Тёмный
No video :(

MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 10 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#makala #malaysia #dupamdupange

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@user-bq8rv7jm8v
@user-bq8rv7jm8v Месяц назад
Première commentaire naomba liké zakutosha jamani kama tunamukubali uyu mwamba✌️✌️✌️ Dev ESINATI 🇨🇩🇧🇮 KAHILU
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 Месяц назад
Nakubali🇧🇮🇧🇮
@josephmwirigi7718
@josephmwirigi7718 Месяц назад
Kazi isonge kaka
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 27 дней назад
Safii sana christian south africa 🇿🇦
@user-pi3ge3yu5t
@user-pi3ge3yu5t Месяц назад
Kaka uko vzr san ktk uchambuz wahii stor maan weng wamesimulia hii stor ila hawakuchambua kam ww pia wale wot ambao hawaelew hii stor usikoment ujing wew kaush t maan hii stor haikuhus ww kaka piga kaz tunakufatilia san god bless you
@zainulahmed8206
@zainulahmed8206 Месяц назад
Uko vizuri Dupa unaenda kisomi sana nakukubali
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Месяц назад
Dupa usichoke unasikia kama hujachoka gonga like zinawasaidia nini 😢
@jumas3939
@jumas3939 Месяц назад
Ndugu yangu kbsa dupa.Unapiga vizuri sana hii kazi
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 Месяц назад
😅😅😅KAMA UMEWAELEWA MASHUHUDA PIGA LIKE HAPAA😅😅😅😅😅
@markmushi8940
@markmushi8940 Месяц назад
Niko italy nakufuatilia sana story ya hii ndege unajua sana kuadithia
@JosephGeorge-s1w
@JosephGeorge-s1w Месяц назад
Hiyo ndo mbaya iyooo..🎉🎉🎉🎉
@ShanceBose
@ShanceBose Месяц назад
Powa
@marrypius576
@marrypius576 Месяц назад
Ongera san naielewa sana hii story
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 Месяц назад
KAMA UJACHOKA KUFATILIA HII SIMULIZI GONGA LIKE HAPA.😊😊😊😊😊😊
@FILBERTYONAMAILA
@FILBERTYONAMAILA Месяц назад
sasa dupa umeshindwa kutafsiri sehem ya ushuhuda na story yako haiiishi tu
@MairaAlly
@MairaAlly Месяц назад
Hadi mwisho
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Месяц назад
Hiyo ndege hayo mabaki ndio yake sema manyang'au wanakataa kwa sababu kutafuta c pesa nyingi wanapata hivyo serikali ya Malaysia akili zao zimelala wataliwa sana pesa
@user-uo6dy9qx2p
@user-uo6dy9qx2p Месяц назад
Malizia 😢kilasiku tunaruka tume😂
@LugyPlan
@LugyPlan 27 дней назад
Sema ume sio tume
@ErickMkasas
@ErickMkasas Месяц назад
Bro Dupa naomb kuuliza kama ndo mabki ya ndege kwann mait za wale abiria azikuwai kuonekana...? Ili wapime DNA.
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 Месяц назад
Huna lolote kuvuta stry ili upate views 2 unashindwa kumaliza stry bure kbsa
@paramaa5839
@paramaa5839 Месяц назад
Mm sahv siangalii mpaka umalize hii story sku nikirud xx nikubadilisha tu kama ep zakikorea😫😫☹️☹️😡😡😤😤Why Why whyyyyyyyyyyyy iiiii Between my sm u re passing through I hate uu uu uuuuuuuuuuuu!! 😋😏nyau kabsa, bora kula dagaa kwenye aman kuliko__________
@mwanetu
@mwanetu Месяц назад
🦾
Далее
The Miracle Of The Stowaway - Headline Hitters 8 EP 3
34:48