Тёмный
No video :(

MADHEHEBU KATIKA UISLAMU (Sunni,Shia,Shafi,Hanafi,Maliki,Hanbali nk) | SH.SALIM SHAMS 

Africa TV2
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Tupate mitandaoni kupitia
Facebook : / africatvch2
Instagram : / africatvch2
Telegram : t.me/africatv2
Twitter : / africatvch2
#AfricaTV2#UlizaUjibiwe

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@HabibaAliAlio
@HabibaAliAlio 14 дней назад
Mashaallah
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Wasojijua Kama Mimi wako dhehebu gani' katika Uislam' tujuane kwa like hapa👇
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 Год назад
BASI KAMA MTUME (SAW) HAKUWA NA MADHEHEBU BASI USISEME DHEHEBU FULANI HALIFAI.. HIVYO MADHEHEBU YOTE NI UZUSHI TU! MUHIMU NI KUMUAMINI ALLAH NA MTUME MUHAMMAD (SAW).
@MuhammadShariff-ji9ye
@MuhammadShariff-ji9ye 3 месяца назад
Ungesema madhehebu ya ahlul suna nisita Malik shafi hambal hanafi salafi na answari Sunna hapo tungekuelewa mtu akisema lailaha illala Muhammad rasululla yaani akatimiza nguzo Tano huwezi kumtoa katika uislamu Wacha kubambanya majibu
@abiabi9353
@abiabi9353 6 месяцев назад
Tatizo la mawahabi wameacha njia isiyo na Shaka alowaachia mtume njia ya kufata alhlulbayt wakaamuwa kufata njia yenye Shaka ya maswahaba. Niwazi kuwa maimamu 12 alotuach8a mtume wote wametakaswa kutokana Maelezo ya Quran.kwa hiyo njia yao haina shaka.lkn njia ya maswahaba inashaka kwasababu mtume kasema miongoni mwa maswahaba mna wanafiki,kuna anbao watabadilisha anri za mtume.kwahiyo ukichukua kwamfano hadith kutoka kwasahaba huna uhakika kama swahaba huyo ni miongoni mwa wanafiki au la.
@hamynas
@hamynas Год назад
kwa kuwa wewe ni salafi ansarusunna muwahab basi umejipa uhalali kuwa ni muislamu wengine siyo waislamu? unajiita salafi ya nini sasa? si ujiite muislamu tuu itatosha? jambo jingine wewe umejiita salafi lakini ukawakosoa ahlusumna baadae ukajinasibisha na ahlusunna?sheikh mbona hueleweki?
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Год назад
Allah atupe hidaya na tawfiiq, shehe Allah akulipe lkn Kuna sehemu kubwa ktk majibu Yako hujatoa majibu ya kukinaisha Watoto wa mjini wanasema umebambanya.
@nyambevalentine8293
@nyambevalentine8293 Год назад
Huyu ndio unamkabidhi mtoto wako amfundishe, Allah atunusuru, swali halijajabiwa hata Kwa 20%
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Год назад
Kwan answari katika hao maimam wanne wanamfta imam gniii weweeeee acha
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Год назад
Hahahaha hahahaha, umeona haya kusema masalafi ndio wameongoka na lzm tuwe masalafi, lkn sio kuwa mashaafi, kuwa wamaalik, wa wahanafi. Umeona haya kusema Hutakiwi kuwa mshafii au muhanafi ila unatakiwa uwe km msalafi. Allah atuzidishie elimu na atukinge na taasubi mbaya pmj na umakundi
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 Год назад
Mtume alikua Dhehebu la Salafi?? Tumieni akili ninyi dhehebu Bora ni ahlu sunna waljamaa na umbile aliloumba Allah ni Quran 30:30
Далее
Madhehebu katika sheria - Sheikh Mbarak Ahmed Awes
47:45
УГАДАЙ ЕДУ ПО ЭМОДЗИ! #shorts
00:57
Просмотров 106 тыс.
Qurani ya Sunni na Shia ni moja?
13:37
Просмотров 239
TOFAUTI YA SHIA NA SUNNI Sheikh Ayub Rashid
57:48
Просмотров 4,9 тыс.
HUKMU YA KUMLIPIA SHIA KUSOMEA USHIA
12:45
Просмотров 5 тыс.
Ukweli juu ya Palestina | Shk. Stambuli Abdillahi Nassir
1:28:36