Тёмный

MAANDAMANO CHADEMA GUMZO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 3 часа назад
Bila mapambano serekali ya umoja wa kitaifa Zanzibar isingepatikana,.
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 6 часов назад
CCM watatumaliza wahunii kabisa
@reginas1832
@reginas1832 2 часа назад
Tanzania hajawahi kuwa na amani. Amani bila haki ni uongo
@charlesnyamiti3172
@charlesnyamiti3172 3 часа назад
Hii nchi Ina watu wa hovyo Sana, watu wasio na uthubutu wa kusema kweli na kukemea maovu bila kujali yamefanywa na nani! Nchi hii inahitaji Kina Mbowe na Kina Lisu wengi zaidi ili kusafisha na kuondoa uchafu wa kiutawala na matumizi mabaya ya vyombo vya Dola! Kuna wakati ninakubaliana na Ukweli kwamba "Amani haiji ila kwa ncha ya Upanga" Bila kuheshimu uhuru na haki za watu kuna siku nchi hii watawala wataiingiza katika machafuko makubwa!
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 4 часа назад
Mpaka hapo watangazaji nanyie mmekubali kuwa polisi ni wauwaji tarehe 23 wanaweza kuuwa zaidi tena hazarani?
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 часа назад
Machawa mnachambua magazeti kichawachawa! Hovyoooo kabisa! Mnaongelea polisi kuua watu kwa risasi na kuweka vionjo vya kichawachawa! Kwa nini msiweke vionjo vya kuonyesha kwamba maandamano ni haki ya wananchi kikatiba na yanastahiri kufanyika kwa Amani huku polisi wakilinda Amani ya wananchi??? Mko bize kuchombeza kwa uchawa kwa habari za kutisha wananchi!
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb Час назад
Inaumiza saana😢kama wanawapa sifa mapolisi badala ya kukemea uchawa tu
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 57 минут назад
Nakupigia CUF tulifia Zanzibar yetu
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 5 часов назад
Kwa hiyo ninyi watangazaji mnaunga mkono upuizi wa unaofanywa na Hii Selikari,endeleeni sasa,yakiwafika mtajua.
@hazolemwashemele4308
@hazolemwashemele4308 3 часа назад
WAPUUZI WATATU
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 2 часа назад
Lipumba ashaua chama hana jipya
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z 4 часа назад
Watu wanapaswa kufahamu "Watu wafikiri zaidi"
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 3 часа назад
Hata ukiwa kimya bado utakufa tuu,hata mzee ali kibao hakuna aliyemjua tulikuja kumjua alipo kufa wazo la Lipumba siliungi mkono.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 часа назад
My brother umenena point,hatujui Kesho ni wewe au mimi tutafuata
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga Час назад
Point broo
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 5 часов назад
Haki ndiyo inazaa amani
@sebastianmmasa5163
@sebastianmmasa5163 4 часа назад
Wananchi wanapigania nchi na haki sio chama! Wale wa CUF walikuwa wanapigania nchi sio chama
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 Час назад
Sio wamekufa semeni waliouliwa
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 5 часов назад
Heriiiiiiii
@isumailparadiso2074
@isumailparadiso2074 Час назад
Machafuko hayawezekani hap tanzania labda kenya
@EdwardBalloho
@EdwardBalloho 2 часа назад
𝔫𝔞𝔲𝔠𝔥𝔲𝔨𝔦𝔞 𝔪𝔲𝔲𝔫𝔤𝔞𝔫𝔬😢😢
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 часа назад
Ndiyo waambieni wakina mage kimavi😮😊
@CharlesMaghembe
@CharlesMaghembe 2 часа назад
For every action there is equal but opposite reaction.
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 часа назад
Hakuna serikali hata moja duniani inayowe kuridhia kuchezewa na kikundi cha baadhi ya watu, ulisema chadema inatetea wananchi ni uongo. Kuna acr, ccm, cuf n.k. hatutaki upumbavu wao.
@Steve-q8m
@Steve-q8m 3 часа назад
Bila kupigiwa kelele nchi na uongozi uliopo hawatabadirika Tania zao za udikteta
@kandecharlessanduku1539
@kandecharlessanduku1539 2 минуты назад
HAKUNA SHIDA BILA KUFA HAKUNA HAKI
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 часов назад
We hando nikibararaka wa ccm usitishe watu ccm wamezoea kuuwa watu na kuwateka
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 32 минуты назад
Sio Ando pekeake ata zembela pia
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 5 часов назад
Maandamano ni haki ya kikatiba kabisa ila inavyochukuliwa sindoilivyo hata kenya wanatushinda kwa democracy
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 часа назад
Kenya bado sana😂, walipewa hiyo haki ya maandamano ila kinyume chake walichokifanya ni kinyume sana, watu waliharibu kila😂 kitu hapa utasema wanatushinda ?
@derrickmsa8505
@derrickmsa8505 Час назад
Hando huyu uchawa ni too much!
@AdamCheze
@AdamCheze 4 часа назад
Maulid Ww Hauna Upande Kwel
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r Час назад
Mimi Chadema kindakindaki.ushauri wangu tusiandamane.wametuzamilia.tutaonana ktk masanduku ya kura tu.
@reginas1832
@reginas1832 2 часа назад
Kwa nini mnakimbilia kwenye maandamano???? Waachie vijana wetu . nyie hamfai kabisa hata kwa dawa.
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 4 часа назад
Hawajafia chama wamefia nchi yao
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 часов назад
LABDA WAANDAMANE KWENYE MITANDAO 😢😢😢😢😢SACCOOS WAMECHEMSHA DAKIKA 90 HAWAZIWEZI
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 5 часов назад
Wewe kama unaona ni upuuzi,tuache tuliotayari tuandamane tumechoka kutekwa,kuuwawa,ghalama za maisha kupanda unyanyaswaji.Siku yakikufika utaelewa.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 4 часа назад
​@@NuruLutembeja-h1rtunakusubilia paleeee.ila usisaau kubeba nafamilia yako kwenye ayo maandamano yenu.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 4 часа назад
😂😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 часа назад
@@NuruLutembeja-h1r MAANDAMANO HAYASAIDII UNGEENDA KWA MCHUNGAJI AU PALOKO ANGEKUFANYIA MIUJIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 4 часа назад
@@khaalidcheo5383 kwa sasa utacheka kwa kuwa hatuna ukobozi wa kifkra,siku tukipata ukombozi wa kifikra hauta Cheka Bali utafurahi.Nivyema tukabadilika na si kujikinai katika mbawa za kuitwa wanyonge wakati tunateseka.
@derrickmsa8505
@derrickmsa8505 Час назад
Yani wewe Hando huoni shida zilizopo nchi hii?
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 31 минуту назад
Ando mshamba sana
Далее
GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA RAIS SAMIA MAMBO MAZITO
21:28
Распаковка Monster High Potions #monsterhigh
01:00
Charlie Chaplin - Shoulder arms movie (1918)🍿
37:14