Тёмный

Maandazi Chap Chap 

Malkia Foods
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Unga Ngano/ All Purpose Flour 1kg
SuKari/Sugar 4tbsp/ (1/4cup )
Chumvi/Salt 1tbsp
Iliki/Cardamom 1tbsp
Hamira/Active Yeast 1 tbsp/11g
Maji / Water 1 +1/2 cup
Baking Powder 1tbsp
butter/Prestige 1tbsp

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@deboradavid7833
@deboradavid7833 Год назад
Ewaaaa maandazi in an easiest way 🔥🔥🔥 bless you mama 🥰🥰
@hellenkanijo
@hellenkanijo 9 месяцев назад
Asante mpenz ila mbn cku ya kwanz ukipik yanakuwa malain cku ya pili yanakuwa magumu makosea wp
@helenhenerick
@helenhenerick 6 месяцев назад
Yaan katika wapikaji wote wa RU-vid hapa bongo wewe ndo unajua maana wengine vipimo hata hawaelezei yaan wanageneraze mara nusu bakuri mara nusu kikombe lakini wewe unaelezea vizuri sanaa hongera
@malkiafoods
@malkiafoods 6 месяцев назад
Asante sana
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Год назад
Asante kwa mapishi yako, nina njaa
@erycah
@erycah Год назад
Habari dear, kama nikipika nusu kilo naweka ingredients nusu nusu?
@Maggie_32
@Maggie_32 2 месяца назад
MALKIA MWENYEWE…Thank you dada
@anniefrankie8110
@anniefrankie8110 Год назад
My dear kwann yangu yakikaa kesho yake yanakua magumu? Ila siku ya kwanza malaini kabisa? Nakosea wapi?? Asante kwa somo
@kimtiktoker3212
@kimtiktoker3212 Год назад
Unajua sana kupika mashaalah
@shamilajumasalum2023
@shamilajumasalum2023 Год назад
Kwann usiwe na kipindi kwe TV jmn SKU nyngne hatuna mb so tunAkosa darasa
@malkiafoods
@malkiafoods Год назад
Mungu akipenda
@elijahthadeus2745
@elijahthadeus2745 Год назад
Nashukuru sana kwa recipes nzuri na kwa mda wako unaotoa Mungu akubaliki Dada...🙏🙏
@malkiafoods
@malkiafoods Год назад
Amina mumy
@MaryamAlmahrooqi-p8j
@MaryamAlmahrooqi-p8j 11 месяцев назад
Dada nimependa mapishi yako naomba no yako gsm
@imeldastaki4398
@imeldastaki4398 Год назад
Asante
@HadijaSelemani-rf8cl
@HadijaSelemani-rf8cl Год назад
Kwann usiwe na wasapy
@belindajohn3061
@belindajohn3061 Год назад
Umesahau kutuandikia kwenye description baking powder na siagi uliyoweka na kwenye video umetumia hivyo vitu nilitaka kujua umetumia tu kiasi gani ???
@malkiafoods
@malkiafoods Год назад
Ipo love.
@HalimaSelemani-t3o
@HalimaSelemani-t3o 7 месяцев назад
Natamani.kujua.namm.ila.yanakuwa.magumu.shida.nn
@celestinajoseph3227
@celestinajoseph3227 Год назад
🥰🥰🥰
@fatmakhelef2943
@fatmakhelef2943 Год назад
Wa kwanza leo kipenzi
@malkiafoods
@malkiafoods Год назад
Nakupendaaaaa🥰
@irenecandyk
@irenecandyk Год назад
Niko tele
@marianamichael5406
@marianamichael5406 11 месяцев назад
Mafuta na maji umeweka kiasi gan wakati wa kukanda
@malkiafoods
@malkiafoods 11 месяцев назад
Angalia description box
@veronicamabula5124
@veronicamabula5124 Год назад
Asante
@HalimaSelemani-t3o
@HalimaSelemani-t3o 7 месяцев назад
Natamani.kujua.namm.ila.yanakuwa.magumu.shida.nn
@a.856
@a.856 Год назад
Asante
Далее
Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo
5:32
Просмотров 12 тыс.
Меня знают уже все соседи😅
00:34
MAANDAZI YA BIASHARA MATAMU SANA NA LAINI‼️
8:26
Просмотров 455 тыс.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
Eet-Sum-Mor Biscuits/cookies
5:20
Просмотров 30 тыс.
Меня знают уже все соседи😅
00:34