Тёмный

MAAJABU YA SIKU YA JUMAMOSI!!! No 1 

Allykk tv
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Unatakiwa kunisikia vizuri shida yetu ni kukalilishwa na uvivu wa kuosoma vitabu na kuvitafakari ila kama una mpenda Mungu mpenda Mungu hatukani watu na nimwema kwa viumbe wenzie sasa mpenda Mungu natukana!!! Hafai tuwe wa starabu na tuheshimu mawazo na sio vibaya nawe uka wa na mawazo yako na mimi nimeongea vyema maana siku mfananisha mungu na chochote.
@mokwaxymokwaxy-fc8lx
@mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 месяца назад
kaka kwa jumamosi ni kweli kabs mm siku ya jumanosi nauza sn biashara yangu yani yanaenda vzr jumamosi
@harunamtiko117
@harunamtiko117 17 часов назад
Kwa hayo mambo ya harmonize sasa nishakutoa kwenye reli.
@hamisimaleda3994
@hamisimaleda3994 2 месяца назад
Mungu kasema hafananishwi nachochote huyo msanii alikosea kumfananisha mungu
@Noor2024-l8s
@Noor2024-l8s 2 месяца назад
Sasa kwahiyo mimi n niko ijumaa najumamosi au..jina langu linaanzia n mwez januar sasa nikifatilia najiona jumamosi nipo ijumaa nip nishike lipi ajabu napenda nguo nyeusi nanyeupe tu.sasa sielewi
@AminKanefu
@AminKanefu 2 месяца назад
Mashallah mashallah
@Official_JayC
@Official_JayC 2 месяца назад
Naomba kuliza ivi nikiwa mm sayar ya udongo na nikamuoa mwanamke mwenye sayar ya udongo je itakuwaje apo
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Pekua hpo yapo majibu
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Tutajibu
@mahamedally5129
@mahamedally5129 2 месяца назад
Kaka achana na mambo hayo utaharibu kazi
@MamuuTwahir
@MamuuTwahir 2 месяца назад
Punguza kukufuru
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 2 месяца назад
MUNGU ni Roho takatifu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 месяца назад
Babu kweli hapa umesema nani anaye mjua MUNGU kuwa ana jinsia gani
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Hakuna anaejua hilo tusikalili.
@MamuuTwahir
@MamuuTwahir 2 месяца назад
Oy usitaje juu umiliki ww hayakusu kuhusu uungu
@georgenjeri8547
@georgenjeri8547 2 месяца назад
Hii Elimu Na Vitabu Vya Dini Kuna Uhusiano?
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Sijui lakini hii ni Elimu ya Jua
@MamuuTwahir
@MamuuTwahir 2 месяца назад
Masomo yako yote kamfundishe mamaako na babaako mbwa mshirikin we
@FumuMabula
@FumuMabula 2 месяца назад
Mimi na kusikiliza sana, Lakini ukianza kukufuru utabadisha asali kuwa mavi. Ukizungumzia kufuru za harmonize. Unanifanya nikuzalaau sana kama mavi
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
SHIDA NI KUFILIA NA KUJUA KUFURU NINI?
@SaidiKilobo
@SaidiKilobo 2 месяца назад
Tatizo letu ss binaadamu uelewa wetu ni mdongo
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 2 месяца назад
Mkuu vp kuhusu , no 6,78 zipo wap naomba msaada kufahamu
@allykk1459
@allykk1459 2 месяца назад
Sijaelewa swali lako naomba nicheki kwenye WhatsApp 0765559042
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 26 дней назад
​@@allykk1459❤
Далее
MAAJABU YA SIKU YA JUMAMOSI!!! No2
21:11
Просмотров 837
"Mawazo" Sehemu Ya 5.  (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian
34:48
DOTA 2 - ПРОКЛЯТЫЙ АККАУНТ?!
23:03
Просмотров 280 тыс.
MAAJABU YA SIKU YA JUMANNE!!!
20:25
Просмотров 2,1 тыс.
MAAJABU YA SIKU YA IJUMAA!!!
18:36
Просмотров 2 тыс.
"Mawazo" Sehemu Ya 25 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia
34:46
"Mawazo" Sehemu Ya 21 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia
35:04
Somo "Akili" Sehemu Ya 1. Dr.Elie V.D Waminian
38:02
Просмотров 74 тыс.