
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 3 месяца назад
Kwanini ulimpiga Wema kama unampenda ???? Don't play victim kumlaumu Tunda hata kama kakosea.
@jemimabakari
@jemimabakari 3 месяца назад
Wewe mbona umemuongelea mara nyingi bhana,tena huwa humuongelei vizuri kabisa!mnapendana nyiee😂
@sarahsulubu8587
@sarahsulubu8587 3 месяца назад
Sasa unamuongelea mama mtoto wako vibaya😂😂😂😜na sidechick unampiga😂😂ati unajiita mume😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪💞💞in the buildingheartbreak inazingua huyu 😅😅😅
@chimamilion
@chimamilion 3 месяца назад
Cop zinazo eshimiana ni Riama aly na mumewe ❤❤❤❤yn wale watu ni moto wpo kama hawapo
@zulfasaid9506
@zulfasaid9506 3 месяца назад
Kuna couple ya navy kenzo miaka 10 ya ndoa kama hakijatokea kitu
@user-qs2mx4ez6z
@user-qs2mx4ez6z 3 месяца назад
Maskini jmn maisha haya. 😂😂😂Chibaba bhaaana sikupendi Sasa
@Lulucut
@Lulucut 3 месяца назад
Juz lulu Diva kamwambia kamchukue mtoto wema akamjibu mtoto who mtoto which niache kidg😂😂 leo anampenda akigombn na wew anamuingiza mtoto
@user-wl4uy7qv7u
@user-wl4uy7qv7u 3 месяца назад
Jmn whoz unasaut nzur
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 3 месяца назад
ILA WOZUU BALANCE MAPENZ ILI USJE TUKOSESHA LAZA YA MZIKI WAKO KK TUNAKUITAJ PIA KWENYE SANAA
@sarahsulubu8587
@sarahsulubu8587 3 месяца назад
Hata majukumu hayajui😂😂😂😂🇰🇪ni mwanaume kweli
@woltermchack9958
@woltermchack9958 3 месяца назад
inter vew ina makelele ya ovyo mafundi seremala mic mbovu kwa ukubwa wa ayo tv mnajishushia valou
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 месяца назад
Valou ni nn sasa?
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 месяца назад
Kwan Tanzania mkiachana lazima muwe maadui sijawahi kuona mmeachana mkawa marafiki 😮
@janethjonas1700
@janethjonas1700 3 месяца назад
Whozu anamtaka Tunda ...anajishaua tuu...baada ya kuona amekataliwa
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 3 месяца назад
Whozu uache utoto shemeji yangu nawapendaa
Далее
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Просмотров 26 тыс.
Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda
8:10
Просмотров 684 тыс.