Aslm alkm ww... Masha Allah!!! Allahu maswali ala sayidna Muhammad wa ala ali sayidna Muhammad kama swalayta ala sayidna Ibrahima wa ala ali sayidna Ibrahima wa bariq ala sayidna Muhammad wa ala ali sayidna Muhammad kama baraqta ala sayidna Ibrahima wa ala ali sayidna Ibrahima fil alamina innaka hamidun majid. Jazakallah kheir 🙏
Allah ni muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ukiwemo na wewe , ni mmoja tuu hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa,,Alhamdulillah kuwa muislam..
Ni muujiwa wa science, maana ayo wanayo soma ma professor miaka na miaka na kufanya uchunguzi kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa wanakuta kumbe tayar kitu kisha ongelewa katika Qur'an