Mashaallah Allaah akuongoze na akuepushie nafitna za ulimwengu na akukinge na maradhi mabaya na mwisho mwema Inshaallah ❤ Nakupenda kwa ajili ya ALLAAH ❤
MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kila la kheri katika mambo yako leo hapa duniani na kesho akhera na atuajalie sote waislam na mwisho mwema
Aslm alkm wwt brother dua ya kunganisha waliogombana watu wa familliar moja fitnah ikaingia katika familliar hadi mume na mke wakatengana sheikh tunakuomba utufunze namna ya kuomba dua cc ni wanafunzi wako shukran sheikh