Тёмный

MAARIFA ADAI KUWA, YOUNG LUNYA BADO ANAHITAJI KUKUA | SIO RAPA MKALI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@mellobaby4647
@mellobaby4647 Месяц назад
Bhna tuseme ukweli MARIFAA nomaa
@fauboy7503
@fauboy7503 Месяц назад
Icho kidemu ni ki hater cha maarifa..😂
@salimabrahman3525
@salimabrahman3525 Месяц назад
Kumbe na wewe umeona
@user-cg3cm4qv4q
@user-cg3cm4qv4q Месяц назад
Truth
@NurdiniMasudi-sp8mz
@NurdiniMasudi-sp8mz Месяц назад
tufikie hatua tuseme ukweli Aisee maarifa umetisha ..good Explanation
@macochal4423
@macochal4423 Месяц назад
hahahahaha ila maarifa eti ndo utaftaji mambo yatakuwa sawa ..........respect sana mamen the big thinker umeongea bonge facts yan and all ov dem are de truth..
@kaya.o5483
@kaya.o5483 24 дня назад
Wasafi acheni unafiki. Dogo hana uwezo mukubwa munajaribu kumukuza ila maarifa ni mukubwa sanaaaa kaziba pengu
@Stevekapugi
@Stevekapugi Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉namkubali sana maarifa🎉🎉🎉🎉
@tirathegreat8839
@tirathegreat8839 24 дня назад
Maarifa the Big thinker
@snaidertv1857
@snaidertv1857 Месяц назад
Wote ulio wataja walikuwa najua kufreestye walikuwa wanajua had kuandika mistari
@ramanine4768
@ramanine4768 Месяц назад
Mkn❤🎉
@BithooBizzo
@BithooBizzo 8 дней назад
Uyo dem hajui hphp
@ShizoMsosa
@ShizoMsosa 24 дня назад
Maarifa mkali kuliko runya huo ndio ukweli
@babawaubatizo1938
@babawaubatizo1938 Месяц назад
Sio kila rapper anaweza kufanya freestyle, na kwa hii interview waandaaji mmezingua. Ilitakiwa na maarifa mumpe beat nyingine afanye afanye freestyle. Ingawaje namuamin sana maarifa kuliko Lunya lkn mmekosea sana kumfanya maarifa ndio amuongelee lunya katika kwa upande wa makosa. Hawa wote ndio watu walioushikilia huu mziki wa hip hop kwa sasa, inafaa wakae pamoja na tupate vitu vizur kutoka kwao, wote wawili.
@tirathegreat8839
@tirathegreat8839 24 дня назад
Bro Mc lazima ujue mitindo huru
@Vichuda_Tz
@Vichuda_Tz Месяц назад
Huyo anapga trap then hyo Beat Ni Ya HipHop So Msilaumu sana
@FrankFidelis-bh3qs
@FrankFidelis-bh3qs Месяц назад
Nilimweleza sana mbuzi na angetumia kuchan katika ile biti wange mwibia kweli mistari mbuzi kashawasoma vijana 😂😂😂😂 ila mbuzi ana uwa kinoma 😅😅
@SalminRahis-kd9sv
@SalminRahis-kd9sv Месяц назад
Huna topic
@user-cg3cm4qv4q
@user-cg3cm4qv4q Месяц назад
Maarifa keeps staight on the point,
@josephexaud4994
@josephexaud4994 Месяц назад
also ukiwa kwa media dada yangu ni better ukaficha upendo wako kwa lunya huwez mwambia artist it's better to be silent umenkwaza sana ety dis haina fact basi kama ni rahisi fanya wewe
@Lins_I
@Lins_I Месяц назад
Ndio maana hajautuna @YoungLunya bado anakua acha kumuekea class anaenda kwa kasi yake
@geeasap825
@geeasap825 Месяц назад
Uyo demu anapagawa na style ya young Lunya kwa sababu fan base kubwa ya Lunya ni madem, anasema mistari haina mashiko kwa sababu she's too soft kusikiliza punch lines hana uwezo wa kuprocess lines anazotema maarifa ila kuprocess soft ass lines za lunya anaweza maana ni taarabu style ya lunya
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 Месяц назад
anapenda nyimbo za young lunya kwa sababu yeye ni dem pia😂
@GivenMwatebela
@GivenMwatebela Месяц назад
Alichofanya Maarifa ni kuonesha uwezo wa Ku rap kwenye beat iliyomshinda Mbuzi
@donlee9992
@donlee9992 Месяц назад
Mbuz kachemka😂😂
@Yubyplanet
@Yubyplanet Месяц назад
Namkubal sana maarifa
@jay-bblueband7140
@jay-bblueband7140 Месяц назад
Wakitoka malehem wot waliokufa wakal anafwat lunya
@Mcsceo
@Mcsceo Месяц назад
Acheni kuwa proko uchafu huu mariifa maariifs hivi unamzungumzia 🐐 upate mirage😂
@etizzleboy8992
@etizzleboy8992 23 дня назад
huyu dem hajielewi aisee
@martynbarrack210
@martynbarrack210 Месяц назад
Alijiona mbuzi kwakushirikishwa kwa hennessy kumbe
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Месяц назад
Mtu mwelewe amejibu vitu vyenye mashiko
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm Месяц назад
Nakumbuka freestyle ile walioifanya ndani ya treni akiwa lunya yeye maarifa na kontawa aliwakalisha wote wawili lakn leo anajifanya anamuweza😂😂😂
@richlord22634
@richlord22634 Месяц назад
Kwahyo Maarifa ndio anamulekeza Lunya nn afanye, ananichekesha sana😂😂😂, maarifa n mwana hip hop sio rapa, rapa lazima awe na flow za rap kama Lunya, alafu pia hip hop ya kizazi cha sasa haihitaji tu mwana hip hop inahitaji rapa, mtu yeyote anaeweza kutunga verse za kihip-hop anaweza kuwa mwana hip hop lakini kuwa rapa inahitaji uwe na flow za rap... Sasa Maarifa anaweza kutunga lakini hawezi kurap, kwenye nyimbo zake anaongea tu kama Mrisho Mpoto flow za rap hana, zero kabisa yani... Chengine Mbona Lunya alishaweka wazi ileile siku ambayo alikataa kufreestyle kuwa ameandika nyimbo nyingi tayari, zengine hajazi-release anahofia aka freestyle mistari ya moja ya nyimbo zake ambazo atakuja kuzirelease maana kaandika nyimbo nyingi hadi zengine hakumbuki utunzi wake aliandikaje.
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 Месяц назад
Wewe akili hauna
@maukilah8680
@maukilah8680 Месяц назад
Naomba like Zangu
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Месяц назад
Go get a job
@taaborafm
@taaborafm Месяц назад
Maarifa ni muuaji wa kimya kimya he is a genious huyo lunya mwambieni aridi shule tena maybe somo la rap hakulielewa funs needs contents not swaggs only and being proud your self all over the moment mwambieni ukweli mkimpamba basi hatokuwa na muda mrefu kwenye game
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 Месяц назад
Naona unju hatakiw kupewa airtime wakat ndo freestyler mkali
@maliganyakanuda
@maliganyakanuda Месяц назад
Uhakika kabisa
@muddytv1513
@muddytv1513 Месяц назад
Maarifa is real meaning UMETISHA.....he must grown up lunya
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Месяц назад
Et mistari ya next project😂😂 umeambiwa free style sio project mashavu yale
@taojuma3277
@taojuma3277 Месяц назад
Huyu demu mtangazaj bwabwa tuu
@manenoramadhan1432
@manenoramadhan1432 Месяц назад
Hip hop ni mmoja tu aliebak ni chidbenz sasa hizo elim mnazotaka huyo maarifa bado mdg sana
@MackameHassani
@MackameHassani Месяц назад
Huyu nae pimbi tuu simuelewagi mm
@Mrlucas-ic6ks
@Mrlucas-ic6ks Месяц назад
watangazie
@tonotvonline3070
@tonotvonline3070 15 дней назад
...Hichoo kidem MATAKOO yakee😂😂kinaujuaa mzikii kwel ?? Mwanang maarfa hyo demu akikushobokea Tia DOLE🖕🖕
@hamilmody1940
@hamilmody1940 Месяц назад
Uyo mtangazaji dem kum* kwel mtu kashindwa afu unasema so km kashindwa kafanyaje sasa anamtetea au basha ake
@mohamedmtenjera1990
@mohamedmtenjera1990 Месяц назад
Lunya pesa mbele san
@careenRenatus
@careenRenatus Месяц назад
Alitia aibu mbuzi,
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Месяц назад
Maarifa akili nyingi mpumbavu hana jambo kashindwa kupita na mdundo
Далее
YOUNG LUNYA NA WAKAZI KIMEUMANA LIVE TIMES FM
28:34
Просмотров 14 тыс.
УДИВИЛА ПАРНЯ🤯👏
0:20
Просмотров 5 млн
Медвежий папа
1:00
Просмотров 4,6 млн