Duh! Alhamdulillaah ALLAH awalipe kheri. Kuna wenzetu wa walikuwa wanatudanganya kwamba kaburi la Mtume Swalla llaahu 'Alayhi Wassallam limejengwa wakitumia kama ushahidi wa kufaa kujengea makaburi kumbe kuna muonekano wa nje na ndani.
Alhamdulillah wallahi nimefarijika sana leo maana kuna wenzetu wengine hata hawajawahi kubahatika japo kuonana kwenye cm namshukulu Allah Alhamdulillah
Alhamdlillah nishawahi fika hadi ndani,Lakini kabla nisafiri Makka na Madinna nilimuomba Mungu nifike Makka na Madinna katika ibada zangu za Nyuma katika sijda,Sikujua kama nitapata ajira Saudiarabia lakini ilitokea ghafla tu na nikasafiri,Nikafanya kazi Mwaka mmoja na miezi kadhaa nikaomba ruhusa kazini yakuenda Umra nikapewa,Alhamdlillah nikakanyaga miji mitakatifu na kuishika Al Qaaba kwa mkono kabisa.Ndugu Waislam hii nikuwashauri kua Mungu anajibu Dua msikate tamaa subra na Sala ndio kitu muhimu.Allah anajibu wallahi
Hiki sio kweli.Poleni wenye iman za makaburi.Mnazidi kuundiwa undiwa picha. Kwani Hairuhusiw mtu Kupiga Picha kabur la Mtume.Ni Sheria ya Nchi ya Saudia.
@@mhandomhina5503 خلق السماوات والأرض بالحق وصوركم فأحسن صوركم. Kazi hiii ni ya Allah peke yake. lakin pia zimekuja Hadith nyiny mno Pia Rejea Kitab Riyaadhw Swalihina Utakuta Mlango wenye kuelezea Uharamu Wa Picha. Jitahidi kusoma Ndugu yangu.
Sasa mbona nawe wazitazama hizo picha haliyakuwa ktk Riyadh..... kimekemea!!!,magazeti wasoma wewe,tv imani watazama wewe kitambulisho cha nida unacho wewe na mabango mbalimbali unayatazama wewe ,iwe ktk cm yako au vinginevyo.ACHA KUMUASI M/MUNGU HUKU UKITUDHIHIRISHIA UNAMPENDA BWANA.
@@user-qe8xp6ii1u Sio kweli wanaruhusu sema sio rahisi nimeona video ya kaburi pa mtume kwa watu maalum ndio ndio wanawaruhusu ila kaburi limejengwa ukuta hulioni andika humu utapata video