Тёмный

MAFIRAUNI: WALIOGA MIKOJO / WAKAJIITA MUNGU / WALIKATA PUA NA KUPAKA WANJA ! 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 927 тыс.
50% 1

MAFIRAUNI WA MISRI ; NI WAFALME WALIOKUWA NA VITUKO VINGI SANA, WAKAFANYA DHAMBI ZA KILA AINA BILA KUMUOGOPA MUNGU.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 658   
@zainabmussa1800
@zainabmussa1800 5 лет назад
Una voice nzr Kaka angu,ALLAH akubariki😘
@fatmanasornasor9047
@fatmanasornasor9047 5 лет назад
BC mwambie akuowe
@bekaboy6520
@bekaboy6520 4 года назад
Zainab Mussa mamb
@atanacylaves426
@atanacylaves426 4 года назад
Hhahaha
@atanacylaves426
@atanacylaves426 4 года назад
@@fatmanasornasor9047 ukowp ww
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 4 года назад
😂😂😂😂😂
@njilaboy4839
@njilaboy4839 5 лет назад
Mtiga abdallah na jamali mustapha nyie watu hatari sana voice konk kaama unawakubali hawa watu wa the story book gonga like
@jahamauzo4864
@jahamauzo4864 4 года назад
Nakubali xana
@meckykyerux968
@meckykyerux968 5 лет назад
Wanao penda the story book Kama mm like apa💪💪💪
@poulsenmc4970
@poulsenmc4970 5 лет назад
Mecky Kyerux support us our Best song
@meckykyerux968
@meckykyerux968 5 лет назад
POULSEN MC 👍👍👍
@godfreyignas9101
@godfreyignas9101 5 лет назад
Kama kawaida nataka xtory kama zote
@godfreyignas9101
@godfreyignas9101 5 лет назад
👔
@vinjaoko8083
@vinjaoko8083 5 лет назад
Tunaipenda sana
@k.c.s.kelvinclassicswagg2098
@k.c.s.kelvinclassicswagg2098 5 лет назад
duuh.... mb zangu zimepata pakuishiaaa.... thanks bro
@sharifasharifacharles6034
@sharifasharifacharles6034 4 года назад
Allahumma ansurnah ewe mwenyez mung tunaomb utuepushe na balaa la dunia hii ewe ya rabbii
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 5 лет назад
Story amazing... Kuna mengi nilikuwa sifahamu.. Sasa nimefaham... Hongereni WASAFI MEDIA MUENDELEZE HUU UTAMU KUNOGA....
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 5 лет назад
Napenda sanaa story na una voice nzur ya kuhadisia story hongera broo
@taizaniluboy7695
@taizaniluboy7695 4 года назад
Uko vizuri mzee
@jairzinhojunior5653
@jairzinhojunior5653 4 года назад
Zko vizur xna
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
@@taizaniluboy7695 🙏🙏🙏
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
@@jairzinhojunior5653 Tena Sana ila ndyo hyo kashahama wasafi media
@matthewsowino8703
@matthewsowino8703 4 года назад
sema mashallah
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Sauti ya mtangazaji kidogo ifanane na Millard ayo! Ni fire 🔥!
@lordmasali3410
@lordmasali3410 4 года назад
Umeonaaa eehh
@joycemanyuka7306
@joycemanyuka7306 4 года назад
Galina ukweli hilooo
@esterjema2932
@esterjema2932 3 года назад
Umeonaee mwenyewe nilijua Ni yeye
@meddybhurna310
@meddybhurna310 3 года назад
Mmh!!
@stevendickson2228
@stevendickson2228 3 года назад
Ndiyoo
@sanjaog8944
@sanjaog8944 5 лет назад
Kama na ww unamkubali jamaa huyu mtoa story gonga like 🔙
@husein.ibrahim2825
@husein.ibrahim2825 5 лет назад
atar sana
@nestorykweyunga6407
@nestorykweyunga6407 5 лет назад
Sanja Og nice
@peterbillas9131
@peterbillas9131 4 года назад
Hiistori ni ya uongo
@richardefrem4043
@richardefrem4043 4 года назад
Uyu Jamaa namkubali sana
@hyasintabenedicti9154
@hyasintabenedicti9154 4 года назад
Safi
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 5 лет назад
Muweke English subtitles coz wasafi TV ni brand kubwa , watu tofauti wanaangalia.
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 лет назад
Karama Nazareno:Kwani ndo lugha ya taifa hiyo??!!.
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 5 лет назад
Hii ni redio sio tv
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 5 лет назад
Yeah radio 🙏
@happymaiko5121
@happymaiko5121 5 лет назад
@@allyderossi9742 ndo utumwa wa wajinga Kama wanataka English waende U S A
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 года назад
Kweli
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 года назад
Sauti daaaaaah mutangazaji nakupenda burrrrre 💕 🇫🇮 🇫🇮 🇫🇮
@peacockboka4742
@peacockboka4742 4 года назад
Napendaga sn The story book hasa nikiwa cna kazi nasikiliza mpk na enjoy
@ruthnamisi2239
@ruthnamisi2239 4 года назад
Du?zik of po
@maselelimbu8402
@maselelimbu8402 5 лет назад
Mwandaaji na msimuliaji jaribuni kusoma vitabu vingi na kwa ufasaha zaidi ili msitupotoshe na mjaribu kupata evidence kabla hujatoa makala na ndio maana umeanza na maneno "HADITHI NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEA" haaahaaa jipange but big Up kwa kijitahidi.
@artatheart5700
@artatheart5700 5 лет назад
Ahsante. kweli nimetazama picha anazotumia nizawazungu dhihirisho kuwa muandishi wa simulizi hana ufasaha wa mambo anayo dokeza. huu niwakati wetu kusimulia historia yetu kutokana na ukweli wa kiafrika wala sio kulingana maoni ya mzungu muongo.
@abdalahabdalah7853
@abdalahabdalah7853 4 года назад
amesimulia uwongo wa kiwango kikubwa sana, ameandika story kwa kusoma vitabu vya uwongo vya waarabu na wazungu
@nahirkassim5574
@nahirkassim5574 3 года назад
Someni gur an jmn vizuri Na hadithi za mitume huo ni ungo mtupu
@nahirkassim5574
@nahirkassim5574 3 года назад
Musipoteze ukweli jamani ni dhambi kubwa hii TV ya wasafi ikoje jmn
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 4 года назад
Kama wewe piya unamini mungu atabaki kuwa mungu Basi gonga like hapa twende sawa mungu Ni mungu jamani hathihakiwi
@irenechristian3281
@irenechristian3281 5 лет назад
Mtiga voice 💜😍😍😍🙌
@officialsalmazayn2938
@officialsalmazayn2938 5 лет назад
Nakupenda bure we kaka maan unaongea mamb yenye unafaham na Ikifik mahal kitu hich hukifaham unasema ukwel sio kama yul fala 😂😂#HMG kazi kusema Uwongo tu !
@poulsenmc4970
@poulsenmc4970 5 лет назад
Salma Zayn please support US our song... Cvsavaiva ft baraka da prince ..bwax if you like u can subscribe and like and share please we need ur support
@harunkassm1689
@harunkassm1689 5 лет назад
Hahaaaa
@skywalkercool6788
@skywalkercool6788 5 лет назад
Hongera bro unasimulia vizuri. Lakini jaribu kuwa professional Zaid kuliko entertainer, Kama ulivosema firauni Remesis wa pili inakadiriwa ameishi miaka mingi Sana, na ametawala kwa muda miaka 96, wakat historia iko wazi kwenye vitabu vya egyptionist (Wana historia wa historia ya Egypt), amezaliwa 1303 BC na amefariki 1213 BC (kabla ya ukirsto) akiwa na umri wa miaka 90. Hakuna Mambo yakukadiriwa hapa toa tarehe Zaid umetoa tarehe za firauni wawili tu. Nakukubali kazi yako ya usimulizi, ila ukitoa habari sio sahihi unadanganya watu wengi.
@uthaymgalax181
@uthaymgalax181 5 лет назад
huyo firaun walosumbuana na mussa mke wake alikua asia....... Anyway em dadis tena
@rahimabdul8548
@rahimabdul8548 4 года назад
Skywalker Cool noma xana
@sirj1597
@sirj1597 5 лет назад
Wafuasi wa The Story Book Like Hapa Tjuane
@umojaumoja3031
@umojaumoja3031 3 года назад
Kaka mngu akubariki
@dreambeesafricalimited4831
@dreambeesafricalimited4831 4 года назад
Kama unaikubali the story book ..gonga like hapaa
@frankkikanda1813
@frankkikanda1813 4 года назад
Upo vizuri lakini fuatili historia ya watu weusi ambao ndio walikuwa viongozi wa afrika ya kaskan na tuache historia za waarabu waliowafukuza weusi na wao kushika maeneo yote, tunaomba fuatilia utupe ukweli,
@ashuraashura882
@ashuraashura882 5 лет назад
İna lillah wainailah rajiuni
@hasionshekiondo6680
@hasionshekiondo6680 4 года назад
kaka abdala cjawah kukupinga kwanza unasauti ya ajabu sana zidi kutuletea story nzuri
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 5 лет назад
napenda sana the story book inamafunzo mazuri
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 5 лет назад
Waaah story nzuri sana 🤔
@shadyjuma7688
@shadyjuma7688 4 года назад
Kaka una sauti tamuuu yaaan😋😘😘na hadithi tamu endlea kutultea tusiyoyajua...
@paulkarani559
@paulkarani559 5 лет назад
Shukrani sana story book,mumetufunza mengi
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 года назад
Jamn nakupenda ww msimuliz hasa saut yako na kiswahili chako fasaha natamn nione sura yako
@annehanneh4942
@annehanneh4942 4 года назад
The story book is amazing
@mohamedbakari2552
@mohamedbakari2552 Год назад
Bu
@TahuwidiNuha-lx9ho
@TahuwidiNuha-lx9ho 4 месяца назад
Una sauti nzuri allah akujalie
@seifixnetwork4663
@seifixnetwork4663 5 лет назад
14:31 hahahha paka akizaliwa bongo ataishi kweli kwa stress mara atasingiziwa mchawi au kuzibuliwa vibuti. Lkn paka wingine vijiz tu.
@ruthnamisi2239
@ruthnamisi2239 4 года назад
Du? Ziko poa Sana tuna enjoy
@husseinmdoe8832
@husseinmdoe8832 3 года назад
Nakubari kazi zako sana unajua kutangaza story
@herikaniugu
@herikaniugu 5 лет назад
Horus , my favorite God
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 5 лет назад
Amazing story
@allyoska5025
@allyoska5025 5 лет назад
Daah uko safi saana mwanangu umetulia kinomanoma yani big up
@barakabakari8334
@barakabakari8334 4 года назад
Allah is greater
@debbycharles2862
@debbycharles2862 4 года назад
Kwakweli nina furaha sana kwani napenda sana kujua mambo yakale na yenye mafunzo napenda sana hadith thank you for making my RU-vid useful to me
@paulmawirakinyu2688
@paulmawirakinyu2688 5 лет назад
Una kipaji bro..keep it up
@mireilletshilombs9503
@mireilletshilombs9503 4 года назад
I like the story book thank you for this
@ewaldmichael1640
@ewaldmichael1640 4 года назад
ukopoa kwa kutupa stori nzuri broo
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
Kuna katoto kodogo nipo nako apa naangalia nae video ii kana niambia nikiwa mkubwa nataka kuwa kama filauni nikamzabua konzi la uzito.
@fasconeroh8740
@fasconeroh8740 5 лет назад
Emmanuel Inyasi 😂😂😂fala kwel ww umemuonea tu
@ishany6005
@ishany6005 5 лет назад
Emmanuel Inyasi hhhhhhh duh
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
@@fasconeroh8740 weh! Tengua kauli
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
@@ishany6005 🏃
@angelherman5464
@angelherman5464 5 лет назад
muombeee usimpige maana roho inafwata anayeyanena
@samsonnkini4779
@samsonnkini4779 5 лет назад
🙌🙌MAMBO MAZURI KABISA HAYA
@ngunitv
@ngunitv Год назад
Firauni mikaure alinitanganya kusimamisha jua ajiita mungu mafirauni walioga mukojo wajiita mungu walikata pua na kupata wanja/ngunitv
@ngunitv
@ngunitv Год назад
Watching /ngunitv
@amanidjuma2580
@amanidjuma2580 5 лет назад
Muelezaji bora saana ubarikiwe Mungu akuzidishie kila la kheri
@josephatmitimingi3016
@josephatmitimingi3016 3 года назад
Unatisha sana kaka kwa sauti
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Noma sana eti baraka wanakojolea mto aisee walikua washenz sana hawa mafiraun
@ibrahimtz8008
@ibrahimtz8008 5 лет назад
Noma Sana aisee
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Kuchepuka kitambo sanaa, mm ni nani jamn😁😁😁
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 года назад
Mwili wa firaun ulipelekwa ufaransa sio kwa kuharibika ila kwa kutaka kuchunguza tu! na waligundua alikufa maji. M'mungu hawesi kumkausha firaun kwa Ahadi halafu aharibike sio sawa rekebisha hapo.
@smartmussadozen3535
@smartmussadozen3535 5 лет назад
nakubali story zako zina refresh ubongo
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 5 лет назад
Muweke English subtitles coz wasafi TV ni brand kubwa
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 лет назад
Kweli brother 💪
@simonpadon6458
@simonpadon6458 5 лет назад
From vyetnam i like ther story book from wasafi tv
@picturenews3316
@picturenews3316 4 года назад
Do u understand swahili?
@sooltan5022
@sooltan5022 5 лет назад
First person to View!!! I'm Sultan from Cape Town! !!
@michaelbwimba3079
@michaelbwimba3079 4 года назад
Thanks
@wemakashushura9161
@wemakashushura9161 4 года назад
Angalau nikasikia hadithi njoo uongo njoo utam koleaa 😃
@razackkambi2839
@razackkambi2839 5 лет назад
Daaah mie mtangazaji tuuu nipo hoiii nakupenda
@rosehopekenya699
@rosehopekenya699 4 года назад
A good story teller
@gracedismas1108
@gracedismas1108 4 года назад
Napenda sana story book
@awadamu2276
@awadamu2276 4 года назад
Hujui kaka firauni wa kwanza ni mweuse kutoka sudan ni mnubi mweusi usipoteze watu soma kwanza au kama biashara
@ilapfashajackson741
@ilapfashajackson741 4 года назад
that so educating
@herrypalanjo6793
@herrypalanjo6793 5 лет назад
Sasa huo mto c unaconnection na ziwa Victoria? So tunakula sato walking kila naniii🤣🤣🤣
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 4 года назад
Mto unanzia victoria kwenda kwenda bahar ya sham
@roddybob6871
@roddybob6871 3 года назад
Nimeushuhudia mwili wake nilipo tembelea Egypt.....kweli mungu yupo........
@hamishassan6355
@hamishassan6355 5 лет назад
Wsf asante sana kwa history unatujenga kiakili big up sana
@geesango5275
@geesango5275 4 года назад
Haya mambo sio ukwel kabisa bro tafuta ukweli acha kujaza jamii uongoo maana niwengi wanaangalia na wanataka kujifunza na sasa ukisema vitu ambavyo vinashusha heshima yetu ya kiafrica na mambo yenyewe si ya kweli inakuwa sio poa kabsa
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 Год назад
Tena ni huu uongo kweli kweli. Sifa ya mwaafrika tufichwa na wazungu
@imbugwameltietaz8369
@imbugwameltietaz8369 5 лет назад
Leo ndio nimeuelewa huo msemo wa "'ukistajaabu ya musa, utayaona ya firauni '"
@shakira1301
@shakira1301 5 лет назад
😂 😂 😂 Hapo kwa kukatwa pua
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 года назад
I love story book nzur sana 🙌
@starlight8794
@starlight8794 5 лет назад
Ndio maana hata wasanii waume sikuizi nao wajipaka makeup Hao ndio wameiga Hao mafirauni
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 5 лет назад
hahahahahahaha walewanao penda kusoma coment tujuane
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 года назад
Mwili hauwezi kuharibika hata iweje.hio ndio ahadi ya Mungu..aliposema tutakuhifadhi ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo
@josephkiwale374
@josephkiwale374 8 месяцев назад
Cyo kweli miili ya mafarao karibia yote waliipaka dawa isiharibike kutokana na Imani ya dini Yao kwamba lazima uende na mwli ulimwengu wa wafu,,,Quran haijasema mafarao wote walilaaniwa na Mungu Bali farao wakipindi Cha Musa,,swali ni kwamba kwann Kuna miili mingi ya mafirauni ambayo haikuharibika pamoja na baadhi ya raia wakawaida imegundulika nchini misri,,,jamani hebu tusiwe wavivu wa kutafuta ukweli
@caashaqaali2226
@caashaqaali2226 5 лет назад
Sauti ya huyu kaka ni nzuri sana 😊
@husein.ibrahim2825
@husein.ibrahim2825 5 лет назад
usitaman sauti zawenzio sawa usirudie tens kwan yakwako mbaya et
@jonathanilomo2177
@jonathanilomo2177 4 года назад
Jamaa anajua kubrodcast bigup sanaa
@gracemkandawile6182
@gracemkandawile6182 4 года назад
Nakukubali sana mtiga were n number one tanzania
@rosebiashara7474
@rosebiashara7474 4 года назад
Who watch it December
@pharoah-ahmose6075
@pharoah-ahmose6075 5 лет назад
WAZUNGUS WERE NOT THE ANCIENT EGYPTIANS..
@juliusngalimoto2457
@juliusngalimoto2457 4 года назад
Noma sana menkaur
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
Intaneti Nayo Firauni Hii
@aminahmohammad5866
@aminahmohammad5866 4 года назад
Ni kweli akizikwa kaburi halimtaki analaana za Allah na hilo ni funzo kwetu
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Amina Mohamed Sikiliza story usikurupuke
@mariammariam4408
@mariammariam4408 5 лет назад
The story book👌👌👌👌👌
@ufc-ultimatefightingchampi8456
kwanza asilimia nyingi za wafalme na wamarikia walikuwa wanubi na ni watu weusi kama mkaa. kabla ya kuitwa Egypt, ilkuwa inaitwa ( Kemet) maana yake ni nchi ya watu weusi baadae wazungu walivyovamia waliuwa watu wengi weusi na kupola mali nyingi na kubadirisha jina la Egypt na kuanza kuandika na kusambaza uonngo..., hizi ni Habari za wazungu waliandika vitabu, fake picha na cinema zao za uongo hili kutufanya tusiwapende hao wafalme na tusifuatilie heshima za mababu wetu na historiza misri....au kuwafundisha watoto mbona dunia mzima imegeza mambo mengi kutoka apo misri kama vile mahesabu, alfabeti, heshima, dini, uganga, uchawi,miujiza, ukarimu, na hata jinsi ya kuongoza ufalme... siku nyingine bro,lete habari zinazo fanana na ukweli hili tuelimishe waAfrica na wenginne wasio jua ukweli Thanks.
@angasoketch8063
@angasoketch8063 4 года назад
Kweli historian ya misri wengi wao ni weusi Lakni wazungu wanatudanganya sisi weusi
@kennethogonda4370
@kennethogonda4370 4 года назад
Mbona saa hii wamisri si weusi kama makaa? Kwani hao weusi wakaenda wapi? Wazungu walisema ukweli, wacha zenu!
@stevenbenedict1750
@stevenbenedict1750 4 года назад
Alifanya vibaya kumchoma mkewe moto mbona yy mhuni,?hakika wanadhambi sana sasa wao wako Moroni chezea mungu wewe!
@josephkiwale374
@josephkiwale374 8 месяцев назад
Kweli napia inasemekana,misri ya zamani ilikuwa makao makuu ya wachawi wote wa Africa(watu weusi).wachawi waliamua kuwa na sehemu Yao waendeshe maisha Yao wajiongoze wenyewe huko na wawe huru kutafuta ukweli kupitia uchawi,na yule aliyekuwa Bora kuliko wengine alifanywa kuwa mtawala wa wachawi(farao) na ndio nchi ya Misri au kemet ikawa nchi yenye nguvu ya ajabu,,ndo maana utaona elimu na mavumbuzi ya ajabu ajabu ambayo wazungu wanayashangaa Hadi Leo kiasi Cha kuamua kudanganya kwamba wamisri walikuwa cyo weusi😅😅
@allymapinda8804
@allymapinda8804 5 лет назад
Yule firauni aliyeoa hadi dada zake kweli naamini michepuko waliianzisha hao huko! Sisi tunaendeleza Jadi tu jamani kwa kuwaenzi wahenga 😂😂 ila kuna mipaka ya kutotembea na ndugu.
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 5 лет назад
Hmmmm Kweli Awa filauni 😪 Inasikitisha sana
@ronaldballoll3932
@ronaldballoll3932 5 лет назад
H
@amrysalum1440
@amrysalum1440 3 года назад
Ndo king wa mastory
@mohammadahmad6556
@mohammadahmad6556 3 года назад
Maashallah
@faustinevitalice7792
@faustinevitalice7792 4 года назад
Hawa mafirauni walikua ni watu weusi kabisa yani. Hawa waarabu mnaowaona wamezagaa Misri sahivi ni wahamiaji tu.
@user-vb8zw6qr2d
@user-vb8zw6qr2d 7 месяцев назад
Wanajua sana, Ila sasa ikiwa hivyo itamaanisha nabii Musa ni mweusi aidha kumbuka Abrahamic religions zinakataa ukuu wa mtu mweusi😂😂
@boniphectoboniphace7187
@boniphectoboniphace7187 5 лет назад
Aisee bro nakupigia saruty
@gladynaasi8671
@gladynaasi8671 5 лет назад
Asante wasafi
@iddigoda1884
@iddigoda1884 4 года назад
Naipenda sana the story book
@chrisroby1953
@chrisroby1953 5 лет назад
WCB 4Life
@sottithomas9443
@sottithomas9443 5 лет назад
The story book kipindi kinachotupa kufahamu yaliyopita
@sharifaabdallah6384
@sharifaabdallah6384 4 года назад
Very nice
@davidchacheezy8920
@davidchacheezy8920 5 лет назад
from Kenya nakukubali sana naomba utoe the story book ya kanumba
@iammusic3404
@iammusic3404 5 лет назад
Nani kasikia michepuko Like twende sawa
@danielyjackobo4125
@danielyjackobo4125 3 года назад
Kwakwel mtiga abdallah una good voice kaka the story book iko good
@teresiamum5006
@teresiamum5006 4 года назад
Ndoo kwa ndoo ya mikojo.......akanuka. Ahahaaaaa, The story book walai tamu sana.
@kevinyoungdoss780
@kevinyoungdoss780 5 лет назад
From Kenya napenda sana Wasafi TV and the story
@mujuncharles5508
@mujuncharles5508 4 года назад
Big up kwa story nzuri na ya kuvutia
@christellekisimba2447
@christellekisimba2447 5 лет назад
Daah hunatisha sana mutangazaji
@williamlyimo404
@williamlyimo404 4 года назад
Dah the story book ni nomaaa
@williamlyimo404
@williamlyimo404 4 года назад
Sana
@khadijahkhdoo6387
@khadijahkhdoo6387 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣,mafirauni jamaniii duuh hadithi tamu kabisaaa🥰🥰
@andrewindasi2977
@andrewindasi2977 2 года назад
Usimulizi mzuri kabisa kaka
@aminaseif8977
@aminaseif8977 5 лет назад
aixeee km unamuelew huy jamaa gong like hp
@lucyhussein7126
@lucyhussein7126 3 года назад
Yaan kumbe mjonga
@senetamtangazaji2901
@senetamtangazaji2901 5 лет назад
naomba kuwa msomaji wenu naamini nina sauti bora zaidi
Далее
Аушев, Путин, «пощечина»
00:56
Просмотров 572 тыс.
Mhafamu CLEOPATRA, Malkia mrembo aliyeitikisa MISRI
19:33