Тёмный

MAAJABU MLIMA ULIOMPA JIWE MTOTO YUNISI Kujenga GOROTO la BIKIRA MARIA PAROKIA ya BUKAMA!... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 362 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 748   
@clecencechrispine6396
@clecencechrispine6396 3 года назад
Atukuzwe Mungu baba, mwana na roho mtakatifu, amina. Ewe mama yetu kupitia Maria kupitia mtoto wako uliyependezwa naye eunis utuombee 🙏🙏
@demycratia2567
@demycratia2567 3 года назад
Aminaaa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Bikira maria hawatokei watu na haitawahi kutokea watu zindukeni jamani mnadanganywa na shetani mkubwa audanganye ulimwengu wote, Huyu mtoto anatumiwa na malikia wa kuzimu aitwaye maria
@vaivai4525
@vaivai4525 3 года назад
@@marianachriss2444 unakubali kwamba mama bikra maria mama wa mkombozi wako baada ya kumzaa mkombozi wako alinda kuzimu na kuwa malkia ndugu tunaemsema ni mama wa yesu wa kuzimu unamjua wewe
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 3 года назад
Kama mwanzo na sasa na siku zote, Aminaaa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@vaivai4525 hakuna mwokozi Zaidi ya YESU KRISTO pekee, maria hastaili kuabudiwa Wote watakao muabudu maria wataenda kuzimu,maria anayeabudiwa kwenye makanisa katoriki yuko kuzimu ,
@rosenamenge7891
@rosenamenge7891 3 года назад
Global TV mko na kazi Mungu awabariki tu sana kwa kazi nzuri from Kenya 🇰🇪
@marymungai4429
@marymungai4429 2 года назад
glory to God I was born of Catholic faith but I am now born again however this ìs a big blessings that God has given to tge Catholic Church as a whole. The Lord keep His servant Baby Yunsi forever and keep her protect her Amen.
@elvirekeva4709
@elvirekeva4709 2 года назад
I don't understand a word of this language but I believe in God,I love the Virgin Mary. May more people give their lifes to Jesus through this little angel.
@kambalesenzo5290
@kambalesenzo5290 5 месяцев назад
mumepotea
@hellenfaustin4339
@hellenfaustin4339 2 года назад
Amina,kwakupotia mwanao uliyomchagua atuombee maana sisi niwakosefu Ee Mama Maria utuombee kwa mwanao yesu kristo
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 года назад
Amen 🙏🙏 Bwana aendeleye kukulinda yunis
@felisterkokuberwa5783
@felisterkokuberwa5783 3 года назад
Salaam Maria umejaa neema Bwana Yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa Maria Mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu Sasa na saa ya kufa Kwetu amina
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 2 года назад
Nyie matahira kweli sasa vinawahusu nn
@mohamedkitalima7546
@mohamedkitalima7546 2 года назад
🙄🤔
@agathaakinyi7744
@agathaakinyi7744 2 года назад
Amina.
@tesharose5041
@tesharose5041 3 года назад
Mungu azidi kumbariki mtoto
@valenakomba9218
@valenakomba9218 3 года назад
Salam marikia, mama mwenyehuruma., tunakusihi ugenini hapa, sisi Wana wa Eva,. Tunakulilia na kulalamika bondeni huku kwenye machozi, haya basi mwombezi wetu , utuangalie kwa. Macho yako yenye huruma, na mwisho wa ugeni huu utonyeshe Yesu, mzao wa turbo lako mbarikiwa. E mpole, mwema , mpendevu bikira Maria.
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 года назад
Siku za mwisho watu watajitenga na Imani na kufuata miujiza na maneno ya kipepo Eeh MUNGU tupe macho ya rohoni tuone
@mburujamburuja548
@mburujamburuja548 3 года назад
Ushetani wazi wazi
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 3 года назад
NI VILE MLIPOTOSHWA KUHUSU MAMA MARIA...ANAMAKUBWA AMBAYO NYIE HAMKUYAJUA.......MAMA MARIA ANANGUVU ILA NYIE MSIO WAKATOLIKI HAMJUI SASA SAA IMEFIKA. MUMJUE MAMA HUYU.......YEYE SIE MUNGU...ILA ANANGUVU KUBWA KULIKO MALAIKA KULIKO VIUMBE WOTE ......SASA IWAPO MALAIKA WANANGUVU KUBWA KWANINI MAMA HUYU ALIYE MBEBA MUNGU ASIWE NA NGUVU....WAKE UP
@octavinamgulunde5183
@octavinamgulunde5183 3 года назад
pole
@octavinamgulunde5183
@octavinamgulunde5183 3 года назад
@@catherinechifebe5800 hawajui chochote ndio maana wanabwabwaja tu
@samuelmwaipaja5181
@samuelmwaipaja5181 3 года назад
@@catherinechifebe5800 eh...
@progensia9852
@progensia9852 2 года назад
Keep it men.God bless you!
@florenceasindikha1374
@florenceasindikha1374 2 года назад
May God bless the little child Glory to the lord
@anita2965
@anita2965 3 года назад
Amen ubarikiwe sana mungu azidi kukulinda yunisi
@dianaotuoma1963
@dianaotuoma1963 Год назад
God knows the plan he has to his people through our mother's child Eunice
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 3 года назад
Jamaniii!! Katoto kazuri sana 😍
@lisahhans295
@lisahhans295 3 года назад
wakawaida tuu.labda kilicho ndani yake.
@mariawanjiru1275
@mariawanjiru1275 3 года назад
Nampenda huyu mtoto nafurahi kumuona
@aishanelly2026
@aishanelly2026 3 года назад
Ameeni alleluia Grand grand daughter 🙏🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@beatricemoshilo7524
@beatricemoshilo7524 3 года назад
Big Noo ! Si Mungu huyu, ni mizimu hii, be careful
@peninaisaac6772
@peninaisaac6772 3 года назад
Hii ni iman ambayo si mtoto atendaye bali Mungu. Wapo watu wana miaka 45 ila awajawai changia hata 100 ktk kujenga kanisa ila wakute kwenye kuonga!. Umri huu kupata mwamko wa mambo ya Mungu kiasi hicho hii sio ya kawaida lkn Wapo wenye wapinga kristo maoni yao pia ni muhimu na yaheshimiwe
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Hamna Mungu wa kweli ndani ya mtoto roho ya udanganyifu iliyotoka kuzimu ya kishetani , bikira maria hawatokei watu na haitawahi kutokea watu,Kuna pepo la kishetani linaitwa Maria hilo ndio linalotenda kazi ulimwengu mzima hata ndani ya kanisa la roma,amkeni Siku za mwisho zimekaribia
@mandiwilliam580
@mandiwilliam580 3 года назад
@@marianachriss2444 ama unawashwa maana toka umeanza kulipinga kanisa katoriki j akuna hata anayekusapoti nakupa poleee
@juliethgabriel4537
@juliethgabriel4537 3 года назад
@@marianachriss2444 Wamefungwa hawaelewi
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@juliethgabriel4537 kabisa
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@mandiwilliam580 Nakupa pole sana wewe kwa kuwa hulijui Neno la kweli,okoka umkubali YESU KRISTO kuwa ni BWANA na mwokozi
@oqtiraula1814
@oqtiraula1814 3 года назад
NYAKATI ZA MWISHO SHETANI YUPO KAZINI, WATEULE TUWE MACHO. MARAN-ATHA
@jovinwatae1376
@jovinwatae1376 3 года назад
Shetani ni wewe mwenyewe ushindwe na ulegee
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 3 года назад
hizo ni kazi za majini
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 3 года назад
Mungu atukuzwe Sana katika hili. Asante Mungu kwa wazazi Hawa wenye imani thabiti. Mtoto Eunice naomba uniombee kwa Mama nipone mgongo, goti na shida nyingine niliyo nayo. Amina. Mama Maria utuombee.
@pascalmwalyenga4295
@pascalmwalyenga4295 3 года назад
Yesu Kristo anataka tumuombe Baba kupitia yeye (YESU). Yohana 14:13-14. 1Timotheo 2:5, Yohana15:6, Yohana16:23-26, 1Yohana5:13-15, Mathayo 11:28-29..n.k. Ndiyo maelekezo yaliyopo katika neno la Mungu (Biblia), Kuna shida gani kufuata maelekezo yaliyo katika biblia Takatifu? Yesu katika neno la Mungu ndiye anaitwa mwombezi. 1 Yohana 2 1 Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, 2 naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.
@florapeter6919
@florapeter6919 2 года назад
Hata yesu hakutumia staili moja alimponya kipofu kwa kumpaka matope machoni Roho
@lilianjacob4462
@lilianjacob4462 3 года назад
Bado sanaaaa tutarajie makubwa zaidi ya haya yaliyopo. kama watu hawaitaki ile kweli ya kristo acha nguvu ya uongo iwavute
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 3 года назад
Mungu amuongezee Imani huyu mtoto Kwa sala.
@gabrielnyanga8155
@gabrielnyanga8155 3 года назад
Hakuna Mungu hapo!
@neemaherman5684
@neemaherman5684 3 года назад
Huyu mtoto anaongozwa na roho mtakatifu na anaemuona ni malaika wa Mungu kwa ajili ya huduma aliyonayo nimeongea kama mtumishi wa Mungu aliye hai,, tubarikiwe sisi na vizazi vyetu
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Shetani
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Bikira maria hawatokei watu na haitawahi kutokea watu zindukeni jamani mnadanganywa na shetani , Huyu mtoto anatumiwa na malikia wa kuzimu , aitwaye maria, roho ya udanganyifu iliyotoka kuzimu iemeenea duniani kote
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 3 года назад
Usiseme huyo mtoto ni malaika shetani anaweza kumtumia tu sana, ndo maana kuzimu kunasehemu ya watoto wazazi wake wasiposhituka wakaivunja hiyo roho huyo mtoto ataangamizwa
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 3 года назад
Mimi nahisi wewe ni mtumishi usiyekuwa na maono huna conection nzur na Mungu wetu aliye hai
@mandiwilliam580
@mandiwilliam580 3 года назад
@@marianachriss2444 polee yako ama unapambana
@anitasamson7850
@anitasamson7850 3 года назад
Kitabu cha Kutoka 20:4-6 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. 5 Usivisujudu wala kuvitumikia, kwakuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu. Hii ni amri ya kwanza katika amri 10 za Mungu alizowapa wanadamu kwanini hawa watu wanajifanya hawaijui?
@asinthagervas2751
@asinthagervas2751 3 года назад
Tunajua sana,,na vipi kuhusu nyoka wa shaba
@aristidessebastian2474
@aristidessebastian2474 3 года назад
Watu wengi hawajui kuhusu Sanamu za kuchonga ukasujudia
@asinthagervas2751
@asinthagervas2751 3 года назад
@@aristidessebastian2474 Mussa mwenyewe alichonga
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 3 года назад
Hizo ni kazi za viumbe viitavyo Majini
@conceptamoige790
@conceptamoige790 2 года назад
The bible says too that all the world will call her (Mary) blessed, why do we like being partial in reading the bible, how did the angel Gabriel address her?
@nellykenya4616
@nellykenya4616 3 года назад
Bona watu wanaongea vibaya??? Mchunge mungu asiwapinge kiboko. Ikue ni ukweli ama uongo please mmuache kuongea vibaya Mungu tu ndie anajua
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 3 года назад
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
@jofreyraymond6444
@jofreyraymond6444 3 года назад
Siku za mwisho wengi wataiacha imani na kufuata mafundisho ya kipepo
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Umenena vema, bikira maria hawatokei watu dah BWANA YESU KRISTO awasaidie watoke kwenye mtengo wa shetani
@abdibilali4186
@abdibilali4186 3 года назад
@@marianachriss2444 hakika
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 3 года назад
Mungu atuhurumie
@rabanusnjungan7072
@rabanusnjungan7072 3 года назад
Mama utuombee
@aidanmgimwa5459
@aidanmgimwa5459 3 года назад
Bikira Maria MAMA Utuombee
@edwiniluther3263
@edwiniluther3263 3 года назад
Ameen Mariana
@peterdarteh199
@peterdarteh199 2 года назад
Wonderful
@evodirudo4813
@evodirudo4813 2 года назад
Kwa maombezi ya Mama bikira Maria utujali kuaendelea kuwa na amani na utulivu katika nchi Tanzania.
@hellenjoachim607
@hellenjoachim607 3 года назад
Maajabu ya mungu
@TeresiaNduku-u3e
@TeresiaNduku-u3e 5 месяцев назад
Huyu mtoto mungu amzaidie azindi kumpea Imani aponye wengi
@abajenezasolange6811
@abajenezasolange6811 Год назад
Oooh Lord, it was very far from her place. Only God knows why she asked her dad to bring him to this place. Allmight God bless them. im from rwanda n i really believe what they telling the world. Praise the Lord for his grace and mercy on us, hallelujah hallelujah hallelujah Amen Amen Amen 🙏.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
Nimejiuliza sana mtt alifikishwaje hapo usiku na nani? Haya mambo sijui niweke imani gani ngoja tuone mambo yajayo muda bado tunao
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 года назад
Hapa wtz tue makini chanjo ingine hiyo
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 года назад
Utachanja au hautachanja? Nihiari yako
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
@@erastonicholas5589 Sichanji kweli mpaka kieleweke
@SheltergeorgeAndrea
@SheltergeorgeAndrea 6 месяцев назад
Shalom!!! Mtumishi wa mungu
@AnnahSaidy
@AnnahSaidy 4 месяца назад
Mungu atusaidie jamaani
@JaniceMuruja-um5zw
@JaniceMuruja-um5zw 6 месяцев назад
Our GREAT GOD is wonderful no ya simu nisaidie
@floramnabwiru1606
@floramnabwiru1606 3 года назад
Mtt Yunusi Mungu akuzidishie Sana uwaponye hata wale wasioamini kwamba umetokewa na mama bikira Maria mwenyekuami na aamini na asiye amini aache
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 года назад
Amina
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Год назад
Mungu uwape imani wasio amini
@andrewdeogratiaskahwa5806
@andrewdeogratiaskahwa5806 3 года назад
Kweli dunia imeisha
@chikubundara5761
@chikubundara5761 3 года назад
Mungu ni mkubwa mno ,toto Mungu akuzidishie neema
@franciscataiti538
@franciscataiti538 2 года назад
Everything has got a cost. Without faith you can't make it.
@godslove3700
@godslove3700 3 года назад
Yes huyo mtoto ana communicate na mama Maria bt why are they helping her to answer the questions you asked her why don't they allow her to speak by her own.
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 года назад
she's too young to unswer such questions she's not their for that may God continue blessin small angle 🇰🇪🇪🇺🙏
@godslove3700
@godslove3700 3 года назад
@@judithmelvinealuchio8968 si eti siamini miye bt nili view the video with friends who comment they should allow Eunii and according to me the quiz she's been asked is small concerning to what she is doing.. Sir God and our Virgin Mary thankyou for revealing to your people Mary mother of Divine Grace Virgin Most faithful pray for us.
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 года назад
@@godslove3700 be blessed sweetheart important our faith will save us thanks much and be blessed 🙏
@irenegari735
@irenegari735 2 года назад
I noticed too Let them allow the baby to speak her encounter with mama maria
@reneynambsbinjks8830
@reneynambsbinjks8830 3 года назад
Next time try to mix some English language plz 🥺. I'm following up but I don't understand anything.
@duncankerecha974
@duncankerecha974 2 года назад
Mungu na atukuzwe kwa makuu yake juu ya watu wake awapendao.Tusome kitabu cha yoeli 2vs 8.
@dionsangoa1428
@dionsangoa1428 3 года назад
Mi nasoma coment kwanza kabla sijamaliza kuangalia ji move la kihindi kutoka goloto😬
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 3 года назад
ANGALIA
@LoloLolo-xj2nc
@LoloLolo-xj2nc 3 года назад
Eeee mungu utupemacho yarohoni
@betty4o43
@betty4o43 2 года назад
Amen dada god bless you
@rweyemamurweyongeza4879
@rweyemamurweyongeza4879 2 года назад
Amina, Bwana apewe sifa
@jushiyalemaiyan2743
@jushiyalemaiyan2743 3 года назад
i hope hawataaza biashala na huyo mutoto kwasababu that girl is God given please
@naomisamsoni1040
@naomisamsoni1040 2 года назад
Global TV mnatumia nguvu nyingi kulitangaza hili jambo
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 3 года назад
Naendelea kfatilia ....niko makini ...YESU pamoja nasi
@margaretnjuguna
@margaretnjuguna 3 года назад
As anti Yuni kwa kuitikia mwito as Mungu. Go's is full of surprises.
@theekambagirlshow6739
@theekambagirlshow6739 2 года назад
Do not judge for you will be judged. Mbona watu wanapenda kuingililia imani yetu kama wanakatoliki? Ukweli ni kwamba hatumwabudu Bikira Maria.
@dicksontomoth274
@dicksontomoth274 3 года назад
Acheni kuabudu watu kama maria ibada ya sanamu imekatazwa waziwazi na neno la Mungu mbona hamsikii?? Anayepaswa kuabudiwa ni Yehova Mungu peke yake na tuna paswa kusali kwa Yehova kupitia kristo Yesu basi na sio vinginevyo
@roselyneachieng7638
@roselyneachieng7638 3 года назад
Atukukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwazo na Sasa na siku zote na Milele Amina Mama Maria utuombe Eunice utuombe kwa Mama
@joycekimorgo5239
@joycekimorgo5239 2 года назад
Waanze kifieka na kutengeneza pahali pa kuombea sio wakae mbali hivyo.mungu awapee ufunuo vizuri ya hayo mambo
@neemashao4749
@neemashao4749 3 года назад
Ee Mungu wa Mbinguni turehemu kwa kuamini hizi Imani potofu
@obadiayusuph7096
@obadiayusuph7096 3 года назад
Eti kuna majoka hapo ni uswahili tu. Kikubwa kuokoka kumpokea Yesu Awe Bwana na mwokozi. Hayo mengine ni mazingaombwe
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 3 года назад
NI VILE MLIPOTOSHWA KUHUSU MAMA MARIA...ANAMAKUBWA AMBAYO NYIE HAMKUYAJUA.......MAMA MARIA ANANGUVU ILA NYIE MSIO WAKATOLIKI HAMJUI SASA SAA IMEFIKA. MUMJUE MAMA HUYU.......YEYE SIE MUNGU...ILA ANANGUVU KUBWA KULIKO MALAIKA KULIKO VIUMBE WOTE ......SASA IWAPO MALAIKA WANANGUVU KUBWA KWANINI MAMA HUYU ALIYE MBEBA MUNGU ASIWE NA NGUVU....WAKE UP
@TeresiaCnjau
@TeresiaCnjau 4 месяца назад
Acha ukichaa ndugu kiss na Imani Yako.
@mburujamburuja548
@mburujamburuja548 3 года назад
Ushetani in the high level! Ushetani katika ngazi kubwa.
@rebeccasefyuko7621
@rebeccasefyuko7621 3 года назад
Hakuna Mungu hapo
@beller9304
@beller9304 3 года назад
Shetani ni nyinyi
@beller9304
@beller9304 3 года назад
Siku Ile itawapata mtajikuta kwa mganga huko Mombasa
@rosemacharia8105
@rosemacharia8105 3 года назад
Jihadhali huo ulimi usiwai kuja ku regret
@aceofspades3728
@aceofspades3728 3 года назад
Ushetani plus plus hamna kitu hapo wachawi hawa ..😂😂😂
@justerkitandala8914
@justerkitandala8914 3 года назад
Shetani Yuko kazini tuwe makini Sana hizi Ni nyakati za mwisho
@happypallangyo4570
@happypallangyo4570 3 года назад
Kueni makini msifate sauti za mizim Mungu awape macho ya rohon
@edwiniluther3263
@edwiniluther3263 3 года назад
Mizimu tuuui hakuna kitu ...Bikira Maria akitokea analazimisha kujengewa kanisa ...sasa yupi hapa wa kuomba Yesu au Maria Bandia ambaye utumia jina la Mariam
@HadrianIdolius-iz3xt
@HadrianIdolius-iz3xt 7 месяцев назад
Waaaaooo ongera sana mtoto kwa kupewa baraka
@abajenezasolange8680
@abajenezasolange8680 2 года назад
Musome Peter wa2 , 2:11-13. Mungu nakwamini kwa matendo yako.
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 3 года назад
Wanaodai ni shetani hat siku moja huwezi kumsikia MTU aliye na maji ni au mapepo akitaja Mambo ya Mungu kinnywani mwake
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 года назад
Bora hata viongozi wa dini hawajihusishi katika kipindi hiki. Kama ni kitu cha kimungu kitajieleza na kujidhihirisha dhidi ya nyakati na muda wake tu.
@dionisiabaynit2916
@dionisiabaynit2916 2 года назад
Naomba za simu za baba plz
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 года назад
Shetani anachezea akili za watu subhanallah
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Kweli
@abdibilali4186
@abdibilali4186 3 года назад
Nimeshangaa Kuna muislam ka comment mashaallah ni mtikhani kwa kweli
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 3 года назад
Kama huamini afadhali kukaa kimya je ikiwa ni mambo ya Mungu utasemaje baadae!?
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 3 года назад
Muislamu ka comment hivyo kwa kuwa anasoma msaafu ,Mariam anaemtaja huyo mtoto ameelezewa vizuri na Mara nyingi Sana kwenye msaafu,tuwe na subra yatadhihirika
@lastgospel706
@lastgospel706 3 года назад
Mashehehe huwa huwaonagi
@janemakemo5635
@janemakemo5635 3 года назад
Tuangalie masndiko yanasema kutatokea manabii wa uongo wkisema Mimi ni kristo msisadiki nahayo ya mlima unaoongea hayo ni mmababii wa uongo
@juliethajames3043
@juliethajames3043 2 года назад
Kwahiyo Tena mmetupeka kwenye Mzimu Mungu wangu mbona tumepigwa
@benabdoul8762
@benabdoul8762 3 года назад
Ibilisi yuko kazini
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Umenena vema
@ivanniyeha4229
@ivanniyeha4229 3 года назад
@@marianachriss2444 basi amini ujumbe aliopewa mtoto kuwa tusali tufunge na kutubu
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@ivanniyeha4229 amini kwa YESU KRISTO ndio Kuna ukombozi wa kweli
@ivanniyeha4229
@ivanniyeha4229 3 года назад
@@marianachriss2444 Amina kabisa hata mtoto anaamini hivo vilevile ata mama anayemtokea anaamini hivo ,kwa hiyoi usipinge tu kwamba mtoto hana maono ya kweli
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
@@ivanniyeha4229 amini kuwa bikira maria hawatokei watu na haitawahi kutokea watu zitunduka ,siku za Mwisho shetani anataka kuwakusanya watu Ili aende nao jehanamu
@lucyshiko1881
@lucyshiko1881 3 года назад
Huyo mtoto either ni pepo katika mwili wa mtu ili kupotosha n kupelekwa roho za watu kuzimu ama ana mapepo kweni pia alikaa tumboni mwa mamake miaka tatu binadamu wa kawaida ni miezi tisa
@olivenjeru5033
@olivenjeru5033 2 года назад
Jamani Mambo ya Mungu tusi shindane nayo ... Our. Prophet TB Joshua ata yeye akizalizaliwa baada ya miezi zaidi ya 15..months. So wstu wasio wa kawaida maisha na mambo yao huwa togauti na wengine....
@lucyshiko1881
@lucyshiko1881 2 года назад
@@olivenjeru5033hapana huyu mtoto amezidi hata kama mtoto hakai tumboni zaidi ya mwaka miaka 3 ni nyingi sana prophet TB Joshua yupo kuzimu najua hutaelewa.halafu manabii waukweli wa mungu hawatumii maji Wala mafuta kwa watu this kid will take hundreds of souls to hell I believe she's a demon in flesh
@beatricemoshilo7524
@beatricemoshilo7524 3 года назад
Sasa magoti ya nini mzee, haya mambo hatahusiani na Mungu hata, ni mizimu, hiii, hiyo sauti ni ya nani ? Kama si mizimu
@oliverbrunoakonaay6748
@oliverbrunoakonaay6748 3 года назад
huo nafikiri utakuwa Mwangwi
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 3 года назад
Jaribu kuishi ktk Imani yako usipende Kila Mtu awe kama wew Kila unacho Amini ndicho kiwe
@nourambarak6297
@nourambarak6297 2 года назад
nafurahishwa san nahuy mtoto
@quraibi_ogbanzy
@quraibi_ogbanzy 2 года назад
please the tv station translate it to english for those who do not understand
@merrymmari2665
@merrymmari2665 3 года назад
Atukuzwe. Mungu
@MagegeMasebhee
@MagegeMasebhee 3 месяца назад
Hivi nyie mnaopingana na mtoto yunis na wale wa mafuta ya upako mnawawaka wap mwacheni mtoto atumike na mama bikra mlinde🌹amina
@marylyimo746
@marylyimo746 3 года назад
Mmmh inahitajika hekima ya Mungu sana.
@shamreenkhaemba3674
@shamreenkhaemba3674 3 года назад
You need to be taught by the Holy spirit,you might end up being led to another doctrine that is not of the bible,read your bible, remember the last days many will be led astray even the elect,I SURRENDER TO THE HOLY SPIRIT OF GOD ALMIGHTY
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 года назад
You're right. Better to be careful.
@rosekatunge8416
@rosekatunge8416 3 года назад
Amen
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 3 года назад
Hizo ni kazi za viumbe majini.
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 года назад
I have no comment on this one ☝️
@liliannyangasi2128
@liliannyangasi2128 4 месяца назад
Tumsifu Yesu Kristo naomba maombi nifunguliwe, niboone na wanangu wapate ndoa
@peterdarteh199
@peterdarteh199 2 года назад
Peter from UK very sorry I don't understand the language but I feel it
@shamimjohn9481
@shamimjohn9481 2 года назад
Its Swahili language and its about virgin daughter who blesed with god for mircle and heeling people
@anifaasumani9979
@anifaasumani9979 Год назад
kwa kweli tuna amini mama wa bwana na mama yetu aendeleye kutenda miujiza kupitiya mtoto yunis.
@ivanf.lekule5618
@ivanf.lekule5618 2 года назад
Watu ooh siku za mwisho siku za mwisho. Acheni ulofa. Mbona hamsemi mchungaji wenu Mwamposa.? Akitokea mtu Roma eti siku za mwisho.
@samwelchelule4355
@samwelchelule4355 Год назад
Mungu wetu ni wa ajabu
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 2 года назад
Ubarikiwe mtoto Unick . Uniombee nipone Allergy ya. Ngozi.
@scheffertomar2069
@scheffertomar2069 2 года назад
Ameen.
@maungosaid3812
@maungosaid3812 3 года назад
.sauti iyo nimwangwi,jaman mmepotea kabisa mmemuacha mungu,wewe unae Soma hii comment Soma warumi 10:2 ,pia ndugu shetan Yuko kazin na anatumia wanadamu,ili la iyo mtoto likowazi..tambua mungu ana hekima si Kama munavyo waza wanadam
@mwituamweene9850
@mwituamweene9850 2 года назад
People, you're ruining this baby's future...putting words in her mouth!
@HellenAwino-bu4pw
@HellenAwino-bu4pw 5 месяцев назад
Amen Amen Amen
@roseukanda6015
@roseukanda6015 3 года назад
Mungu aki jicha guliya haangaliye sura anaangaliya roho
@beatricemoshilo7524
@beatricemoshilo7524 3 года назад
Hakuna Mungu hapa, ni mizimu hii jamani,
@zeldaaugustino4677
@zeldaaugustino4677 3 года назад
Acha kuhukumu ndugu yangu Mungu hata aje kwa umbo lake halisi bado watu hawatamwamini,
@jothamekisouke8199
@jothamekisouke8199 3 года назад
Mtangazaji inatakiwa ukae mbelee!!! MBNA unarudi nyuma?
@romanuslukinja8221
@romanuslukinja8221 3 года назад
Mtoto alioteshwa !
@gabrielnyanga8155
@gabrielnyanga8155 3 года назад
Wanadamu waki kataa kuamini ukweli,wata amini uongo!
@salvareveli2091
@salvareveli2091 3 года назад
Hajui mwangwi😅😅😅
@neemacharles8042
@neemacharles8042 2 года назад
Mtoto wa mungu
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 3 года назад
amina
@marianachriss2444
@marianachriss2444 3 года назад
Jamani hamkeni ndugu zangu Siku za mwisho zimekaribia , bikira maria hawatokei watu zindukeni jamani mnadanganywa na shetani
@tanzaniat7151
@tanzaniat7151 3 года назад
😂😃nishidah
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
Wajinga ndo mchele wao
@zeldaaugustino4677
@zeldaaugustino4677 3 года назад
Usihukumu usijekuhumiwa
Далее
Avaz Oxun - Yangisidan bor
14:29
Просмотров 388 тыс.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Просмотров 99 тыс.
Mtoto ashangaza dunia
2:53
Просмотров 18 тыс.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00