Тёмный
No video :(

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 1,8 млн
50% 1

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@beatricej866
@beatricej866 3 года назад
Jamal, historia za biblia ni nzuri sana. Na kizazi hichi watu wengi hawasomi biblia na kupata hekima hizi. Naomba uendelee kuleta story za kutoka kwenye vitabu vya Mungu. Be blessed brother!
@thomasnzioki2027
@thomasnzioki2027 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-npcwCL1zTz0.html🎥🙏
@agaikilembemwamafupa1671
@agaikilembemwamafupa1671 3 года назад
Asante
@hildpaul7823
@hildpaul7823 3 года назад
Kabisaaa
@michaelkijazi5692
@michaelkijazi5692 3 года назад
.
@elastoluoga7566
@elastoluoga7566 3 года назад
Mh
@eliasfestus1499
@eliasfestus1499 3 года назад
Mwaga like kama zote. Jamal unatisha kaka tunapata elimu bora kabisa
@Lilian-fs7wr
@Lilian-fs7wr Месяц назад
Mungu akupe miaka mingi uwende lee kutufundisha brother
@bakarialii8460
@bakarialii8460 2 года назад
Neema ya Mwenyezi Mungu iwe nawe daima my Brother Jamal, Amin.
@maombiabelvincent3978
@maombiabelvincent3978 3 года назад
Waooooo kwamara yakwanza nafunguwa ukurasa wa comment. Jamani naomba like zangu🙏💪
@amraniibrahim6906
@amraniibrahim6906 3 года назад
chukua
@gulainruvuzomusic5965
@gulainruvuzomusic5965 3 года назад
Umeona hii? 👇🤔👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xRuuX0u64Cc.html
@hamzamwalalika2816
@hamzamwalalika2816 3 года назад
Umekua ugari uo
@salimukasimu1630
@salimukasimu1630 3 года назад
Simchenzo
@youngkid8095
@youngkid8095 3 года назад
We chawa
@fatmamasafu8606
@fatmamasafu8606 3 года назад
Maneno yenye busara jamal profesa lazima tumshukuru Allah kwa uzima Alhamdulillah🤲🤲🤲
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@favouritebenafa
@favouritebenafa 3 года назад
waaaah😙
@barnababoniface3504
@barnababoniface3504 3 года назад
Yuko vizuri
@hamisitenga9094
@hamisitenga9094 3 года назад
@@crypto7-t1y m
@hamisitenga9094
@hamisitenga9094 3 года назад
@@crypto7-t1y o
@micamathew2595
@micamathew2595 3 года назад
Rafiki katika Bwana Mungu wa Mbinguni, nashukuru sana kwa hii stori. Aise Mungu akubariki sana.
@KUSH9914
@KUSH9914 3 года назад
Nakubali brother Jamal Mustapha Jamal April Professor. Mm hupendelea kurejea ile ya dan cooper. "Upo mkasa maaruf sana, mkasa ambao gaidi mmoja aliyefahamika kwa jina la Dan cooper aliyeiteka ndege ilyo na abiria 36 ndani yake ....."
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 года назад
Hatimaye Mfalme Suleiman mwana wa Daudi..... Big up Profesa
@cynthiambugua6458
@cynthiambugua6458 3 года назад
Wow asante kipenzi nilikua sijui yote hayo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍
@nelsononyango5920
@nelsononyango5920 3 года назад
Alichokifanya Mungu kwa familia hii nijema YeYe anauwezo kwa kuchagua mwema au mubaya kwa mapenzi yake .Amen
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Allah aendelee kukupa afya uzima na uhai hakika tunayajua ambayo hatukuyakuta si Wala wazazi wetu walio tangulia mbele ya haqi shukran sana kwa kazi nzuri
@rafikimyala9322
@rafikimyala9322 3 года назад
Nakukubari sana jamar unafundisha vizur sana professor uko vizur kama nawew unamkubar professor gonga Like twende sawa😎😎🙏👊👊
@jamesmassawe7181
@jamesmassawe7181 3 года назад
Kaka tunaomba uendelee na story izi.. japo kwa mwezi mara 3... maana utapata baraka kwa mungu pia..
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@esthelamonica7022
@esthelamonica7022 Год назад
Hizi story zinanifanya kujua biblia sana nakuisoma kila mara
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Год назад
King SULEIMAN....Inshaallah for your good story
@nixonkibet9449
@nixonkibet9449 Год назад
Jamal April you are the best. I like your way of narrating these ancient stories and in good voice and Swahili. Pongezi sana
@sahimsaleh8118
@sahimsaleh8118 3 года назад
Nimependa sana alivyomalizia . Mungu azidi kukujaza hikima na maarifa ndugu jamal
@sigefrank3994
@sigefrank3994 3 года назад
Bro uko vizuri safi sana nimesikiliza kwa umakini mno Mungu azidi kukuongezea hiki kipawa
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@johnrogasiani
@johnrogasiani 3 года назад
The king 👑 of story's, murch respect 👏👏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@joysimventures2242
@joysimventures2242 4 месяца назад
"Givers have to set limits because takers never do".... a very nice ending Thankyou for a good story
@maombiabelvincent3978
@maombiabelvincent3978 3 года назад
Jamani mi nimwana familia mpya wa #the stor book. Na nimebahatik kuw wakwanza ku comment so naomb mnikalibish kwa like. P1 jamal april
@tatuamidu40
@tatuamidu40 3 года назад
Ivi mnao omba like mnazipekaga wapi
@nallynkeke103
@nallynkeke103 3 года назад
Kama like zina hela tuambie nasi tuanze kuziomba,,au unafrah tu kuona umepata like nying huo ni umama
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 3 года назад
Sijawahi kukoment lakini leo nimeshindwa kuacha. Aksante sana Prof.
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@fadhilichambo5601
@fadhilichambo5601 3 года назад
Ubarikiwe san ndgu yetu, mungu akuongezee maarifa na akufunulie vingi vilivyo vyema na vyenye kheri ili Jamii izid kunufaika kupitia ww. “Aamin”
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@seifkulwa3346
@seifkulwa3346 3 года назад
Uko vizuri sana bro nimekukubali sana kwa Leo, kuna aya moja kwenye Biblia takatifu inasema ombeni chochote kwa jina langu na mtapewa manake kwenye maombi yako be specific and accuracy!
@jumaseifu1083
@jumaseifu1083 Год назад
vyema kabisa
@yusuphmdudu5820
@yusuphmdudu5820 3 года назад
Mungu akubariki professor nazidii jifunza mengi kila cku kupitia ww🙏🙏🙏
@dicksonokili9516
@dicksonokili9516 3 года назад
Jamali, i really admire your ability of narrating and researching about these ancient stories... Much love from Kenya 🇰🇪
@tuelezanestory2546
@tuelezanestory2546 3 года назад
Pia Mimi 254
@upendosfamily7210
@upendosfamily7210 2 года назад
Mi pia 🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️
@PASTORHANNAHTV
@PASTORHANNAHTV 11 месяцев назад
Ata mimi nampenda sana niufuatilia research yake sana
@winniethuo9736
@winniethuo9736 7 месяцев назад
Especially where without wishing to state the facts zenye ye ameziomba kwa vitabu na viombo vinginevyo anatutuma sana kujitu juu ya kuutafuta ukwelu kibinafsi. A genuine guru guru gives the disciple tools to be free and not dependant on him/her. ❤
@jayproducts5871
@jayproducts5871 3 года назад
LIKE kama unaamini Professor anatufundisha mengi mazuri tusio yajua
@juniornungu2478
@juniornungu2478 3 года назад
Unetisha
@dannyeliya9010
@dannyeliya9010 3 года назад
Simpendi ni muongo af ana masifa nafuu mtiga
@mengalaba9213
@mengalaba9213 3 года назад
@@dannyeliya9010 utakuwa una matatizo ya ubongo sifa gan sasa alizo nazo usiwe una sikiliza sasa
@bamuucmba92
@bamuucmba92 3 года назад
Weee Dani unafirwa kweli humpendi jamal cc tnampnda wewe kampnde mamaako
@bamuucmba92
@bamuucmba92 3 года назад
Ningekua na mtoto ningekuozesha bure professor
@emmanuelmayende1064
@emmanuelmayende1064 2 года назад
Jamal April, The Professor, you have already definitely said and defined the word Wisdom!!!,,, You already have it with you.let it be God's power Amen
@babajovin2137
@babajovin2137 3 года назад
Naaam kweli mambo mengi sasahivi nimaludio duh......... Professor jamar saluuti mungu azidi kukupa nguvu juu ya kazi yako
@jaffaryabdoullly7898
@jaffaryabdoullly7898 3 года назад
Umerudia kuangalia zaid ya Mara mbili hii story book gonga like twende sawa🙏
@jimymacha6985
@jimymacha6985 3 года назад
Mara ya nne narudia
@yusuphnurdin3603
@yusuphnurdin3603 3 года назад
Dah bro mi naamini hii nd story teller kali one hour tyr 1.5k views salute you Blazah
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@nasbuathuman5543
@nasbuathuman5543 3 года назад
nakubali jomba nakubali wasaf TV wasaf fb so nilipenda omba story ya nabii enoki simulia dunia ijue ukweli lik2 me
@rashidlusangija9879
@rashidlusangija9879 3 года назад
Suleiman alhamdulillah inshallah mwenyezi Mungu awe nawewe popote ulio pepon
@lucaskipingu826
@lucaskipingu826 3 года назад
Naangalia na mimi tuliyoandikiwa lakini hatukusoma hiii ni sawa behind the scene kwenye movie funua yaliyojificha ....... Respect Brother kunywa soda ntalipa
@karamasaahmed5026
@karamasaahmed5026 2 года назад
Astaghfirullah... Haikuwa kwa mitume wa mungu kufanya dhambi munazowsingizia.... Doh... Eti daud alizini... Subhanallah.... Mimi kama muislamu namtetea mtume wa Allah..
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 2 года назад
Ametakasika alllah
@deborahdavi6593
@deborahdavi6593 5 месяцев назад
Daudi alizizini kubali yaishe😅😅
@Fundikillerdml
@Fundikillerdml 12 дней назад
Wewe nikuma
@gracesamson924
@gracesamson924 3 года назад
Mungu nipe Hekima kama za Solomon Ameen
@reganmrema
@reganmrema Год назад
Alishasema Hatatokea mwingine kama Suleiman. Fanya kazi, Tafuta pesa 😅
@LaCasaPreciosa
@LaCasaPreciosa 9 месяцев назад
​@@reganmrema😂😂😂
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 6 месяцев назад
@@reganmrema duuu nimecheka kwa sauti jamanii
@OmarOmar-cm5sl
@OmarOmar-cm5sl 3 года назад
Jamal mungu akupe khery za dunia na akulinde na maadui ajae kwa ubaya asikufikie uishi kwa aman tukumbushe mungu atakulipa khery # nakubali kazi yko# Omar
@shukriolati4633
@shukriolati4633 3 года назад
Nabii Suleiman ana historia kubwa. Alikuwa Nabii Tajiri na Mwenye Uwezo Wa Kuamrisha Upepo.. Aliyopewa na mwenyezi Mungu. Alikuwa anaogopewa na majini
@Officialyussy
@Officialyussy 3 года назад
Ninapenda sana stry zako na mm n mshabk no 1 ..Mwenyezmungu kakupa kipaji cha kuhadithia ... lkn n vyema usiongelee story za kuusu ma nabii au vitu vinavyojihusisha na dini......ukiongelea kuuhu ivyo vitu utawapotosha watu na siku ya mwisho utaulizwa kutokana na kipaj chako ulikitumiaje ... @jamaliapril
@raphaelmuia9852
@raphaelmuia9852 3 года назад
Jamal April, professor.You mentors me when it comes to story telling.Thanks for the way I take it from you
@sultanmbaraka2513
@sultanmbaraka2513 3 года назад
You are the king of story makers..... Real love to you broo.
@tirap6290
@tirap6290 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-G-Gyz_cDU58.html
@pembemussa2804
@pembemussa2804 3 года назад
Kwa Hakika neno, lako lakufungia kipindi hua na liskiza kwa umakini mno hasa huku nikiwa nime tune ktk Bluetooth ya subwofer nakua Nakupata Bara bara, #UBARIKIWE 🙏
@cissisweet3303
@cissisweet3303 3 года назад
I love you guys,you are doing a Big good job.may God bless you.i'm a french speaker and i love so much the story book
@bedechorray5482
@bedechorray5482 2 года назад
French huh?
@adamkamaze9888
@adamkamaze9888 Год назад
@@bedechorray5482 .ll
@deborahdavi6593
@deborahdavi6593 5 месяцев назад
Story nzuuri kaka asante kwa kutufafanulia tusiyoyajua zaidi kuhusu King solo
@sycharjumah9235
@sycharjumah9235 Год назад
What a captivating and salivating story telling skills Jamal! Keep it up bro.
@ibrahimfrancis8454
@ibrahimfrancis8454 3 года назад
jamaa ni na kukubali kwa kutuletea story book na voice 🙌🙌 tupe na nyingine
@familyserver4836
@familyserver4836 3 года назад
Bibilia imefika mbali sana kwa kuwazulia nabii wa mungu uongo. Eti mtume aliyeletwa kuwaongoza watu kwa mungu ni mzinzi Mara mlevi, Mara mshirikina kweli binaadamu sio perfect lkn mungu anapochagua mitume huchagua wenye nguvu katika ilimu, hekima, na mwili. Waandishi wapotofu wa bibilia.
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 года назад
Umesema kwel
@josephaugustino4673
@josephaugustino4673 3 года назад
De proffesor jamal big up mwamb nakubal nakubal👊
@omarmwindadi4340
@omarmwindadi4340 3 года назад
Wa kwnza mwnyewe kuskliza professor jamal unajua♨️♨️♨️♨️
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 года назад
Mashallah kaka una kipaji hongera kwa kusimulia vzr
@hayesamaarufu9053
@hayesamaarufu9053 3 года назад
Great 👌 much respect from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officialprincebaro6983
@officialprincebaro6983 3 года назад
Huwa napenda sana kukufatiliya Ur true professional jamali
@micamathew2595
@micamathew2595 3 года назад
Mimi sihitaji like, mimi nahitaji hekima na busara kama ya mfalme huyu Sulemani.
@brisillarutaigwa5022
@brisillarutaigwa5022 2 месяца назад
Wewe badae utakuwa yuda
@brisillarutaigwa5022
@brisillarutaigwa5022 2 месяца назад
Au utatukana mara tatu
@G.S985
@G.S985 3 года назад
ubarikiwe Kaka napenda sana unavyo tupa historia tamu na za ukweli kabisaaa,eeh Mungu utuepushe na maovu tukiwa diniani kwasababu malipo ni hapa hapa duniani.
@ayubukassimu8347
@ayubukassimu8347 2 года назад
Iko pow kabisa allah akuongoze
@Elialalaito
@Elialalaito 3 года назад
Shkran kaka kwa kutuongezea maarifa maana kusoma maandiko pengne inakuwa ngum kutokana na mda.. salute kwako blooder💯
@josealoyce6808
@josealoyce6808 3 года назад
Sawa Jamal Asante kwa story nzuriii zenye mafundisho mazuri
@najalinanyambo3971
@najalinanyambo3971 3 года назад
Nani anataka kuwa kama solomon dondosha like 👆
@jimmymeshack9338
@jimmymeshack9338 3 года назад
mimi hapa
@suleymanshariff6340
@suleymanshariff6340 3 года назад
Ahsante Sana Kaka we ni zaid ya shule
@izdinali5721
@izdinali5721 2 года назад
Uko vizuri professor ila mitume ya mungu wakikosea hukosea kwa mambo mema rekebisha apo
@shushu8105
@shushu8105 2 года назад
Kiufupi manabiin wote nifamilia
@cantcan1644
@cantcan1644 3 года назад
Hata ww mtangazaji mungu Amekupa Hekima ya hal ya juu
@jonaspatrick8074
@jonaspatrick8074 3 года назад
Hatimaye kile nilichokisubiri kimekuwa🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@mohamedmussa7258
@mohamedmussa7258 4 месяца назад
Jamal hii stori, umeegemea sana upande wa ukristo. Na hakika wakristo wanawasema vibaya sana mitume. Na Wala hakukufuru Suleiman, lakn mashetani ndio yaliyokufuru. Suleiman hakuabudia masanamu, Jamal chungasana hizo simulizi zako.
@livingstonezirongowa4181
@livingstonezirongowa4181 Год назад
Historia hizi zina vito vya maadili ya ajabu. Usuli wake ni asili ya ujio wa waja. God bless you Brother.
@stevengracfordsenghana4419
@stevengracfordsenghana4419 3 года назад
Soma sana Biblia pia itakufundisha lakinia zaidi muombe Roho mtakatifu atakufundisha nakukufunulia.....nikupe hongera kwakusoma jinsi alivyo patikana Solomoni
@gagamendez7747
@gagamendez7747 3 года назад
Nimekubaliii kaka uko vizur sanaa
@Rionel365
@Rionel365 5 месяцев назад
Yes twasonga mbele na story nzuri ya king solomon like kama story unaamini iko bomba
@ashirievara8542
@ashirievara8542 3 года назад
Professor king of the story in the world
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 3 года назад
@@brotherh-elite1825 😅😅😅😅😅
@dannyeliya9010
@dannyeliya9010 3 года назад
Mtiga abdalah ndio great and king wa yii mamboo bana huyu anaiga tu na kuifikia ni ndotoo yule jmaa fundi
@laylaafricanbridesamiry644
@laylaafricanbridesamiry644 3 года назад
@@dannyeliya9010 shtuka ww Kama mtiga ndo Bora mbona hana ishu now
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
@@brotherh-elite1825 Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@tonyopano4327
@tonyopano4327 2 года назад
Jamal you're an inspiration to many,God bless you boss.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 года назад
Jamaal katika la baraka hakika umenena kweli. Tumshukuru Mungu kwa kuwa tulivyo na tuone katubariki kuwa tulivyo turidhike nae.
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 3 года назад
Hongera unajua kuadisia vizuri mpaka unanishangaza
@wocamsafi4701
@wocamsafi4701 3 года назад
THE STORY BOOK ON #TRENDING tuifikishe top 10 wapendwa wa Jamal
@Babawamapaka
@Babawamapaka 3 года назад
ALLAH akubarik ww kijana mtanashati mwenye elimu usie na choyo ...
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia simulizi zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB.... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@Babawamapaka
@Babawamapaka 3 года назад
@@crypto7-t1yasnte ila samahn hua sivutiw na mambo ya alshabab cjui kwnn
@venanceselegebu8566
@venanceselegebu8566 3 года назад
Usiache kusimulia story book, tunahitaji kila Mara uwe unatupatia, nakukubali sana Prof
@abdulnuruhassan8611
@abdulnuruhassan8611 3 года назад
Jamali mustfa shukran my brother kwa story ya mfalme 👑 suleman 🙏🙏🙏 Maaana ulikua umetuonjesha kweny sehemu nyigine ila kwa hii hasante tuketee nyengine na nyengine tupo pamoja my brother
@victacosta7053
@victacosta7053 2 года назад
Sana
@saidsyande3728
@saidsyande3728 3 года назад
Quran inailezea vizyri sana hadithi ya Suleiman
@anorei9780
@anorei9780 3 года назад
Hallelujah hallelujah I praise you Father Lord no one Like you Father
@stanleywalker6708
@stanleywalker6708 3 года назад
Kakangu jamal mungu alikupanga wisdom kwa wingi zaidi
@djkbyofficial
@djkbyofficial 3 года назад
Asante MIE nakufatilia Hapa CONGO 🇨🇩🇨🇩🔥👍🏾👀nice videos keep it up my brother bless you we need more
@gbwile1257
@gbwile1257 3 года назад
Watu wanaomba likes tuuu,kwan zina maajabu gan jaman
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@paulpama7305
@paulpama7305 Год назад
Itakuwa zinasibisha....,
@msafiridiary
@msafiridiary 3 года назад
Wi nuh man a king inna di earth dan Solomon 🤴🏽
@brunoh_bx
@brunoh_bx Год назад
Hapo mwisho professor ametoa somo kubwa sana, kiukwel limenigusa, barikiwa sana broo🙏
@johackimkiliani7862
@johackimkiliani7862 3 года назад
Jamaal uishi miaka mingu na uendele kujishusha Mwenyezi Mungu atakuinua zaidi usifanye ya harmonize tz kujitutumua kuanzisha njia yako utafanya tukusimlie wewe kwa watu kwamba alikuaga jamaa anajua Sana kufichua vitu. So jitahidi brother kuwa na subila
@christinasteven9361
@christinasteven9361 3 года назад
Acha upungufu wa fikra mtoto akikua lazma ajitegemee
@alphoncekagoshi1754
@alphoncekagoshi1754 3 года назад
leo umefanya vizuri sana nimejifunza mengi bro
@bakaryCMD
@bakaryCMD 2 года назад
The great professor of all time
@user-eq9lw9ju1l
@user-eq9lw9ju1l 9 месяцев назад
Congratulation Jamal for best teaching of people in the world through blessed ancient stories of King Solomon life. Wisdom and good governance is power of beloved God. Let's respect and recognize the power of true God.
@papiusoscar369
@papiusoscar369 3 года назад
Hadithi nzuri xana br
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 3 года назад
Kile cha dk7 kilivuja kumbe Maana kilituchanganya mpaka basi tuliyumba ALAFU TUMEAMBIWA UNAYO OFFICIAL ACCOUNT JAMAL .. ni kweli au Tunaibiwa kule 🚶🚶🚶 KAMA ULIONA KIPAMDE CHA DK7 GONGA LIKE NYINGI ILI JAMAL ATUJIBU .👍
@dullahaibo28
@dullahaibo28 3 года назад
Hahaahhaahha we acha
@williammyemba7791
@williammyemba7791 3 года назад
Vipande viwili,,mwanzon anaongea Jamal halfu anamalizia mtiga
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 3 года назад
@@williammyemba7791 hahahah ndio
@moviestrailerstv4596
@moviestrailerstv4596 3 года назад
Jamali always you Do good meen, we appreciate your efforts in Kenya 🇰🇪...........
@akakathephysicalfitnessyou2545
@akakathephysicalfitnessyou2545 3 года назад
Asante nimejifunza mengi kuhusu Suleiman
@macmussylucas5495
@macmussylucas5495 3 года назад
Safi wewe ni noma sana
@vincentkimutai937
@vincentkimutai937 2 года назад
well fed with ancient stories.....well done job....from kenya.
@amanimwidowe4632
@amanimwidowe4632 3 года назад
Kila siku najiuliza Hawa wanaoombaga like wanazifanyia Nini au Kuna faida kupata like
@hawaallywatimu7198
@hawaallywatimu7198 3 года назад
Huwa wanazibadili kuwa fedha wanapata kutumia
@otimdavid8335
@otimdavid8335 Год назад
Jamali thank you so much for program for story book
@EmmaMzume
@EmmaMzume 3 месяца назад
Mungu Akubaliki Sana musimuliaji wetu jamal tunaomba Siku Utusimulie mkasa wa Ayubu
@skybright7919
@skybright7919 3 года назад
Bro Jamal upo vzr kila napotazama story book najifunza K2 ila leo nmejifunza kikubw zaid shukran bro
@crypto7-t1y
@crypto7-t1y 3 года назад
Naomba pitia hapa pia kuangalia makala zangu tafadhali.👇 CHANZO NA SIRI YA VITA YA SOMALIA NA AL-SHABAAB. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TANus7_Uasg.html
@therealhajjkhan_
@therealhajjkhan_ 3 года назад
i love you #professajamal umeniliza kweli MOLA akuruzuku elimu na busara zaidi
@yassersahin6639
@yassersahin6639 3 года назад
nakubali sana jamal huj ushauri wako mwisho baada ya story book
@jeriadmc844
@jeriadmc844 3 года назад
Big Up My Brother Professor ✌ Ujawai Kosea Hapo Mwisho Nimekukubali
@midoboytz2248
@midoboytz2248 3 года назад
Kaka nakupenda San Yan ujui tu kwa kuwa Sina pesaa ninge kupa kitu Cha saman San naomba San na eliya yesu utusumulie
@barakagasper8335
@barakagasper8335 3 года назад
Ya yesu tayari
Далее
The Story Book : Firauni na Kufuru Zake
44:34
Просмотров 1 млн
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 14 млн
#LIVE: BEST OF DENIS MPAGAZE VOL.2
3:52:29
Просмотров 222 тыс.
HISTORIA YA NABII ADAM SEHEMU YA 1/2 Animation
9:39